Mungu akutunze mh Rais Magufuli wetu, kuizungukia nchi nzima si kazi ndogo
@esteredward69804 жыл бұрын
Baba umemaliza
@esteredward69804 жыл бұрын
Ww ni zaidi ya rais
@KS-iw7qv4 жыл бұрын
Wenzetu upande wa pili wakisha kuzunguka mikoa miwili mitatu wakirushwa kwenye KZbin wanajiona tayari..... WASUBIRI KIPIGO CHA KURA ZA KUMWAGIKA KWA CCM CHAMA CHENYE KUJITAMBUA NA MIPANGO.... ANGALIA KILA KONA WAMEFIKA NA KILA KUNA WAMEPELEKA MTU MUHIMU KUNA KONA YUPO SAMIA, KWENGINE MAJALIWA...PINDA....NDUGAI....LOWASA.... MANGULA...KIKWETE,PINDA,SAMIA,MAJALIWA,MANGULA,NDUGAI..HUKU AKIJA HUKU YULE ANAKWENDA KULE YAANI MPAKA UNAONA HAWA JAMAA WAMEJIPANGA KIASI GANI....ILA HUWEZI KULIONA HILI IKIWA MTU WA KUKURUPUKA NA MITANDAO.... TAYARI CCM WAMEMALIZA KAZI.......... TUSUBIRI TU KURA ZA KISHINDO.......
@lucymashamba15714 жыл бұрын
@@esteredward6980 baba kamaliza, acha tuwatazame wapiga kelele darasani
@lucymashamba15714 жыл бұрын
@@esteredward6980 Mungu ametupa anaekula jioni baada yakutafutia watoto wake riziki, hatuna budi kumsapoti
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Nyie yoote mnaopinga huyu ndani angalieni like mtapata jibu MGufuli anashinda
@EngJosh4 жыл бұрын
Tumeweka likes ili kuhifadh kumbukmb tukitak ku search tupate kwa urahis
@bernardmkama40574 жыл бұрын
Shashinda njaa au,km NI uchaguz NI kwa kubebwa maana Kuanzia tume,Jeshi la polic na wakuu wte wa uchaguz kawateua yeye Sasa kwnn asishinde,ila Kila kitu kina mwisho ucione Mungu yuko kmya
@hamisimussa22284 жыл бұрын
@@bernardmkama4057 wewe akili yako lisu anaweza Malinda magu kwa kujaza ujui hta takwimu wale anajaza lisu robo ndio watakaompigia kura ila magu wote lisu sio kama lowasa uwezi ishinda ccm ikiwa haina makando chukua hiyo lisu hkipata12 asilimia haiwezi tokea ccm wanatafuta ushindi wa kishindo na Mungu unayemsema wewe yeye mawazo yake sio yako Mungu ameibariki ccm na sio cdm Kama hkitaka Hta ccm angeifuta
@Special4uTV4 жыл бұрын
Nakubali Tanzania
@hossenibrahim71234 жыл бұрын
Kichwa
@adammakoye41984 жыл бұрын
Nassari mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aiseee !!!
@mariamnelson14834 жыл бұрын
Lazima atakua
@susanraphael58944 жыл бұрын
Namimi Naona hakika atakua
@piliissa54614 жыл бұрын
KABISAA AENDE AKACHANGAMSHE 😅😅😅MAANA WAMELALA
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Apo sawa
@janethmollel63244 жыл бұрын
Amen
@faustinaurio37034 жыл бұрын
Safi sana Nasari
@gloryulomi54954 жыл бұрын
Magufuli miaka mitano tenaaaa......👍
@munajafu30804 жыл бұрын
Big up brother
@gloriakiria60964 жыл бұрын
Safiii sana kaka vizuri
@amanmbaga86764 жыл бұрын
sema Mzee mtayo same hatumtaki tuna mtaka kairuki mama yetu anjela kairuki asante baba magufuli.
@HASASON4 жыл бұрын
Dah huyo mzee toka nasoma same FDC nikiwa mtoto mdogo mpaka leo mtu mzima bado yupo tu 😁😁😁
@vincentdanny72674 жыл бұрын
Wow!!! Nice sana mweshimiwa Raisi wa jamhuri ya Tanzania Dr John pombe Joseph magufuli
@robosia29154 жыл бұрын
MAGUFULI ndiyo baba. Hoyeeeee.
@hakitv47174 жыл бұрын
Vijana vijana Tanzania! Eeee vijana! ....Alivyo smart halafu yuko ndani ya chama Hiyo ni OG
@mankialema64904 жыл бұрын
Safi sana Nasari,aombae.msamaha kusamehewa Bravo Nasari
@dorcasseruhere68754 жыл бұрын
Nasari una Akilii.Magufuli juu Mungu amekuchagua na miminakuombea wewe ni Rais wetu
@bwizayasini21534 жыл бұрын
M
@elizabethiraq75994 жыл бұрын
hayo ndo maneno
@veronicaphilip42304 жыл бұрын
Ni fala huyo mnamwona ana akili
@veronicaphilip42304 жыл бұрын
Mbona alimtukana magu 2015 leo mnamwona ana akili, ni akili au njaa zinamsumbua maana hapo habari yake imekwisha
@mkemiamagege84774 жыл бұрын
Mwanasiasa ukimpa kuongea bwana , Dah! Anaweza kutelemka na MIC chini. Ona mzuka wa Nassar jukuwani. Hongera sana NASSAR KWA KUFANYA MAAMUZI MAKUBWA KWA KUTETEA MAENDELEO YA WATU WA ARUMELU
@mussajuma17364 жыл бұрын
Hongela sana rais wetu kipenzi magufuri.
@afropatriot77694 жыл бұрын
Ukiwa na akali sahihi utasimama mahala sahihi Magufuli ni mtu sahihi kwa kipindi sahihi Cha maendeleo sahihi
@lirastanley3904 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii hahaha😂😂😂lazima wataisoma namba mh.Magufuli ni no.1
@zuberimbaruku33564 жыл бұрын
Nimependezwa sana na hili ccm hoyee
@kundaelynassary4494 жыл бұрын
Good brother.......2ko nyuma yako
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
Hana ishu labda huko kwenu Bara
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
@@barakangobile8870 labda huko kwenu Bara lakini ishu hana
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
@@barakangobile8870 labda uko Bara lakini sio Zenj
@lovinomwamtambulo66294 жыл бұрын
Hadi machozi yamenitoka kwa Huyu Kiongozi Nasari Hakika ww ni Jembe Elimu kubwa sana hiyo
@oscarbaltzar16454 жыл бұрын
kama haujamwelewa Joshua hautaelewa maisha yako yote.Joshua oeeeeeeee
@naftaliwilliam5144 жыл бұрын
Wabelgi mpooooo Magufuli baba loooo
@veronicaphilip42304 жыл бұрын
Tundulisu baba laooooooo
@cadhimberec12864 жыл бұрын
Wataweza kweli ???????Magufuli baba laoooooo nyumbuuuuuu mpoooo🤣🤣🤣wataumwaaa sanaa mwaka huu😁😁😁😁😁
@shukurumwalukopetro67574 жыл бұрын
Nawewe mamalaoo
@cosmasdaud90884 жыл бұрын
Kazi kazi hongera kijana kwa kujitambua
@joshualaitei62754 жыл бұрын
Omba MUNGU usiku na mchana Mr NASARRY Maana akipita tu wew umepata kazi Unaweza kuwa mkuu wa mkoa yoyote
@janethmollel63244 жыл бұрын
Mungu amtangulie NASARRI jamani.
@joshualaitei62754 жыл бұрын
@@janethmollel6324 Ni kweli dada yangu
@errydeo88654 жыл бұрын
SAFI SANA... KAONA MBALI.
@afropatriot77694 жыл бұрын
Magufuli baba lao
@Calmsam4 жыл бұрын
Hata mm nilisapoti sn Chadema hadi kura niliwahi wapigia kipindi cha ufisadi na ubadhirifu. Ila Magufuli matendo yake yanaongea yenyewe, machale kundesa 😂Mitano tena 🖐️ 🇹🇿
@kibotheexplorer14 жыл бұрын
Kijana mmoja genius sana 👊
@renidiuschindoleje83564 жыл бұрын
Kweli
@danielimaeda16254 жыл бұрын
Jiniaz angkuwa kwenye siasa
@bakarimlagilo50604 жыл бұрын
Kumbe una akili Nassary
@streetview30454 жыл бұрын
akili gan aliyo nayo huyo mnafiki tu yupo kwaajili ya tumbo lake
@devidpanja1154 жыл бұрын
Ana akil sn amejitambua
@salmaayub614 жыл бұрын
RAISI MAGUFULI NAKUOMBA MPE NASARI UBUNGE KISHA WAZIRI ANAKUFAA SANA KUWA WAZIRI MAANA ANABUSARA SANA PLS NAKUOMBA SANA RAISI WANGU
@raymondkaswaga83344 жыл бұрын
Safi sana Mhe Rais wamembeza sana huyu mtu mpe kazi tu boss mpe wizara na mimi nipe unaibu uwaziri tu nifanye naye kazi namuelewa sana
@allyflavour80054 жыл бұрын
Uko sawa kabisaa maana maendeleo aliyo fanya huyu baba nimakubwa Sana dogo umefika pahala sahihi elimu kubwa sana
@ponciopaul44054 жыл бұрын
Uko vzr nasar unaongea points
@veronicaphilip42304 жыл бұрын
Yuko vizuri wapi njaa inamsumbua ,anajua kabisa asiporap kazi hana maana ubunge ndo kashaupoteza
@barakaathanas40304 жыл бұрын
Anasimama ili apewe kazi...anaongea kirugha ili waone yuko pamoja nao...kavaa ccm kisa aliteswa na kunyimwa fursa alipokuwa upinzani.....anajivunia kusomeshwa na mabeberu....nimechoka sana
@naomybenedict58554 жыл бұрын
Nakupenda baba angu Magufuli nakuombea baba ili Mungu akulinde
@abdifarah11524 жыл бұрын
Hongera brother nassary,nimekuelewa sana .
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Uguwa pole baba etu magufuli
@bibletv98184 жыл бұрын
Haumwi, sauti Imeisha kwa kutafuta nafasi ya kututafutia maisha bora
@gwanman18584 жыл бұрын
@@bibletv9818 🤣🤣🤣🤣et maisha bora,anaumwa 🩸 zinamlilia
@J4UPro4 жыл бұрын
@@gwanman1858 wewe jinga sana
@gwanman18584 жыл бұрын
@@J4UPro Ahsante sana
@danilobabajr65844 жыл бұрын
Cheo bana ujinga sana yani
@johnmagwila30024 жыл бұрын
Ninalia machozi kwa ajili ya Raisi wangu John Pombe Joseph Magufuri kwa jinsi ulivyo mwema kwa Watanzania ,kijana Nasari ameongea ukweli na ndivyo ulivyotufanyia Watanzania kila mahari kutuheshimisha dunia nzima.Kweli Viva Magufuri viva,hakika wanyonge umetutendea haki kwa kutuletea maendeleo kila mahali umeweka miundo mbinu mbalimbali na huna ubaguzi,kwakweli kwa hilo tunakupongeza.Watanzania tunaendelea kuhamasishana ili tukuchague kwa kishindo,kila ninapo kutana na Watanzania nawahamasisha ili wakuchague ili ukamilishe kipindi hiki cha pili cha awamu ya tank.Mungu aweke baraka zake kwako ili upate kibali cha kutuongoza sisi na kutupa maendeleo makubwa zaidi ya uliyoyafanya,wewe ukisema unamaanisha na ni mkweli maana kila ulilolisema na kuahidi umetekeleza na zaidi mengine yamezidi.Naiona Tanzania ya neema kupitia wewe jembe letu na hatutaacha kukuita jiwe maana hutikisiki na hutikiswi na mtu kazi mbele kwa mbele.Watanzania tarehe 28/10/2020 tumchague ndugu John Pombe Joseph Magufuri.Mungu mlinde na damu ya yesu imfunike mzee wetu AMENI.
@martinhinda52334 жыл бұрын
Barikiwa sana kijana mwenzute
@baltzrluus32874 жыл бұрын
mzee hadi sauti imekauka, ila utatoboa tu mkuu bado wiki 1
@suzanejeremiah34634 жыл бұрын
Atashinda,💪
@georginajohn84564 жыл бұрын
Mungu yu Mwema atashinda CCM Oyeeeee
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
Hana ishu
@baltzrluus32874 жыл бұрын
@@hamidmohamed7806 nenda kwenye ishu
@hamidmohamed78064 жыл бұрын
@@baltzrluus3287 Ndomana yake mtazamo kila mtu ana wake
@jenipherkavusha16614 жыл бұрын
Nassari juuu kaka etu
@beduelmaldy44494 жыл бұрын
Siasa bhana! ukihamia upande mwingine tu utasifiwa na kuonekana unafaa sana!
@joshuajoel63764 жыл бұрын
Wana Arusha mmejua kunifurahisha........Magu hoyeeeee
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania yetu John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine wewe ndiye Rais wetu wa Tanzania
@hegatz22634 жыл бұрын
Tim nassari Tim magu wote mikono juu 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️ kwa umoja wenu naomba mnisaidie kusubscribe account yangu ya youtube kwa kugusa picha yangu Apo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 new project coming soon
@احمدالخروصي-ل8ك4 жыл бұрын
Jpm baba lao tuko pamoja mzee
@allyjuma42624 жыл бұрын
Big up bro nasari
@thekingbudah37114 жыл бұрын
Nasali anajielewa majukumu yake
@veronicaphilip42304 жыл бұрын
Sasa hivi hana majukumu hana tofauti na wewe ndo anatetea tumbo
@salimalaquimane26404 жыл бұрын
Viva nasar
@KS-iw7qv4 жыл бұрын
HATA MI NINGEKUWA NA UWEZO WA KUKUSHAURI MH.RAIS BASI TOKEA MWANZO ILIKUWA NATAKA KUKWAMBIA KUWA USIMWACHE KWENYE SEREKALI YAKO... BADO DAMU CHANGA NA KAJITOLEA SAANA NA ADA BIDII KWA UTENDAJI..... BIG UP MR. PRESIDENT HII TANZANIA MPYA 🇹🇿✔
@witmuniss99194 жыл бұрын
Daaaaaaa sijui lakini
@daudirajabu67984 жыл бұрын
Huna sera wajumbe walifanya kazi nzuri
@joasitz95594 жыл бұрын
JPM huna mfano wake baba yaani wewe ni fahari ya Tanzania, ni zaidi ya rais. Mungu akulinde. Viva CCM, viva Tanzania. Wengine mjiandae kurudi wodini ubelgiji
@erickzephania10304 жыл бұрын
Njaa hii
@afropatriot77694 жыл бұрын
Lisu ni kibaraka wa mabeberu na Hana Nia nzuri na taifa hili
@bernardmkama40574 жыл бұрын
Injilibya Luka12:5.. husema"Uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alvyo navyo" Nami nasema uzma au Aman ya Tz haimo ktk barabara,ndege no! Nawaombea watanznia Mungubawafungue macho mtoke gizan la mwaka64....
@afropatriot77694 жыл бұрын
@@bernardmkama4057 Mwanzo katika uumbaji Mungu aliumba vitu kwa siku sita alafu ndio akamuumba mwanadamu siku ya Saba,huyo lissu ametoka ulaya ambako vitu ni bingo Sana vinarahisihsa maisha ya watu,wewe ndio uko gizani kasome uchumi vizuri usome na biblia vizuri Kisha uje tuongee ,
@kissarungereuwalemuuya17154 жыл бұрын
Tunakupenda sana sana Mh, Rais wetu John Magufuli na tunakuombea kwa Mungu wetu uzidi kutuongoza katika Taifa Letu la Tanzania. Magufuli oyeeeeeeeee,, Ccm oyeeeeeeeeeeee,, Tanzania oyeeeeeeeee.
@vicentshonyela17104 жыл бұрын
Viva Magufuli
@susanraphael58944 жыл бұрын
Nilikuwa natamani sana uje ccm yani umechagua fungu lililo jema wewe ni jembe hakika utafanya kazi kama Joshua according to biblical detail nassary upo mahala sahihi usiogope
@elizafumbuka86684 жыл бұрын
Big up dogo janja Nassar
@shukurumwalukopetro67574 жыл бұрын
Hujielewi wee dogo kwani ulikuwa unahiti sasa unampigia mwanaume mwenzio awe mbunge halafu ww umekuwa mpiga bede hadi aibu hata unavyoongea
@emmanuelowiti82174 жыл бұрын
safi sanaaa mh jpm,ni kweli kabisa nasari sio tu anajielewa pia anajitambua.ccm chama cha kazi na sio maneno.jpm 5 kweupeeee mnoo.
@nasibubalonzizubusa34494 жыл бұрын
We nasari si wakuisema vibaya chadema ww
@susanraphael58944 жыл бұрын
Acha aseme amechagua fungu lilijema amen na iwe ivyo
@robosia29154 жыл бұрын
Nyie chadema lieni machozi ya damu. Nasari kijana mwenye akili safi saaana.
@saladaniel92744 жыл бұрын
Nacheeka 😂 kwa nguvu Maaana mnaweza mkajikuta mkagombana wenyew kwa wenyewe wakati wao wanajuana🤣
@telaamtauta22274 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kijana wewe mungu amekusamehe dunia fii akhera piga kazii nassar
@godfreymbitwa14814 жыл бұрын
Njaaa mbaya sana ata kama unaakili inageuka kuwa mavi
@evahenry77984 жыл бұрын
Imeisha iyoooooooo......jpm ni mshindi
@stanleyfocas82504 жыл бұрын
RAISI wangu najivunia kuwa mtanzania najivunia raisi wangu udumu udumu daima
@johncavishe3534 жыл бұрын
Barabara ya arumeru mashariki tnaomba muheshimiwa utuwekee lamii
@thebellas74584 жыл бұрын
Duuh Nassari unaakili Sana...
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Tano tena PERIOD
@meshacknassary33944 жыл бұрын
😂😂😂😂na me nataka kuwa mbunge
@baiaaa28094 жыл бұрын
Good
@wazirisukari51784 жыл бұрын
Alikuwaga chadema kweli huyu broo anajielewa aisee amehamia ccm ameona maendeleo ya ccm
@edwiniedwin33474 жыл бұрын
Duhhhh njaaa mbaya sanaaa, Leo hii Nassari anahangaika hivi ?
@estermollel84204 жыл бұрын
Safi Sana
@dayjamakangira29514 жыл бұрын
Pia Tanzania Inaongoza duniani kwa kuwa na neema kubwa ya Mungu na Imani Kubwa.
@geitaamb41524 жыл бұрын
WATANZANIA TUMKATEENI HUYU MUOVU MWIZI DICTETA SHETANI MKUBWA HUYU HATUFAI TENA MAGUFULI MWIZIIIIIII.
@saimonijonas43564 жыл бұрын
Bado sijaona mantiki yakumkataa.Maana yote uliyoyazungumza ni uongo.Wakati wa kikwete upinzani ulisema Kikwete ni Raisi dhaifu.Kaja asiye dhaifu mnasema dikteta.Kwasasa Nchi yetu inahitaji Raisi wa namna hii ndani ya miaka 20.
@maryurassa72434 жыл бұрын
@@saimonijonas4356 point taken n message delivered
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Siko chama chochote ila ssm ina hazina ya vijana kwa taifa leo na kesho ndo maana kuiondoa madarakani ni ngumu sana: Nasari, katambi, ali happy, makonda, silinde, jokate, jafo, mwanaFA, .........................etc
@caslidajosephat89124 жыл бұрын
Wewe nawe hujielewi et joketi mwanafa mpuuzi kweli wewe
@temkezatv43814 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
@mamukassim40754 жыл бұрын
Una mafuwa muheshiwa. Pole baba. Ndo ukubwa uwo
@doctorzero-dj5xg4 жыл бұрын
Mmmmmh ! Namfurahia sana nasari !
@zohoraramadan45404 жыл бұрын
Safi sana Raisi John pombe magufuli umehakikisha Taifa linakula riziki za halali ,niulize Kuna aliyepunguziwa mshahara? Bora ya kidogo cha halali kitakuwa na baraka , na lazima muache kufanya isirafu ya riziki
@jokeableking70394 жыл бұрын
Wachache tu ndo tunaofahamu ni nini kinaongelewa pale lakn wengi wao wamejaa chuki na kejeli ndani Yao Magufuli +ccm oyeeeeeeee!!!!
@robertjunior99164 жыл бұрын
Baba Kama baba 🤣
@saidmttenda18924 жыл бұрын
Kama kuna mtu anaona Nassar kavyesha kidg nipe like hapa
@wallesdavidprimarymasinga33824 жыл бұрын
African political vert fan
@amedeusmmanga45354 жыл бұрын
JPM tena
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Utajibeba ndio hivyo 5 tena Magufuli mshindi
@revelianalphonce81154 жыл бұрын
zimebaki ck chache sana, pole rais wetu kwa campen nzito tarh 28 kura kwa J P M
@eliudkapinga97994 жыл бұрын
Wanasisa wote motoni
@firdausiabdulkarim24244 жыл бұрын
Nassar jembe magu jembe
@jamesswai65834 жыл бұрын
Siasa Ni Kama kamchezo flan hiv. Kumtaja Mungu, uongo nk ni mambo ya kawaida.
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Mungu tusamehe,machozi yamenitoka.hakuna kitu kizuri kama msamaha.
@officialstoner7714 жыл бұрын
Aise Nasar asante Sana kwa kuwaombea kula na maelezo yako ni mazuri sana
@jumanesaidi76354 жыл бұрын
Pole pole, tunaelekea kwenye ukabila.
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Apo sawa MPE ukuu wa Mkoa wa Arusha.
@heriholder29374 жыл бұрын
Uwanja umejaaaaaaaaaaa Magu 5 tena.
@hassanchauluwa73084 жыл бұрын
kwa nasali namaliza bando langu bure katika maisha naogopa sana utumwa.
@jeremiahkilato2954 жыл бұрын
Sijutii kumpa mwanangu jina la Joshua, akili nyingi sana kichwani
@saidbakari11274 жыл бұрын
Nakumbuka maneno ya nasari kabla hajajiunga CCM aiseee siasa Ni sawa na ile movie ya GAME OF THRONE
@kadylucas93784 жыл бұрын
Kumbe na ww unakumbuka km mim? Siasa acha iitwe siasa Kaka
@petermwanyondo53704 жыл бұрын
Minatka kujuwa konikiwa mpinzani maendeleo spati kwanini mchukuwe kodi kwangu maendeleo hayana chama