JINAMIZI MIFUGO KUVAMIA HIFADHI, BWAWA LA NYERERE KUATHIRIKA, WAZIRI MKUU "ACHENI ZINGATIENI SHERIA"

  Рет қаралды 13,331

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 48
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Watanzania ukiwapa Uhuru San wanaweza kupeleka mifugo yao mpaka ikulu kula nyasi za garden ya ikulu mnatakiwa hao wanyama mchinje mkawape wanafunz na wanajeshi wakale kambini
@zakayoolekampuni7350
@zakayoolekampuni7350 Жыл бұрын
Kuwa na heshima ww
@maadigitalpro
@maadigitalpro Жыл бұрын
Hivi mnataka Mifugo iishe kabisa Tz? Serikali ianzishe pia HIFADHI za MIFUGO
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 Жыл бұрын
Tuwe serious wekeni wanajeshi
@mihayothomas6967
@mihayothomas6967 Жыл бұрын
Jaman hivi toka Tanzania ipate Uhuru mwaka huu ng'ombe anaonekana hafai hapana hii inauma sisi ambao hatujui bank tunaamin ng'ombe ndiyo banki Nan Atakuwa mtetezi wetu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Tatizo bado watu wanafuga kizamani wanazurula ovyo kwenye hifazi, wakati ukinunua eka 10 ukachimba kisima unaweza ukaeka ata ng'ombe 2500 ,angalia wenzetu wazungu eka 5 tu inamtosha anaeka fenci mifugo yake inakua salama
@ibraheemiddy8612
@ibraheemiddy8612 Жыл бұрын
Watengeeni maeneo hao wafugaji jaman achen kuwanyanyasa bhana
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Hakuna anayewanyanyasa wakisha haribu wanahamia kwingine
@mackymneney9935
@mackymneney9935 Жыл бұрын
Nashauri JWTZ wakabidhiwe hilo eneo ndio newish wa maneno yote
@charlesmassawe4119
@charlesmassawe4119 Жыл бұрын
Wala issue sio JWTZ, sheria zipo tatizo ni uongozi mana hao wanaoshindwa kusimamia sheria zenyewe ni viongozi na mbaya zaidi miradi mingi ya mifugo ni ya hao hao wanaotakiwa kusimamia sheria. Poor Leadership, sorry to say this.
@moyogeofrey2895
@moyogeofrey2895 Жыл бұрын
Hawa wameshindwa kupambana na hawa wafugaji wakisukuma wamejaa huko peleka JWTZ watawanywe acheni siasa
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
Si wafugaji wapimiwe maeneo ya kufugia ?
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Kabisa
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Aisee!
@iddyamosi153
@iddyamosi153 Жыл бұрын
Je wangekua mifugo wako camera ingenasa💀
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Hata Ndege Wanashangaa Kuona Ng'ombe Wakufugwa Wanajaa Ifazini Sasa Mifugo Inaweza Kuleta Utalii Wauze Mifugo Wachimbe Visima Eti Bwawa Liwekwe Sehemu Ya Kulisha Mifugo Sasa Taifa Linakwenda Wapi Mifugo Sio Nyati
@rajenderrobert8605
@rajenderrobert8605 Жыл бұрын
Sheria, Kanuni na taratibu
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Sasa ng'ombe wenyewe si dili basi wawatafutie eneo kubwa hao wafugaji
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Sasa ayo maji hapo yaachwe yaende na wanyama wafe kwa kukosa malisho na maji mbona mlioajiriwa akili ndogo kwenye majukumu yenu
@warren-zs6vv
@warren-zs6vv Жыл бұрын
Hawa wasukuma wafugaji ni shida asee huku kilombero kunapigana nao kila siku asee
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Awa wafugaji nao waache kufuga kizamani, eka 5 au 10 unafuga kisasa ,wapeni elim kufuga kisasa
@koyesandatuya5422
@koyesandatuya5422 Жыл бұрын
Serikali na nyie tutafutieni eneo ya malisho .sio mnapenda2 nyama lakin hamjali mifugo
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Acha utani ww hao wafugaji kuna mahali wametoka hadi kufika hapo kilombelo,tunajua wenyeji wa morogoro ni kabila gani,wameharibu kwao ndiyo wamehamia hapo
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
Ina maana Ng'ombe ndiyo wanaharibu mazingra!! Hao wanyama poli wenyewe hawaharibu? Mbona Manyara wamasai wanachunga pamoja na Punda milia, Twiga na Nyumbu na hatusikii maneno? Au mnataka wafugaji waende kugombana na wakulima? Acheni Ng'ombe wale nyasi, ndiyo chakula chao hicho. Asante.
@jeremiaholesingooi3940
@jeremiaholesingooi3940 Жыл бұрын
Serikali ya tanzania angalie juu mnadhamini wanyama pori kuliko binadamu
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Mutapata rana munapambana naviumbe havina hatia
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Hawana hatia alafu nyama unatafuna
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Wewe umepewa dhaman ya kulinda hifadh ya mto kilombero ili uhalibifu wa mazingira na ujangiri usiwepo kinachoendelea hapo kinamaanisha kwamba wahifadh mliopewa dhaman hiyo ya Mali za watanzania hamjui kazi
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Hyo minyama haina faida yoyote acha ng'ombe zile nyas ndio nakula nyama! Mana hata hao watarii wakija sifaid chochote Zaid ya serikali kula hizo Hela!
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Kifupi ccm nchi imewashinda ni kuwatoa madarakani wapinzani jipangeni vizuri wakati ndio huu MAGUFULI UMOJA PARTY kimeishia wapi hiki chama cha WAZALENDO RIP mzee baba Magufuli 😭😭
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Жыл бұрын
Lakini wafugaji nao wanamatatizo,wakati unafuga ng'ombe siwalikuwa wanajua wanamaeneo ya kufugia?,sheria ifuate mkondo wake,taifisha mifugo
@jumaseseme1654
@jumaseseme1654 Жыл бұрын
magufuli awabembelezagi watu kama awa kwenye mambo ya msingi
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Tatizo viongozi wanasiasa kwa mambo muhimu
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
Harafu wawe wanalipia mashamba ?
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
Uongozi salata salata nchi haieleweki
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Kirio cha wengi sherehe mfugajia aachwe wanyama poli wasogezwe mbele full stop 🛑
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Warudishwe walikotoka
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
@@mwassamwassa7264 not fear Cause wote watanzania 🇹🇿 Tunauhuru na hamani katika nchi yetu haifai kuishi kwa matabaka
@iddyamosi153
@iddyamosi153 Жыл бұрын
Hauna mifugo unachangia maada
@moyogeofrey2895
@moyogeofrey2895 Жыл бұрын
Mifugo haifugwi hivyo wewe huo ni uharibifu wa mazingira
@iddyamosi153
@iddyamosi153 Жыл бұрын
@@moyogeofrey2895 Ila kwenu ipo au unaongelea mazngira tu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hii nchi ya ovyo sana yaani wanajua ni kosa Ila hawana wasiwasi kabisa na mifugo yao, kamata hiyo migugo chinja na toeni nyama za bure mashuleni na jeshini
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 Жыл бұрын
Hio migugo itaperekwa wapi?
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Жыл бұрын
Rais napotoa maagizo kwa viongozi hiyo ni amri na viongozi ni lazima watekeleze amri hiyo, inakuwaje sasa agizo LA mkuu halitekelezwi? Viongozi wetu, wateule wa rais si mlimsikia aliyewateua alivyoagiza siku alipofungua ujazaji maji bwawa LA umeme LA mwalimu Nyerere? Au mmechoka kufanya kazi zenu?
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Nyinyi ni viongozi waajabu mmeweza kuwatowa wamasai ngorongoro mnashindwa just towa hao aung'ombezenu ?
@ibraheemiddy8612
@ibraheemiddy8612 Жыл бұрын
Hao ngo'mbe watapelekwa wap?
@share966.like.subscribe
@share966.like.subscribe Жыл бұрын
KWA HERUFI KUBWA WASAIDIENI MIFUGO ISIFE NJAA MAANA WATAKUWA MASKINI
MBWEMBWE ZA WANAJESHI JWTZ NA CHINA, SILAHA NZITO, NYIMBO ZAO
8:17
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
BREAKING: KINANA AJIUZULU CCM
1:01
Millard Ayo
Рет қаралды 85
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 296 М.