Poleni Sana nyote MWENYEZI MUNGU awape nguvu awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO ameeeen
@ANJELAMSANGI5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ukupe kauli thabiti mzee wetu.Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi.
@abdullahibaris71825 ай бұрын
Naomba ALLAH ampe family and friends na wanyeji subra INSHALLAH
@SharifaOman-bf1bn5 ай бұрын
Inalilah wainailah rajuu Mzee ruhusa
@omaryomary43565 ай бұрын
Innalilah wainaillah rajioun ...dah mzee kafa na miaka 100,,Allah amhifadhi mzee wetu
@abassyakoub14645 ай бұрын
Mungu akulipe kwa ulichokitanguliza Rais wetu. Umesifika kwa kuinua hali za wananchi wako wakati wa Uongozi wako ndani ya kipindi kifupi tu. Tunahitaji Rais kama wewe kuziinua hali za wananchi hivi sasa.Pumzika mzee wetu ❤❤❤💯
@jameskimbeo23285 ай бұрын
mungu amlaze mahari pema pepon. aminaa
@user-ed5zc4jm7g5 ай бұрын
Mwenyezi mungu ampunguzie azabu yakabuli😢😢
@driss49575 ай бұрын
Mzee Mwinyi alisoma wakati Watanzania wengi bado wapo maporini...
@andrewngarya62935 ай бұрын
Pumzika kwa Amani 🕯️
@zulachama10675 ай бұрын
Innalilaiwainahilai rajurn, mungu hakulaze mahala pema peponi, ndugu familia wazanzibari na Tanzania poleni sana kwa msiba huo.watching from mombasa- kenya.
@mrefumedia86815 ай бұрын
Poleni ndugu Wetu watanzania kwa kupoteza ayati rais wa hawamu ya bili pole kutoka🇰🇪
@user-ks6wj1uf9k5 ай бұрын
Allh amrehm
@livematchcentre215 ай бұрын
Ni 1925 sio 1923
@MateiPs-kr9tg5 ай бұрын
Mwenyezi mung amtangulie🙏🙏
@user-ot5oh3hm8v5 ай бұрын
Innalliah wainaillah --- MUNGU awape Amani kwa familia na nchi ya Tanzania 🙏 pumusika amani rais mwinyi 🌱🇰🇪
@abdullahjongo5 ай бұрын
SIO ALLY AASAN, NI ALLY HASSAN... Utangazaji gani huo?!
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
Kabisaa
@QueenMushi5 ай бұрын
😂
@Zubaiba5 ай бұрын
Innalillahi wainnalillah rajiun, Allah ampe kauli dhabit
@zainabchumu85595 ай бұрын
Allahumma Amiyn
@jamilamohammed27715 ай бұрын
Ameen
@user-tg7vq3ty8p5 ай бұрын
Innalillah wainailah rajioun. Ila mtangazaji hakumtendea haki Hayati Mwinyi kwa kutolitaja suala la kujiuzuru kwake kwa makosa ya watu wengine. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Rais Ally Hassan Mwinyi mahali pema peponi.
@charlesmaige5 ай бұрын
Apumzike kwa aman
@user-cs6jr5fr8d5 ай бұрын
Ali Asani Mwinyi..... ✖️ Ali Hassan Mwinyi..... ✅
@zubedaali41555 ай бұрын
Mungu akupe kauri sabiti Mzee mwinyi kapumuzike kwa hamani mwendo umeumaliza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Amina
@elijahalexze55 ай бұрын
Mwinyi ndiye rais aliyetawala Zanzibar baada ya jumbe,pia ni rais aliyejiepusha Na maswali ya kutaka kujua muundo WA Muungano wala maslahi ya Muungano Jambo ambalo lilimpendeza mzee Nyerere kisha kumwamishia bara.
@vincentmushi12475 ай бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi...mwendo ameumaliza...kipenzi cha wengi mzee Ruksa...nakumbuka kipindi cha utawala wake kila biashara ilikuwa inauzika...pesa ilikuwepo Yalikuwa maisha ya bata kinomaaa...lkn nakumbuka alisema azikiwe mkuranga...sijui hii imekaaje...
@adkajisi45365 ай бұрын
Speech ya lini hiyo?
@user-cs6jr5fr8d5 ай бұрын
Luga..... ✖️ Lugha.... ✅
@user-cs6jr5fr8d5 ай бұрын
Makadala.... ✖️ Makadara.... ✅
@Chakol123-k7s5 ай бұрын
1923-2024 Miaka 100 mungu wangu nenda kwa amani mzee wa ruksa umeona mengi mwamba
@binseif22165 ай бұрын
1925 born
@JaphethBabu5 ай бұрын
Tulikupenda lakini ❤mung kakupenda said.iragie inguluwock nairobii😮
@abdullahibaris71825 ай бұрын
INNA NILLAH WA INA ILEYHI RAJAIOON
@khamissaid55255 ай бұрын
Mungu akulaze mahali peponi
@salyali78075 ай бұрын
Kaja kuchuma neema zanzibar baadae wanawabadilikia kwa kutawala.. Allah atamlipa analostahiki
@bahatinassorali52225 ай бұрын
Kumbe kazaliwa bara huyu 😢kumbe si mzanzibar
@adkajisi45365 ай бұрын
Hata Karume alizaliwa bara Zanzibar alihamia 😀
@mansaeductoin5 ай бұрын
Kwetu tunamwita Mzee wa ruksa
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
Ali Hassan Mwinyi. Sio asani
@TaarabChannel5 ай бұрын
Na umwambie pia sio Hali Assan. Watu wa dar mna taabu ya matamshi
@jibrilshee94405 ай бұрын
أنا لله وانا إليه
@bazomporasulayman86345 ай бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون
@ashrafkhamis10515 ай бұрын
Makiwa Kwa family na wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania bara na visiwani Zanzibar
@jrm94485 ай бұрын
Al asan mwinyi ndio nini??? Hebu punguza mbwembwe basi. Millard vitu kama hivi jaribu kusoma mwenyewe. Hawa vijana wanajaribu kukuiga wanaishia kuvurunda.
@infinixoman-nd7nh5 ай бұрын
Innalilah wainailaihy rajiuun
@user-qq5wr2yi2q5 ай бұрын
kiukwl mhexhmiw alfany mamb meng na ya kpendez katk nch ye2 enz ya utawal wke
@user-kv8sq6qz7g5 ай бұрын
Mzee Ruhsa alipenda kuona watanzania wanamiliki mali zao wemyewe jamani aliruhusu hata tuvae nguo nzuri pumzika kwa amani
@zainabmaulidi98465 ай бұрын
Innalilah wainaileh rajiun ALLAH ampe kauli dhabit
Ss mtu anapo alipo zaliwa kwnn mnaenda kumzika asipo zaliwa i so sawa
@machanohaji98415 ай бұрын
Poleni family ya babu yetu
@HadijaRajabu-pr9di5 ай бұрын
Ni kabila fani huyu?.
@user-wo7wg1ir3g5 ай бұрын
Hii history haipo sawa Alisoma primary miaka mi3 tu?
@adkajisi45365 ай бұрын
Hakusoma sekondari
@user-cs6jr5fr8d5 ай бұрын
Barozi..... ✖️ Balozi..... ✅
@adkajisi45365 ай бұрын
Sawa Bakita
@nishaabdula50155 ай бұрын
8/5/1925
@SalamaNauthar5 ай бұрын
Innalillaih wainnaillaih rajiuun
@prince.eric_msemwa97325 ай бұрын
poleni familia
@MARIAMDOE-gb2po5 ай бұрын
Amezaliwa tanganyika akaishi visiwan sasa huyu mnamzika huko bas kwao n hukuuu
@user-dg8gq2kn6g5 ай бұрын
Innalillah wainna Ilaihi rajiun
@user-cs6jr5fr8d5 ай бұрын
Wabong bwan mnafanan na wa Kenya matamshi ya lugha ya kiswahili yanawasumbuw kwel😂
@sultansallah87725 ай бұрын
Ikiyokua Tanganyika????????
@yusuphswai68515 ай бұрын
oya bas ana miaka 101
@salyali78075 ай бұрын
Allah atamlipa analostahiki
@maryammwinyimkuu30085 ай бұрын
😢😢😢
@aminattai26765 ай бұрын
Haitwi Ali Asante,ANAITWA Ali Hassan,kama hamujui kiswahili tafuteni kazi za kupiga bodi,kuwa muandishi wa habari kwa Tanzania kiswahili fasaha ni muhimu na ni kioo cha jamii
@dr.swagztv35595 ай бұрын
Kwhyo unamzid
@noot-oe2mw5 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@gloireupite63165 ай бұрын
Ni 1923 au 1925???😢😢😢
@mrefumedia86815 ай бұрын
Na Hussein mwinyi ni baba ya rais wa Zanzibar???
@musaabdullahi90595 ай бұрын
kwaheri mwinyi
@user-qk4lx4hg7g5 ай бұрын
Ooh rip mzee we tu ruska
@user-wo7wg1ir3g5 ай бұрын
Kazaliwa tarehe 8 /5/1925 sio 1923
@saidabdus90145 ай бұрын
Ni nani aliekwambia kisarawe ilikua ni Tanganyika?
@adkajisi45365 ай бұрын
Ilikuwa Zanzibar sio?
@saidabdus90145 ай бұрын
Ni muhimu kuisoma vizuri historia ya Tanzania kabla na baada ili tuweze kujua ukweli wa mambo tusikubali kulishwa matango pori.
@exprodigitaltechtv55715 ай бұрын
alitwala au kuongoza?
@user-ig3oz8kf7k5 ай бұрын
Dunia mapito, msanii fran aliimba
@neemamakala13455 ай бұрын
Upumzike kwa Aman.ni miak99
@user-sl7tv1gg7m5 ай бұрын
Mmh
@machanohaji98415 ай бұрын
🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉
@TaimurSematore5 ай бұрын
Umetutoka baba
@machanohaji98415 ай бұрын
🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙊🙊🙊🙊
@SAIDIMUKSIN-iy2op5 ай бұрын
Safari ya mkuranga
@chariedecute82005 ай бұрын
Ujaona wamesema anazikwa j.mosi na kusema atazikwa unguja.😢
@user-dn7gn6ib4k5 ай бұрын
Innallllah wainnali rajiun
@zulachama10675 ай бұрын
Innalilaiwainahilai rajurn, mungu hakulaze mahala pema peponi, ndugu familia wazanzibari na Tanzania poleni sana kwa msiba huo.watching from mombasa- kenya.