Jmn milard Ayo katika wafanyakazi wako ambao wanastahili kupokea mshahara mkubwa basi hyu Godfrey tomas anastahili pesa nyingi arusha kuna matukio mengi Sana na hyu ana kabiliana Sana na changamoto za watu jmn kama mnamkubali Godfrey nipeni like zangu na comment❤❤❤
@ANNATARIMO-qq1nl3 күн бұрын
sio arusha tyu yan matyukio meng yupo on time apewe mauwa yake kwa kweliii
@MashakaMagesa2 күн бұрын
Huyu mtangazaji Yuko vizuri na anaipenda kazi yake
@anoldjefsta1772 күн бұрын
Vido vidox pia
@mamafloraofficial4315Күн бұрын
Aliyesikia neno" Mungu hafagi" gonga like hapa
@RachelNathan-yv5zc4 күн бұрын
Mimi kwaupande wangu naona huyo baba alizikwa kweri lakn sio kwamba alikufa kifo cha MWENYEZI MUNGU na mwishowake MUNGU aliamua kutowa sehem walikomfisha ili UKUU WA MUNGU uonekane kwamba uchawi sio kitu mbere ya MUNGU
@halunimnenwa52244 күн бұрын
Miradi ayo naomba uyo robati awapele uko aliko kuwepo kipindi chote Cha msiba wake tujue alikua akiishi na nani uko
Na walichelewa kumkata ulimi na kumpumbaza..ndo maana akatorok
@PendoMatemba4 күн бұрын
Kweli kabisa,, binafsi naamini unachosema
@JohanesFaustine-vn9sk4 күн бұрын
Kati ya mwandishi anae kutana na majanga ya kihandishi ni uyu bro mwandishi wa ARUSHA
@FredMaulid3 күн бұрын
Umeona eh huwa anaripoti matukio magumu na kushangaza utadhani Arusha siyo tanzania ni nchi nyingine maana wadudu wanamatukio hatari inahitaji muda mrefu kubalika pengine mazingira na malezi yamewaathiri
@jescaprojest72623 күн бұрын
Kabisa
@magefrenk67224 күн бұрын
Mungu ameamua kujithibitisha kupitia Robert, kwakweli uchawi upo na Mungu yupo
@user-ng6yt2od7l3 күн бұрын
😂Sana kweli Mungu hajaamua
@evertheobald18113 күн бұрын
Haswaaaa
@lilianluhasi3112 күн бұрын
Huenda walisababisha ili wamdhulumu
@ramadhanihudhaifani43763 күн бұрын
Huyu mzee anayegoma shamba lisiuzwe,anaonekana ana ROHO MBAYA MNO! Hata ongea yake,inaonesha ni mtu mwenye roho mbaya sana na chuki. Jicho lenyewe utadhan aligongwa na katapila. Mashamba yao wameuza wakala pesa. Ila shamba la Robert ndio wanataka asiuze ajenge! Shenzi kabsa. Robert,uza shamba lako! 😡
@suzysam60022 күн бұрын
Kilimanjaro hawana tabia ya kuuza Mashamba ya nyumbani hata ufanyaje hiyo Ni desturi yao
@talents79344 күн бұрын
Yani mama anaonekana kama vile ndo mtoto wake marehem ila marehem anaonekana kama ndo baba yake na huyo mama kweli pombe inazeesha😂😂😂
@user-xh7xf2ki3r4 күн бұрын
😂😂😂😂😂 kwa kweli 🙌
@user-et4ny5gj3p3 күн бұрын
😂😂😂😂.Pombe cyo maji jamani
@jescaprojest72623 күн бұрын
Yaan nimeangalia Zaid ya mara 10 sielew km huyu mama n mwanae 😂😂😂😂
@JULIUSNCHAGWA4 күн бұрын
Hapa kuna mchezo rahisi sana umefanyika ngoja niwasanue 1: baba mdogo na mke wake ndo wamemuogesha marehemu. Baba mdogo ndo anataka shamba so kama alitengeneza jambo hvii 2:robart amekataa yeye hajawahi hata kugongwa na toyo SO JIBU HILI HAPA baba mdg alitengeneza uvumi wa kifo wakazika mtu mwingine kisha watammalizia robart huko huko alipo ila kabla hawajafanikiwa mwamba akarudiiiii😂😂😂😂😂😂
@user-zh8uf3wy2z4 күн бұрын
Mawazo yako😅....
@Alexander-th3tn4 күн бұрын
Halafu jeneza lilikua linatingishika maana yake wamezika mtu ambae sie wa hiyo boma
@marryjumanne59719 сағат бұрын
Kweli
@mataypanga52624 күн бұрын
Serikali iwape vitambulisho vya NIDA wananchi wote ili tusiwe na sintofahamu
@GoodluckNjau-km3ym3 күн бұрын
Kufa na kufufuka sio jambo dogo ni yesu tu ndio alie weza hawa wengine ni maigizo tu wana tufanyia
@neemamollel60574 күн бұрын
Wafukue ilo kaburi mi naona wmemzika mtu tofauti n.a. si yeye
@hollocolletha65194 күн бұрын
Aliefufuka Ni yesu pekee mwana wa MUNGU Alie hai. Huu mwingine Ni uongo tu.
@mwanawataifa48893 күн бұрын
Ulichoandika kimechanganyika ukweli na uongo Jifunze vizuri juu ya kufufuka hata kwenye biblia sio Yesu peke ake Zakayo pia alifufuka
@user-sv3sv4xd1q4 күн бұрын
Mama hawezi kumsahau mwanae kama wamemuogesha na kumvalisha ndugu yao kweli washindwe kumtambua? Mama amekiri haikuwa imeharibika hapo itakuwa kuwa kuna mkono wa mtu.
@sund25534 күн бұрын
Kazeeka kuliko umri alionao…….anyway itakuwa walimtengezea kifo wamzurumu hakiyake
@richardmwabalasa513613 сағат бұрын
Hapa mwanaadam alilazimisha kufanya majukumu ya mwenye mamlaka mungu baba"kutoa na kutwaa"sasa mungu amewajibu ya kuwa majukumu hayo kamwe mwanadamu hatoweza kuyafanya.
@user-tv6jj3gt3i4 күн бұрын
Nmependa hiyo ongea ya mama apo. Et eeeeh eeeh eeeeeh eeeeh 😂😂😂
@chocolatekalex16314 күн бұрын
😂😂😂😂heee heeee
@adolfmathew96984 күн бұрын
Iyo ni kiarusha eeee eee ee kuitikia yan anajijibu ivyo yan
@Pretty227504 күн бұрын
Keja doii mpaka kaongea lugha ya nyumbani 😂😂😂😂😂😂eehh eehh eehh shikilia hapo hapo
@Zainab-qg6xv4 күн бұрын
Ila mtoto kazeeka kuliko Mama
@novahrappertz29904 күн бұрын
@@Zainab-qg6xvsasa mtu alishakufa kaja kufufuka c lazima amzidi mama uzee😂😂😂
@realmeamyna302 күн бұрын
Nilitamani kujua zaidi kuhusu yeye mfano aliondokaje na ni nn kilimfanya aondoke nyumbani vipi kuhusu familia yake mara ya kwanza kutoka nyumbani alienda kulala kwa nani na mpaka anarudi nyumbani alitoka kwa nani??? Na huko alikua haiwazi familia yake???? Na vingine vingi Kijana andaa maswali na ujipange kisawa sawa unapoenda kuhoji mtu bana na wewe BINAFSI NIMEKOSA VINGI NILIVYOTAMANI KUVIJUA NA MTIRIRIKO WA MASWALI..
@tupacthedon710416 сағат бұрын
🙌🙌Umetisha sanaa,binafsi nilikua nawaza kama wewe
@Chrisblaze-beats4 күн бұрын
HahahH marehem anatugombeza😂😂 ( natania tu) ila hii duniaa😢
@user-ng6yt2od7l3 күн бұрын
😂😂
@abdulllyhussein322423 сағат бұрын
😂😂😂😂 nmecheka
@johnteonas31444 күн бұрын
Mama is beautiful
@Yanarichbiz4 күн бұрын
Black cute
@kanankirannko61744 күн бұрын
Kwa hiyo sio kila aliepotea inakuwa ni kweli mfano walie mzika ni marehemu Wa wapi sasa maana robart huyu hapa je aliezikwa ni Wa Kwa nani?
@user-gv8yn9lg1i4 күн бұрын
Uongo, kuna uhuni umefanyika, hilo shamba yaani hata auze kwa laki moja sinunui 😮😮😮
@user-ng6yt2od7l3 күн бұрын
😂😂😂😂😂kweli dah laki moja
@user-ng6yt2od7l3 күн бұрын
Yaani ata mtu anunui labda asiye jua😂
@hanifamasudi97324 күн бұрын
Labda nipacha bila kujua masikini 😢😢
@Rose-ue2ho4 күн бұрын
Sasa kama mwenye kaburi kakubali kaburi lake lifunguliwe kwanini hawafungui???😅
@elizabethmiho95744 күн бұрын
😂😂😂
@aby211114 күн бұрын
Let the higher authority deal with the situation.
@user-uf7oh5eu4v4 күн бұрын
😢so sad
@Mimi-wf7mbСағат бұрын
Robert ni mtoto wake wa tatu! Huyu mama anaonekana kana kwamba ndo mtoto wa Robert 😂
@teddyndungurusabnu47924 күн бұрын
huyo baba mdogo ashikiliwe kafanya mpango kwa kufeki Maiti ili ionekane kafa auze shamba na lengo lilikua wamsake huyo kaka aliesingiziwa kufa ili wamuulie hukohuko pasipo ndugu kujua coz walishajua wamemzika ba mdogo mpuuzi
@chocolatekalex16314 күн бұрын
Afu mimi ninavyoona jamani nipo DRC lakini ili picha lilitengenezwa n'a wale ambao wanataka kumuzulumu robert shamba maana mukifata kwa umakini alieleta habari ya kifo kwa Mara ya kwanza ni BOSCO n'a huku nyuma mama anasema kwamba...n'a yule mtoto wake bosco kwa maana kwamba bosco ni mtoto wa uyo mzee anaesema shamba aliuzwi ambae mama anasema sasa ivi Hana makao nipo DRC🇨🇩
@naomisamwel184 күн бұрын
Robert sijasikia km unamke😅naomba nije uniowe tusaidiae kupambania shamba
@DM.22004 күн бұрын
@@naomisamwel18 Ila nimesikia kasema yupo na watoto wawili upo tyar kuwa mamdo 😂😂
@lucymbena25382 күн бұрын
Bosii na babaake hawakumlipa mganga walimzulumu 😅pesa yaka 😂akaamua kurudisha mwenyeshamba ambae Ni Robert Safi Sana
@bakarikayugwa32954 күн бұрын
Mungu amemsimamia na mizimu ya kwao
@JohnJoseph-qq7ow4 күн бұрын
MUNGU achangamani na mizimu
@halimatutupa31494 күн бұрын
Robert sijafariki kabisa😅 jomn marehemu wa moto😂😂
@marylazaro46252 сағат бұрын
Wamemauza yote yeye na mtoto wake Boscooo wamemaliza yote piuuuuuuu😅😅😅sjui kama mnajua piuu😅😅
@user-et4ny5gj3p3 күн бұрын
Marehem kazeeka kuliko mama yake dah.Hii noma sana
@muddywatown4 күн бұрын
Huyu akili itakua washazichezea au kashaziacha huko 😂😂
@OmarAyman-pn6ck4 күн бұрын
😂😂😂😂
@magdalenashayo12564 күн бұрын
Eeeeeee
@user-wv1pu4jo3k3 күн бұрын
Huyo mungu anampenda ashike ibada sana
@PendoMatemba4 күн бұрын
Huyu baba mdogo ni mchawi
@waltermachange73004 күн бұрын
Chimbeni kaburi kama kuna mtu, tujue ndo muvi iendelee
@user-bz7kg2lr3f4 күн бұрын
🤣🤣
@techsavvyswahili3 күн бұрын
Nikajua washachimba tupate update
@Yanarichbiz4 күн бұрын
Mama ana ngozi nzuri sn
@techsavvyswahili3 күн бұрын
Umechukuliaje taarifa za kifo kajibu nimependa 7bu Mungu hafi. Any way naona kuna uwezekano hicho kijiji watu wengi chanel hazisomi
@benancejohn11984 күн бұрын
Hata kama jamaa alifariki na akafufuka kweli,anaweza kufa tena kwa stress kutokana na changamoto alizonazo.
@Rose-ue2ho4 күн бұрын
😂😂
@nafuwswedi24654 күн бұрын
Yaani😂😂😂😂,sababu ni Kama wanataka afe kweli
@hyy41144 күн бұрын
😂😂😂asije akajinyonga tu
@OmanOman-ns3iw4 күн бұрын
😂😂daah
@OmanOman-ns3iw4 күн бұрын
@@Rose-ue2honimecheka kama mazur
@IssaSandali-tk2zp3 күн бұрын
Big up bro Godfrey
@danielthomasmsigwa314 күн бұрын
Kila linapotokea hili najitahidi ku-comment kuipuuza kauli ya biblia kunafungua milango ya mapepo; kitabu hiki muhimu sana kwa sasa "mtarudia udongo..." mwakani(2025) duniani kote masheni yatachukua maumbile ya wapendwa wetu waliofariki hata maraisi wetu tuliowapenda wataigizwa na pepo na kutuhutubia tutawashangilia. Ujumbe wao utakuwa kuiheshimu JUMAPILI
@RamadhanMabwabwa4 күн бұрын
Amefufuka katika wafu😂😂😂
@user-dh6oc7um6f3 күн бұрын
Kumbe baba mdogo kauza mashamba yote sahiv anamnyima robart kuuza shamba yake kumbe kauza yake kala na mtoto wake bosco manina robart tuko na wewe lazima shamba liuzwe bt mimi sitalinunuwa hata kama unauza buku
@MandoliiMoshi4 күн бұрын
Jaman eleweni arusha kuna vita sna ya mashamba mana wanauza mashamba sana ndomana wanalogana na kimazingira uyu jamaa n ndugu wamemchezea ila uyu jamaa yuko na nguvu ya mungu
@waduduinctv65374 күн бұрын
Hatari
@user-zh8uf3wy2z4 күн бұрын
Niseme nini mungu wangu......
@GiftMwandosya-uf7pfКүн бұрын
Eeeeee, MUNGU wangu ninaomba nawangu aonekane leo, kwani ninaamin katika wewe ameeeeeeen.
@doreenemanuel60244 күн бұрын
Dah
@juliusmlula16584 күн бұрын
Yule waliomwona mwochwari alikuwa Hana kovu na chanzo Cha kivo ni ajali so Robati hakufa alikuwa zake mjini familia walinda mwochwari kuchukua marehemu mwingine na kumzika
@user-zr9sj8sf3w4 күн бұрын
Hiyo eeh,eeeh,eeeh,eeh, sas 😂😂😂😂😂
@marcelinabwakila70493 күн бұрын
Baba mdogo nae aache mbamba! Mbona mashamba yake kauza
@BIGCHENDREADLOCKS4 күн бұрын
Mi naona bora ata kabla ya kufukua kabuli awapeleke uko kwa aliko kua anaishi huo mwezi mzima jaman😢😢
@pendosailo19894 күн бұрын
Huyu anaonekana ni mtu wa kilaji kile cha nanii...so kutokuwa sawa kwa mtu wa namna hiyo ni sawa. Swala la kufa au kuchukuliwa msukule sio... huyu alikuwa na misele yake huko..hawa wamezika mtu mwingine..hapo serikali ifukue wakazike kiserikali manispaa.
@ShukraniChomolla4 күн бұрын
Swali la kujiuliza wamuulize kipindi msiba unatokea yeye alikua wapi maana na yeye si mwanafamilia? Au huo msiba hakuusikia
@vickytango55914 күн бұрын
@@ShukraniChomolla 😂😂😂😂😂😂
@peninashungu66333 күн бұрын
😂😂Jaman raha Sana duniani raha Sana, sasa huyo robat alikuwa wapi wakat wa msiba wa robat mwenzie😂😂
@marylazaro46253 сағат бұрын
😂😂😂
@MsAisha-w4oКүн бұрын
Wamezika kivuli mungu wangu duh kweli ... uchawi upo..ila mungu mkubwa..🙆🙆
@emmanuelmasemba7612Күн бұрын
Wafukue kaburi , tuone kilichozikwa tujifunze kitu Kwa sababu tunaskiaga tu Imani hzo zipogo, mara saa mnazika marehem anakua kafichwa mahali pale kina kua kimvuli tu
@olivernyange23494 күн бұрын
😂😂😂 mbavu zangu Arusha shkamooni wote!!
@upendotarimo29654 күн бұрын
Marahabaaaa
@magdalenashayo12564 күн бұрын
Eeeeeee
@marcelinabwakila70493 күн бұрын
Baba mdogo nae aache mbamba! Mbona mashamba take kauza
@kilogreekachananawatuwasio40544 күн бұрын
KUMKISIA MTU ZAMBI RAKINI YULE MZEE ANAYOSEMA ATAKAMA KALUDI SHAMBA AUZI YULE MZEE BABA MDOGO WA MCHAWI NA ALIMUUA KIMAZINGALA KWA TAMAA 😂😂😂
@user-uf7oh5eu4v4 күн бұрын
Marehemu anataka uza shambaaa😂😂
@user-yt5wg3yy8b4 күн бұрын
Huyo mzee anamdhulumu mnyonge shamba mpaka anamfanyia mazingaumbwe ya kifo ndugu yake! Dunia imeisha dhambi dhambi. Jamii iwashughulikie huyo mchawi waache dhuluma Kwa ndugu yake
@peninashungu66333 күн бұрын
Nenden hospital kaulize kama walipokea mait uwe mchunguzi
@jenipharobert9694Күн бұрын
Hyu anahitaji maombi sana hakuna vita mbaya kama vita ya ardhi safar hii watamuua mazima kama hataomba sana. Hyu baba mdogo anaonekana kuna kitu anajua kujusu hiki kifo
@Mzunah4 күн бұрын
Mara walimtengenezea kifo cha uongo ili wamdhurumu shamba tu Any way kabla hamjafukua ilo kaburi awapereke aliko kuwa anaishii.
@MariamKileo-mu8rv3 күн бұрын
Na hapo baba mdogo amehusika kabisa
@gfydfdf88694 күн бұрын
Arusha Kuna matukio ,hata kiyama kitatokea kwanza Arusha,ndio Mungu ataruzu ulimwengu mzima ,haya maisha tumuishie Mungu tu,
@rosehaule67653 күн бұрын
Sura mama jamani sura za walevi waliopindukia kama kaka robert hapo uwaga wanafanana samahani kusema hivi lakini mara nyingi uwa wanafananaga kama huyo.marehemu mliyezika na yy alikuwa chapombe lazima wafanane😂😂 tena hasa wachqga wanafanana😂😂 mmezika.mtu siye buana fudueni kaburi kwa kibalk cha serikali basi mtapata jibu DNA itajibu
@marylazaro46253 сағат бұрын
Hahahaha umegusa kunako😂😂😂
@DotoLemako-np3lp4 күн бұрын
Mbona Robert ni mzee kuliko mama yake, hakufufuka aisee walizika mwili ambao sio yeye
@mussakimaro55884 күн бұрын
Hlf huyu jamaa kama dishi limeyumba au ni mimi
@esabelfadhili84324 күн бұрын
Hayupo sawa huyu...
@yukundapeter82004 күн бұрын
Nimeona pia mimi,naona haxipo xote.
@johnkiimbila67994 күн бұрын
Hapana Yuko timamu.
@johnkiimbila67994 күн бұрын
Yupo sawa, sema anaonekana ni mywaji sugu wa pombe kali.
@andrystephan58694 күн бұрын
Mtu kajibu maswali sawaa unaona hayupo timamu Broo duh!! Binadamu🙌
@florianhenry71984 күн бұрын
Maitu ufa na chake mpen AUZE BHANA
@emmy24492 күн бұрын
Huu bwana anaongea kweli mim pia hii sura sio geni Kama nimemwona maeneo ya ngarenaro kambi ya fisi hao walizika mtu mwingine huyu bwana nimeshawahi kumwona na sio zaidi ya Mara moja
@ProsperReuben-fg6uh4 күн бұрын
Duuh sipat picha ngwajima angekua na mkutano arusha ingrkuajee angechukua maujiko balaaa
@user-tk4ej5hx2q4 күн бұрын
Arth inafanya watu watoane roho jmn
@user-wv1pu4jo3k3 күн бұрын
Mungu nimkubwa
@joycekalago5323 күн бұрын
Yaan ni maajabu sana aliezikwa anasema yeye hajawahi kufariki😢😢
@user-uf7oh5eu4v4 күн бұрын
Daaaah hii ni magic 😢daah
@salumualoyce56202 күн бұрын
Mama kijana,mtoto ndo mzee.
@user-xh7xf2ki3r4 күн бұрын
😂😂😂 jaman mama kuitikia huko kunachekesha yaan
@bensonwissa57774 күн бұрын
Vipi michango yetu irudishwe😅
@cosmatitus55094 күн бұрын
Jamaa anatoa majibu marahisi sana kwenye maswali magumu
@winiemajengo16794 күн бұрын
umeonaeee 😂😂😂😂😂😂😂
@omytifa64034 күн бұрын
😂😂😂
@FloraChuja2 күн бұрын
Hii ndo nchi ya Arusha barani Tz😂 hii ni maajabu😢
@cheiknamouna20582 күн бұрын
Hapo kuna namna aliyetoa taarifa za msiba ni mtt wa bamdogo aliyekagua mwili ni bamdogo anaeuza mashamba ni bamdogo nyie mmegundua nini hapo hebu tujailiane kidogo mimi naona Robart alitekwa na jimama la pombe za kienyeji likamtumia huko mjini wakajua hatarudi bora wamzushie kifo😢
@JanethManga-c1w4 күн бұрын
Mchongo huo...watu wa huko tunaelewa
@kalebphilip34262 күн бұрын
Huyu jamaa Kama vile ufahamu wake sio mzur atakuwa na shda
@sarahgilbert10844 күн бұрын
Robert anaonekana cha pombe😅
@user-ex9sd8wm4l4 күн бұрын
Allah aqbaru
@JosephineMbelwa-jy3qy3 күн бұрын
Mama mzazi wa Robert eeeh eeeh 😂😂 unaniuwa mbavu zanu eeeh😂😂 eeeh eeeh eeeh eeeh😂😂😂
@vivianfortunatus55182 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@chocolatekalex16314 күн бұрын
Jamani mungu anisamehe inasikitisha kidogo lakini iyo heee ya maman jamani inaniweka hoi heee!!! Heee!!😂😂😂
@adolfmathew96984 күн бұрын
Kiarusha kichuga Iyo
@bintmrisho35264 күн бұрын
Anaongea kama wamasai
@HappyAsajile3 күн бұрын
Daaa sikutegemea kam ungempata uyu mwe asant sana ayo tv
@user-ii6gs2jg4g4 күн бұрын
Huyu dishi limelegea kidogo inabidi likazwe
@Pretty227504 күн бұрын
😂😂😂😂Nauza nauza eeh eeh this life no balance
@kanankirannko61744 күн бұрын
Lilitingishika maana mmezika mtu ambae sio Robert fukueni kaburi muone kilichopo
@doreenlema76122 күн бұрын
hakuzikwa yeye alifananishwa na ndo sababu Jeneza lilitingishika walizika mtu sio ndugu yao
@marylazaro46253 сағат бұрын
Hivi Arusha jaman Arusha!! Hivi ni kwamba hamna hata mtu aliyepotea tarehe kama hizo jamani?
@worldhappiness11814 күн бұрын
How sure huyo ni yeye pia, 😢. Cause by listenin him seem like he is not normal.
@aloycekiwia86134 күн бұрын
Jamaa amezeeka kuliko Mama yake
@estermathias83544 күн бұрын
Inatokea tu hata mimi kuna kaka yangu amesema kuliko mama
@winiemajengo16794 күн бұрын
nami nimeona aiseeee
@suzanambatta11264 күн бұрын
Huyu ni cha pombe anaonekana
@user-vo3wk9yr7k4 күн бұрын
Mbona mama anaonekana kijana kuliko mtoto wake?? Au mnaonaje jamani
@dfinalpatrick85554 күн бұрын
Amejitunza
@evertheobald18113 күн бұрын
Alichukuliwa msukule huyoo. Na kuna watu wengi sana wanazikwa wakiwa hai
@user-co4li6bn6m4 күн бұрын
Huyo mama alifananisha kwa kiwewe cha familia.
@omaryjudasymwanga7172Күн бұрын
Mamae huyo mzee kweli bora walikwaruzana na mganga akarudisha mnyama hewani yeni yeye zake auze ale kapesa alafu za robart ajenge watakuja kuishi wote au?, ampe jamaa uhuru sasa kama maishe yenyewe ni hayo robart anajengaje kama sio kumcheka mtoto wa ndugu yake kuna mdada anataka kuvaa mabomu nemda na mimba kabisa ili deal liwe sawa dadeki mdada naomi wahi fursa ila jipange kati yako na mwimba kimoja kinakufa maana baba mkwe sio mchezo