Hivi huwa ni mm tu ebu mnipe tofauti kati ya commando na mwanajeshi
@ashrafadam46298 ай бұрын
Tofaut ipo kubwa sana, kwanza comando anamaliza koz ya JW zen anaenda kusoma koz tena ya commando, na co kla mwanajesh n commando ila kila commando n jw
@pavlotz80848 ай бұрын
Mafunzo yao ni tofaut kabsa,mafynzo ya komndo mmoja jisawa na ya wanajeshi miamoja
@YusufLubangula-yn6tq8 ай бұрын
Tunaupenda Muungano na Muungano uendelee Kudumu Nampongeza Rais SAMIA, Makamu wa Rais Philip Mpango na Wazirimkuu KASIMU MAJALIWA na Wengine mliokutanahapo Kwa ajili ya kuuenzi Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar🙏🇹🇿👍
@Laydejulie3 ай бұрын
Ruto umezubaa aje😅😅,,, as if Kenya hakuna kitu kama hio
@MartinWahome-i1o3 ай бұрын
kwa battle field story hukuwa tofauti hii ni maonyesho tu.
@FIDELISMfugale8 ай бұрын
Vichanel vya kisengeeee
@KipaswizaAllele-b7b9 күн бұрын
Nami natumaini kwamba wenye uwezo wawezeshwe ubunifu wao
@janerosejohn83738 ай бұрын
Kudos for the 5M subs. Keep the hard work.
@jamesjahasa33488 ай бұрын
Acheni uongo kumdanganya mama mvalishe yeboyebo ndio abuluzwe😂😂😂
@IddyAmir-gq1jr8 ай бұрын
Kavae wewe kama vile uburuzwe tuone
@rejobu97238 ай бұрын
Khaaa wewe ni muuaji aisee 😂😂😂
@LORDRICKNKYA8 ай бұрын
Huna akili ww
@deniccgabriel61538 ай бұрын
Uyo mamaako nae chenga2 unamuonaje?
@MathewNathan-yb2bz8 ай бұрын
Hao makomandoo wako vizuri ni bora wapelekwe DRC Congo wakaonyeshe ukomandoo wao wa kupigana na M23.
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DubaiRolla-rx9nz8 ай бұрын
😂😂😂😢
@JamesDakki8 ай бұрын
Tuombe vita ya kirafiki na M23😂😂
@aishafrancis77148 ай бұрын
Waende mara ngapi?
@ofwonoleviticusfavour65277 ай бұрын
Love from Uganda
@hamissnjumba3028 ай бұрын
nakpenda saana mama SAMIA lakini nakuomba uyakumbuke majeshi Yako yoote
@Dymitri-Babushka.8 ай бұрын
Na hatuwahi ona wakipelekwa nchi zingine kusaidia usalama Kama waganda,wakenya na waburundi,hako tu nyimbani kuonyesha vituko 😂😂
@Muhammed.Kılıçarslan7 ай бұрын
2000 yıllık düzenli ordu geleneği olan ve dünyanın en güçlü orduları arasinda yer alan Türkiye'den askeri açıdan teçhizat ve eğitim almanızı öneririm..
@geofreywayesu56388 ай бұрын
Askri wako vzr sana ninawapongeza sana
@SharonGodwill8 ай бұрын
ivi ukiacha iyo miguu katikati ya njia unadhani uyo Samia atakuelewa upande wa matibabu
@kennedyariembi55458 ай бұрын
😂😂😂si east Africa tukona upuzi mob😂😂😂
@ThionaBeatusАй бұрын
Nimependa
@joelntuka8 ай бұрын
congraturation for 5M millardayo team
@PhilipoLeonard-q5w8 ай бұрын
Uhame bongo uende wapi
@drcezzane36308 ай бұрын
Kwani Hawa Wanakaa Wapi? 😅😅😅😅😅😅
@nassormessi-zk5cz8 ай бұрын
Hakuna maonyesho hayo siku hizi watu wana ndege hazina hata Rubani wala musijaribu kuchokoza watu mbona hampigi ya usoo
@jewelmabhenga47428 ай бұрын
Tuongeze budget ya kununua ndege zisizo na rubani na mifumo ya anga kujilinda.
@BonnyMesopirr6 ай бұрын
I can see my president William Ruto
@salehegiza33058 ай бұрын
Kama vip tuombeni mechi za kirafiki tuone kama tupo sawa kweli😅😂
@AbrahamMohamed-o4q8 ай бұрын
Ndo nini?sasa
@IssaNasir-v2e8 ай бұрын
Komando mbona hata watoto mtaan kwetu wanaweza zaid ya hivyo
@rasvegas89918 ай бұрын
Achenii utaniii hayo mafunzo mazur km wanatupiga sisi raia sawa lkin km n boko harama noooo
@salyali78078 ай бұрын
🤣🤣🤣
@DonardNzogera8 ай бұрын
Tanzania We are the top
@msafirially7849Ай бұрын
Interested
@Africanculture-e8q8 ай бұрын
Ule ujinga uko Tanzania
@kipkorirprotus95738 ай бұрын
Hapo sasa
@binrashid86718 ай бұрын
Ni mtz ila kwa hili hapana
@LUBAINAMOHDRAJAB8 ай бұрын
Vita vya uso kwa uso hakuna skuiz kuna vita kila mtu anapigana akiwa kwake km huna ulinzi wa kuzuia makombora angani utachafuliwa na nchi kuwa magofu. Hamuoni urusi na Ukrain. Israel na Iran
@JifunzeNenoLaMungu8 ай бұрын
Sio kwamba hakuna.. Hivyo vipo kwenye special operations, mfano ulipuaji au kuharibu silaha za air defense unatumia watu wanaojua za uso Kwa uso kuzaifisha hizo system wanapokutana na ulinzi wa watu, 2. Hata ukipiga bomu makazi ya Hamas, au ubalozi wa Iran, ukimaliza unatuma watu wa uso Kwa uso kufagia waliobaki, na hawakai mbali na target.... Na tatu kwenye uso Kwa uso hamna camera
@NeemaJuma-xn9nw8 ай бұрын
@@JifunzeNenoLaMunguyote kwa yote bado tupo nyuma
@JifunzeNenoLaMungu8 ай бұрын
@@NeemaJuma-xn9nw Jeshi linaakisi uchumi, laa sivyo ufilisi nchi zaidi uwe imara kijeshi, wakati watu hawana maendeleo... Vita zetu ni alshabab na waasi kama wa congo... Nchi zilizotuzunguka hakuna mwenye ulinzi wa kama Israel au uwezo wa kurusha makombora 300 Kwa wakati mmoja bila kufilisi nchi... Tuko na maskini wenzetu tu wa uso Kwa uso...
@LORDRICKNKYA8 ай бұрын
Mzee umesema Urusi na Ukraine si ndio huoni Kuna wanaoingia kwenye combat au unafikili Yale maloli huwa yanabeba nini?? Hata hao Urusi na Russia wana makomando pia na pia unajua jukumu la makomando ni kufanya operation kama unajua maana ya operation za kikomando utanielewa
@JafetiKanyala8 ай бұрын
Mie natoa maoni jeshi Sasa ivi lijikite kwenye vifaa vya kisasa Sasa ivi watu wanapigana ukiwa kwako akuna vita Kama Ile ya idi Amin ayo nimaonesho tu akuna komando Bado tupo kizamani
@isaachayes97838 ай бұрын
SWALI LANGU LINAKUJA,MBONA HAWA KOMANDO HAMKUWALETA SIKU ILE ASKARI WA KAWAIDA WALIPOCHUKUA TAKRIBAN MASAA 4 KUKABILIANA NA HAMZA PALE UBALOZI WA UFARANSA!? Kwa jinsi walivyo wangeweza kumkamata akiwa hai.
@geuzasilvester17158 ай бұрын
Yan na wew hamza ndio ilikua anahitaj komando?
@joycemkeka37698 ай бұрын
😂😂😂 yani kweli waletwe makomando kumkamata hamza we acha utani
@manasehi8 ай бұрын
Happy Union day, Hongera kwa jeshi letu, muwe wazalendo mtulinde raia. Mtulindie pia na rasilimali zetu, wazungu wananufaika sana kuliko sisi. Nachukia sana kuona wanakusanya trilions za pesa kwenye mali zetu ambazo tungenufaika wote kama wananchi.
@AshaMwamba-v2o8 ай бұрын
Kaumia ilo Kofi imeanguk
@fatmafatu11288 ай бұрын
😂😂😂😂
@AwaziRajab8 ай бұрын
Tuwapende Asikali Wetu Tukumbuke Kibiti Laiya Mbio Amboni Tanga Laiya Mbio Lakini Asikali Awajakimbia Walienda Kumaliza Utata Utakuta Mtu Anazalau Asikali Lakini Kwake Wakipta Panya Rodi Wanaingia Mivunguni Mazoezi Sio Vita Bali Ni Maonesho2
@neemaevance808 ай бұрын
Safi ❤❤❤🙏
@ShabaniRamadhani-jb6wy8 ай бұрын
Waziri akiogea juu ya buge hili
@AfricaCIA8 ай бұрын
Upuzi ..hii kenya nlinafanywa na nys
@OmaryMgoss8 ай бұрын
Asa umeambiwa hapa ni Kenyan acheni izo , nchi Kenya raisi Kenyatta mna tofauti gani angalia nchi yako🔩
@DevotaIjumba8 ай бұрын
Mungu awalinde😂😂😂😂😂😂
@jrsaid42708 ай бұрын
Hakuna kipya ni yale yale tu kila mwaka , innovation zero
@aishafrancis77148 ай бұрын
Nenda wewe katuonyeshe mapya yako😎
@jrsaid42708 ай бұрын
@@aishafrancis7714 Hamna haja ya kwenda njoo wewe nikuoneshe mapua kwenye hill Kuma lako Nazani utaona mapya
@zackhisa9558 ай бұрын
5M subscribers si unigawie tu 500k only😂😂please
@abubakaryabdallah47088 ай бұрын
Kumbe nikikaza kidogo naweza kua komando
@esthermugoli45278 ай бұрын
Maybe 😂😂😂
@nassormessi-zk5cz8 ай бұрын
Hamn kitu Robort mmoja tu anawamaliza wote
@Allymoh0018 ай бұрын
The only thing that makes this vedio looks amazing is the rainy weather.....
@ObediMeyan8 ай бұрын
Ni noma sana
@AhmedMohamed-o8e3h23 күн бұрын
Sio mbaya
@Nashohaule8 ай бұрын
Je?yahamuumii kwel Tanzania Mungu ametu ark
@DotiVirtuoso8 ай бұрын
sasa hi ninini? tutawai fikia wakenya lini wanaTZ wenzangu? wakenya wako mbele sana ama namna gani wenzangu?😃😄😆😋😛😜🤩😂🤣
@LangxSheby8 ай бұрын
Mseplasi uo ungekua lati iyo yamtipoli usingevunjika mala1 naukiona wanavunja tofali ujue mfuko1 wasiment walitoa tofali100 nchi ya tz niyaujanja ujanja tuu adiwanajeshi waongo😂😂
@GbpAud_King8 ай бұрын
Mnadhan M23 wanapigana na vimti izo🤣
@mtaanasanaa65578 ай бұрын
Hujui Maana ya maonesho???
@MiriamAbdallah8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NeemaJuma-xn9nw8 ай бұрын
@@mtaanasanaa6557jibwa
@kisrahcogar85388 ай бұрын
Wanaletwa marehem kila kukicha 😂😂😂
@joycemkeka37698 ай бұрын
Kufa vitani nijambo la kawaida kwao hatauwe mjuzi kiasi gani usicheze na vita
@sunwizy6088 ай бұрын
hahaha😂😂😂😂😂 vitan awawez pigana ivyo ila nawaamin
@ABBASIKANDULU-kl8zc8 ай бұрын
Tanzania chanel ya vichekesho huko mbinguni 😅😅
@JumanneMwita8 ай бұрын
Mbona kenya maonesho yao ya kisasa hapa kama ya zamani sana
@bestscenes9558 ай бұрын
In a war how can the whole platoon withdraw living only two colleagues covering fire??? Si watachapwa na adui! Ama washikwa na mkono!!!
@RichardElias-km9ql8 ай бұрын
Amna kitu apo
@HanzKisanga2 ай бұрын
👏👍
@IreneMabenga3 ай бұрын
One lov
@ramxonforex7728 ай бұрын
nchi yetu bana
@MikereMio8 ай бұрын
Umeme wa mgao , rushwa. Imekithiri
@itanzaniaAS8 ай бұрын
Napenda kazi kama hizi?
@deniccgabriel61538 ай бұрын
Hiv wanatuonyesha vichekesho kilasiku😂 jeshi kwa sasa ni technolojia kama huna ndio tuone mazingaombwe kama haya yakutunisha misuli bila kutumia akili.
@anoldpotentin24468 ай бұрын
America wanavikosi vya makomando kama Green baret, Delta force, Navy seals, Army Rangers. Russia wanakikosi cha makomando kinaitwa Spertnaz, sasa kwanini wasifute vikosi vyao vya makomandoo wakawekeza kwenye technology tu? Mtaalam wa maswala ya kijeshi? Je kwanini America na Russia wanawekeza kwenye majeshi ya ardhini sana?
@RajabuKhatibu-nl4uk8 ай бұрын
Asanteni sana
@dicksonmlibwa36618 ай бұрын
Inatishaaa ama kwel jeshi letu n imara
@HassanHassan-si2rt8 ай бұрын
Badoo sanaaa
@ArushaBoyfire4 ай бұрын
Good
@francenipala8 ай бұрын
Kwahy ndio kakazen hao
@prosperjohn20478 ай бұрын
Kwa Dunia ya sasa, haya siyo mambo ya kuwaonyesha watz wenye akili zao, oky hongera sana Kwa haya, AMBAYO ni sawa kwenu🤔
@binrashid86718 ай бұрын
Yaaani 😢😢 majirani watatucheka sana
@almahdialmahdi55457 ай бұрын
ياشباب ياكومندو عدوكم هو الدولار الأمريكي!!!فهل أعددتم له عدة لمواجهته في السر والعلن فإنه يشق الصدور ويملك القلوب وتخضع له الرقاب ؟ ؟ ؟/نيامي عاصمة النيجر
@SebastianMbata12 күн бұрын
Saw
@frankmahenge59438 ай бұрын
Bado sanaa
@itanzaniaAS8 ай бұрын
Mhm😂😂
@kandaboy30268 ай бұрын
Bure kabisa
@fatimaussene10108 ай бұрын
Haya tumekubali
@ZainabuIddy-r1o8 ай бұрын
❤
@TibaTito8 ай бұрын
Putin akijikuna tu wote wanaishaaaaaa
@raymondmilanzi8 ай бұрын
Acha kuwaza mabaya
@ShedrackShedrack-c2b8 ай бұрын
Inabidi kuwapeleka gaza awamakomando
@clementsabuni758 ай бұрын
Wapelekwe gaza ili tuone ukomandoo wao.
@clementsabuni758 ай бұрын
Siku hizi ni vita vya teknolojia kama huna ulinzi wa anga unakuwa majivu unalengwa kutoka angani hata kama umejificha wapi.
@clementsabuni758 ай бұрын
Ukomandoo ni mazoezi tuu ila tz tuna mbinu za kijeshi tunaweza kupambana na maadui hata tukienda gaza tunaweza kusurvive.
@FeisalDoctor-wr8ws8 ай бұрын
@@clementsabuni75🙄🙄🙄🙄🙄
@clementsabuni758 ай бұрын
@@FeisalDoctor-wr8ws mbona unashangaa mkuu feisal hata wenzetu walianza taratibu inatakiwa tujivunie tulichonacho tusijivunje moyo kwasababu maneno yanaumba ukikubali kushindwa na kweli unashindwa, afrika ni imara ndo maana wazungu wanaogopa sana mwafrika siku akizinduka wamekwisha maana ataanza kuwa na. viwanda vyake vya teknolojia.
@babawamtaa85388 ай бұрын
Kwakweli nimeupenda uwezo wao nashauri tuombe vita ya kirafiki na urudi
@queenlutufyo17928 ай бұрын
Hujui usemalo
@fabiogomieiro41317 ай бұрын
E dizer que a maioria dos dirigentes e oficiais desses países estudaram na Grã Bretanha.
@amossimon10957 ай бұрын
haha hatar
@kipkorirprotus95738 ай бұрын
Hapo hakuna kitu, mbona sasa haqaitwi kwenye majukumu ya ulinzi katika mataifa mengine inje ya afrika? Izo mbwembwe tu
@WinfridaFabian8 ай бұрын
Kwa mazoez haya tunaweza kupigana na Rwanda kweli?au tunaweza kupiga wakina lissu tuu
@Дежурный-я8к7 ай бұрын
Упражнения 19 - века
@kevinatinda22428 ай бұрын
This is more of comedy;;
@ssaa74958 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KHAMIS_SHILINGI8 ай бұрын
Nendeni mkwasaidie wapalesrina😢😢😢
@fredducaunt8 ай бұрын
😂😂
@godfreydavid69968 ай бұрын
Nasikitika sana,wako hapo kuwalinda Watawala na sio wananchi.
@Jal2108 ай бұрын
Acha ujinga wewe
@godfreydavid69968 ай бұрын
@@Jal210 Haikuhusu man,kama na wewe ni mmoja wa watawala enjoy tu.
@johnnyhandoko18496 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saidimussa81288 ай бұрын
Duh sasa mbna sion maajabu sas Duh !
@ahmadmohd37718 ай бұрын
😂😂😂
@anrelyltv37578 ай бұрын
😂
@Bushman0008 ай бұрын
Raia wenzangu tuache ujuaji na movie tunazo angalia naona comment nyingi ziko kimchongo😂😂😂😂 ASKARI WETU WAKO VIZURI SANAA