SIMULIZI YA UCHAGUZI MKUU 1985, MWL. NYERERE ALIVYOMPA KIJITI MZEE MWINYI

  Рет қаралды 133,769

TBConline

TBConline

Күн бұрын

SIMULIZI YA UCHAGUZI MKUU 1985, MWL. NYERERE ALIVYOMPA KIJITI MZEE MWINYI

Пікірлер: 56
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
Innaalillah wainnaailyhiraajiuun 😭 "Ewe mola wasamehe maiti wetu na uwarehemu wote kwa ujumla. Amiina Amiina Amiina
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Tbc nawapenda sana kwa kumbukumbu zenu mnavyozitunza mungu ailinde Tbc na Tanzania yetu ya amani tu Tanzania
@GOLLANBANGILI
@GOLLANBANGILI 11 ай бұрын
Tanzania daima itazidi kuendelea na hakuna kukata tamaa ,ASKARI EEEE VITANI EE MAA WANACHEZA ,WANACHEZA NDOMBOLO KOFIA YACHUMA VITANI EE MAMA ,.ASIYEPENDA JESHI LETU ATOROKE SAANANE ZA USIKU............. ❤OUR NATION JAPO SIJAAJIRIWA NITAZIDI KUIPENDA TANZANIA .
@josephjila957
@josephjila957 2 жыл бұрын
Zamani pazuri sana kumbe kuna maswali na Majibu
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 7 ай бұрын
Mwenye zimungu awarehemu wote waliotangulia mbele za haki😢
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Television bora Tanzania inayosimamiwa na wazalendo wa Tanzania. Mungu aisimamie Television yetu.
@mrbayuali6916
@mrbayuali6916 4 жыл бұрын
Hongera Sana TBC kwa kutuelimisha kizazi kipya
@mussahoza
@mussahoza 7 ай бұрын
nataman cku nilale hlf niamke nitokee miaka ya 80... nataman kuju maisha yao yalikuwaje miaka hiyo wallah
@abdulrazakyussef3177
@abdulrazakyussef3177 4 жыл бұрын
Chama Chetu Cha mapinduzi chajenga Nchi--Wimbo safi sana wakati nikiwa mwanfunzi wa shule. Lazima irejee tena.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Hahahaha,,,,siku hizi watunzi wazalendo hawapewi nafasi, wanapewa nafasi watunzi machawa na wanatunga nyimbo za hovyo
@butungo1
@butungo1 7 ай бұрын
Nchi ilikuwa mbali sana
@kilimanjaro255
@kilimanjaro255 7 ай бұрын
Kusema ukweli mwl Nyerere alitusaodia sana sana,kuhakikisha anatujengea amani ni upendo tulionao hadi hivi sasa,
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Hahahaha,,,,,,ukiona vinaelea ujue vimeundwa
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 7 ай бұрын
Hii nchi aiseee
@eliahmashala5180
@eliahmashala5180 7 ай бұрын
Aseee kitambo sana yaan
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 жыл бұрын
Safi sana kukimbuka tuliokotoka
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
nampenda sana mzee huyu alikuwa mwamba sana mwlm nyerere
@ndinzeissa4778
@ndinzeissa4778 7 ай бұрын
10:25 maoni hii ifundishwe mashuleni ili vizazi viji funze kwa imaleta fundisho kubwa sana kuwa mwasiasa mzalendo ana lelewa vipi
@ndinzeissa4778
@ndinzeissa4778 7 ай бұрын
Imenikumbusha mbali sana ndio nimemali dalasa la saba 6:18
@MWAMALUMBILI
@MWAMALUMBILI 4 жыл бұрын
Vya KALE NI DHAHABU
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Kumbe hawakuanza Leo kutoonekana majimboni!!!
@simbamtoto7530
@simbamtoto7530 2 жыл бұрын
Hahahahaha kitambo ndio tabiayao
@jamaa2760
@jamaa2760 4 жыл бұрын
TBC mmenifurahisha sana tena Sana Kwa kutazama hii Picha mwendo,, Nashauri muanzishe Kipindi Maalumu kabisa na Mahususi cha "Siasa ya Tanzania" Itatukumbusha mengi kutufanya wamoja na kujua tuliko toka hasa kwa vijana wa kileo.
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Huyo Nyerere aliharibu kila kituuuu! Akatomba nchi na kuleta umadikini! Wakoloni walifanya kila kitu kizuri,akaja yeye akafira kila kitu akidhani anajua saana Kumbe mzoga hawezi hata kutawala Choo cha kulipia,mzoga ukamshinda! Ajamtupia mwinyi masikini ya Mungu!!! Daah mwinyi alitupiwa tambara la mwanamke yupo mwezini limeoza linanuka mfyuuuu!!!
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Ila zitolewe Historia za kweli mwanzo mwisho tangia kupatikana kwa Uhuru, waasisi waloanzisha mchakato wa Uhuru na sababu ya kudai Uhuru hadi kufikia kukamilika kwa kukabidhiwa Uhuru. Baadhi ya kizazi kipya/kizazi cha sasa hawaelewi uzuri historia ya kupatikana kwa Uhuru wa Tz Bara/Tanganyika na kupatikana kwa Uhuru wa Tz Zanzibar/Tz Visiwani. Bali imekuwa mazowea/destuli kusikia akitajwa na kusifiwa zaidi mmoja tu miongoni mwa Walioshiriki kupigania Uhuru wa Tz Bara/Tanganyika husikika kibwagizo cha Wimbo maalum/maarufu "KAMASIO......UHURU UNGETOKA WAPII......?! Inamaana alikuwa peke yake ktk kupigania/kuleta Uhuru, mbona majina ya wadhiriki wengine walopigania Uhuru hawatajitajwi ?! Inamaana yeye ndo alokuwa muasisi wa pekee/Mkuu aloleta Uhuru?! Itolewe historia ya kamili bila kukatakata ili Vijana/kizazi kipya na WaTz kwa ujumla wajifunze na kuelewa historia ya Uhuru kiundani. Kumtaja/kumsifu mmoja tu miongoni mwa walopambana kuleta Uhuru wakti wapo wengi hapo inakuwa si haki ni kuharibu na kupotosha ukweli wa histoeia na kuwavunja nguvu wengine/familia/jamii ya Wazazi waloshiriki kuleta Uhuru ! Kauli ya DHAMBI US UBAGUZI NI.MBAYA.....basi kauli hii ienziwe kivitendo. Kutowataja na washiriki wengine waloshiriki/waasisi wa mchakato wa kupigani Uhuru na kutuletea Uhuru kutowatsjataja/kutowasifu kwa nyimbo/vibwagizo ktk Vyombo vya habari , ktk Makongamano/Mijadala, Vitabuni nk huo ni Ubaguzi hivyo tuepuke dhambi ya ubaguzi na madhara ya ubaguzi. Hata picha ya kuchanganya Udongo wa Tz Bara/Tanganyika na Tz Visiwami/ZNZ picha inaashiria Ubaguzi/ulimi ! Iweje Vibuyu cha udongo anaonekana amevishika mtu mmoja tu wakti ile ilikuwa ni ishara ya Muungano?! Ilipasa wa Bara/Tanganyika ashike kibuyu cha ZNZ na wa ZNZ/Visiwani angeshika cha Bara/Tanganyika. Kitendo cha vibuyu vyote vya udongo kushikwa na kuchanganywa na Kiongozi mmoja tu ni ishara na dalili za ubaguzi wa hadharani !
@mohamedmsemo941
@mohamedmsemo941 Жыл бұрын
Msuya alikua jimbo la Mwanga na sio Same
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Sasahivi swala la kusema kidumu fikra za mwenyekiti tuu sio watanzania badala yake sasa tunalazimishana kwa bunduki ni hatari sana ktk taifa
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Izo Mando nimezikubali
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Kumbe mlikuwa mnasema wenyewe kuwa kidumu chama cha mapinduzi, sasa kinadumu, mnalalamika!!
@MassaweSelestine-pd8mu
@MassaweSelestine-pd8mu 7 ай бұрын
Mama was kambo
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Nimeona Toyo apo
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Histori kwakweli inanifurahisha kwa kiasi kikubwa sana, afu watu wa zamani ni kama ni wachangamfu sana hahahahaaaa hakika nawapenda sana!!! Nyerere bana mpaka leo hii naweza nikasema, ni mwanadamu wa pekee pamoja na mtoto wake huyu aliyefariki juzi anayeitwa Magufuli. Hawa watu kweli walikuwa viongozi wa mfano hapa duniani. Mungu awarehemu hawa watu. Amen.
@abdulsalum8138
@abdulsalum8138 2 жыл бұрын
Pumbav sasa ww magufur alikuwa mpuuzi kama wapuuz wengne
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
@@abdulsalum8138 kumbe!!! Kwahiyo ww unaakili kumzidi Magufuli?? PhD, aise unayo??? Ww hata buku hujui kuhesabu ndugu!!! Pole.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Kila Kiongozi alokuwa/alopita Madarakani alikuwa na mazuri yake na mema yake. Enzi hizo ajira Jeshini kigezo/sifa Urefu (watu warefu) ambao kiasilia walikuwa wakitoka/wakipatikana kwao na jirani na kwake. Je, huo haukuwa Ubaguzi?! Afu anatwambia/alitwambia DHAMBI YA UBAGUZI NI MBAYA SANA NA NI YA KUIGOPA SANA, mmmh...! Mbona kauli/msemo havikuendana/haviendani na vitendo?! Zimezungumzwa/zinazungumzwa (zinajadiliwa) kero za Muungano na miongoni mwa kero hizo nashawishika kuziita ni UBAGUZI, He hazikujulikana/hazijulikani kwamba ni Ubaguzi?!! Nakubali kweli mwrema kwako m'baya kwa mwenzako. Like Kiongozi (binAdam) anayo mazuri/mema na maovu/mabaya yake. Leo mama anaonekana m'baya kwa baadhi ya watu na kumsifu sana Magufuli mmmh...! Kunabaadhi ya watu miongoni keep ni baadhi ya Viongozi wa Dini eti wanamlaumu kwanini anavaa Hijjab waktk Hijjab ni Vazi la sitara, eti kuvaa Hijjab ni kuutangaza Uislam (hata kama) kwani kunubaya gani kutangaza/kuonyesha imaan/Dini yako?! Mbona kunawanaovaa Misalaba na Sare (Uniform) za Uchungaji, Padre, Sister na ilhali ni Watumishi wa Serikali na Idara na Taasisi za Serikali?! Je, hilo si kosa ila kwa Muislamu ni makosa na ni haram !
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Agenda ya njaa inaendelea kulitafuna taifa halijapatiwa majibu
@haridsaid6286
@haridsaid6286 9 ай бұрын
Kumbe hio nyimbo ya chama chetu cha mapinduzi ni ya kitambo
@herimohamed276
@herimohamed276 2 жыл бұрын
kumbe jesh nalo ni ccm
@alimohd8427
@alimohd8427 2 жыл бұрын
WiFi wa kua hao,wa nakua mmoja mmoja
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 ай бұрын
👊✌️👊.
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 7 ай бұрын
rip mwinyi
@alimohd8427
@alimohd8427 2 жыл бұрын
Hao walosema kidumu chama cha mapinduzi ndo we nye dhiki na njaa
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
wimbo naukumbuka huu hapchama chetu chamapinduz cha njenga nchi nakumbuka nikiw darasa 3 mkapa na mrema 95 kapeni
@edwardgafachu8932
@edwardgafachu8932 7 ай бұрын
Watu walikuwa wakiimba kidumu chama cha mapinduzi, sasa kimedumu wanalalamika mbona hakiondoki madarakani, watz hatujaelewa tunachokitaka😂
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 4 жыл бұрын
Baba wa Afrika, CCM oyee
@hamisalfan9150
@hamisalfan9150 2 жыл бұрын
wengine ata atujadhaliwa
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Itolewe historia ya kweli na haki mwanzo mwisho vitabuni na kwenye Media ili muelewe. Vinginevyo itakuwa ni DHAMBI YA UBAGUZI na dhambi/laana ya ubaguzi ni mbaya sana.
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 2 жыл бұрын
Mkapa Alikuwa mbabe kitambo tu kumbe
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
DUNIA ni mapito tu
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 Жыл бұрын
Dude
@ramahzedon6688
@ramahzedon6688 4 жыл бұрын
Hii kipindi itengewe muda pekee yake
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
mbn kafupi
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Ni mboro ndo maana kafupi! Mboo ya hanisi huwa fupi!!!
@mwasomola9026
@mwasomola9026 2 жыл бұрын
Inanikumbusha enzi za Chipukizi wa CCM tukiwa shule ya msingi kabla ya mfumo wa vyama vingi, huo wimbo ulikuwa ni zaidi ya wimbo wa taifa!
@musa-v3f
@musa-v3f 9 ай бұрын
kulikuwa na uchaguzi miaka hii kweli ?? kura ya ndio au hapana ?? it was shame elections
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,7 МЛН
TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
24:03
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 31 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,5 МЛН
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 57 М.
NYERERE PART 4: MWALIMU NYERERE SAYS CLANS CAN’T DEFEAT EMPIRES
29:52
KUMBUKUMBU YA MZEE MKAPA ALIVYOAPISHWA KUWA RAIS MWAKA 2000
40:29
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН