MWANACHUO ALIYEKODI GHOROFA KARIAKOO, AFUNGUKA KUMILIKI MJENGO WA MIL. 370 DODOMA

  Рет қаралды 38,126

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 2 ай бұрын
Mungu yuko mbele yko, sio nyuma, Mungu akai nyuma.Hongera.
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 2 ай бұрын
Ameen..nafikiri yuko pa b de zote yaan mbele halafu nyuma
@harrychuwa3180
@harrychuwa3180 2 ай бұрын
Very clever young man!!! Keep going. Risk taking is part of the equation. Obviously, 99% of investors are not risk takers. He’s a risk taker!!! The higher the risk, the higher the return.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
hivi ndio vipindi vinavyoleta tija kwa vijana , Mwenyezi Mungu azid kumbark ndugu yetu, afanikiwe zaid na zaid , na Mwenyezi Mungu naomba unijalie na mimi niwe na uwezo na moyo wa kuelekeza watu fursa kama huyu kijana
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 ай бұрын
Last born mwenzetu ktka ubora wake Allah azid kutubariki Inshallah
@tinomangi6487
@tinomangi6487 2 ай бұрын
Anatupanga huyu yaani anapangisha nyumba ya mtu ambae nae kapanga so Ile Kodi lazima ugawanyike 80% Kwa mwenye nyumba na 20% kwake
@EllyLupagalo
@EllyLupagalo 2 ай бұрын
Hongera sana mshukuru Mungu umelelewa kwa maadili mazuri na ukayafata hukuifata dunia utafika mbali Mungu akutunze
@christinabuchuma6708
@christinabuchuma6708 2 ай бұрын
Hongera sana kijana, very impressive
@erickherman8224
@erickherman8224 2 ай бұрын
Hongera @basil.mswahili , wewe ni kioo chetuu 🙏🙏
@imaf3st336
@imaf3st336 2 ай бұрын
Akili kubwa God Bless
@bilid4128
@bilid4128 2 ай бұрын
Mmh boss umpe Milioni 10 akupe nyumba ya milioni 370 ...ngoja nifikrie vizuri huenda uwezo wangu kufikri upo chini sana
@pendosailo1989
@pendosailo1989 2 ай бұрын
😂😂
@faidamwacha
@faidamwacha 2 ай бұрын
😂😂😂 fanya kuthubutu Usije ukawa unatembea na fursa zetu bhana
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Ukiwa muanifu ma udhubutu utatoka napia uaminifu ni mtaji
@MM-pb7fw
@MM-pb7fw 2 ай бұрын
acha mawazo mgando...kila kitu kinawezekana tu,kama jengo linauzwa M370 lakini amempa kwa riba ya 15M kwanini asipewe?...inategemeana aneyeuza anauza kwasababu gani,kama hana haraka anatoa tu kwa riba zaidi
@GervasLyimo-f7p
@GervasLyimo-f7p 2 ай бұрын
Hiyo ndio tofauti kati ya wewe na yeye.
@tinomangi6487
@tinomangi6487 2 ай бұрын
Huyu kuna watu wanambeba aache kutupanga hakuna maisha rahisi kihivyo. Hata wenye nyumba hawawezi kupokea Kodi wakanunua nyumba 4 Kwa mwaka mmoja aseme Tu kuna ndugu yake ni mwizi serekalini anajificha kwenye mgongo wake
@utopolo543
@utopolo543 2 ай бұрын
take things positive. mtafute uongee naye physically.
@mboyipaul
@mboyipaul 2 ай бұрын
Ni kweli au pengine aliuza Mali za nyumbani kwao...Kwa mwanafunzi sio rahisi hata kidogo kwanza Bado ni dogo san
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Mmmh MUNGU humuinua amtakae hongera sana umeweza kujiongeza
@Thekidsknowledger
@Thekidsknowledger 2 ай бұрын
🎉 all the best more ahead BO$$
@WillySonny-u1k
@WillySonny-u1k 2 ай бұрын
Ni kichaaa pekee2 anaeweza kuamini maneno ya uyu jamaa, mil 370 uanze na mil10 ,na anaemhoji nibwege kwelikweli
@TheOnetztz
@TheOnetztz 2 ай бұрын
Inafikilisha sn yn.
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 2 ай бұрын
Hawa ndio baadae unakuja kusikia story nyingine tofauti kama yule influencer wa vijana na aliyekuwa anatukana vijana kumbe pesa zake ni vibao
@aminarajabu5795
@aminarajabu5795 2 ай бұрын
Inawezekana. Mfanyabiashara pekee ndo anaelewa hili. Ila kama huumizi kichwa utasema haiwezekani. Kaanza na mil 10 anakodisha wateja kwa vyumba 13 kila chumba miezi 6x13 kila mwezi, kwaivyo biashara hiyo inajilipa yenyewe, mtu kupokea mil 10 inawezekana maana shida zimetuzunguka na pesa haimpati kila mtu kwaiyo aliyeipata milion 10 ndo uyo dogo aliyetanguliza hiyo milion 10. INAWEZEKANA. Bado kariakoo anaingiza pesa inawezekana hata kutoa milion 10 kila mwezi.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Usimsahau Mungu mdogo wangu
@MagdalenaMakungu
@MagdalenaMakungu 2 ай бұрын
Hongera sana kaka nimependa sana na mm niwe kama wewe
@GabreilLukumay-bu4sx
@GabreilLukumay-bu4sx 2 ай бұрын
Hongera sana 🎉 kijana mwenzangu 🎉🎉
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 2 ай бұрын
Mwanangu M-MUNGU azidi kukujaalia. Nitumie no zako inshaallah naona na mm utaweza kunisaidia au kunishauri.
@gabrieljafu
@gabrieljafu 2 ай бұрын
hongera sana brother
@pceodhc
@pceodhc 2 ай бұрын
Hongera sana 👏🏾👏🏾
@NnalaNsangalufuMwangati
@NnalaNsangalufuMwangati 2 ай бұрын
Hongera sana na Mungu azidi kukuinua zaidi
@rizikimtui8992
@rizikimtui8992 2 ай бұрын
Content bora sana
@YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
@YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 2 ай бұрын
Kama kwel hongera
@margarethshirima5654
@margarethshirima5654 2 ай бұрын
Mungu hakika yuko mbele yako. Amekupa Néema ya uthubutu na utenda kazi bora
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 2 ай бұрын
hongera sana damu yangu
@joyceKingu
@joyceKingu 2 ай бұрын
Hii biashara ya kawaida kabisa. Kwenye nchi za wenzetu wanaita "Rent to own. "
@blackothman7332
@blackothman7332 2 ай бұрын
Ikoje huyo biashara
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 2 ай бұрын
Naomba ajira ya kufanya usafi nipo Dodoma nisaide kaka yangu
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 2 ай бұрын
Bravo 🎉 IQ kubwa kibiashara
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 2 ай бұрын
Sio kweli uyo kuna mtu nyuma yake ila yy anatangaza
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Hy ni skili yakupewa unao ushahidi tumia akil
@Alkaburu
@Alkaburu 2 ай бұрын
Akili fupi jiamini wewe
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 2 ай бұрын
😂😂😂 wanachuo kweli mna lewa na kubet mbona mwenzenu ana majengo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 ай бұрын
Tulia ww anatupanga huyu dogo
@gspofficial7977
@gspofficial7977 2 ай бұрын
Jamaaa awe raisi tu yupo vizuri
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 2 ай бұрын
Hongera sana kijana
@dr.peterofficial6390
@dr.peterofficial6390 2 ай бұрын
Big up sana kijana
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 2 ай бұрын
Kwenye .afanikio Kuna ukurasa ambako huaga hakasomwi
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 ай бұрын
Mungu akubaliki
@dottomabula7253
@dottomabula7253 2 ай бұрын
People should understand crystals clear Look Kwa nini ujishikize kwa mtu? Kwa nini usifanye usizalishe product Yako? Kwa nini u invest 50M Hadi mwaka unapata 70M ? Mawazo Yako ni manzuri ila yamechanganyikana na Uvivu fulani
@salluhimuhammed862
@salluhimuhammed862 2 ай бұрын
Maelezo yko na vtu ulivo navo ni tofaut sna bro bdo hujaelez ukwel, wenye akili zao awawez kubali ili
@mjumbemwanda9666
@mjumbemwanda9666 2 ай бұрын
💥💥💥
@sarahminja7255
@sarahminja7255 Ай бұрын
Huyu boya asitudanganye kabisaaa kuna mtu nyuma yake mwenye pesa akamuwezesha
@dignachami7382
@dignachami7382 2 ай бұрын
Acha uongo ww ,unapaswa kushtakiwa kwa udanganyifu ,Wala hainiingii akilin
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Nenda polisi kamshtaki huna akili na maono
@FekiHappy
@FekiHappy 2 ай бұрын
Sasa anasoma nini maisha.ndio hayo
@erickherman8224
@erickherman8224 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥❤️
@PrivatusHururu
@PrivatusHururu 2 ай бұрын
Nimefurahi kusikia namna unavyo pambana ,ntakutafuta na mimi unaweza kunisaidia mawazo nikatokea hapo.
@JohnAthanaz
@JohnAthanaz 2 ай бұрын
Karibu mwanza
@kendricgeorge603
@kendricgeorge603 2 ай бұрын
Huyu mtu Ana pesa za ajabu ila sio kwamba ni freemason hapana, ni akili tu make katika safari ya mafanikio akili inahitajika 95% na pesa ni 5%, so huyu mtu wanamiliki kiwango kikubwa cha akili lakini pia Ana take risks. Katika umri wa 20 - 30 ni umri ambao mtu Ana zingatia kula na kuwa na afya njema. Pesa inayobaki yote ni kurisk tu katika maeneo tofauti tofauti since hana familia wala watu wanaomtegemea nyuma yake. So I wish nimpate namba yake to be honest. I can learn anything from him. BIG UP BRO
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Mungu akutunze sanaaa
@stellatemu2458
@stellatemu2458 2 ай бұрын
.uko vzur k jana
@geja8708
@geja8708 2 ай бұрын
Acheni kuzingua !
@Officialboysafi
@Officialboysafi 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 2 ай бұрын
Nyie ndo mnatufany tuonekane sisi wengin ni wajinga, watu wanafany vitu wakiwa na watu nyuma yao ila nyie mnalat habar za uthubutu
@mochemba
@mochemba 2 ай бұрын
Umeona ee, ndo yale mtu anakuja anakuambia alianza na elfu tano leo namiliki kampuni kubwa
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 2 ай бұрын
@@mochemba yaan ni upuuzi mtupu, how mwanachuo apate pesa za kukod ghorofa kariakoo, ok tuseme anategemea kodi za wanaopanga hlo jengo, je pesa ya kuanzia aliipata wapi???
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 2 ай бұрын
Aangaliwe vizuri isije akawa anauza vifaa vya maabara YA chuo Kwa siri
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 ай бұрын
@@neemakerefu4876 😂😂store keeper
@pascal2415
@pascal2415 2 ай бұрын
Ndio atembelee Alphard? Tapeli huyu
@bilid4128
@bilid4128 2 ай бұрын
Mmhhh
@JonaaJonaa-q6e
@JonaaJonaa-q6e 2 ай бұрын
Uyu n maskin mwenzetu msiogope
@Avith-lj2sp
@Avith-lj2sp 2 ай бұрын
goooooood
@Onge-shabani1994
@Onge-shabani1994 2 ай бұрын
Uyo dogo jina lake nani ? Instagram anaitwa kwa jina ngani Uyu dogo , naijati ku mawasiliano naye
@amajattoys9309
@amajattoys9309 2 ай бұрын
Mwisho wa mazungumzo kataja namba zake
@thomasponera6018
@thomasponera6018 2 ай бұрын
Professional liar 😢
@kmotivation1130
@kmotivation1130 2 ай бұрын
Mh
@margarethshirima5654
@margarethshirima5654 2 ай бұрын
Mimi naomba kuwasiliana na wewe.
@amajattoys9309
@amajattoys9309 2 ай бұрын
Mwisho wa mazungumzo kataja namba zake
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah 2 ай бұрын
Mbona umeajiri watu wachache sana,na mtaji ni mkubwa
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 2 ай бұрын
Freemason huyo
@LordJesusChristlife
@LordJesusChristlife 2 ай бұрын
Ubongo wako wasema hivyo
@jacklinembawala
@jacklinembawala 2 ай бұрын
Tafuta Hela wew uache kuita wenzio freemason 😅
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 ай бұрын
Kijana tafuta hela utakufa maskini
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Mshamba sana Wewe 370 nihela sasa kama unajituma?? Mshambaaaaa wewe kabisaaaa inawezekana hata laki 3 hujawahi kushika freemason alipe kidogo kidogo hovyo kabisaa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Kajinga wewe...
@PhenixSwahiliGaming12112
@PhenixSwahiliGaming12112 2 ай бұрын
Ni hatariiii tazama na huyu jamaa kzbin.info/www/bejne/hmPNaaF5pLGcaacsi=VtvU4DnvYDP4COmU
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 2 ай бұрын
Hongera sana kijana
@kendricgeorge603
@kendricgeorge603 2 ай бұрын
Huyu mtu Ana pesa za ajabu ila sio kwamba ni freemason hapana, ni akili tu make katika safari ya mafanikio akili inahitajika 95% na pesa ni 5%, so huyu mtu wanamiliki kiwango kikubwa cha akili lakini pia Ana take risks. Katika umri wa 20 - 30 ni umri ambao mtu Ana zingatia kula na kuwa na afya njema. Pesa inayobaki yote ni kurisk tu katika maeneo tofauti tofauti since hana familia wala watu wanaomtegemea nyuma yake. So I wish nimpate namba yake to be honest. I can learn anything from him. BIG UP BRO
@fredducaunt
@fredducaunt 2 ай бұрын
😂😂
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,1 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 25 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН
😱 I found H!V t£st kit on my husband's jacket 💔
33:24
WANJIKU WAINAINA
Рет қаралды 65 М.
How One Family Lives in the Mountains Far from Civilization
34:48
Food Around The World
Рет қаралды 2,6 МЛН