RAIS SAMIA AUKABIDHI MWENGE WA UHURU KWA KIKOSI MAALUM CHA JWTZ KWENDA MLIMA KILIMANJARO

  Рет қаралды 3,315

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 6
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 3 сағат бұрын
sisi yetu macho tu endeleeni
@davidmsambaakitabu.4933
@davidmsambaakitabu.4933 6 сағат бұрын
Kikubwa zingatieni baada ya shughuli za mwenge kumalizika watoto wa watu waliohusika kwenye halaiki wafikishwe makwao na kila kilicho cha kwao wapewe. Kusiwe na malalamiko kama shughuli nyingine kwa hao watoto, ikiwemo kulala stendi na kukosa chakula na nauli.
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 6 сағат бұрын
hiviii ufikiriaaa wakati unaandakaa maneno ya kichocheziii hayaa tena hayana nafasii tenaa kwa tanzania hiiii labda ingekuaa wakati wa vipofuuuu😂😂😂😊
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 5 сағат бұрын
Mimi sina mwanasheria ningekujibu
@husseinomary-dg1wx
@husseinomary-dg1wx 5 сағат бұрын
MH SIJUI MIMI NDOO BADO MTOTO SASA MABILIONI MNAYO TUMIA SIBOLA MNGE INGIZA KWENYE BAJETI JAPO ATA TUPATE UNAFUU WAKUGOMBOA MAITI ZA WATANZANIA MASKINI MAANA MFANYE MAMBO HAYO TAYALI TUNA JIWEZA KIUCHUMI NYINYI HAMNA SHIDA JEE MNATUANGALIA VIPI SISI
@jacksportman5181
@jacksportman5181 4 сағат бұрын
Kila jamii Ina wajibu wa kuendeleza historia ya Taifa lao kwahyo hata hili Lina umuhimu mkubwa ila hata Hilo la kujali Afya na maisha ya jamii pia ni wajibu wa serikali ✍️
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 37 МЛН
RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA PASIANSI MKOANI MWANZA
23:59
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН