MAPYA YA MREMBO CHERRY ANAYEISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI, APATA SHAVU “MUME BADO NIPO NAE”

  Рет қаралды 27,108

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@DeboraUrassa-h6n
@DeboraUrassa-h6n Ай бұрын
Mungu ni mtetezi wako chery
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Hongera dada kwa ujasiri ulionao, unyanyapaa ni ujinga pia ni imani potofu, ingawa watu bado ni wagumu kuelewa hasa watanzania, wamejaa kukejeli tu na dharau
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery 16 күн бұрын
Hongera dada kwa kuelimisha
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 5 ай бұрын
Hongera dada mungu azidi kukupingania😊
@zainab8251
@zainab8251 5 ай бұрын
Nakupenda sana dada MUNGU akujalie maisha marefu uendelee kuelimisha jamani ❤❤❤
@JenifaJohn-k5d
@JenifaJohn-k5d 5 ай бұрын
Watu wana view tu hamana hata like.....anyway hongerah dada ww ninshujaaa
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 5 ай бұрын
​@@NeemaSamson-ti8pcnaona hunajamuelewa mwenzio soma Tena coment yake
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Sorry mwaya kwa hiyo coment nimekosea stres nyingi
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
@@JacqDaniels-hu5xj daaah aiseee kweli bwana cijui ni haraka
@MajaliwaMhungati
@MajaliwaMhungati 2 ай бұрын
Pole saana pia hongera saana...wewe ni shujaa
@zaituniendaloveyoutanasha.1258
@zaituniendaloveyoutanasha.1258 5 ай бұрын
Nakupenda sana cherry wangu mungu akutunze ❤
@asteriashios1852
@asteriashios1852 5 ай бұрын
Hongera ni kweli kabisa ni mfano wa kuigwa watu km unavyo tumia Arv tii mashart jitambue jitunze utaishi muda mrefu sana
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 5 ай бұрын
Hongera dada
@JeanneManirakiza-tg4kr
@JeanneManirakiza-tg4kr 2 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮 nakupenda dada
@Babygirl758
@Babygirl758 5 ай бұрын
ana ngozi nyororo hana hata doa, allahuma Barik
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 5 ай бұрын
Kuugua siyo kufa mungu atskusaidia
@Lulucut
@Lulucut 5 ай бұрын
Wewe mzima😂😂😂
@gracemil9714
@gracemil9714 5 ай бұрын
Nakupenda
@ezronhussen5401
@ezronhussen5401 5 ай бұрын
❤❤❤nakupenda sana da cherry 😊
@neycoleclassic4426
@neycoleclassic4426 5 ай бұрын
Cherry ❤
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 5 ай бұрын
Hongera sana ,tuwekee no sasa tuwasiliane na wewe
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 2 ай бұрын
DEO good person niliwahi kufanya naye kazi
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 ай бұрын
Dada wewe ni shujaa, hongera sana, kwenye Elimu ungeongeza na kipengele cha ubakaji umekua mwingi mavyuoni, mashuleni, majumbani, wanaume wabadilishe tabia kubaka kunazidisha maambukizo
@MwanadiRajabu
@MwanadiRajabu 5 ай бұрын
mm nilikuwa naitaji kuonana nae
@NeemaKwingwa
@NeemaKwingwa 5 ай бұрын
Ayo huwa anatoa taarif zamaana nazakwel hatafut kik
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 5 ай бұрын
Ugonjwa siyo kifo!! Kila mtu atakufa kwa wakati wake!! Ni wangapi wamekufa bila kuumwa!? Tambua hilo?
@MrMr-fr9dx
@MrMr-fr9dx 5 ай бұрын
Mm nataka namba zako dada
@vickysimon5459
@vickysimon5459 4 ай бұрын
Ofisi zenu za nakopha kwa hapa dar ziko wapi
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j 5 ай бұрын
Kwani kua na ukimwi ni ajabuuuu
@kajalamaganga1913
@kajalamaganga1913 5 ай бұрын
❤❤
@angelrichard899
@angelrichard899 5 ай бұрын
Nakupenda xana cherry MUNGU AKUBARIKII XANA.....
@elizabethdanford
@elizabethdanford 5 ай бұрын
Naomba namba zako
@ZephaniaChomola-du5vj
@ZephaniaChomola-du5vj 5 ай бұрын
Ubarikiwe
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 5 ай бұрын
Congratulations ❤❤❤❤
@boscokikoti
@boscokikoti 5 ай бұрын
Ww ni shujaa...nakupa maua yako
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 5 ай бұрын
Naomba namba nijaribu nahisi sitopata ngoma
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Acha kumdhihaki dada wa watu pia acha dharau
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 5 ай бұрын
Uzuzu sio lazima kuokota makopo boya wewe uliambiwa yupo kwenye majaribio kubwa zima ovyooo
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 5 ай бұрын
@@Lodrickmwambene analeta ungese kwenye maisha ya watu sijui lina heartbreaking 😳😳
@philibertphilipo9569
@philibertphilipo9569 5 ай бұрын
Nyie bila kupewa hela mnafanyia mtu Interview acheni uboya
@husseiniddy5401
@husseiniddy5401 3 ай бұрын
ukiangalia tu kwenye mtandao unaweka bando nikama unawalipa
@2116-n
@2116-n 2 ай бұрын
Jamaa Hawa ukiwaona wanafanya interview unaweza kudhani ni bure, hizo wanaofanyiwa interview WANAKUWA wamelipia, KUPATA interview ya Bure labda uwe umekutwa na tukio ambalo wao watauza habari km ajali, kuibiwa n.k
@2116-n
@2116-n 2 ай бұрын
Hivi huyu si ndio yule alimpiga chini yule jamaa yetu aliyekubali kumuoa licha ya kwamba anamaambukizi, au namfananisha
@IsmailMajani
@IsmailMajani 5 ай бұрын
Daa kama alibakwa na watu je walichukuliwa hatua Gani?
@ramlahaji830
@ramlahaji830 2 ай бұрын
Hatua gani ?? Na watu walikimbia + Hawakupatikna
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 5 ай бұрын
Huyu dada ni wamfano wa kuigwa
@hallin9561
@hallin9561 5 ай бұрын
Ukimwi unadawa majameni kazi kuziendekeza ARV Tu
@openglo
@openglo 5 ай бұрын
Wazikudanganye matapeli akuna dawa ya ukimwi.
@ramlahaji830
@ramlahaji830 2 ай бұрын
ARV ndio tiba sahihi ww- Jielimishe- Na usiwe Mjinga
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 5 ай бұрын
Ukimwi una dawa kwa sasa
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Ndio dawa ipo ila tatizo tumeshikiwa akili na wazungu
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 ай бұрын
​@@NeemaSamson-ti8pchawataki kusikia kabisa hizo zingine
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
@@fatmazullu4933 ndio hapo sasa figo zinazidi kuharibika na ini
@openglo
@openglo 5 ай бұрын
​@@NeemaSamson-ti8pcusidanganywe wewe akuna dawa muombe Mungu yasikukute.
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
@@openglo sio kwamba nadanganya hakuna ugonjwa usiokuwa na dawa sema tumeshakaririshwa hivyo na wazungu kuwa hakuna dawa, ila suluhishi lipo, mi naamini hakuna tatizo lisilo na utatuzi hapa duniani ni sisi wenyewe waafrica tunaamua kushikiwa akili na wazungu wakati kuna miti ya kila aina na mimea ya kila aina we unadhani mungu aliumba ya nini? Miti hiyo au dawa za asili ni muhimu sana kuliko hizo dawa za kunywa kila siku ambazo zinaua figo na ini, upo?
@rashowshine7849
@rashowshine7849 5 ай бұрын
Shida siyo ukimwi shida ni kumeza hizo ARVs kila siku tena bila kupitishanisha masaa 😢 kama hizi za mafua yakipungua kidogo unasahau kama kunakumeza dawa
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Hapo ndipo adhabu mtu anatumikia kibaya zaidi hizo dawa zinaenda kuua figo na ini taratibu
@khadijabakari2932
@khadijabakari2932 5 ай бұрын
Hauwezi kusahau kama mtu unaumwa aiseee unaweza ukala dawa hata kabla ya mda😊😊😊
@Brawgirl
@Brawgirl 2 ай бұрын
​@@NeemaSamson-ti8pcmmmh acha kupotosha watu ety zinauwa figo wapi
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
@@Brawgirl ni ukweli sio kwamba napotoaha watu
@SalmaMoris-d5r
@SalmaMoris-d5r Ай бұрын
Haziuwi figo wala ini usitishe watumiaji ,maana hakuna anaetaka yamfike ila ni mipango ya mungu tu likukute ​@@NeemaSamson-ti8pc
@franktangeki9342
@franktangeki9342 5 ай бұрын
kafikia stage Virusi vya ukimwi Vimelala anaweza kufanya mapenzi na mtu mwingine.Jameni ebu nitumieni picha ya virusi vya ukimwi vikiwa vimelala ndio ntaamini si tuna wataalamu muhimbili wakuweza kutueleza kama virusi viko macho au vimelala ?
@lickymaker5857
@lickymaker5857 5 ай бұрын
😂
@vickysteven1172
@vickysteven1172 5 ай бұрын
😂😂
@HamidaMwenje
@HamidaMwenje 5 ай бұрын
😂😂😂
@dorcassalvatory1518
@dorcassalvatory1518 5 ай бұрын
Ukitumia vzr dawa zako Kuna stage ikifika hauwez kumuambukiza mtu yyt yule
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 ай бұрын
Sasa wewe nenda peku peku ukiwa umeaminishwa virusi vimelala usingizi ndo utajua. Cheza salama mzee 😊😊😊😊
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 5 ай бұрын
Nakupenda
@TinahFrank
@TinahFrank 5 ай бұрын
❤❤❤
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 23 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
PENZI LA CHERRY (ANAYEISHI NA VVU) NA TONY LAVUNJIKA??
3:27
Wasafi Media
Рет қаралды 4,6 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН