VIDEO: TAZAMA CHID BENZ AIBUKA KWA NABII GEO DAVIE, AMEUNGUA, AOMBEWA, AMKUMBUKA NISHER

  Рет қаралды 68,902

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 241
@kassimali3682
@kassimali3682 9 ай бұрын
TB JOSHUA clone version 1.2.0
@Evance-e5f
@Evance-e5f 9 ай бұрын
Nabii anatania na chidi anamtania vile vile #wanataniana
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 9 ай бұрын
Njaa nimbaya sana,Allah atujalie mwisho mwema in shaa Allah
@sein.208
@sein.208 9 ай бұрын
Amiiiiiiiiiiin 🤲
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 9 ай бұрын
Allahuma Amiin ❤ 🤲
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 9 ай бұрын
Yaani jama kasimama juu anakuangalia kizarau,unajaribu kamsalimia anakataa,unapewa shilingi mbili kizarau alafu unaondolewa ...duh nimemdharau sana chidi
@Shavuniempire
@Shavuniempire 9 ай бұрын
Shida mbaya san
@jacksonjacob6801
@jacksonjacob6801 5 ай бұрын
Kwann mchungaji kakataa kumpa mkono chidi? Hadi security anazuia
@abuumkumbalu9123
@abuumkumbalu9123 9 ай бұрын
Nabii analindwa na mabaunsa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 9 ай бұрын
Inna lillahi wainna ileyhi raji3un.
@chazimunishi3339
@chazimunishi3339 9 ай бұрын
We unatomba
@IqramKhalfan-w5b
@IqramKhalfan-w5b 8 ай бұрын
Mimi ni muislamu lkn naitaji maombi ya baraka maana nna vipaji lkn ndoto yngu jhaitimii mna kila ninacho fanya hakitimii
@Yolanda-n3x
@Yolanda-n3x 9 ай бұрын
Mimi naona tu mkono wa bodygud 😅😅😅
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 9 ай бұрын
Hyo hela aliyopewa chid naitafakari sanaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rojasvideo6460
@rojasvideo6460 9 ай бұрын
nabii wa kiki
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 9 ай бұрын
Maombi ombea nyumani kwako unafiki mtupu nawewe wivu tuu kaza uelekeo wako
@mokitaa8750
@mokitaa8750 9 ай бұрын
muhuni kafuata hela tu
@SidBrand
@SidBrand 9 ай бұрын
African prophets have bodyguards....af wanasem tunalindwa na mungu
@Princerobian
@Princerobian 9 ай бұрын
Sad😢
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
Inasikitisha sana
@elizajohn8066
@elizajohn8066 9 ай бұрын
Amen
@lybuboyka1986
@lybuboyka1986 9 ай бұрын
Mnashangilia hiphop kanisani inasikitisha sanaaa hakika mtume wa mwisho ni muhamad s.a.w acheni kuibiwa kwa kuectiwa miujiza
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 9 ай бұрын
Chidi kaenda zake kuchukua maokoto ya January kasepaaa😂
@LucyMakoa
@LucyMakoa 8 ай бұрын
Keli maokoto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. 9 ай бұрын
Huyo bausan ni mkundu tu,kumanina zake,hampi mtu nafasi kabisa
@EspiSimai
@EspiSimai 9 ай бұрын
Huyo ambae munamuita nabii mnafikiri kama ndo Muungu Au sio 🤔sasa subiri Allah achukuwe kuimba chake akaone jinsi mungu alivyo na Adhabu kali na si yakutaniwa kama mnavyofnya hivyo kukufuru kufuru tu kila siku ndo mwisho wa siku utaenda kujuwa
@thescop1003
@thescop1003 9 ай бұрын
Hongera nabiii geo
@lybuboyka1986
@lybuboyka1986 9 ай бұрын
Inasikitisha sanaaaa hyo jamaa anajiita nabii wakati kila jumapili jamaa anapiga pesa ya maana acheni kubadilisha maneno ya mungu kwa pesa isiyo na thamani dunia tunapita tu jamani muogopeni aliewaumba kwani hakika yesu ni muislamu na alikuja kuwaambia watu wamsujudie Allah. Mrejeeni Allahu akbar.
@giningionlineTv
@giningionlineTv 8 ай бұрын
abii analindwa na Mabaunsa kama Shetani Diamond na hata uombe kupeana mkono nae hakuna ruhusa mpaka atake mwenyewe, hii ni ishara kuwa hawa watu ni wahuni tu kama wahuni wengine wa mjini hakuna cha Unabii wala Utumishi wa Mungu ni wasaka tonge tu, Mtumishi wa Mungu ni viongozi wa dini ya haki katika uislamu hawana mabounsa kama hao na wala hawadhuriwi na yeyote coz hawaja mdhulumu mtu yeyote na wanaishi maisha ya kawaida na ya huru kabisa ila kulindwa hivyo mpaka kwenye hayo majumba yao ya kihuni inatokana na dhambi nyingi walizonazo na dhulma dhidi ya watu wengine,Rashid ametumia ubishi wake tu kutoa huo mkono🤣🤣🤣🤣
@azaransari7307
@azaransari7307 9 ай бұрын
“macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, - Waefeso 1:18 a(Biblia Takatifu)
@emanuelkilangilo5585
@emanuelkilangilo5585 9 ай бұрын
Wasanii wazamani wananjaa sana wajua Mzee anamawe😂😂
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 9 ай бұрын
Matato yako AYANA malinda
@mitsumilton
@mitsumilton 9 ай бұрын
Mungu anapotaka kukuinua hutumia njia nyingi sana ambazo kwa mwanadamu was kawaida huenda zikawa hazifanani na uhalisia ,huezi jua mini kilichomfanya aende kwa nabii mkuu ila yeye mwenyewe na mungu aliyemuongoza huko ndo wanaojua,tuache Ku over think na tuamini kama nabii alivyomtamkia baraka basis mungu atimize na itakuwa vizuri mambo yake yatakapo funguka jamani
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya
@mitsumilton
@mitsumilton 9 ай бұрын
@@lonsman inachukua muda kumshawishi MTU aokoke haswa kwa MTU kama chid ambaye tayari Ames haji hang any a sana so pesa nadhani alipewe ili imshawishi kwamba hata kanisani Luna msaada kuliko huko aliko maana hats yesu aliwatengenezea pombe wakanywa ili wapate kujua kwamba uwezo was mungu ni mkuu
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 9 ай бұрын
Bodigadi anamlinda mchungaji mchungaji Si analindwa na roho mtakatifu mbaka anazuia mkono wa chidbenzi asisalimiane na nabiii
@AliDiamond68
@AliDiamond68 9 ай бұрын
Hata yesu alikuwa na wanafunz 12 ilikuwa huwezi kumfikia kizembe mpaka peter na wenzie wakubali
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 9 ай бұрын
Waislam ndugu yenu kafuata maokoto tu jaman msihofu January ngumu mjue😂😂😂😂
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 9 ай бұрын
Bora aende uko maana uku mnamzalau
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 9 ай бұрын
Sasa huyo baunsa na ushamba wake alikuwa anazuia mkono wa chid benz ili iweje
@desolz3809
@desolz3809 9 ай бұрын
Asipofanya hivyo atakosa mshahara😂😂😂
@hanspop6961
@hanspop6961 9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 9 ай бұрын
Kweli Tutafute sana maokoto, yaani aliyefiwa ndo anatoa rambirambi😅
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 9 ай бұрын
Hussein🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@consgmail
@consgmail 9 ай бұрын
😂😂😂😂 yaan umenivunja mbavu.. binadam tuna mengi
@SidBrand
@SidBrand 9 ай бұрын
😂😂😂 world isn't fair
@daudimichael7338
@daudimichael7338 9 ай бұрын
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi ili wawe na uzima, mgonjwa ndiye anahitaji tabibu, mzima hana haja na tabibu. Chid benz abadilike kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu aache yote yaliyoharibu maisha yake.
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza.
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
Je, huyo aliyekuja kanisani kaambiwa aache dhambi na kufanya mapenzi ya Mungu ama kapewa baraka aendelee kuimba muziki wa kidunia?? Acheni unafiki na kupotosha Kama mnamtumia Yesu kama mfano mtumieni kwa usahihi kumbariki mtu aendelee kuimba nyimbo za kidunia si kumsaidia mwenye dhambi kumjua Kristo, angemwombea na kumwambia mwanangu acha dhambi hali ya yako ya mwisho isije kuwa mbaya kuliko ya kwanza. Jambo lingine la pili ni kwamba huyo anayemwombea mwingine anaomba kama yeye ndiye mwenye mamlaka maana hajataja jina la Yesu wakati anaombea and yet watu mnashangilia without knowing the god that the man is praying to, Is he the God? Ama yeye ni Yesu kwamba ana mamlaka kama Mungu?? Someni maandiko acheni kushabikia watu badala ya kumtafuta Mungu na kuisimamia kweli yake
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 9 ай бұрын
Mzee ana shida huyu. Sema Chidi ego itamtesa sana. Ajishushe akubali, aanze upya.
@leokamil6284
@leokamil6284 9 ай бұрын
Hiyo ndio shida yake na Qchief wanajiona wanajua sana ,uliyoongea ni sahihi kabisa
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 9 ай бұрын
Na kwa vipaji vipo siyo kwamba wanabahatisha wa kuwasaidia ni wao wenyewe wakubali kwamba wanahitaji msaada
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 9 ай бұрын
NYIE MNAOFIKIRI HUYU NI NABII HAMUONI ALIVYOOKATAA KUSALIMIWA KWA KUSHIKWA MKONO MWANZONI,JE MNAJUA KWANINI BAADAE ALIMSALIMIA KWA KUMPA MKONO NASI PALE MWANZONI HUKU WALINZI WAKIMKATA ASITOE MKONO,SASA NJOONI INBOX NIWAPE MAANA MKOME KUAMINI KILAKITU.
@eliymanueljesus376
@eliymanueljesus376 9 ай бұрын
maana yake nini kama unayojua?
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Bado Ana kusudi na CHID BENZ Mwenyezi Mungu mfanyie wepesi, Amina!!!
@samwelgerald4767
@samwelgerald4767 9 ай бұрын
Nabii anaogopa Mkono wa Chid Benz 😅😅😅😅😅😅😅
@zmclassictv
@zmclassictv 9 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nWjNqqGuoraFZrcsi=Wq7oTKaPIgGdu19G Ona maajabu ya profesa
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 9 ай бұрын
Sasa uyo chidi apo ameenda Kwa mgaga lakin ana feeling kama kaenda kanisan bila kujua mchungaji NI wa mchongo
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 9 ай бұрын
Anaye jiita nabii nae, analindwa na bodyguard nadhani kanisani ni pahali patakatifu
@LameckZakaria-m2b
@LameckZakaria-m2b 9 ай бұрын
Adi police cyo bodyguard tu
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 9 ай бұрын
Manabii wa uongo wengi sana sikuhizi, ni hivo tu huchukua muda sana mpaka kuja kuumbuka
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
Uyo bodyguard jamani kama anataka kupigana na chid🤣🤣🤣🤣🤣
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 9 ай бұрын
Aaah kwenda kanisani ni njaa aah wabongo bna hapo ulipo unawezakuta babako alikuwa na hela ila kafulia Hana chochote kwa sababu hatumjui aaah sawa,acheni atafute njia iliyo sahihi labda ataludi kweñye gem Tena
@vitalischarles2714
@vitalischarles2714 9 ай бұрын
GOD IS ONE GOOD STEP BENZINOO..
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 9 ай бұрын
Watu hawajamsoma Chidi, alienda ku pay respect kwa ajili ya niffer, sema huyo dingi mchungaji miyeyusho mtu anakupa pole kwa ajili ya mwanao mnamzuia mkono, ushamba huo kuchoreshana, huyu mzee mimi sijamsoma kwa kweli, yaani kamuona chidi kababaika mara ametoa hela, chidi hajaenda kuomba hela ameenda kutoa pole ya msiba, maisha haya
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 9 ай бұрын
Sio wa kwanza chid kupewa pesa na uyo mzee acha upumabavu
@-vu2cs
@-vu2cs 9 ай бұрын
Amshike mkono then ajishike kinywani, au ashike bacteria aisee ndo maana magonjwa hayatakwisha sababu yakuendekeza utamaduni wa kijinga.. we unajua kapita wapi au kashika nn huyo chidi JITAMBUE BASI
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 9 ай бұрын
@@AjiaMohamed-rt5pb sawa heri yako wewe mwerevu kila mtu anaona na ana judge kutokana na jinsi alivyotafakari baada ya kuipokea ile picha, mpumbavu na mwerevu wote wanahitajika huwezi kuitwa mwerevu wakati mpumbavu hayupo. Kwangu mimi siogopi kuitwa mpumbavu ila something is not right about huyo nabii wenu
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 9 ай бұрын
@@-vu2cs anawashika mkono wangapi master cheki hiyo clip vizuri kisha tafakari, acha kushabikia shabikia sometime tumia macho yako vizuri kisha changanya na ubongo wako kutafakari kuwa chid alienda kufanya nini kwa yule mzee? Kwangu mimi niliona ameenda kumpa pole ila mzee akadata kaongea nonsense kampa mpaka hela wakati jamaa hakumuomba Kila kitu nilichokiona pale kwa yule mzee ni no sense
@-vu2cs
@-vu2cs 9 ай бұрын
@@mwanzacarpenter tatizo unajurge kwa hisia Broo tumia ubongo wako vzuri kupambanua mambo ktk uhalisia wake,,, Kwan lazima amshike mkono.?.. au Kuna uhusiano gan kumshika Chid mkono na Huduma ya Mzee?? afu kingine una mhukumu Mzee hali yakuwa ahukumiaye ni MUNGU.
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 9 ай бұрын
Huyu babu anasafilia nyota za watu no matter waaaa😂
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
Fact
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 ай бұрын
Mwache aende maana kapigika kiafya, na kiuchumi. Pia aache madawa. Mungu atamsaidia
@absm8084
@absm8084 9 ай бұрын
Chid kila nikikuangalia najiuliza nini 😢😢😢😢😢😢 Chuma namkubali balaaa
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 9 ай бұрын
WAMPE TUU HAYO MAMILIONI AONDOKE
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 9 ай бұрын
Najivunia kuwa muislaam. Kwenye uislaam huwezi kusikia upuuzii huu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 9 ай бұрын
Wahuni woote hawa na matapeli huyu nabii wa uwongo na huyo vuta bangi
@joejackson9282
@joejackson9282 9 ай бұрын
Bodyguard kakaza anajifanya hamjui chidy benzinoo
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 9 ай бұрын
Chidi ana mkwaju mpya na geo davis angalia behind the scene ya ngoma yao iitwayo "bouncer tumbiri"
@EmanuelMhando-ch4qi
@EmanuelMhando-ch4qi 9 ай бұрын
Akili kichwani,pesa mfukoni , Yesu moyoni
@consgmail
@consgmail 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jaman msinivunje mbavu
@stephenmtambo229
@stephenmtambo229 9 ай бұрын
sasa hawa bodyguardy mbn wanazingua kwahyo chidi akimshika mkono nabii atamdhuru ?
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 9 ай бұрын
Uchidi mjinga sana jamani
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 9 ай бұрын
Kosa lake nini
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 9 ай бұрын
Njaa mbaya jamani😢😢
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 9 ай бұрын
Et njaa kaomba pesa au ugali au ww ndo unasema wangap wameenda pale ivi unajuwa nn maana ya urafik yy kaenda kwa nihaba ya rafik yake mbona amsemi kama kaenda kutowa pole kwa baba ya rafik yake unawaza 🤔 njaa tu bas ww ndo upo na njaaa ulijuwaje chid yupo na njaa ww ndo mpishi wake au mke wake au mama yake au dada yake acha umama apa ndan kama una Cha kusema kausha komweeeee lako ww 😊
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤ Mchane 2 ukwer na komwe lake
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 9 ай бұрын
Babako mbona kafilisika husemi?
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 9 ай бұрын
@@mubuyafrancis3979 tatizo anajifanya anamjuwa mtu wakati uwenda ata ajawah kutana nae au kuishi nae
@irenematari6218
@irenematari6218 9 ай бұрын
Yaani mchungaji si ana dharau huyu eti tupige tu mkono paa yaani kumpa mwenzake mkono hakutaka kumbe 😮
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
Na kanisani watu wanashangilia 😭😭 Mwenyezi Mungu nakuomba sana uniepushe na ufakiri. Nipe maisha mazuri na uniepushe na maradhi. Mwenyezi Mungu niongozi mimi, familia yangu na watu wote wanaoamini uwepo wako. Njaa mbaya sana, inaweza kuyumbisha imani ya mtu anayekuamini..... 😭
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 9 ай бұрын
Ulitaka washangalie babaako anavyoshikwa pumbu,maku wewe,shoga mmoja
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 9 ай бұрын
Ila watu wengine mnamatatizo Sana aisee😂 we fikiria mtu mzima kama wewe unakuja kuomba Dua zako na za familia Yako kwenye post ya Millard ayo Tena public we mwenyewe fikiria kama uko sahihi dah😂
@omytifa6403
@omytifa6403 9 ай бұрын
Ameen❤
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@vincentcharles4385 Mwenyezi Mungu akulipe malipo yanayokustahiki kulingana na kosa ulilolitenda. Hauwezi kumtukana mzazi wangu nikakusamehe kirahisi. Mwenyezi Mungu namuomba akuoneshe madhara ya kuingilia mambo yasiyokuhusu. Hapa ni youtube sio kijiweni ulikozowea kutukanana na wahuni wenzio.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@Oldskulgemini9991 ungekuwa na maarifa kidogo tu! Ungewakataza hata viongozi wa dini wasipost video za kuntaja Mungu mtandaoni maana kumejaa matangazo ya hovyo na video zinazomkashfu Mungu. Kwakuwa halali ni halali na haramu ni haramu mwenye maarifa anatambua nini ni nini!?.
@mgayamgaya
@mgayamgaya 9 ай бұрын
Hako kabaunsa kakushoto kanaweza kuua hata kuku kweli???😃
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 9 ай бұрын
Mbona huyu Nabii wa mchongo hataki kupewa mkono anataka kugongewa tuuu
@-vu2cs
@-vu2cs 9 ай бұрын
We unajua Chid kapita wapi na kashika nn mpaka kufika hapo ndo maana wanazuia sana utamaduni wa kushikana Mikono mara kwa mara Ili kunusuru hata magonjwa yasiyo ya lazima( bacteria) ndugu ... Me naona mzee Yuko sawa tuu.
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 9 ай бұрын
Çhidi Benzi Nyota yako ingaeee
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 9 ай бұрын
Hajitambui kama yeye ni muislamu
@massuseif3786
@massuseif3786 9 ай бұрын
Nyota ya Shidi imenunuliwa
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 9 ай бұрын
Sijaona baya hapo hata ww unaweza ukawa siyo wa Imani hiyo Ila maisha ya kikuvuruga unaweza jikuta umeenda
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 9 ай бұрын
😢😢😢😢😢mpaka nimejisikia machozi,chidi benzi angekuw mbali sana nahsi kuna namna 😢
@giningionlineTv
@giningionlineTv 8 ай бұрын
Angekuwa Kibondo Kigoma ama🤣🤣🤣🤣🤣 hata uwe mbali kiasi gani hakuna mwisho mwema kwenye maisha yasiyo na baraza za Muumba wako, wewe unaingiza hela unakula bata na familia yako unajaza upuuzi kwenye vichwa vya wanadamu wenzako kazi gani hiyo kama sio ushetani😂😂😂😂 mimi hata msanii aseme amefanikiwa kiasi gani namuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine maana mwisho maisha haya ya duniani anaenda kusaga meno milele kwenye jehannam, kama ww ni muumini utakubaliana na mm kama ni KAFIRI utaniona ni mtu wa ajabu sana😂
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 9 ай бұрын
Eti nabii au mtume mungu tusamehe muko kwenye gizaaa hakuna tena nabii wa mtume baada ya washaopita unaenda kutegemea binadamu mwenzako akuombee mwenye kutatua matatizo na maradhi na kila kitu ni mungu tu alhamdulilh yarab kunijalia kua muislam na unifishe nao kwa ndio nuru
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 9 ай бұрын
Kanisani na misikitini huwa mnaenda kumsikiliza nani kule? Kuna mungu anaehubiri kule? Si ni binadam aliepewa kipawa cha kuhubiri? Acheni kukariri ujinga
@kalfanabasi4703
@kalfanabasi4703 9 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 9 ай бұрын
Kila mwanzo wa kuamini hua unaanza na tabia zako za asili, naamini hii ni hatua ya awali ya huyu chid kuanza kumtafuta Mungu, hakuna aliyeumbwa anamjua Mungu ila sote tulipokea injili tukiwa ni vituko kabisa vya watu, Sitaki kumuhukumu nabii maana sijamueka mimi aliko Na zaidi namuachia Mungu ndiye anajua ni kwanini kuna mtu kama yule wakati huu
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 9 ай бұрын
Hiyo pesa aende kujitibia mguu au ni kumsaidia pia,,anauburuza siku nyingi,,,,,usije kuoza tu na kukatwa,,wengi wanampa pesa je havuti tena?muhimu ni matibabu kwanza
@hamishalidy5696
@hamishalidy5696 9 ай бұрын
Rashid ndo kafikia uku 😢😢
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 9 ай бұрын
Uisllam so jina ni kuamini na kufata mamrisho yote na makatazo
@khalfanFarisy
@khalfanFarisy 9 ай бұрын
Jina tu hana UISLAMU huyo
@slom1ghabshi248
@slom1ghabshi248 9 ай бұрын
Njaa simchezo 😂😂😂
@ankaldally2734
@ankaldally2734 9 ай бұрын
Unakaribia ufakiri kuwa ukafiri
@issarashid7707
@issarashid7707 9 ай бұрын
😂Mbona Inaonekana Chidi anakuzwa nyota yake Kifrimason...Ila cc tunaangalia tu michezo ya watu na kazi zao
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 9 ай бұрын
Ahaaa! Na ndomana hii ngoma yake na roma ina trend sana mbaka najiuliza kwanin? Haikuag hiv kwa chidbenz ku trend no1 youtube na platform zingine why imekua ghafla hiv kw 3:44 a hii ngoma mpya???
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 9 ай бұрын
Daah asee 😢😢 NJaa mbaya sana
@desolz3809
@desolz3809 9 ай бұрын
Watu bhana msaidieni basi makasiriko ya nn?
@aluthajoseph2841
@aluthajoseph2841 9 ай бұрын
Mungu amekukumbuka Chidi beanz
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 9 ай бұрын
Njaaa Mbaya Sana Unasalit Iman Yko Kisa Njaa Siwezi Kuisalit Iman Yngu Kwa MAKAFIRI Kuingia Kanisani
@vincegelas
@vincegelas 9 ай бұрын
Jaman kaenda kutoa pole ya msiba
@giztony2009
@giztony2009 9 ай бұрын
Dini ni akili alivyotaka kumtamkia chidy akasita ndo mtumishi akaona isiwe tabu ngoja nitoe kibunda kwanza baada ya hapo chidy akasanda na kuwa mpole na kukubali kutamkiwa
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 9 ай бұрын
Mabaunsa wameuma ndimu rashidi ata haelewi lol
@chidi_don
@chidi_don 9 ай бұрын
Dahh sio poa kabisa yani 💯💯
@esterlaitetei5207
@esterlaitetei5207 9 ай бұрын
Nilipanda nae abudy kumbe alikuwa anakuja kwa nabii😂😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 9 ай бұрын
Chid the King 👑
@abbaskitambazi5782
@abbaskitambazi5782 9 ай бұрын
Kama dini zote zinaamin mziki n haramu kulikon mtumishi anamuombea chid arud kwenye kaz yake ya haramu🤔
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 9 ай бұрын
Nyie ni wanafiki mnasema mziki haramu hapohapo ukipigwa mziki unatikisa kichwa mnalewa mnazini hivyo siyo haramu? Au mnaongea muonekane mumeongea
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 9 ай бұрын
Bodyguard kisiran Uyo dooohhh😂 Ila child Benz 😅😅😅hamuelew kang'ang'ana anataka mkono WA nabiii
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 9 ай бұрын
Chidi mwenyewe anacheka
@djchiccotzofficialdjorigin1280
@djchiccotzofficialdjorigin1280 9 ай бұрын
DAR STAND UP
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 9 ай бұрын
Eti Rashidi😢
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 9 ай бұрын
Sasa huyo Mzee kuma huyo Bodyguard anataka kumzuia Chidi asimsalimie pastor ndio maana yake nini
@Chitte_Wa_Ukae
@Chitte_Wa_Ukae 9 ай бұрын
Mwanzo kabisa chid amekataliwa kupokelewa mkono alafu baadae anaombwa mkono yeye.
@hafidhali4336
@hafidhali4336 9 ай бұрын
Sio amemkatalia amemwambia wagonge ili kuongeza swaga tu
@Chitte_Wa_Ukae
@Chitte_Wa_Ukae 9 ай бұрын
@@hafidhali4336 hapana kama utaona vizuri hata reaction ya body guards utathibitisha hilo
@Official_Evara
@Official_Evara 9 ай бұрын
Angemalizia tu...attitude Nisher alitoa kwa babake💔
@josephlucas5798
@josephlucas5798 9 ай бұрын
Nabii analindwa 🤔
@oscarricko
@oscarricko 9 ай бұрын
Mziki hauna mipaka... love is love
@esmailesmail4319
@esmailesmail4319 9 ай бұрын
Bodyguard ana njaa
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 9 ай бұрын
Yesu alikuja kuokoa walio potea .bona mnamsema sana kwani nyie mmekamilika jamani mimi namwona yuko sawa kukimbilia kanisani haijalishi yuko vip mnao mwona hafai kwamungu anafaa kwasababu haibi cha mtu nyie ambao hamna njaa ishini na utajiri wenu hata matajiri kwa yesu waligawa mali zao wakawapa maskini mungu .muokoe mtoto wa mwenzio usimsemee mabaya hujui keshoyako itakuwaje namuombea abadilike kwakweli mungu atatenda
@HasaniOmar-m3u
@HasaniOmar-m3u 9 ай бұрын
nabii anaona mzki halali mungu atusadie njaa kubwa
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 9 ай бұрын
Manabii wa uongo utawajua kwa matendo yao ,Mwimbaji wa kidunia ameenda kanisani kupokea wokovu lakini Nabii anambariki ili aendelee kumtumikia shetani ktik hizo nyimbo na anatamka kumrudishia nyota,Neno la Mungu linaonya kuwaendea wasoma nyota..pia huyo ni muislamu ,Neno linasisitiza Toba ,angemuongoza Toba ili amkiri Kristo na kuachana na miziki ya Dunia Warumia 10:9 ,pia Nabii analipiza kisasi kwa waliomfanyia ubaya ,Kristo alikuja anatuagiza mpende adui yako kwa kumuombea Toba ....hapo utawajua manabii wa uongo kwa matendo yao Mathayo 24:11 Baba wa Mbinguni hapendi hata nafsi ya mtu mmoja ipotee 2 Petro 3:9 ila huyu anawapoteza wengi watu maarufu wanaenda kanisani kwake kufata less sio wokovu wakristo ,anajipa ukuu kuliko Baba wa Mbinguni ,wakati Mungu alisema agawani utukufu na mtu yoyote wala kitu Chochote ... Mathayo 24:24 Tupo nyakati za mwisho sio Kila kanisa ni kanisa la Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote ...Bali ipo miungu mingi duniani na mabwana wengi na makristo wengi 1 Wakorintho 8:5 ...zichunguzeni hizo roho kwamba zatokana na Mungu au la 1 Yohane 4:1 .....Mungu awabariki.
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
Stories za jaba😂😂😂
@alvin1865
@alvin1865 9 ай бұрын
Hata yesu hakuja tafuta walio wakamilifu bali waliopotea so unaejaji wewe nani unambingu yakuwapeleka watu au unajiona umekamklika sana hakuna aijuaye kesho
@natupe123
@natupe123 9 ай бұрын
Hapo YESU ni yupi? Au huyo mwenye body guards?
@KIPUDA2021
@KIPUDA2021 9 ай бұрын
Huu ni ushetani
@aishahazary4097
@aishahazary4097 9 ай бұрын
Iseee kweli njaa mbaya.
@mamasswtkichuna8969
@mamasswtkichuna8969 9 ай бұрын
hata ningekuwa mimi ndo chidy kwanini nife na njaaa😂😂😂kashabeba kibunda chakee anasepaa zakee
@MathayoMulumbi
@MathayoMulumbi 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@NeyoBreezy-ie1by
@NeyoBreezy-ie1by 9 ай бұрын
Wallah anaomba mkono anapigwa ka kangum ivii
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 9 ай бұрын
Ndo maana nimewahi kusema kua mtu akiwaambia kua Mungu anarinda viumbe, ujue huyo mtu ni masikini. Pata pesa, kua na vitu ataanza kujua maana ya maadui. Utatafuta kila mlinzi
@Mumewangu
@Mumewangu 9 ай бұрын
Mtihani mkubwa
@goodluckk-dotngonyani2427
@goodluckk-dotngonyani2427 9 ай бұрын
Chid benz in god's kingdom
@lonsman
@lonsman 9 ай бұрын
God's kingdom??? 😂😂😂😂 Which God ?
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 171 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
CHID BENZ ALIVYOUCHAFUA UWANJA KWA DAR ES SALAAM STANDUP
16:04
Wasafi Media
Рет қаралды 192 М.
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 39 М.