Shishi baby uwa hana maingizo 😂mashallah ❤kijituma upandilishe maisha uliyo toka
@helentelemla5623Ай бұрын
😂😂😂 Ila Shishi kuna vipengele huwa unanifanya nicheke😂😂
@ReynaMrema-qy3fwАй бұрын
Nakupenda sana shishi kiukweli wewe kwangu ni zaidi ya mwalimu. Alooo najifunza mnoioo❤️❤️❤️❤️❤️✍🏻✍🏻✍🏻🙌🏻🙌🏻
@irakozeshakiru1131Ай бұрын
Nagupenda sana Dada shishi ❤❤❤ from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@rehemaqueen864624 күн бұрын
Daah umefanya kitu kizuri sana shishi allah akujaalie ulipopunguza
@husnamohamed9245Ай бұрын
Shilole mie mara yangu ya mwanzo kukusikiliza hodari sana umeelezea vizuri mungu akubariki. Tungependa uje ututembelee canada pia shilole, natamani hata mie nifungue restaurant au saloon lakini niko mbali
@habibajumahabiba6730Ай бұрын
Nimependa shishi kaongea ukweli wanaume wanapenda mtelemko sana ❤
@iamobadia3295Ай бұрын
Kwani yeye alipenda nini kwa yule mwanaume!!!
@user-qy8fl2fd9qАй бұрын
Nakubaliii kwenye music ❤shishi trump,shishi baby! Mchawi Hela a! Tubless na Ngoma moja 2024
@taitadollnicky273Ай бұрын
Mwanzoni ujanani alikua yuonekana Hana mwelekeo wa maisha...ila mashallah 😊
@mataypanga5262Ай бұрын
Wewe naona una akili sana,mwanaume ndio akuache kitandani afanye kazi ila kama mwanamke ndio kajaliwa zaidi sawa na mwanaume naye atafute kadiri ya uwezo❤
@yunhonct597118 күн бұрын
Ongera sana mwanamke mwenza Maisha sio ku kaa tu , kushugulika pia., ❤❤❤
@marthaigogo18Ай бұрын
Tunatakiwa kuacha alama kwenye maisha ya watu📌
@rochiusromward8495Ай бұрын
Na alama enyewe ndo hii
@user-sn6dc9gh8kАй бұрын
Ila vido akaamua arudie silent ocean 😂😂cyo silence osen😢😅😅nakupenda sana dada shishi❤❤❤🎉🎉🎉
@user-sn6dc9gh8kАй бұрын
Au unasemaje suzy😂au unasemaje suzana🤷♀️🤣🤣🤣🙌🙌❤❤❤🎉🎉🎉
@mrliverpoolynwa7641Ай бұрын
Shilole naomba nikuoe❤❤❤❤❤
@fauziasultanikilewa7602Ай бұрын
Mimi ndo ntaquwa wifi yaqe au sio
@umalqasimalhamhami6707Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatumamtukane606024 күн бұрын
😂😂
@mwanamkeshujaabongoflavama7180Ай бұрын
Inasikitisha kweli mwanamke anamka saa kumi anaji taarisha na mapambano ya siku hile anataarisha watoto, kwa mavazi, vyakula, kila unacho kijua wewe, mume kalala hapo hapo ana ngoja umuamshe tena si mara moja mara tatu ina boa sana...
@NasraSaidi-dq7fhАй бұрын
Mimi sikuamshi nakuacha hapo sikuulizi kitu utajiongeza
@mohammadoman8963Ай бұрын
Lkn si alimridhia yeye pia alijuwa mume hana kazi kwa nini alimkubali pia mwanamke akiwa na mali inafaa kumwiinuwa mume
@ashaabdalla92429 күн бұрын
Kabisa yaani umeongea point na huyu wa 2 anaonesha shishi anataka wanaume wasokuwa na kitu awaache hawadhalilishe si vizuri lakini@@mohammadoman8963
@gaspercharles2244Ай бұрын
Utakufa wanaume nao wana bad spirit Kuna shida dunia hii acha kuruka ruka tulia Mungu hawezi kukupa kila kitu be careful
@philemonmagesa554828 күн бұрын
Hata na wanawake ukiwabadilisha tofauti tofauti Wana bad spirit na kujiongezea mikosi kwahyo sasaiv sio wanaume au wanawake wote hawaeleweki ni kutokana na maisha ya sasaiv na malezi ya mtu binafsi
@user-qq6mv6vh3e28 күн бұрын
@@philemonmagesa5548iyo tatizo ipo pande zote
@dn.n4983Ай бұрын
Ni kweli vijana wengi wavivu kulala kuangalia Nexlifix Yaani tena kaa nao mbali shishi wasikuone hapo ulifanya kazi hii muhimu wanaume na wanawake ubarikiwe wote
@vickysteven1172Ай бұрын
Hongera saana shishi❤
@Damaskimario26 күн бұрын
Wewe ni jasiri pambana mama❤❤❤❤❤❤❤
@ivankadaudi8161Ай бұрын
Uyu dada ana moyo waupendo sana ndio mana haanguki watu msiwe namikono mifupi kusaidia❤❤
@BibieMakameАй бұрын
Nakupenda shilole
@catherinesembeka1417Ай бұрын
Kweli dada Ake kikubwa furaha ya moyo.👌🌹🌹🌹♥️♥️♥️💯💯
@user-mw5xs2wx8nАй бұрын
Olewa tu dada utampata wakuzikana nae tu kuliko kuzini sio ishu
@mataypanga5262Ай бұрын
Siyo kuzini ,anajipa raha😂
@user-zd1ne1rv5sАй бұрын
Shishi tupe ajira basi mdada na sisi utuinue ndugu zako. one love sister
Shishi Ni Mtu Wa Mana Kweli Mungu Akubariki Kwa Moyo Wako Huo
@fortunataangelo557529 күн бұрын
Yaani miwanaume ikiona mtu anapesa, haimpi, chochote hata zawadi, na ukweli ni kwamba tunahitaji pesa hata kama tunazo😊
@bahathmuro714527 күн бұрын
Yaaan tunazitaka sana hata kama ni buku si ya kupewa jamani
@user-tj5lr2le6k16 күн бұрын
Interview nzuri nimependa❤❤❤❤
@user-wu8qe4fv4jАй бұрын
Ongera sana shishiiiiiiii Kito mzuri
@samiramawby125722 күн бұрын
Shilole ulichomfanyia Ringo ni kikubwa mno🙏Baraka ikufate
@davidkisinini8855Ай бұрын
Very nice interview.
@aminaomary5567Ай бұрын
Nakupendaga shilole ktk biashara🎉🎉🎉❤❤❤
@user-qe3fs1xc3bАй бұрын
Love you my sstr❤ Shishi
@ukhutfatumah1154Ай бұрын
Auna BAYA shishy baby enjoy dear
@JudyUrio-zy7riАй бұрын
Hongera shishi Mungu aendelee kukuinua
@rajabdibwa6415Ай бұрын
Kwani toka mwanzo hukumuona? Sema umeshamchoka😂
@diyaosman6268Ай бұрын
Olewa mama olewa ❤❤❤ nakupenda sana ❤
@fridaernestmkedege900Ай бұрын
Wapo very committed na kazi yao.. na si wapo very commitment
@ZainabumsafiriАй бұрын
Big up sna dd shish❤❤
@ummySheikh72Ай бұрын
💯💯👆Nimekuelwa saana. Wapo wengi hao majumbani
@Amina-ig3jw22 күн бұрын
Tukuue is typing 😂😂😂 but dada shish uko sahihi❤❤❤
@ernestkatyega5781Ай бұрын
Kwahyo mwanamke ahudumiwe na kaz aendelee kufanya Sasa mwanamke hela zake zinaenda wap.masingo Maza wataxidi kujazana mtaan afu masela hawaowi😂😂
@SurprisedAstroStation-bb3nn29 күн бұрын
🤣🤣 wanaume tafteni hela mjue tu mwanaume akiwa na hela ni rahisi sana kuishi na mwanamke ambae Hana hata mia lkn sio mwanamke kuishi na mwanaume ambae Hana hela hawezi tuwape maua Yao wanaume jmniii wanaviti vyao pepon 😂🤣🤣
@ruthkiwia9100Ай бұрын
Kabsaa amaniii amaniiii love u shishiii
@ConfusedLighthouse-so9mcАй бұрын
Nakupendea shishi unavyoishi
@user-vt2oj3sr4k17 күн бұрын
Anapenda vijana akiwachoka anakashifu sasa vijana wataish nae kama mshangaz.tu
@eggysulle7988Ай бұрын
Shishii 🔥🔥🔥👌👌👌
@AshuraChamwanaАй бұрын
Kweli kabisa
@mapishiyetumazuri23122 күн бұрын
Hapo kumsadia mungu atakulipa
@iamobadia3295Ай бұрын
Mimi najiuliza kama uyo mwanaume alikuwa ajiwezi yeye shishi alifuata nini kwa uyo mwanaume😮
@lenniefei671027 күн бұрын
Hilo dongo nalo !😂
@KinguKingu-mg4ig26 күн бұрын
Mboo
@ireneshayo413Ай бұрын
Chuma hicho kinahitaji UTULIVU TU.!! We huigopi😂😂
@Magrethw-xp4ruАй бұрын
❤❤wanawake tutafute maokoto kwa bidii🎉🎉
@sleeprelaxation8431Ай бұрын
huwa napenda kicheko cha shishi, pambana dada yangu
@user-mu1uf2rl4x13 күн бұрын
Mbunifu sana kwenye biashara yako
@sir_ENOCKMACHA29 күн бұрын
Ameongea vizuri si kwa ubaya...tena nimependa kipengele cha wote mume na mke kupambania kombe,hiyo nimeipenda sana....kukomaa
@user-wh5gc1it9uАй бұрын
Nakupenda mpaka naumwa
@HassanHassan-si2rtАй бұрын
Mwanamke kuachwa zaidi ya mara 3, Basi kwako ni DOA na ujue ww mwanaume mwanamke huyo HAKUFAI,
@aishafrancis7714Ай бұрын
Safi sana shishi kutoa ni moyo.
@user-yd5ux6is7y29 күн бұрын
True token ❤🎉🎉🎉
@JulesDior-zl6rqАй бұрын
Tajiri huyo 🎉🎉🎉🎉❤
@tigejuma9865Ай бұрын
Watu wako committed na kazi zao...sio commitment dadangu😅
@elishakayagwa937125 күн бұрын
Hicho ni kiburi cha maisha tu ila fikiria baada ya kufa unakwenda wapi? Huo mwili wako utachunguliwa na wanaume wangapi? Huo ni ujinga tu
@ebenezermanning7244Ай бұрын
Sahani 10M😂🙌🏽
@sergebaleke695Ай бұрын
Shilole eti sio kuleta mauwa tu😂😂
@oscanyakungaАй бұрын
DADAANGU HIYO SIO NZURI SI UNAWATOTO NDOA NYINGI SIO VYEMA KIDINI SIJAJUA ULIKO
@Mwanah-cg3ieАй бұрын
Kwer kabisaa ❤❤
@JescaMwagama-oc9ytАй бұрын
kwan hukujua kama hajui kutafuta pesa
@mwasitigervas2624Ай бұрын
Kwani shilole uliitenbelea china yote manayangu😂
@TheresiaMrema27 күн бұрын
Olewo tu dada...Kwani kuna shido😂
@user-pu6pr5jt4n29 күн бұрын
😂😂😂😂😂shishi❤❤❤
@salomewandya7257Ай бұрын
Mashaallah shishi baby ❤❤
@AminaAbdullah-ws3wyАй бұрын
Allah akulipe
@adamsilumbe8356Ай бұрын
Shishi saiv anaongea ngeri ya uhakika😂😂😂
@hawaa341Ай бұрын
Kweri kbs shishi
@awatifalghanim110628 күн бұрын
Huyu Mwanamke anajiheshim sana na mzuri.
@FadhilaIgilo23 күн бұрын
Nakupenda bure
@RehemaManase-lc4zbАй бұрын
Tunakupenda dada... au sio suz😂
@dignakanje450829 күн бұрын
Olewa hta namia ,usiburie nawatoto wako kuolewa nawanaume kma waliokuoa ww.Unadhani kuwa najina kubwa pesa ndio sifa yakumvulia Kila mwanaume nguo.Utajikuta umeshazeeka kwabeba Kila kibenteni Wanakukubalia kwakuwa unavijisenti
@AziziMapunda-vt4nv23 күн бұрын
Ukokuolewa nakuachika ukwosio kupambana ni kujizalilisha tatizo nimoja masikini akipata--------
@lulurubby223527 күн бұрын
Kuolewa ndoa nyingi pia ni mikosi, huyu anapenda kula viharage hawezi kaa kwenye ndoa
@stamilihalifa2763Ай бұрын
Mbona uja fikisha ujumbe wa bwana mangulue kutaka kumuowa
@loner_wolfАй бұрын
Hivi Shishi unajua ulijulikana sana baada kuonekana ktk Tamaa mbaya ya 20% ?
@user-hi8le2vb7z29 күн бұрын
Leo jamani kwenye mechi me msinipange😊
@user-sf8wt4sr4tАй бұрын
Kweli wauliwe 😂😂😂😂😂😂😂
@user-pe8wh5bw2hАй бұрын
Haikatai dada shilole
@AdamSaffi211Ай бұрын
Hilo litakuwa shimo au mtaro? Utalipa kodi ya manispaa?
@nicolauselias9084Ай бұрын
Mwana mke mzuri lakini tabia mhh huyu demu umalaya uko ndani ya damu kwahiyo wanaume tuwe makini nae tafauti na hiyo atawamemenda saaana mamaaaaeeeee zake
@cesiematy251629 күн бұрын
😂👏👏modewiji saf sana
@rashidikhassim8125Ай бұрын
Unajua binadamu tuna akili gani wewe furaha yako mpaka utuchangishe ili iweje wakati kuna uwezekano wa kufanya jambo Kwa uwezo wako
@melanialeonard4031Ай бұрын
Sailenti oseni yesi😂😂
@user-lb8lq7um5x22 күн бұрын
❤❤❤
@bennamush4616Ай бұрын
Dada shishi emb nisaport laki mbili tuu jaman nikafanye biashara flani ivi nimeiplan
@gloriamsaki9109Ай бұрын
Embu?`Naomba'
@MassoudSalimАй бұрын
Shilo wewe wabake tu wakumiminie kojo olewa tu uuuuuuuuwi bado zamu yangu.
@rochiusromward8495Ай бұрын
Silent oseni enyewe inasemaje
@righitkileoАй бұрын
❤❤❤love u❤❤ wewe dada.unapambana.nakupenda ❤❤❤ mapenz bila pesa Nonses kwa kweli❤❤❤Nakutaman.sana❤❤❤❤❤
@khadijauledi3293Ай бұрын
DADA YUKO POA SANA. SHISHI BABE
@johnbugumba9054Ай бұрын
Wanawake hawaeleweki siku zote, kwani kabra hajaingia nae kwenye mahusiano hakuliona hilo? Kinachotokea ni kuwa na yeye ni malaya tu hawezi kutulia na mwanaume mmoja ndiyo maana yupo na huyu mara huyu na hao tuofahamu
@catherinecharlz281424 күн бұрын
Shishi food iko maeneo gan?
@user-qp4sm2ko1y27 күн бұрын
Ndo utuonyeshe kwa nguvu iyo macho ma3 yako aya tushaona😂