Ukweli ukisemwa wengi uchukia lakini tukubali msema kweli ni mpenzi wa mungu The God is great❤❤❤❤❤❤
@TomasiklistophaMwinuka2 ай бұрын
Tundulisu ulie shushwa namungu kwamaksudi uje duniani mtetez wawanyonge ubarikiwe sana hujawahi pinda nmtuwakunyoka ,pamoja na Mbowe hamkuja duniani kwabahati mbaya
@MarkMfoi5 күн бұрын
Mungu awabariki sanaa
@RajabuSeify16 сағат бұрын
Mboe lisu ni mtekaji ili akuchafue. Jeumemuona. Pole sana.😊
@MajashoJohn3 күн бұрын
21:05 21:05 danl 22:33
@masechasaimon2 ай бұрын
Thank you dad for your wisdom
@RBMBAKARI-bv6wn6 күн бұрын
Mzee Leo amezungumza ukweli ila mmechelewa sana ilikua muanze na tawala mbili zilixopita .hasa tawala ya Tano mlikaa kimya sana Hadi mambo yamezoeleka sasa
@lamecktanda81484 күн бұрын
Pole sana acha kutumiwa
@JosefuSwai4 күн бұрын
Kumbe wewe ni boya
@juliussagati13954 күн бұрын
Sema baba usiogope viva chadema
@MageAwe-hl5zb5 күн бұрын
Kweli Tanamzania haki haipo kwa wapinzani wanatekwa mchana kweupe viongozi wanadhalilishwa hadi wanapigwa mfno mbeya waliinewa sana nmkwa ujumla Tz hakuna upinzani
@piusprospa88325 күн бұрын
hii hari kwa sasa ni mbaya sana kwenye nchi yetu tanganyi kisa mkate wa ikuli
@ErnestShija-y2f7 күн бұрын
Warioba Mungu akulinde
@wilsonbaraka40786 күн бұрын
Hongera mbowe
@RajabuSeify16 сағат бұрын
Tundu lisu hafai ameokolewa maisha na mboe leo anàmsaliti mnaemuungà mkono hamumuoni basi hamfai niwajinga.😅
@MageAwe-hl5zb5 күн бұрын
Huo ni mpango mpango wa Mungu hamjachelewa Mungu huwa hawahi wala hachelewi katika wakati wake
@HuseniMsumba7 күн бұрын
RASILIMALI ZA NCHI KIJADILIWE MISULULU YA MAGARI KWENYE MISAFARA NI MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA WALALA HOI WA NCHI HII,
@RajabuSeify15 сағат бұрын
Warioba mimi ninA miaka79 je mbona unaongea uwongo na uzee wako huoni aibu wewe ni mzee peke yako. Jetukukosoe wewe nmchonganishi koma😊
@yaronaWilliam4 күн бұрын
TCD yenu imekuwa sehemu ya maombolezo tu, hamjawahi kutoka maazimio ya kukomesha hayo maovu mnayoilalamika!
@mayj19522 күн бұрын
Kingu..what are you trying to say Dude?
@AbrahmanAbrahman-l7h3 күн бұрын
HAO WAZEE NDIO WACHAWI WAKUBWA HAYA MASUALA WALIYARATIBU WAO LEO WANAKUA WAGANGA WA KIENYEJI WALITENGENEZA MARADHI SASA WANATAKA KUJARIBU KUYAONDOSHA
@minjagrace99572 ай бұрын
Sauti!!
@sasha-ri7tf2 ай бұрын
HUWEZI KUZUNGUMZIA SIASA BILA YA KUZUNGUMZIA UDINI. SIASA NI MAISHA UDINI NI IBADA. KWANINI MNAWAKARIBISHA VIONGOZI WA DINI KTK MIKUTANO YENU YA HAZARA?.. KWANINI RAIS ANAPOAPA ANASHIKA KITABU CHA DINI KWANINI ASISHIKE KITABU CHA KATIBA YA NCHI?..
@0diraWilson4 күн бұрын
Kati ya MUNGU, na siasa nani Mkuu?
@zabronchilimba82106 күн бұрын
HUYU MZEE WARIOBA NI KIOO NI MUHIMU TUMWOMBEE HAJUI KUMWOGOPA MTU SIYO KAMA WENGINE
@jameskapela20758 күн бұрын
Vikao bila kuheshimiwa havisaidii chochote sababu haviheshimiwi.
@lamecktanda81484 күн бұрын
Mzee sinde warioba pumzika ule kichuri hapo ikizu.
@JosefuSwai4 күн бұрын
Pumzika wewe shoga
@gadoluhanga51062 ай бұрын
watu hawatambui hili swala ni la kina until its too late
@sebuyoyabiteyubwoba4 күн бұрын
Wabunge wataachaje kumsifu rais wakati bila yeye wsingelikuwa wabunge.
@magaigwa42044 күн бұрын
Warioba apumzike sasa, wengine wanasema ' no matter how good you are, if you over stay you spoil it"
@mayj19522 күн бұрын
Nafikiri wewe ndiyo unapaswa kupumzisha fuvu. Maana ubongo wako haufanyi kazi.
@AsheryMahenge2 ай бұрын
Tundu wew umeshushw na mung ongea ukwel baba
@DivineGloryAssembliesofGod2 ай бұрын
Kuna maana Gani ya kuondoa sauti ktk mambo ya msingi lengo ni nini?
@ErnestShija-y2f7 күн бұрын
Sauti jamani
@ErnestShija-y2f7 күн бұрын
Hoja tunatafut a mwaarobaini yayote hayo
@ErnestShija-y2f7 күн бұрын
Ingia kwenye hoja,ili kukomesha hayo
@CharlesMisungwi-f8t5 күн бұрын
Awamu yatano.huo ulikuwa utawala wenye sauti yenye mamulaka nautendaji wailani nakaulimbiu zake hapa kazi tu alitaka nguvuya uma ndani yanchi nanje ya Afrika nadunia kote isipokuwa vibaraka wa ndani na inje hasa wanyonyaji wa Magharbi Tanzania ilienda kwakilakitu ikiwemo maendeleo yaliyolipuka hafulana vipimo vilivyokwamazaidi yamiaka 40 iliyopita tulikuwepo kwenye ukoloniutawala wamwalimu hadi leo hakunachawanasiasa kudanganya swami hiyo ilikuwa nautendaji kazi nasautiyenye mamulaka ndiyo.maana nchi ilitokasehemu moja yauchumi nakusogeasehemu nyingine kubwazaidi .hivyo wanachi ndiyo wanaopima viongozi kwakuwa ndiyo walio wengi nawanaujuzi wakupampanua kuliko walio wachache. hivyokuongelea hovyo awamu yatano...munajijimbiakaburi wenyewe wanasiasa....
@MageAwe-hl5zb5 күн бұрын
Demokrasia haipo kwa Tanzania wapinzani wananyanyaswa sana haki haipo
@FocusmachumuMwizarubi7 күн бұрын
Mzee warioba wewe ni tunu ya nchi na wananchi kwa ujumla Barikiwa sana Babu yangu Mungu akulinde
@SteverockySimfukwe7 күн бұрын
mtu akizeeka analudia utoto
@kilianakitanda94702 ай бұрын
Hali sio poa.
@Kwelihukuwekahuru2 ай бұрын
Hivi nani huhakikisha mics zina usalama watumiapo
@benedictmrisho180011 сағат бұрын
Kiuhalisia wananchi nanyi wanasiasa mkiwa kasehemu kadogo sana ka wananchi ndio wajadili juu ya uhuru na sio wanasiasa kundi dogo. Wanasiasa mmejinyakulia ama kupora madaraka ya umma kwa visingizio kuutetea umma kumbe mnajitetea maslahi yenu binafsi. Hata katiba ya wananchi imekwamishwa na wanasiasa kwa manufaa yenu wenyewe huku mkiishi.peponi kwa ruzuku ruzuku na marupurupu kwa mgongo kutetea wananchi. Mngepigika kimaisha loo katiba ya wananchi ingeshapatikana. Muwe mnajadili bila kulipana pesa za umma kama kina RIP Mwl na Mandela walivyotafuta uhuru kwani walikuwa wakilipwa? Toka mmekuwa mkijadili mf demokrasia mmewahi kufanikiwa lipi ikiwa hata chaguzi za vyama vyenyewe kuna malalamiko? Toa kwanza boriti ndio uone kibanzi achaneni na siasa maslahi binafsi mbele..
@MageAwe-hl5zb5 күн бұрын
Mbowe Lisu Mnyika na viongozi mbali mbali msichoke ni wakati wenu wa kutoka misri kwenda kanaani
@MichaelKibona-p9m2 ай бұрын
Sikio la kufa halisikii dawa,Hawa wenzetu hata kama tungeongea vipi ha Wasikii