DC MAGOTI AMUWAKIA ASKOFU "USITUMIE DINI KUDHULUMU WATU, USIRUDIE KUNIDANGANYA"

  Рет қаралды 15,895

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Ай бұрын
Kama na wewe unatamani sana hekima ya Mh, Rais Dr Samia Suluhu Hasain impendeze zaidi amrudishe Mh Jerry-Slaa katika wizara ya Ardhi naomba like nyingi ili tuandike barua kwa Mh Rais wetu.❤
@abuusaid3297
@abuusaid3297 Ай бұрын
Safi sn dc, pia bora silaa arudishwe wzr ya ardhi,kwanini ametolewa kulikoni? wakati nijembe kwelikweli😢😢😢
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 Ай бұрын
Safiii sanaaa
@JumaRamadhaninjama
@JumaRamadhaninjama Ай бұрын
Honger mh mkuu wa wilaya
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Sasa Mh. J. Slaa ametolewa kwenye wizara.. Hapo angekwenda kufanya ziara eneo la tukio na kutoa majibu yenye ufumbuzi.
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Kwakweli Mimi binafsi kuondolewa kwa Jerry Slaaa ni mapema mno angemuacha Hadi uchaguzi 2025
@ourearthmatters5206
@ourearthmatters5206 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya yuko very disorganized
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op Ай бұрын
Namuomba mh raisi kama itakupendeza umludishe jeri sila ardhi
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Ай бұрын
Anajitaidi huyu kiongozi mainshaallah
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi Ай бұрын
Jaman magoti kana nawe
@wamadenzatv4174
@wamadenzatv4174 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ila dc aise anavituko uyo
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Ай бұрын
Safi sana Ayo TV kwa kusaport kazi za DC wa kimataifa
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Ай бұрын
Hahaha askofu kanisa gani inabid utaje maana 😂😂
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@josepherjosephpaul1138
@josepherjosephpaul1138 Ай бұрын
Nenda taratibu km ni askofu wa kweli na km hana kosa. Neno la Mungu linasema msiwaguse wapakwa mafuta wangu. Wakikunenea baya km umewaaibisha na kuwashushua bila sababu ni balaa mpaka kizazi cha nne
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Ай бұрын
Muendelezo wa hicho kikao kzbin.info/www/bejne/j6acZ6OqgtFrqbcsi=9aK5FWnHMKb9Eiki Usisahau kuwa hata Yesu aliwaumbua hadharani Mafarisayo na Masadukayo (waandishi) na walikuwa viongozi wa kiroho wenye heshima kubwa wakati ule.
@andreapesambili7981
@andreapesambili7981 Ай бұрын
Dc,kuwa makini na maneno yako,kasi yako siyo nzuri,uongozi,ni busara hasa kwa unao waongoza lazima uwe makini sana kwenye matamshi ya lugha,fuatilia jambo kwa kina usihukumu kwa mihemko na acha kuchezea viongozi wa dini kuongoza halaiki ni kazi ngumu unafikiri ni vikao vya ndani,vinginevyo hicho cheo ni wazi hakikutoshi huo ndo ukweli
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Ай бұрын
Muendelezo wa hicho kikao kzbin.info/www/bejne/j6acZ6OqgtFrqbcsi=9aK5FWnHMKb9Eiki Usisahau kuwa hata Yesu aliwaumbua hadharani Mafarisayo na Masadukayo (waandishi) na walikuwa viongozi wa kiroho wenye heshima kubwa wakati ule.
@athanaskitime1484
@athanaskitime1484 Ай бұрын
Kumkemea na kumkalipia huyo askofu mbele ya halaiki ya watu kama si kweli DC inaweza kuja kukuponza, what if kesho ukaja kugundua alikuwa sahihi na umesha mzalilisha? Kiongozi unapaswa kuwa msikivu fatilia kabla ya kufanya maamuzi kwenye public.
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Ай бұрын
Muendelezo wa hicho kikao kzbin.info/www/bejne/j6acZ6OqgtFrqbcsi=9aK5FWnHMKb9Eiki Usisahau kuwa hata Yesu aliwaumbua hadharani Mafarisayo na Masadukayo (waandishi) na walikuwa viongozi wa kiroho wenye heshima kubwa wakati ule.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 64 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03