BREAKING: SNURA ATANGAZA KUACHA MUZIKI, AZUIA NYIMBO ZAKE KUPIGWA REDIONI, ATAJA SABABU

  Рет қаралды 78,430

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@FaudhiaSwalehe-tp9ox
@FaudhiaSwalehe-tp9ox 2 ай бұрын
Ukiona mtu amefanya jambo zito kama Hilo amekuwa mja wa Allah ☝️ mashaallh mashaallh mashaallh mashaallh
@KhamisFeysal
@KhamisFeysal 2 ай бұрын
Ya❤
@yussufKibwana
@yussufKibwana 2 ай бұрын
Hongera san nko hapa namsubiria Zuchu nae aache mziki in sha Allah
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 2 ай бұрын
Hongera sanaa dada snura kumrudia Mungu ndo kila kitu wapo watakaokucheka kukuona mjinga lakini big up sana kma maovu tushafanya sana ni mda wa kumrudia Mungu
@jumaabdallah9592
@jumaabdallah9592 2 ай бұрын
Allah akuongoze dadayetu na akusimamie atupokelee touba zetu sote
@abby-xf5ow
@abby-xf5ow 2 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤Allahu akbar
@kanoa645
@kanoa645 2 ай бұрын
Maa Shaa Allah, Allah akujalie zaidi na zaidi
@marymwasiga
@marymwasiga 2 ай бұрын
Atoe na Hicho, kipini,, sasa,,
@marymwasiga
@marymwasiga 2 ай бұрын
Yaaani,, safi, sana'' *Mungu Haangalii Mwanzo' mzuri' Bali''' Mwisho, Wenye Ushuhuda,,,'''*
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 2 ай бұрын
Dada snura hongera sana kwa maamuz yak mazur samahan pia mm nipo oman ningependa kukuletea zawad japo ya mswala inshaallah ❤❤🎉
@plotsforsales2
@plotsforsales2 2 ай бұрын
*HUU NI MWAKA WA KUMILIKI KIWANJA USHINDWE WEWE TUU!!!* *VIWANJA VIZURI, TAMBARALE, HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KAMA VILE MAJI, UMEME, SHULE, ZAHANATI N.K* *VIWANJA VIPO VIKINDU-VIANZI MJINI* *KUTOKA VIKINDU STENDI MPAKA SITE NI KM 3 TU KWA NAULI YA 1000 BODA BODA AU 500 KWA BAJAJI* *VIWANJA VINA UKUBWA WA FUTI 50 KWA 40 YAANI UKUBWA WA KUJENGA NYUMBA MOJA NZURI ILIYOKAMILIKA* *BEI NI NAFUU SANA 2,800,000 TU* *ANZA NA 1,500,000 ILIYOBAKI UTAMALIZIA BAADA YA MIEZI MITATU* *WAHI SASA MAPEMA ILI UPATE VIWANJA VIZURI KWANI SITE BADO NI MPYAAA YA MOTO🔥🔥* *TUPIGIE KWA NAMBARI 0718-563845 AU 0767-781872 KWA MAELEZO ZAIDI* *KIWANJA CHAKO NYUMBA YAKO FAINALI UZEENI*
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 ай бұрын
Hongera Sana habibty Dada Allah akufanyie wepesi habibty ❤
@Lidyakagondi-h9b
@Lidyakagondi-h9b 2 ай бұрын
Nmefrah kuona rafki angu snura kuingia kwenye njia ya mola wetu inshaalah mungu akfnglie milango ya pepo
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c 2 ай бұрын
Nimejisikia kulia mungu akuongoze my manshallah atuongeze na Sisi Alhamdulillah 😊
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 2 ай бұрын
Tujuane dada angu maana hua naonaga komenti zako
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
Amiin
@munayussuf4255
@munayussuf4255 2 ай бұрын
Mimi nalia haswa,Allah aliye muongoza atuongozo na sisi.
@davidcreative1756
@davidcreative1756 2 ай бұрын
Amiin
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c 2 ай бұрын
@@munayussuf4255 aamiina rabi amiina
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 2 ай бұрын
Mashallah mungu akupe Iman kwa kurejea kwa allah usijekuwa kama mzee y
@shaphyummasay6491
@shaphyummasay6491 2 ай бұрын
Masha Allah Allah akuongoze pamoja na sisi pia atupe mwisho mwemaaa!!!
@NunuKupela
@NunuKupela 2 ай бұрын
Mashaallah Allah akufanyie wepesi dada angu mungu akujaze Imani zaidi
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 2 ай бұрын
Hongera dada umetangaza vita na sjeytwani pambania nafsi yako dada hongera
@becatemba9830
@becatemba9830 2 ай бұрын
Subhanna allah allah akupe hekma na akusamehe madhambi yk uiongoze familia yk kw dini umefanya jambo kibwa sana yafaa kuigwa kw kila mwanamziki mwenye kujielewa binafs nimeona ni jambo kubwa sana umelifanya
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 2 ай бұрын
DADA JUA KUPITIA HILI ALLAH ATAKUTAHINI ATAKUPA MITIHANI MBALI MBALI JITAHIDI USIRUDI NYUMA NAMIMI NAKUOMBEA PIA
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 2 ай бұрын
Swadakta
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Jitahidi na omba kushinda mitihani sababu ALLAH atakutahini
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 ай бұрын
Kwa kweli kubadilika sio shida ni hiyo mitihani atayotahiniwa mfano kwa kaka yetu mzee yusuph
@OmarGuni
@OmarGuni 2 ай бұрын
Allahuumma Aymen insha'allah 🤲
@YussufSuleiman-i5i
@YussufSuleiman-i5i 2 ай бұрын
Na mzee Yussuf pia Allah muongowe tena inshaallah muhimu mwisho mwema
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 2 ай бұрын
Jmn Mpk nahisi kusisimkwa Mwili ALLAH akuongoze vyema dada yangu na atupe mwisho mwema
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Allahumma Amiiiin 🙏🙏🙏🙏
@sweetylove9918
@sweetylove9918 2 ай бұрын
Ameen
@aminamalilo6605
@aminamalilo6605 2 ай бұрын
Ameen
@LevinaMiteo
@LevinaMiteo 2 ай бұрын
Mmmh menaogopa
@abouawardh1637
@abouawardh1637 2 ай бұрын
Mashaalah Allah akuongoze dada yangu
@ReychoMc
@ReychoMc 2 ай бұрын
Nyieeee mwenzenu nmeccmka mwili 😭😭😭😭 mashaaalah dada Mwenyezimungu akucmamie .....nasisi sote tuwe wenye kumcha ALLAH tukumbuke kumrudia ALLAH😭😭😭
@muuminmzee3459
@muuminmzee3459 2 ай бұрын
Ukisikia mtu anaomba khatma njema ndo hii, Allah akuongoze Dada yangu, usiwe km alierudi mjini
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 ай бұрын
Allah akuongoze dada...
@drmustapha_psychologyandle6501
@drmustapha_psychologyandle6501 2 ай бұрын
MashaAllah hongera sana Dada yetu. Allah akuhifadhi na akupe subra, akupe ighfari.
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 2 ай бұрын
ALLAH AKUWEZESHE USIJE KUWA KAMA MZEE YUSSUFU ALIACHA NA BAADAE AKARUDIA TENA
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Narudi mjini😂
@mussamohamed8865
@mussamohamed8865 2 ай бұрын
Hilo nalo neno haswaa
@hamishatibu699
@hamishatibu699 2 ай бұрын
Nina miaka 3 toka nimsikie uyu Dada anaitaji kubadilika kwani kwao ni wacha Mungu xna na yeye alitamani kulejea kwa Allah, miaka 3 ajajiushusha na sanaa kabla ajaolewa alisema aya
@SibomanaSaida
@SibomanaSaida 2 ай бұрын
Naam
@TatuMkeso
@TatuMkeso 2 ай бұрын
Mashallah Allah akukubalie ibada zako
@MELISHAONLINETV
@MELISHAONLINETV 2 ай бұрын
mashallah mungu akubarik dada etu❤❤❤❤
@Allybinamour
@Allybinamour 2 ай бұрын
Alhamdulillah,hongera sana dada,namuomba allah akusameh kwa ulipokosea na akuongeze katika njia yake ya haki wewe na familia yako pamoja na sisi sote hadi mwisho wa maisha yetu na akujalie wewe na sisi khatma njema amiin.
@hafidhimngumi7384
@hafidhimngumi7384 2 ай бұрын
Mashaallah Dada...Mwenyezi mungu azidi kkuongoza katika njia iliyonyooka inshaallah
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 2 ай бұрын
Allah akusimamie iwe toba yakweli na sio unaingia unatoka
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 2 ай бұрын
Allah hakuongoze ❤❤❤🎉🎉Inshaallah🤲🤲
@tumahamza8972
@tumahamza8972 2 ай бұрын
Allah Akulipe na Azidi kukuhifadhi. Kwenye safari yako hii wako wengi watakubeza na watakuona mjinga. Lkn kwa vile umetia nia kumrudia Allah basi tunakuombea sana na Allah Ameahidi ukija unatembea mie nitakukimbilia. Allah Atakukimbilia mpendwa. Unaweza kukutana na mtihani elewa ni shetani tu anataka kukusumbua. Usijali. Allah Atakulipa kwa nia yako. Mradi umetamka basi Allah Amesikia.
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 2 ай бұрын
Usije ukawa kama mzee yussuf
@alsharifudaddy096
@alsharifudaddy096 2 ай бұрын
Masha Allah Allah aendelee kukuongoza na atuongoze mpaka kifo chetu na kesho Akhera tuwe wenye hesabu nzuri na makazi mema In shaa Allah
@SalumuRamadhanisungi
@SalumuRamadhanisungi 2 ай бұрын
Allah akubaariki dada yang kwa maamzi ulio yafanya
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 2 ай бұрын
Mwenyeezi mungu amesema mtu anae omba toba ya kweli husamehewa
@tumahamza8972
@tumahamza8972 2 ай бұрын
Wallahi mpaka umenitoa machozi wa binti. Allah Akuhifadhi sana.
@Mohammed-fv1ur
@Mohammed-fv1ur 2 ай бұрын
Masha Allah Allah akuw3z3she nyimbo zake inabidi zitolewe mitandaoniii mote
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio 2 ай бұрын
Mashallah allah(s.w) akuongoze kwenye hili inshallah
@othmanhaji1832
@othmanhaji1832 2 ай бұрын
Maa Shaa Allah. Allah atuongoze na sisi na wengine wote
@aminamalilo6605
@aminamalilo6605 2 ай бұрын
Mshukuru Allah kwa kukupa nafasi ya kumrudia tunakuombea na kujiombea mwisho mwema am so happy for you kuanzia kuolewa kwako mpaka kubadilika kwako nakupenda sn kwaajili ya Allah
@emanuelzachariah312
@emanuelzachariah312 2 ай бұрын
Snura hongera mweyezi Mungu akutangulie zaidi
@abeidtz4305
@abeidtz4305 2 ай бұрын
Je umesha futa akaunti yako ya nyimbo zako? Vizuri ufute, Hongera sana Dada ❤
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nduwimanaamidou4009
@nduwimanaamidou4009 2 ай бұрын
Msikie hadi mwisho yote ameyasema
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 2 ай бұрын
Wimbo gani uliupenda?
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 ай бұрын
@@emanuelwakawenga4023 majanga
@ahz6907
@ahz6907 2 ай бұрын
Hajafuta kamsaidie kuzifuta we bwege nazi.
@KoleYasini
@KoleYasini 2 ай бұрын
Maasha Allah,Allah akuongoze ila ilikuwa sio lazima ujitangaze,matendo na uchamungu ungedhiirisha unachokibainisha. Toba niwewe na Allah tu..
@murtadhwangereza4208
@murtadhwangereza4208 2 ай бұрын
Allah azidi kukuongoza mama Usije ukashawishika abadan kurudi mjini kama watu wengine, Allah akustiri sana ❤
@omaryGumbo-j2m
@omaryGumbo-j2m 2 ай бұрын
ماشأالله .Allah akukubarie toba yako nakuongoze ktk haki umefanyavizur kutoka
@JUMAOTHMANJUMA
@JUMAOTHMANJUMA 2 ай бұрын
Mwenyezimungu akupokelee Toba yako na akuongoze katika njia iliyonyooka Inshallah.
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada
@lilmojr7
@lilmojr7 2 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah akuongoze dada yangu umefanya jambo sahihi sana,Allah awanusuru waislamu wote waliopotea njia..
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 2 ай бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen Na Islaam jamii 🤲🤲
@bibibomba9799
@bibibomba9799 2 ай бұрын
Amina Yarab
@FelisterNampoka
@FelisterNampoka 2 ай бұрын
Ongera dada yangu, mungu akuongoze!!umechagua mwisho mwema.
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 ай бұрын
Subhanallah yarabi mwingi wa rehma yeye ndio mwenye rehma mjaalie Maja wako thibat katika Nia yake yarab mnusuru na yote mabaya msamehe aliopitia yeye ni kiumbe dhaifu bila wewe asingekua hapo alipofikia❤
@OmarGuni
@OmarGuni 2 ай бұрын
Allahuumma Aymen 🤲
@KassimSayid
@KassimSayid 2 ай бұрын
Allah akuongoze bi Snura . Binadamu ndie kiumbe aliye pewa utashi wa kutambua jema akaliendea na baya akaliepuka Allah anampenda mja wake aliye potea akajitambua na kurejea kwenye njia sahihi,
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
Kila lakheri kipenz Allah akupenguvu uweze kushinda kila mtihani itakayokuja mbeleyako
@hamishatibu699
@hamishatibu699 2 ай бұрын
Ongera Dada Allah awe pamoja na wew, Allah ameshakusamehe mwisho mwema ni bola kwakila Mja.
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
Ma-ash-ALLAH snura Allah akuongoze ivoivo ktk njia iliyonyooka hatimaye akuingize ktk pepo yke tukufu y firdaus ameen ❤️💯❤️
@mymatano
@mymatano Ай бұрын
MA SHA ALLAH. DADANGU ALLAH AKUZIDISHIE NA AKUDUMISHE KATIKA IMANI MPAKA KIFO CHAKO
@Zanha582
@Zanha582 2 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤ Karibu sana kipenzi tunakupenda Kwa ajili ya ALLAH
@yasser_yosa255
@yasser_yosa255 2 ай бұрын
Hongera sanaaa❤❤❤❤❤❤ mashallah🎉
@YasinMtindo
@YasinMtindo 2 ай бұрын
Mwenyez mungu akujalie kher zaid
@rajabmatusi9583
@rajabmatusi9583 2 ай бұрын
Mashallah umeamua maamuzi yamaana sana mungu akujalie leo mpaka akhera nimependa maamuzi yako🇰🇪
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 2 ай бұрын
Jiandae qushindana na shetani hachezagi mbali na watu wanaotangaza quachana nae,,mungu aqupiganie
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Amina in sha Allah
@luwungoyusufu8941
@luwungoyusufu8941 2 ай бұрын
hongera sana dada bali wajinga utakuwa umepalilia siunajua tena
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 2 ай бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 ай бұрын
huu ukweli
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 2 ай бұрын
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah mpaka machozi yamenitoka Allah akuifadhi Allah akujaalie Sunura
@ashrona9884
@ashrona9884 2 ай бұрын
Allah akufanyie weps na akusamhe pia
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Atışameh kwa sote Mkamilifu ni Allah tu
@shabansaid2323
@shabansaid2323 2 ай бұрын
Amiyn amiyn amiyn
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 2 ай бұрын
Mashallah Allah akuongoze zaidi kwa hakika Allah humuongoza amtakae kwa hakika umefanya jambo zuri sana muombe msamaha mola wako Lia sana kwa Allah Allah atakusamehe na sisi waislamu tumuombe Dua dada sunura pamoja na sisi wenyewe
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 2 ай бұрын
Allah azidi kukuongoza kwenye njia iliyonyooka na sisi sote kwa pamoja
@ZuwenaOmary-m9s
@ZuwenaOmary-m9s 2 ай бұрын
Mashallah M/mungu akuzidishie imani zaidi ukiyafuata uliyoyaamrisha na kuacha aliyoyakataza kama ulivyorejea kwake
@hamishussen1589
@hamishussen1589 2 ай бұрын
Mashallah Mwenyez mungu ukuongeze dada yetu na Akupe Mwisho Uliokuw Mwema Ww Pamja na sisi Hta Hvy iwe N 7bab ya wengne kumrdia Allah
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 2 ай бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
@harunichambo4658
@harunichambo4658 2 ай бұрын
Allah akupe fadhla kubwa Sana na akusimamie❤️❤️❤️❤️❤️
@yusufusultani8308
@yusufusultani8308 2 ай бұрын
لاإله إلا الله!!! قال الله تعالى: ((إلا الذين تابوا وأصلحوا وبينوا..........)) Allah akuhifadhi dadaangu, nakuona unaongea kwa moyo wako zaidi kuliko mdomo wako. Nauona ukweli ndani yako. Allah akuthibitishe ktk haqqi na akufishe ktkk hali hiyo.
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 2 ай бұрын
Mashallah jazakallah lkheiry Allah Akufanyie wepes dada njia ilionyooka Tusikate tamaa juu ya rehma za Allah
@aminaamina3972
@aminaamina3972 2 ай бұрын
Allah Akibar walillah lihamdu ♥️❤❤
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
Ma Sha Allah, Allah akuongoze siku zote nasi pia. Tusiache kumuombea na Daimond aache njia za shetani, aache zinaa awe na mke halali, Jehanam inatisha.
@zuwenarajab695
@zuwenarajab695 2 ай бұрын
Alhamdulliah! Alhamdulliah! Alhamdulliah! Allah akuongoze wewe na sisi katika njia iliyonyooka na pia tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema. Allahummma Aaminy!
@ismailimanmahamaislam598
@ismailimanmahamaislam598 Ай бұрын
mashaallah ila dada wetu hilo linapendeza sana cha kufanya tafuta namna ya kufuta hizo kazi zako kwenye mtandao ka youtub zisipatikane tena kwa sababu hata yeyote akiskia umeachana na mambo ya sana anajaribu kutafuta ulivyo kua ukiimba yaani ulivyokua ukipafomu . mwenyezimungu Akupokee katika waja wake wema na akupe akhera nzuri na akusamehe madhambi yako. asalam alaykum
@aliabdallasaid3174
@aliabdallasaid3174 2 ай бұрын
Hongera dasnura mungu akupe subira na moyo na msimamo huohuo ila ujutio huo uwe endelevu na hio ndio dalili ya mtu mwema na akujaalie uwe mwema hivyo hivyo umependezaje boss wangu mavazi yamekupendezesha sana
@chidi_don
@chidi_don 2 ай бұрын
Mashallah mungu akuzidishie na imani yako 😢
@MNAPEFINANCIALAGENCY
@MNAPEFINANCIALAGENCY 2 ай бұрын
Alhamdulillah dada etu katika iimani allah akuongoze ufe kwenye huo msimamo
@MwanaAbdul-x9r
@MwanaAbdul-x9r 2 ай бұрын
Mashaallah mashallah mwenyezmung azd kukuongoza ktk njia ilio nyooka usjl kuchezw muzik nia yako anaijua mungu jitahid kufanya ibada2 usiku na mchana.
@allydingi9736
@allydingi9736 2 ай бұрын
Safi kabisa allah azidi kukusimamie na ushauli wangu dada yangu nenda madrasa kasome usikubali kukaa nyumbani tu na shemeji yetu awe mkali katika kukusimamia na ujizuie kwenda kwenye mashughuli yasiyo na maadili
@omarijawadu4047
@omarijawadu4047 2 ай бұрын
Shukran kwa nasah namuomba Allah tuzifanyie kazi sote
@jafarikassim7145
@jafarikassim7145 2 ай бұрын
Mashaa Allah 😢 , Mwenyezimungu akuwekeye wepesi dada yangu
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 ай бұрын
Allah atuogeze ktka maadil mema inshallah
@jumananamwa3104
@jumananamwa3104 2 ай бұрын
Safi San Mungu akutie nguvu zaidi inshalaah
@IbrahimAli-po5ey
@IbrahimAli-po5ey 2 ай бұрын
yaani dada snura umenifurahisha sana, furaha isiyo kifani na mm nakuombea mambo mawili kwanza mwisho mwema na usitoke tena katika dini ya uislamu
@reyzuumsafiri4818
@reyzuumsafiri4818 2 ай бұрын
Mashalah mungu akujaze moyo waimani kumludia Mola wako
@MtessaAlly-rd4hf
@MtessaAlly-rd4hf 2 ай бұрын
Safi sana Dada etu snurah hongera kujiokoa umesha win
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 2 ай бұрын
Yesu ndio kimbilio letu bado shetani atakutafuna MUNGU WA kweli aumjui
@ibrahimturi4362
@ibrahimturi4362 2 ай бұрын
MashaAllah mlango ya toba ya Allah Iko wazi .
@hamisshaaban8392
@hamisshaaban8392 2 ай бұрын
Namuomba Allah Mwenye huruma zaidi kwa waja wake akusamehe wewe na sisi atukubalie toba zetu na yako na atupe mwisho mwema. Allahumma Aamiina
@JumaRashidi-lt5cm
@JumaRashidi-lt5cm 2 ай бұрын
Maasha Allah!! Allah! Akuongezee Imani na akusimamie ktk maamuz yako
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Allah akujaalie kila lililo la heri ndugu yngu na asimame kwa haja ya moyo wako
@nachiasilima3751
@nachiasilima3751 2 ай бұрын
In shaa Allaah hivi ndivyo inavyotakiwa Allah atupe bihusni li khatima ila hongera sana Allah atupe tauba nnasuha
@dusasaidi454
@dusasaidi454 2 ай бұрын
Ongera sana dada Kwa ma mazito lkn mazuri kama hayo. Nakuomea Kwa Allah akupe mwisho mwema inshaAllah
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 2 ай бұрын
Mashaa Allah tabarakallah, hongera saana, Allah atakupa kazi nzuri saana
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 ай бұрын
Mashallah Mashallah mashallh mungu akuandalie pepo kwa kutubu
@Banzok700
@Banzok700 2 ай бұрын
Maa shaa Allah, Mwenyeezimung akusimamie usimrudie shwaitwaani
@JumaNassor-cj3zy
@JumaNassor-cj3zy 2 ай бұрын
Hongera sana yangu umefanya jambo zuri sana nimepena sana
@ArafaSaalum
@ArafaSaalum 2 ай бұрын
Maashaallah! Maashaallah! Allah akuongoze na aithibiti Imani yako.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Watu wote wamekumbea duaa da snura sasa kaa katika haki Allah atukusimamia na Allah akupe nguvu na subra
@SafiaAhmed-k5j
@SafiaAhmed-k5j 2 ай бұрын
Subhannallah Ukhty Allah akujaze imani na Akudumishe ktk matendo mema na akusamehe kwa yote.Ujumbe huu ni dhima kwa kila mtu.
@JumaNassor-cj3zy
@JumaNassor-cj3zy 2 ай бұрын
Umepwndeza sana
@charzbarnabas1581
@charzbarnabas1581 2 ай бұрын
Ongera sana!!Allah akujalie na kiu ya kufuata njia zake akupe rehema zake daima
@MakameAliMussa
@MakameAliMussa 2 ай бұрын
Mashallah ila una jukumu kubwa kwa jamii Tafadhali bc usijee ukawa kama yule Mnafiki Mzee Yussuff.
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 2 ай бұрын
Nami nilitaka sema hivyo
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@AshaAli-rl5rk
@AshaAli-rl5rk 2 ай бұрын
Hongera sana Allah atakuhifadhi na rekodi zako mbaya Mungu atajaalia zifutike ki miujiza . Nawe utastirika.
@SophiaAhmeddodo
@SophiaAhmeddodo 2 ай бұрын
Masha Allah habibty Allah atuongeze sote na taupe mwisho mwema
@RichardJisena-t4d
@RichardJisena-t4d 2 ай бұрын
wazo zuri dada yangu kuacha Sanaa mungu ni mwema
@AthumanBashir
@AthumanBashir 2 ай бұрын
Mashaallah hongera sana Allah akijalie riziki ya halali mungu akiongoze kwa Kila njia
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 2 ай бұрын
Allah guide who he want alhamdulilah may Allah make it easy for you and the believers
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 2 ай бұрын
Manshaalah mwenyezi mungu akujaalie kauli thabiti
@abuunayfatu8701
@abuunayfatu8701 2 ай бұрын
Allah akudhibitishe Katika hilo isije ikawa kama ya mzee Yusuphu
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 ай бұрын
Na kweli maana huko Kuna umasikini balaah
@MossiSaadat
@MossiSaadat 2 ай бұрын
Jmn hkun umasikin kubwa imani na subra tu kwa allah
@ngolocomedian
@ngolocomedian 2 ай бұрын
Allah amuongoze
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 2 ай бұрын
Nakuomba Allah akuhifadhi dada yangu...uishinde mitihani.. nakuombea sana...tunakupenda kwa ajili ya Allah😢😢😢😢😢​@@ngolocomedian
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 ай бұрын
Alhamdhulillah 🤲
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 2 ай бұрын
Hongera kwa bahati hiyo ulioipata Maan a si rahisi
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 118 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Snura afunguka yote kuhusu kashfa za kudamshi na  KIBEN-TEN
19:22
Wanaume - Wema Sepetu 2024
2:01
Wema Sepetu Fans
Рет қаралды 7 М.
MUME WA SNURA ALIVYOCHUKUA KABIDHIWA MKE FULL SHANGWE
8:22
Bona Tv
Рет қаралды 150 М.