Mtoto wa Ruge: Tumewasamehe wote waliomkosea Ruge, na mtusamehe tuliowakosea

  Рет қаралды 304,040

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Mwachi ambaye ni mtoto wa kwanza wa marehemu Ruge Mutahaba amesoma wasifu wa marehemu baba yake na kusema kuwa kama familia, wamewasamehe wote ambao kwa namna moja au nyingine walimkosea #Ruge na wao wanaomba msamaha kama waliwakosea wengine.
#PumzikaRuge #AzamTWO #AzamTVApp

Пікірлер: 209
@leutnatmisana5164
@leutnatmisana5164 5 жыл бұрын
Mungu amevuna mti mzuri alioupenda, Hakuna mtu hawezae kuzuia roho pindi Mungu akiita, R.I.P Ruge Mutahaba
@andrewleonard9557
@andrewleonard9557 5 жыл бұрын
"Mambo n mengi lakin muda n mchache" muumba wa vyote kakupenda zaid#tangulia bro
@davisasamwel3281
@davisasamwel3281 5 жыл бұрын
hongera sana kijana kwaujasiri wakuweza kusoma wasifu wa baba yako nijambo la kishujaa sana wachache sana wanao weza kufanya hivyo R.I.P Ruge
@zulfaissa1720
@zulfaissa1720 5 жыл бұрын
Inalilah wainalilah rajaun yaraabi amjarie mwisho mwema apumzike kwaaman napenda kutoa pole kubwa kwawanafamily ya ruge mtahaba pia nawaomba waendelee kua namoyo wasubira naiman kwass lazima watakutana nakila khari yamisusuko yakinadam kunawatakao wpa pole nakunawanao dhihaki lakin lamhim waendelee kumuombea dua apate pumziko jema ishallah
@vannymwakalinga5199
@vannymwakalinga5199 5 жыл бұрын
Davisa samwel nawapa por san wenye family ya luge mutahaba mungu amulaze mahar pema peponi
@neemamaiko9021
@neemamaiko9021 5 жыл бұрын
Davisa samwel L,R p rugee pumzik kwaaman umewachia machungu famiryia yako
@clqudiaemmanuel7740
@clqudiaemmanuel7740 5 жыл бұрын
Pole totoe jamani Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe
@andrewsailen7628
@andrewsailen7628 5 жыл бұрын
Pole sana Mwachi....rest easy RUGE
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 жыл бұрын
Pole sana kijana,Mungu awatie nguvu jaman
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 5 жыл бұрын
Pole sana kaka na Hongera kwa kujikaza kuongea mbele ya Hadhara juu ya wasifu wa Baba
@bernadethacornel5056
@bernadethacornel5056 5 жыл бұрын
hongera kwa ujasiri mkubwa mungu awape wepesi familia ya ruge RIP Ruge
@evancezacharia864
@evancezacharia864 5 жыл бұрын
R.I.P ruge mbele yako nyuma yetu..
@carolinesembe1729
@carolinesembe1729 5 жыл бұрын
Kamanda pumzika kwa amani. Mbele yetu nyuma yako.
@saidechokozasaidechokoza3371
@saidechokozasaidechokoza3371 5 жыл бұрын
Poleni sana familia yote kiujumla mungu awape subra kwa kipindi hk kigumu mlicho nacho nas twasema tupo pamoja na wana familia wote wa ruge mutahaba mungu ametoa na mungu ametwaa litukuzwe jina la mungu amiin amiin amiin
@frenkprotazi3588
@frenkprotazi3588 5 жыл бұрын
Poleni sana jamani wanafamilia mungu azidi kuwatia nguvu najua nijambo kubwa ila inawabidi kujitaidi
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
Pole sana kijana pumzika ruge kwaaman
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Ruge mahali pema peponi🙏
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 жыл бұрын
Poleni sana kwa family na marafiki wake wote
@josophatngeme4456
@josophatngeme4456 5 жыл бұрын
Poleni wanafamilia wa ruge, pia kwa watanxnia ote tuloguswa na msiba huu bwana ametowa bwana ametwaa
@dorinjonh8055
@dorinjonh8055 5 жыл бұрын
Polen sana familia mungu awatie nguvu
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 5 жыл бұрын
pole Sana bro mungu akutie nguvu
@hamisiomary5339
@hamisiomary5339 5 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema Ruge
@pilihashim.3162
@pilihashim.3162 5 жыл бұрын
Inauma sana jamani poleni na tupoe kwa sote kwani hata na umbali huu ila mimeshindwa kujizuiya kwa kutazama hiki kilochokuwa kikiendelea familia mungu atawatia nguvu kwa wakati huu kikubwa msimame naye katika sala niwatakie muendelezo mwema mpaka mtapo fikia tamati
@veilakimei8677
@veilakimei8677 5 жыл бұрын
Naumia sn na msiba wa bo's Ruge rip shujaa
@muzidalifahidahuda7453
@muzidalifahidahuda7453 5 жыл бұрын
Rest in peace
@crispinmkonyi
@crispinmkonyi 5 жыл бұрын
Pole sana kjana kwa msiba wa baba yako kpenz rest in paradise#ruge
@judithlucas2793
@judithlucas2793 5 жыл бұрын
Poleni sana familia Mungu wetu awape faraja
@wemandunguru633
@wemandunguru633 5 жыл бұрын
R.I.P Ruge
@ayubujackson5782
@ayubujackson5782 5 жыл бұрын
Judith Lucas ISupport you
@levinamwaila7847
@levinamwaila7847 5 жыл бұрын
My deepest condolence from dubai😭
@martingiroy3717
@martingiroy3717 5 жыл бұрын
Nimekusikia mwacha mm sina cha kusema ndugu yangu we cha kufanya shika kijiti ngawa baba ameshakabidhi wengi vijiti kaka angu mm nasemea upande wa family yako mwacha pambana kaka naendelea kuomba mungu akupe hekima ,busara,elimu, na pia shima ili uwezee kuongoza family yako mwancha mm nitakuombea sana kaka angu mm najua maumivu ya kuondokewa na baba najua haswaa so fight brother u can do it stil but above all pray harder brother Thank you may God be with you foverver and ever
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 жыл бұрын
Pole Sana kijana Mungu atakupa nguvu
@salimakanik2805
@salimakanik2805 5 жыл бұрын
Pole sana Kaka kwani mungu ndiy mjuwaji 😭😭😭
@annamarylyakurwa3212
@annamarylyakurwa3212 5 жыл бұрын
So sad I can’t stop crying
@neemamaiko9021
@neemamaiko9021 5 жыл бұрын
annamary lyakurwa pore sana mtoto waruge mungu akufunge mkanda kwakipindi hiki kigum
@ayububabu1761
@ayububabu1761 5 жыл бұрын
Pole sana kijana Allah awatie nguvu wana family kwakipindi hiki kigumu
@user-jn9rc3oj2k
@user-jn9rc3oj2k 5 жыл бұрын
Kumbe alikua na mtoto mkubwa#RIP ruge
@shirimacostantine5106
@shirimacostantine5106 5 жыл бұрын
Kumbe dudubaya wewe ndie hauna nithamu kama wimbowako ulioimba
@shirimacostantine5106
@shirimacostantine5106 5 жыл бұрын
Anamtoto alie fanana nae hadi raha
@aishamabiruhatar5932
@aishamabiruhatar5932 5 жыл бұрын
@@shirimacostantine5106 ndomana alikuwa hawajibu matus yao angepoteza heshima yake ona alivoZikwa kwaheshima zote
@lovehawala2979
@lovehawala2979 5 жыл бұрын
@@aishamabiruhatar5932 .
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 5 жыл бұрын
Mungu amekutia nguvu ya kusimama na Mungu aenderee kuwatia nguvu wafiwa wote
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 жыл бұрын
Hongera Mwache kwamoyo waujasili namungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwako nakwataifa la tzn R.I.P RUGE
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 5 жыл бұрын
RIP regend of music,,'ll remember everlastly!! Ever!!
@magrethenos1906
@magrethenos1906 5 жыл бұрын
Dah inauma sana jamani R.I.P Ruge njia yetu sote
@angelntandu4648
@angelntandu4648 5 жыл бұрын
Pole sana dogo mungu akupe ulinzi na Manyang'au.rip baba mwachi
@devdmrema7859
@devdmrema7859 5 жыл бұрын
Dah pole sana brooo mungu yu nawe
@jescamasanja6237
@jescamasanja6237 5 жыл бұрын
Pole sana wafiwa mungu atie nguvu
@sophiamose1328
@sophiamose1328 5 жыл бұрын
Polenii Jamani 🙏🙏🙏
@maggiehaule4615
@maggiehaule4615 5 жыл бұрын
Nimekumba mbaliii sanaaa.....RIP uncle RIP mdg Beza🙏
@petermalebo4956
@petermalebo4956 5 жыл бұрын
Kifo ni desturi pole kijana furahia alichokifanya mzee wetu hapa duniani uwepo wake ulikuwa unafaida kwa watanzania wote R.I.P Ruge
@busungumhoja4334
@busungumhoja4334 5 жыл бұрын
R,I,P Ruge tutakukumbuka daima kwa ushujaa wako
@paskalinaano6721
@paskalinaano6721 5 жыл бұрын
Upumzike kwa amani ruge
@aishamohamed4412
@aishamohamed4412 5 жыл бұрын
Pole sana famila na tanzania kwa ujumla ewe mola wetu ipe faraja familia yake aamina
@korogwetanga810
@korogwetanga810 5 жыл бұрын
Aameen yarrab
@nejanejazeneck6283
@nejanejazeneck6283 5 жыл бұрын
Mungu akujalie kwa Yale mema uliyoyatenda hapa duniani ,R.I.P ruge
@maggiehaule4615
@maggiehaule4615 5 жыл бұрын
Pole mdg wangu Mwachi
@Jaymedia16Tz
@Jaymedia16Tz 5 жыл бұрын
so sad kwa kwel n majnz mpumzishe kwa aman Ruge wetu kwan hakuna aliyekamilika kwa kila jambo kila mwanadam ana mapungufu yake
@zjuniorofficial2464
@zjuniorofficial2464 5 жыл бұрын
God bless you kijana
@zaituniintiaz8431
@zaituniintiaz8431 5 жыл бұрын
Pole Sana Mipango ya mungu
@juliusmashauri9121
@juliusmashauri9121 5 жыл бұрын
He is courageous man
@edwardnia7537
@edwardnia7537 5 жыл бұрын
mungu atamchagulia pakumuweka sawasawa na kazi yk
@evanciaernest515
@evanciaernest515 5 жыл бұрын
Chozi limenitoka Jaman uwekwe unapostahili Ruge
@nurumajaliwa8435
@nurumajaliwa8435 5 жыл бұрын
Evancia Ernest pole sana dogo yote maisha
@maureenmwimano1973
@maureenmwimano1973 5 жыл бұрын
poleni sana kwa family
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
Daaa nataman sana kijana aende na yeye kwny ofisi ya baba ake akajalibu kupunguza machungu ya baba ake kinakusaga wajalibu kushilikiana nae ili asimamie nayy daaaa inaumaaaa sana
@mageandrew5550
@mageandrew5550 5 жыл бұрын
Pole sana
@shakiramwenye1683
@shakiramwenye1683 5 жыл бұрын
Mungu awape nguvu, na hao wasiojua kusamehe bas waish milele wasife kama mungu ni wao
@lazarondejembi7462
@lazarondejembi7462 5 жыл бұрын
R.I.P, ruge tutakumbuka daima na mungu akuhifadhi mahali salama,
@lindasophia1288
@lindasophia1288 5 жыл бұрын
Rip Ruge 🙏😭
@georgiamasangu773
@georgiamasangu773 5 жыл бұрын
Ni wkt mgumu sana mlionao kama wtt wake hasa mwachi ukiwa kama mkubwa familia yake baba na mama na wdg zake lkn pia wtz kwa ujumla tumeumia tumejeruhiwa pumzika baba pumzika shujaa pumzika mpambanaji.too sad
@liliannchimbi6416
@liliannchimbi6416 5 жыл бұрын
Rip ruge wetu bwana ametoa bwana ametwaaa jina LA bwana libarikiwe aminaa
@matiusalfread436
@matiusalfread436 5 жыл бұрын
polen sanaaa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema
@emmanuelnzyuna8907
@emmanuelnzyuna8907 5 жыл бұрын
lala salama ruge
@Gabonfreeman
@Gabonfreeman 3 ай бұрын
Kumbe ruge sio mtanzania Ni black American 😢
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 5 жыл бұрын
Polesana tanzania
@latifaathumani1306
@latifaathumani1306 5 жыл бұрын
poleni wanafamilia
@isakarafaeriisakarafaeri9797
@isakarafaeriisakarafaeri9797 5 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani ruge ila tunaimani umetuachia matunda yalo iva R.I.P.ruge
@oman11oman79
@oman11oman79 5 жыл бұрын
Mashaallah ana mtoto mkubwa Ruge ni mtu wawatu kwakwer
@jacklinemakalangamakalanga4504
@jacklinemakalangamakalanga4504 5 жыл бұрын
Poleni
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 5 жыл бұрын
Mwachi my young brother Najua ni maumivu gani unayoyapata kuondokana na kipezi babako na rafiki yako.jipe moyo,baba amemaliza safari yake,fight kuyaenzi mazuri zaidi ya aliyofanya baba kwa family na Taifa.Bwana ametoa,na Bwana ametwaa Jina lake na Lihimidiwe
@asmabintikiwasha13
@asmabintikiwasha13 5 жыл бұрын
Pole
@kanjenjetheswaggakanjenje5584
@kanjenjetheswaggakanjenje5584 5 жыл бұрын
Poleni family ya malehemu
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
pole sana kijana kwa kumpoteza baba yako hata maneno ni machungu moyo unauma pole MUNGU ata kupa nguvu hakika kifo hakina uruma jamani ruge pumzika kwa hamani inauma sana tena sana😭😭😭😭😭😭
@hensongunman1680
@hensongunman1680 5 жыл бұрын
Pole sana mwaas yani nilikuwasjaona hhii creap jamani like father like son
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Henson Gunman kweli kabisa
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 жыл бұрын
Maskini kufiwa jamani. Yasikieni tu. Poleni sana wafiwa
@richjohwcbwcb262
@richjohwcbwcb262 5 жыл бұрын
Polen sana wanafamilia dunia mapito tu r.I.p ruge
@kokutensabayona8330
@kokutensabayona8330 5 жыл бұрын
Jipe moyo mama ruge mungu akupe akupe ng in by
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Sasa Tunaandika Vipi Maoni Wakati Mtandao Unasua Sua Airtel Bwana Sijui Wameajili Wafanyakazi Wa Kutoka Nchi Gani Ambao Awaoni Tatizo Kwao Wakiona Intaneti Kimeo Wao Wanakula Mshaala Tu
@charlesathuman6228
@charlesathuman6228 5 жыл бұрын
Awadh upo sahihi huu mtandao saiz pooooooor
@christinamichael4436
@christinamichael4436 5 жыл бұрын
Wahame wasikuchoshe
@MaryMary-nz9bx
@MaryMary-nz9bx 5 жыл бұрын
Awadhi Rajabu kumbe hili tatizo na ote nikajua cm yangu tu mwe wanaboa
@rahmaramadhani3993
@rahmaramadhani3993 5 жыл бұрын
Shenzi hawa Airtel nilijua mm tu
@mg.general7710
@mg.general7710 5 жыл бұрын
R.I.P
@sharifachacha978
@sharifachacha978 5 жыл бұрын
pole
@josephajosephat8370
@josephajosephat8370 5 жыл бұрын
Pumzika kwa aman Ruge
@francismsagati578
@francismsagati578 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awape nguvu jamani
@neymamchau6286
@neymamchau6286 5 жыл бұрын
Rip
@AlanaJoseph
@AlanaJoseph 5 жыл бұрын
Dah
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 5 жыл бұрын
Nimejikuta nalia. pumzika kwa amani ruge
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Hi kweli copy ya Ruge, kafanana sana na baba yake, pole dogo kaza mwendo dunia mapito
@juliuslupumbwe6578
@juliuslupumbwe6578 5 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 жыл бұрын
Poleni San jamani
@monicajimbuka9282
@monicajimbuka9282 5 жыл бұрын
Rest in peace ruge
@estabaro6538
@estabaro6538 5 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa 😥 roho inauma sana r.I.p ruge
@daudhenry8909
@daudhenry8909 5 жыл бұрын
Pole sana kijana ni maumivu makali sana
@vermundusmutechura5016
@vermundusmutechura5016 5 жыл бұрын
requiescat in pace
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Daaa poleni sana familia ,wasaniii na watanzania wote kwa ujumla Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi R.I.P Ruge.
@omarymwigura328
@omarymwigura328 5 жыл бұрын
Pole kijana kufiwa kunauma Sana
@mariahamis219
@mariahamis219 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@getruderlubawa2936
@getruderlubawa2936 5 жыл бұрын
hakika tumepoteza shujaa kijana tanzania .....R.I.P SHUJAA RUGE
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Pole mtoto mungu atawatia nguvu r i p ruge
@richardsteve9655
@richardsteve9655 5 жыл бұрын
poleni sana ndugu zaguni
@lenfridachanga1482
@lenfridachanga1482 5 жыл бұрын
Mungu awe mfariji wenu
@basumhabibi9918
@basumhabibi9918 5 жыл бұрын
R.l.p ruge
@BekamAmos-li6et
@BekamAmos-li6et 3 ай бұрын
😢
@janealoyce3866
@janealoyce3866 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Ruge.
@sebastianpeter4135
@sebastianpeter4135 5 жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa jina la bwana lihimidiwe
@aminasanga7154
@aminasanga7154 5 жыл бұрын
Kazi ya mungu aina makosa apumzike kwa amani ameni
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 5 жыл бұрын
ruge alikuwa na damu kali
@mankachami5112
@mankachami5112 5 жыл бұрын
rip ruge
@nicksonelisante8350
@nicksonelisante8350 5 жыл бұрын
uyu mwachi ana mvutoo
@pascalpembamoto8172
@pascalpembamoto8172 5 жыл бұрын
KWELI DUNIANI HUWEZI KUFRAHISHA WATU WOTE HATA YESU ALIDHIHAKIWA NA BAADHI YA WATU PAMOJA NA KUWAHUBIRIA HABALI NJEMA.
@abcdefgger
@abcdefgger 5 жыл бұрын
😭😭😭😭 nimeria jamani
@henryemmanuel5561
@henryemmanuel5561 5 жыл бұрын
RIP
@subiransasi8029
@subiransasi8029 5 жыл бұрын
poleni sana daa umeniliza kijana
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 33 МЛН
NANDY AMLILIA RUGE/ ALIZA WATU ASHINDWA KUIMBA
4:42
Millard Ayo
Рет қаралды 1,2 МЛН
WIMBO wa BUSHOKE Ulivyoleta SIMANZI Msibani kwa RUGE
6:42
Global TV Online
Рет қаралды 90 М.
Ruge Mutahaba: Kama Makonda Hakutaka Nije Hapa Kwanini TEF Mliniita?
7:41
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 25 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 694
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
MkasiTV
Рет қаралды 531 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН