Asante sana muzee wetu wa kiimani, huwa nafarijika na maneno yako, from Cedar Rapids Iowa state USA.
@malikmasoud31906 күн бұрын
Serikali inatakiwa kuwatolea macho watu km hawa na ni wachache sn , namkubali sn
@trophywilson72117 күн бұрын
tunafanya kazi saana kwa kweli hujasema uongo
@user-it7ih1it3m9 сағат бұрын
TANZANIA janja janja nyingi sasa hvi piki piki bei yake inafanana na bei ya gari ulaya
@trophywilson72117 күн бұрын
hahaha mzima kuliko watu wote nimefurahi saana
@trophywilson72117 күн бұрын
wewe ulitaka tusiongee kiswahili?
@stateofart10895 күн бұрын
Pastor Kazingua yeye mwenyewe kasema Ioa Siri (kwa nini asiseme Ioa Siti kitanzania vile). Watanzania acheni Diaspora wawe huru na maisha yao, nyie mbona hawawapangii nini mnafanya. Fanya yako…
@fahadfaraj64743 күн бұрын
Tumekua diaspora kwa miaka ila kujifanya unaremba lugha ni ulimbukeni kwani hata huko ugenini hata ukae miaka hamsini siku zote utaonekana we ni muamiaji tu.
@stateofart10893 күн бұрын
@@fahadfaraj6474 We Diaspora fala, i am diaspora too and don't give a shit about your shit. Land of freedom meaning you can do anything you want to do without harming anyone.Accent ya mtu inakusumbua nini, huna ya kufanya?. Nyie ndio mafala mnaosema Mnji angezikwa Tanzania piano body gives a shit after you die whether you're buried or not doesn't matter.
@fahadfaraj64743 күн бұрын
@@stateofart1089 we diaspora wa ugiriki nini maana kiingereza chako kichafu mnoo, sasa mbona Maneno mengi sana