Mungu hakuruhusu wewe kuwa na Ruge alikuwa ameshakupangia fungu lako Nandy.Bilnass deserves to be with you
@moonashariff93095 жыл бұрын
Alie muona madam Rita akilia kavaa mtandio mweus na miwan gonga like twende sawa
@raphaelzion13663 жыл бұрын
a tip: watch movies at Flixzone. Been using it for watching all kinds of movies these days.
@jamarijulius17783 жыл бұрын
@Raphael Zion Yup, I've been watching on flixzone for years myself =)
@brendanxzavier36493 жыл бұрын
@Raphael Zion yup, I have been using flixzone for months myself :D
@olgacaleb68223 жыл бұрын
Kama bado unajikuta apa ukimkumbuka ruge 2021 gonga like twende sawa
@witnessmangula73106 ай бұрын
Mimi 2024 nipo
@lilianuronu71165 жыл бұрын
R.I.P Kibonde juzi kwa Ruge Leo zamu yako akika mlikuwa mnapendana ila mungu kamipenda zaidi safal yenu ikawe na nuru mwendapo
@wessinemadrama5 жыл бұрын
Pole sauna nady
@alicenapokoli96655 жыл бұрын
Nandi, you're a powerful gospel musician. Be increased by the Lord Nandy. Sorry for the loss.
@mariamuhadi89585 жыл бұрын
Km umemuona huyo aliyempa nandy maiki nae hayupo duniani nipe like yangu
@vaileticleophace45825 жыл бұрын
Jmni si wote tutaondoka au,? Cha msingi we tengeneza njia yako
@heppymunisi3775 жыл бұрын
kibonde jamani
@pochinene23245 жыл бұрын
Like ya nn
@shamayzawahir25085 жыл бұрын
Daaaaah eee mungu tupe mwsho mwema.hatujui cku sekunde saaa wal dakik ya kuondoka
@ednahgichana15995 жыл бұрын
Hahaaa
@davidtumwesigye73405 жыл бұрын
Poleni sana Ndugu zetu watanzania.We Ugandans grieve with you and we pray God to strengthen the family of Ruge in this difficult moment.We have lost a hero.
@mariajoseph35455 жыл бұрын
hadi huruma jamn pole sana Nandy Mungu awatie nguvu bt umenifanya nami nimelia
@asmamashaallhmmeendezakama98895 жыл бұрын
Maria Joseph
@azrethiajosia82025 жыл бұрын
Poleen jamani inasaktisha xn
@حميورمضان5 жыл бұрын
Jikaze mummy dah inauma sana wallah ila hatuna budi kumshukuru ALLAH kazi ya mungu haina makosa Allah ndo mpangaji mbele etu nyuma ake njia etu sote Allah kareem Allah amlaze mahal pema pepon Insha Allah ewe Allah tusamehe waja wako dhaifu
@kambuakambua7915 жыл бұрын
Only God who can define love. .pole
@sharney05605 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 My heart is broken. And I didn't even know him apart from the media
@oumaishababy95765 жыл бұрын
Rip kibonge aliyempa Nandy kipaza sauti kama umemuona gonga like
@happyjovinary77125 жыл бұрын
Oum isha Baby kama namuona bado Yuko hai
@lilianpalanjo24445 жыл бұрын
Yaani nimelia zaidi
@emmaculatealuse11145 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu. Kenya twawapa pole sana
@madamejohari5 жыл бұрын
Asanteni Wakenya
@phibijulius47595 жыл бұрын
Amen ninapenda San Hii wimbo wako
@anyfacealexender52525 жыл бұрын
Pole mommy inaumiza sana BT mungu atupe moyo wa uvumilivu ktk kpnd kigum, pole Tz
@GloryEmmanuel-q4f2 ай бұрын
😢😢nimekuja kimsikiliz nandy 2024 mwez 11 tarehe9
@ashakhamis59435 жыл бұрын
R.I.P shujaa wa kimataifa Ruge mungu akupunguzie adhabu ya kabur AMINA....
@sylviamoisso71325 жыл бұрын
just imagine the man who fix the mic now his dead ,lord I respect you
@mariamkiharo63455 жыл бұрын
To sad
@tracyshad86655 жыл бұрын
Dont cry, I lost my son and it has never been the same,I love God
@hukuUJERUMANI3 жыл бұрын
@Tracy Shad I am reading your comment just now. It's a year late, however my heart is touched to say sorry to you, to wish you strength, healing and restoration. God is with you.
@kasssimathman42125 жыл бұрын
aki pole sana nandy mungu akutie nguvu jamani,ila usichoke na maisha msanii
@sarahomarijuma96515 жыл бұрын
Never seen you again RUGE😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 alway we remember you
@saidsoud59675 жыл бұрын
Nandy amelia hadi amepiga weusi chini ya macho..kwel kaumia sana
@loycempochele28145 жыл бұрын
Pole sana Nandy Mungu Akupe wepesi katika kipind Hiki KiGumu &Familia ya marehemu...R.I.P RUGE MUTAHABA!!!
@rehemaselemani7195 жыл бұрын
pole Sana nandy mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumi
@madamejohari5 жыл бұрын
Hakika ila kikubwa ni kumuomba Mungu ampokee mpendwa wetu Ruge
@sophiahubwa22415 жыл бұрын
Pole xana nandyyy
@josephstephen2505 жыл бұрын
Poleni sana familia na watanzania kwa kuondokewa na shujaa ruge
@zubedashaban81195 жыл бұрын
Daha pole san nandy njia ya kila mtu hii sawa mama
@babynahya80385 жыл бұрын
Daah poleni sana wafiwa wote kiukweli msiba umewagusa watanzania wite
@saidsoud59675 жыл бұрын
Dah Nandy unaumia sana kumpoteza mpenz wako
@alinealiyan86774 жыл бұрын
Please, i want the traduction french for the song. Sorry, i speek franch only
@martinangelplus68364 ай бұрын
I was a kenyan but nilikuwa nampenda sana
@explorerwanda64585 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu...Rwanda tunawapa pole
@christophermwenti95945 жыл бұрын
DEBORA UMWIZA Amiini
@georgejunior8025 жыл бұрын
Amen
@maryngamema72055 жыл бұрын
Asante sana mpenz
@lydiakatunguti19895 жыл бұрын
DEBORA UMWIZA asante sanaa
@shamsahaji62025 жыл бұрын
Ahsante
@asheryissa61005 жыл бұрын
Polen wote waloguswa na mcba huu nandy pole sn huo wimbo wa huzun mno ata mejikuta niko kwenye machoz cjui mefikaje😢
@abaskhatib5045 жыл бұрын
Ashery Issa
@josephpepetuka2675 жыл бұрын
Ashery Issa poleni
@violajohn12645 жыл бұрын
Ashery Issa gai heart , almost finished ,take heart my sister
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Pole sana mpenzi wang Nandy, kila nafsi itaonja umauti 😭😭😭
@shamayzawahir25085 жыл бұрын
I'm Muslim bt daaaaaaaaaah huruma sana cz kifo n kifo tu😭
@RahmaRashid-lc6nw11 ай бұрын
Kweli maana mwanadamu
@sherryell-bajjun25685 жыл бұрын
Kweli Ephram piyaa katuwawacha 😪😪😪😪😪
@Betterwithrose5 жыл бұрын
What hurts more than being left by the loved ones??😭😭😭
@MaryAnn-vh2xl5 жыл бұрын
I'm so sad on this one.I never met Ruge,but his demise has put me so down.May God rest him in eternal peace
@madamejohari5 жыл бұрын
All we should pray for him
@shamsahussen10595 жыл бұрын
😭😭😭😭E mungu msamehe madhabi yake
@christophermwenti95945 жыл бұрын
Shamsa Hussen amiini
@sarafinakisapy83225 жыл бұрын
Kumbe band alikua mtarajiwa wa boss jamani pole mama
@juliusbayona11675 жыл бұрын
Band ndo Nan?
@lordjubileth66415 жыл бұрын
poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
@peterjoseph28415 жыл бұрын
Poleni sana mungu yupo pamoja Nas ame
@Aminaliban015 жыл бұрын
Pole kwakupoteza mpenzio inauma sana najua vumilia muombee alale kwa amani
@MohamedMkota9 ай бұрын
2024 ruge kibonde gardna 😢😢😢
@sharonokuyo74135 жыл бұрын
Oooooh ! Oooiii!😥 so painful indeed ,poleni sana
@samaiteshuwaka39045 жыл бұрын
Rip ruge tutaenderea kukuombea n a kukumbuka kwa mchango wako mkubwa
@madamejohari5 жыл бұрын
Asanteni
@nshomamayungu23265 жыл бұрын
Kibonde jamani mungu awakutanishe basis huko mbinguni Jami. Pumumzikeni kwa kwa jamani.
@dainecwilson78278 ай бұрын
Na huyo aliyemwekea mic na yey tayar kaenda😢😢😢
@abedibawilieto40015 жыл бұрын
Mungu hakulaze mahali pema peponi shujaa ruge 😣😣
@maryumamapunda19895 жыл бұрын
M/mungu akulaze akulaze maala pema
@maryemmanuel67645 жыл бұрын
Na Kibonde hakurud nyumban jmn.. Waleze pema pepon
@geosimon3635 жыл бұрын
Jamani nimeona hapo uyu anaemuwekea sawa NANDY kipaza sauti' kama sijakosea jina lake ni KIBONDE' NASIKIA HATUNAE TENA 😂😂😂
@husnauthman76095 жыл бұрын
Unacheka eeh
@husnauthman76095 жыл бұрын
Hayupo tenaa daaar mungu mkal
@geosimon3635 жыл бұрын
@@husnauthman7609 hapana nimeonesha huzuni sio kucheka' hakuna anaependa au kufurahia kifo
@jaklinantoni68205 жыл бұрын
Umeumia sana dd kwakwel polee
@AAa-xv2mw5 жыл бұрын
Nandy iyo nyimbo inatia uchungu sanaa
@saidsoud59675 жыл бұрын
Nakpenda sana Nandy
@sheikhsharifmaduatz28715 жыл бұрын
Nandy amekuachia ukimwi huyo kwani umeshasahau kuwa ulikuwa mke wa ruge wa kama una amini kuwa nandy alkuwa mke wa ruge gonga #Likeeee
@halimamasai22345 жыл бұрын
Hivi wewe unauhakika na unacho andika? Hebu muogope mungu
@sheikhsharifmaduatz28715 жыл бұрын
@@halimamasai2234 nenda zako sasa utanifanya nini sasa
@judithkombe1045 жыл бұрын
nikumbushe mungu umenikung,uta mavumbi hakika ruge umwafungulia njia watu wengi
@shiilucy45605 жыл бұрын
Nyimbo ya nani
@priscillakasoha48635 жыл бұрын
pole nandy na familia
@razackkambi83183 жыл бұрын
Pengo lako alizibiki ruge 😭😭😭😭 2022
@rahmaabdallah89535 жыл бұрын
Mungo katufunika tusiijuwe kesho yetu laiti angetujuza kimbode angejua zilibaki siku tano 2 kutoka msiba wa ruge mungu ni mungu tumuogope na kumuomba sana r I p
@sakinaomar3015 жыл бұрын
Pole sana Nandy pumzika kwa amani boss Ruge
@sakinasheidhan46425 жыл бұрын
Poleni wafiwa wte mbele yetu nyuma yake ni njia yetu sote ila inauma kuna mtu anapewa heshima zote na sifa zote ilihali mwenyewe haoni tuwe na utamaduni wakumpa heshima na sifa mtu akiwa bado hai nae akatambua anaumuhim kwa jamii nzima
@SharifMustafa5 жыл бұрын
Mola awatie nguvu dah! Nandy uneniliza sana jamani.
@adelychaula92745 жыл бұрын
Wengine wanawaza watapata wapi hela, boss kafa!
@khalsasalim79305 ай бұрын
2024 rip ruge 😢
@Absam025 жыл бұрын
Ukiitazama hii video kwa Makini Utagundua kweli Mungu hufanya Maamuzi yake Wakati wowote, Senior Emphrahim Kibonde alikuwa ndio Mstari wa mbele kwenye mazishi ya JasiriMwongozaNjia siku kadhaa tuu zilizopita.
@monalisadru89115 жыл бұрын
Yaumiza😥😥😥 laiti angejua yumo safarini pia naye
@lilianpalanjo24445 жыл бұрын
Acha tu kaka
@ZahraZahra-cx9xw4 жыл бұрын
Allah marehem wote walotangulia mbembele ya khaki
@rubbymusa19715 жыл бұрын
Pole sana dada
@ummsalamahrashid79205 жыл бұрын
Shukran nakijua hichi kinavyo chomoza from holland mifuko yakufungia wanunuwa wapi dear
@khadijashabaninimba78907 ай бұрын
😢😢2024 Pumzika kwa aman ruge
@benfrancis82885 жыл бұрын
Inauma sana Ruge sijawahi kukuona live na nimeshachdlewa kukuona bro nitaendelda kukujua zaidi kupitia cm interview ulizofanya kipindi bado unapumua R.I.P bo tangulia nasi twaja njia ya wrote hiyo
@maajabuhamisi30245 жыл бұрын
Pole sanaa nandy
@lilianpalanjo24445 жыл бұрын
Jamani nimemuona kibonde uuuuwi Nini hiki eee Mungu😭😭😭😭😭😭
@lydiakemuntookindo39305 жыл бұрын
😭😭😭😭
@leahvicent68755 жыл бұрын
Mungu am ulaze mahali pema peponi
@saidsoud59675 жыл бұрын
Pend sana Nandy njoo nikuoe
@tuliansibula48595 жыл бұрын
Kenya apa tuna sema pole 😭
@evalynemwikali4555 жыл бұрын
🇰🇪
@nairatmasoud72285 жыл бұрын
Nakupenda Sana nandy natamani nije kukuona
@shideashidea55705 жыл бұрын
Makazi yako yawe mema huko uendako Ruge kipenzi cha watazania nimebaki nikiomba ilivyo leo dunia watu wamekusanyika kwa ajili yako na mbinguni malaika wanakukaribisha kwa furaha milele 😢😢😢
@900itapendeza75 жыл бұрын
Nice nandy.
@fredymgina97325 жыл бұрын
R.I.P shujaa Ruge mtu wawatu😥😥😥
@madamejohari5 жыл бұрын
Hakika tutakumbuka Ruge daima
@shaletmzee97485 жыл бұрын
Aki poleni sana😢😢
@afandehassan15 жыл бұрын
Kuuliza tu ... nasoma comment nyingi tu sana hapa wengi wanampatia Nandy pole kwani alikuwa mke wa marehemu??
@faybaibe90235 жыл бұрын
Mke mtarajiwa
@afandehassan15 жыл бұрын
@@faybaibe9023 thx for the reply
@bettywachia6985 жыл бұрын
Masikini
@deusdeditmasinde76155 жыл бұрын
Hahahahahahaha umenifanya nicheke Kama mazur na mm sielew
@christinewomanoffaith54795 жыл бұрын
😂khaaaa! Makubwa haya nacheka km mazuri! Kwamba RM angemuoa? Like serious? Mwanaume mwenye watt 5, kila mtt na mama ake? Aki Nandy sio mzima! Btw,pole sana nilikuwa najiuliza kwann ww ndo unaonekana na uchungu sn,kumbe!
@benjamint.bins.42915 жыл бұрын
Umoja wa 🇨🇩WAKONGOMANI- Houston- Texas/ USA🇨🇩 tunawapa pole jamihi nzima la watanzania kwamsiba huo. RIP RUGE 🙏
@madamejohari5 жыл бұрын
Asanteni
@Mzebane9765 жыл бұрын
is she christina ? Nandy
@hadiaaisha82975 жыл бұрын
Jamani huo wimbo unaliza Nandy
@sabrinamohamedy10405 жыл бұрын
Mungu awape subra ktk kipndi hik kigumu dunia mpitoo
@madamejohari5 жыл бұрын
Asante
@carolinethuo69995 жыл бұрын
oooi so sad kibonde hangejua ni yy next may he rip
@wittyjamanidarmura91415 жыл бұрын
unaimba kwa usiya dia,,,poleeee,rip rugeeee
@zaituniintiaz84315 жыл бұрын
Pole Sana rafiki yangu zamaladi
@denniehanda60735 жыл бұрын
pole my nandy R.I.p ruge
@husnarajabusytyyjiuoiitqqy97995 жыл бұрын
R I P ndugu yetu sote njia moja mungu akuweke njia ilo njooka amina
@peninahmueni61215 жыл бұрын
Nandy ana mapenzi ya dhati
@bellahgichuki1855 жыл бұрын
am really affected about this whole thing,from Kenya wish you peace ,rest in peace ruge.dearly loved
@johnbruno76385 жыл бұрын
Anne Gichuki so sorry my sis nandi
@sheillahlilly21525 жыл бұрын
Rest in peace Ruge 😭😭😭😭😭
@husnauthman76095 жыл бұрын
Kibonde nae kaenda daaar
@WEBUYEBWOY5 жыл бұрын
Nyinyi ni walewale mtu akiwa hai hamshughuliki…. Akiwa mwajifanya mwalia hapa. NKKKT kwendeni huko manyau tu
@gracemwanjabala80735 жыл бұрын
nandii unaniumiza saanaa najikuta naliaa rugee ungeamka hata dk tuuu umemuacha nand ktk kipindi kigumu
@michaelmakalanga15545 жыл бұрын
Nandy mdogo wangu it is so painful ila hata mm I'm crying much after to see u ur crying to the mass ruge rest in peace even us were are passengers in that land
@madamejohari5 жыл бұрын
True
@cecykazumba78255 жыл бұрын
😅😅😅inauma saaana polen wapendwa
@rubyndungu59135 жыл бұрын
Who is Ruge???
@emmypc83625 жыл бұрын
😭😭😭😭😭polen sana Tz yetu
@anitamukhwana25095 жыл бұрын
You feet gospel songs dear sister
@madamejohari5 жыл бұрын
Sure
@zulfamohamed45495 жыл бұрын
jaman inaumiza san ila akuna njia polen wana ndugu na family kwaujumla