Hongera dada nimependa unavyoelezea vizuri ,pia kiwasamehe waliokusema vibaya Hongera sana kwa hatua yako, Ila mdomo wa mwanadamu haulipiwi Kodi. Wasamehe
@jayzeem1411 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa subira na Hekima Mwanangu! Kwanza huku wa na ulazima wowote kujieleza kwa yeyote! Mungu akulinde na kukubariki. Mshike Mungu sana!! Hiyo ndio itawanyamazisha wenye hila na Roho za choyo ! Kuanzia sasa endelea na maisha yako hakuna anae kudai lolote!!
@lightnessmariki431310 ай бұрын
Mungu awatangulie Safari yenu.You are beautiful.Golden heart , flourishing with forgiveness!!
@PeterSarwatt-n8n11 ай бұрын
Hongereni sana nyote mmepitia majaribu ww na mume wako, sasa ile kauli ya wahenga wenu isemayo kila jaribu inamlango wa kutoka mmetimiza kila mmoja wenu jaribu alilokuwanalo ktk maisha yake hapo awali mmevuka hongereni sana sanaaa!!! jamani msalimie bwashe wetu.
@ubongosahihi10 ай бұрын
Hata Kama amefuata Pesa ni sawa tu Nani asiye penda Pesa hapa Duniani Mpendwa songa mbele sisi wengine tuombe tu na utusamehe bureee ❤️❤️🙏🏿🙏🏿
@annahmakabara304910 ай бұрын
Achana na mrafiki fanya yako na mumeo mzungu mzungu tu acha wa seme ziba masikio nimepemda sana❤
@annatemu448811 ай бұрын
Eeeh Mungu wangu,hivi wana wa Adamu wapoje jamnii,? Eti alilala na mama yake,wasamehe bure dear 🙏 Ngachokaaaa🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@lovenesstweve849910 ай бұрын
❤Nina kupenda sana japo sikufaham,Nina kupenda mpende mumeo ubarikiwe sana muishi vizuri mheshim mumeo hongera sana
@dorenrafael705710 ай бұрын
Usijali happy songa mbele ya mungu mengi , ya watu maneno, yakuku mayai wanatamani wawe wao lakini haiwezekani kifupi tuache wivu👌
@priscillawilliam360311 ай бұрын
Nyie viumbe wa Mungu acheni kutumia midomo yenu vibaya mwacheni huyo dada maisha hayana mstari ulio nyooka..angalieni yenu..tena hamna aibu.
@tinaalbert406510 ай бұрын
Dada mim nimekupenda sana sana . Una hekima sana. Mungu akutunze
@AngelMbaga10 ай бұрын
I love your wedding dress that came late. It's so beautifu. This is the wedding dress, people are looking for fashion but they don't know why the wedding dress should have long sleeves. you look very beautiful bride.
@sarahmahawe637611 ай бұрын
Maisha yanapangwa na mungu .. maneno yawatu yasikupe shida. Songa mbele. Kama palikuwa na jambo na mama na wewe hujui. Nawa mikono umwachie mungu hayo yasiyo julikana.
@florencefor406111 ай бұрын
Asante dada .usijali mungu ako wewe na asimame na ndoa yako
@judithrobath847511 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde na azidi kukutunza binadamu ndivyo walivyo❤
@stonetown57811 ай бұрын
Tz kuzito kama huna kifua utakufa kwa pressure, hongera zako.
@AngelMbaga10 ай бұрын
Yaan Mungu atusaidie sana sana, ktk maisha usipende kuongea kitu usichokijua. Mdono wako n hatima yako. Dada wa watu anaongea kwa emotions zake na anaonekana ana mambo yake moyoni. Tena amejikaza, mwingine angeweza kulia. Achilia tu, Mungu ndio huwa anayajua yote
@yukundapeter820010 ай бұрын
Hongera sn mwaya! Ucyajali hayo ni mapakashuume yanalia nje.Mapaka muoxo yakickia m2 anaolewa yanaanxa mdomo,yenyewe unakuta yananaliwa mpaka na lucfa halafu yanaleta wivu.
@bettypaul337410 ай бұрын
Kila jambo linawakati wake, MUNGU amepanga hakuna atakae weza kupangua jambo lolote, isha kuwa hata waseme nini piga magoti,muombe MUNGU maisha yaende, MUNGU ni mwema kila saa
@RuthPierre-k9m10 ай бұрын
Hongera sana dada,, nimekupenda sana una utulivu
@ulycessmushi715611 ай бұрын
Hongera sana . Wewe songa mbele acha kusikiliza maneno ya watu.
@HappinessMwangi-s5t11 ай бұрын
Wajina hongera Mungu aliyekutendea azidi kukulinda na ndoa yako God bless you 🎉🎉🎉🎉
@halimasanga383011 ай бұрын
Dada unahekima Sanaa. Yaani haupendi mtu yeyote aonekane mbaya. Mungu aitunze ndoa yenu.
@EmmyRobert-h9h10 ай бұрын
Hongera sana dear,songa mbele,usisikilize makasiriko ya wapuuzi❤❤
@HapnesDeogratius10 ай бұрын
😮usijali dada mane no ya watu acha wakuongee vibaya IPO siku watakushuhudia mazuri yako
@SiwemaallySiwemaAllyrajabu10 ай бұрын
Hongera dada usijali ya watu
@dayana5513story11 ай бұрын
Kwanza you're beautiful God bless you're marriage ❤❤❤
@SashaJr-ly2fu10 ай бұрын
Hongera mwaya mungu ni mwema awafikishe mbali kila la heri kwenye maisha yenu ya ndoa
@marymwaya968511 ай бұрын
Wabongo wanawivu sana songa mbele waache waseme usjiali wala usiumie
@joycetonya997211 ай бұрын
Hongera Sana dada kwa hatua uliyofikia ni Mungu tu aendelee kukuimarisha ktk ndoa yako
@evaakyoo300911 ай бұрын
Aliye kumekapu atakuwa ni mpare ndio maana 😂😂😂wapare acheni hizo jamani
@RuthPierre-k9m10 ай бұрын
Mungu akupe nguvu ya kuendelea katika hatua mpya hiyo
@ChristinaMalembeka-t4h11 ай бұрын
Mama kweli alikulea vizuri sana, una busara kupita maelezo. Usivunjike moyo watu wenye mawazo hasi mara nyingi huwa hawana hofu ya Mungu. Mungu akubariki sana.
@nkiyalulenganija149 ай бұрын
God bless you
@ramlaleila37410 ай бұрын
Dada mrembo ma Shaa Allah na busara zake
@margarethpolepole743810 ай бұрын
Wanadamu hatukosi kusema muacheni mtoto amepata mwenza wakekila jambo hupangwa na mungu
@sleeprelaxation843111 ай бұрын
makeup na nywele leo kapenda kushinda siku ya arusi yake. alie mfanyie makeup siku ya arusi mmmh.
@marymbuya476311 ай бұрын
Nimekupenda sana. Umefundwa dada. Mwenyezi mungu aisimamie ndoa yako ikawe na baraka
@JudithLembrice10 ай бұрын
Mwanangu hiyo ni frsa ya Mungu , na sikuzote wanadamu Wana wivu, Cha kwanza tu mche Mungu ALIYE hai , na usimsahau aliyekutedea hayo ambaye ni Mungu! Unarikiwe
@mcback438411 ай бұрын
Huyu Godfrey ana maswali ya kipumbavu sana ndio tatizo la journalism kusomewa hata na division zero,
@ashminaabdulla894611 ай бұрын
Hata mm ninggempata uyo Babu pia namtaka 😢
@IreneMwanaa-zo2wz11 ай бұрын
Ila wanadamu mungu atuhurumie kwa maneno ya vinywa tunacho ona niupendo tu wa mungu mengine hayatupasi kujua.
@RoydaspityKobero-jq9cm11 ай бұрын
Kuna upendo wa Mungu kwa binti na babu yake acha kumpoteza mwenzio.muhurumie maana hapo anaomba ujane ili amiliki mali hakuna ndoa hapo
@Kabwela77611 ай бұрын
Ni mdangaji tu na aache unafiki kumtaja sana Mungu ni malaya tu na kwa maelezo alikuwa mwanaume wa mama yake kwa hiyo wewe ni sawa kumvulia chupi mwanaume wa mama yako mzazi ?
@Kabwela77611 ай бұрын
@@RoydaspityKobero-jq9cmni malaya huyo kahaba ndio maana anamtetea malaya mwenzake
@kamarhelo10 ай бұрын
Mhhhhh jamani punguzeni ukari wa maneno haa waja mnamambo
@estachengula390211 ай бұрын
Usijali mdogo wangu wa tz tunawivu sana tunza ubavu wako huo mungu kakupa achana na watuuuu
@kanankirannko617411 ай бұрын
Kashaolewa basi anaetaka nae aolewe na babu kama huyo tuone atampataje tena harusi pambeee ,
@Lizzyneema10 ай бұрын
African people always have jealousy Mungu akutunzie ndoa yako my beautiful lady Seriously hiyo comment mtu huyo alikomenti yamkini na yeye anatamani apate mme kama wako anakosa ndo maana kakomenti kwa wivu Hongera sanaaaaa saaana
@sifakito849110 ай бұрын
Yaaani Africa mumenishangaza kweli munapenda saaana kuzungumuziya maisha ya watu kwa nini .Yale yote ni roho nbaya na fitina kwa watoto wa wengine ndiyo wengi hawabarikiwe mubadilike jameni
@vickyshayo788010 ай бұрын
Usijali huyo ndo mume wako uliyepangiwa na Mungu achana na hao ni wapita ni tu
@BernadetteKiwelu-kg6fv11 ай бұрын
kwa kweli my baby unahekima Sana na unaongea point mno hongera sana Mungu akutangulie katika safari yako hii uliyoianza naamini utafika mbali sana yote mtangulize Mungu kila atua unayoichukua baeikiwa sana
@dorenrafael705710 ай бұрын
Mamzungu songa mbelee achana na watu wenye wivu tena kesho nakuja salon kwako kusuka dia songa mbeeleeeeeeeee
@gloriajeremiah473411 ай бұрын
Usimwangalie mwanadam mwangalie Mungu tu, na pia ishi utakavyo na sio watakavyo walimwengu. ❤
@devothachitamu152810 ай бұрын
Mwanangu mpende na umtunze ndie mungu ndie mpangaji siyo binadamu 🎉🎉❤❤
@MariaNdagile-fj4ps11 ай бұрын
Dada una hekima sana utafika mbali sana
@MariamIbrahim-h7p10 ай бұрын
Mungu skitanguliye dada
@FatmaHamad-g6s11 ай бұрын
Wana choyo tu dada kulamaisha ndo binadamu hawana jema
@DevothaAmbrose-v6i11 ай бұрын
Mahii shemeji hana ata rafiki yake uniunganishe nae 🤣🤣🤣natania kila la heri mwaya
@AziziMapunda-vt4nv10 ай бұрын
Muzungu kakueshimisha mbele yawazazi nambele ya mungu lakini usijekumuacha
@aimborannko37289 ай бұрын
BINADAMU NI KAWAIDA YAKE KUMSEMA MTU KIWE KIZURI AU KIBAYA DADA SONGA MBELE
@minaelnathanael184611 ай бұрын
Aaah!! kumbe ana danu ya kichagga ndio maana. Endelea kutuelewa
@aimborannko37289 ай бұрын
Labda walitaka waolewe.wao pytu
@GetrudeRashid-be8bs11 ай бұрын
Wala Dada ucjl,,hao wanao sema ujapende waongo
@JoyceJulius-r6g11 ай бұрын
Mimi mwenyewe nikipata bwana mwenye pesa hata awe Babu naolewa tu nani hapend maisha mazur dada hongera sana
@Kabwela77611 ай бұрын
Na kibabu cha kizungu chenye pesa na akulipe ulale Na mbwa wake pia
@SophiRamadhani11 ай бұрын
Usijali we angalia maisha yako binadamu tumeumbwa kuongea nakutakia maisha mema kwenye ndoa yako
@SmilingCityMap-xb9md10 ай бұрын
Wazungu tunasikia sana habali zao hizo mambo wanazo
@AgathaEmanuel-dv3vp11 ай бұрын
kweli mungu ni mwema sana ❤
@AnnaMeruss11 ай бұрын
Hongera sana usikate tamaa
@hidayaswai311911 ай бұрын
Dada usisikilize maneno ya wapita njia,fanya linalokupendeza. Uwe umefata pesa au chochote ni wewe. Walitaka ufuate umasikini? Roho mbaya za waja sisi. Watu hawanaga jipya ni wapitaji tu, waache waandike wewe endelea na maisha yako mpenzi. Hata ale kuku na mayai,is up to them.
@Kabwela77611 ай бұрын
Wa ovyo kabisa nyie ndio uwa unauza utu wenu kwa vijisenti kwa hiyo sawa kulala Na hicho kibabu ambacho kilikuwa kinamfira mama yake Hadi kuwakodishia nyumba, au Na wewe unalala na mwanaume anayemfira mama yako mzazi kweli wewe ni kizazi cha mbwa !
@hidayaswai311911 ай бұрын
@@Kabwela776 ulitaka aje kwa nyie kina kabwela. Akifanya hayo ulikuwepo. Alafu hiyo kauli yako ya kipuuzi uliyoandika tafadhali futa kwangu. Kauli chafu hizo ume reply kwa nani? Nakupa masaa 48 utaijutia maisha yako yote. Futa uchafu wako mkosa adabu wewe usiyejua kipi cha kuandika kwenye media. Unampangia mtu maisha wewe na kauli zako chafu,unaonesha namna gani umelelewa ovyo.
@hidayaswai311911 ай бұрын
@@Kabwela776 nani wa ovyo kati yangu mimi na wewe.
@Kabwela77611 ай бұрын
@@hidayaswai3119 malaya mbwa wewe malaya wewe mama yako Na ukoo wako wote watishe Mafala wenzako , wewe ni wa ovyo ni kahaba ndio maana unatetea ukahaba firauni wewe
@Kabwela77611 ай бұрын
@@hidayaswai3119 wewe malaya ambaye unaweza kufirana Na hawala mwanaume wa mama yako mzazi ndio maana unatetea huo uchafu ovyo kabisa kima wewe
@StellaNoel-b9s10 ай бұрын
Mm. Kula maisha dogo
@mapishiyalulu969611 ай бұрын
Hasidi hua Hana sababu.hapo dada usife moyo wewe jifunze kula na kipofu chunga mkono wako.
@soberhousetv224511 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@marymwaya968511 ай бұрын
Yaani hongera sana sana Mungu amekutendea we umepata mume makeup ndio nini na ulipendeze wivu tu
@joycehaule971711 ай бұрын
Huyo mtoto aliye someshwa na mzungu yuko wapi mbona kamficha
@Adrianwhite211 ай бұрын
Mbona yupo hapo dear ila kwakuwa hayakuhusu ndio mana huwezimtambua
@hopekandrossy171410 ай бұрын
Fuata kitu kinachokupa furaha dear
@rahimaramathani740210 ай бұрын
Achana na maneno ya wanadamu fanya yk shog
@ashurakodd158911 ай бұрын
Wewe songa mbele mdogo wangu achana nao wivu tu unawasumbua wanasema alilala na mama Yako aliwambia piga moyo wako konde songa mbele hata usilie mwaya.
@fardoshnassor784711 ай бұрын
😢💖🙏🏽
@sabihaibrahim14311 ай бұрын
kama aliwapangishia nyumba mamaako basi alikuwa babaako sema keshakufa na lake halipo
@BonitatemBonitate11 ай бұрын
Kweli kabisa huyo ni baba yake hata yemwenyewe analijua ilo vizur tu kuwa huyo alikua baba yake,na hata siku anaenda omba msaada alienda omba kwa baba na sio bosi wa mamake
@Adrianwhite211 ай бұрын
Chunga sana kinywa chako kitakugharimu maisha yako yote bila wewe kujua umekosea wapi omba Mungu akupe hekima
@HameedaHh-y5y11 ай бұрын
Wa kwanzaaa honger na poleeee na changamotooo za maishaaa
@achouraachoura576311 ай бұрын
Achana na comment za waja..Linda ndoa yako..📌
@devotathomas847811 ай бұрын
Mmh ona majanga huyo sugar daddy umempendea nini may mchongo bhana
@ngowibeatrice170110 ай бұрын
Devotha acha roho mbaya wewe ungekataa kuolewa na huyo
@SubiranTimo10 ай бұрын
Kyala akutule pamoja na watoto wako
@chomasongidion604711 ай бұрын
Usijari KBS mwaya umempata mwenzi wako,inatosha umependeza inatosha, SEMA Asante Mungu
@Kabwela77611 ай бұрын
Utakuwa malaya mwenzako unatetea uchafu wake kwa hiyo sawa mama Na mtoto kufirwa na hicho kibabu cha kizungu au Na wewe unafirana Na hawala wa mama yako nyani wewe wa kibantu 🐒🐒🤮💩🤮
@JoyceChacha-i3w10 ай бұрын
Achana nao
@Amira1977-y11 ай бұрын
POVERTY MATTERS!!!!! UMASKINI TUUUUUU
@Naima-g1n11 ай бұрын
MashaAllah leo kapendeza sana
@HadijaZabroni-pu1lt11 ай бұрын
Usijari dada angu
@debbie1104411 ай бұрын
Hongera sana Dear
@rerisamba11 ай бұрын
Hio comment niliiona namimi ilinisikitisha kweli mbona mtu acomment hivyo sio vizuri
@sikudhanimohammad769210 ай бұрын
Leo kila mtu anacomment vizuri
@sagboison629711 ай бұрын
Wapendwa nisaidieni namba za millard ayo kuna tatizo limetokea
@antybabybintrashid233311 ай бұрын
Nenda Instagram mpigie
@halimamusaamiri418711 ай бұрын
Achana nao fokas na maisha yako
@AshuraMohammed-p2q11 ай бұрын
Hapendwi mtu ,pochi ndio msema kweli,umri kitu gani
@chunaabdullah133311 ай бұрын
Acha uchawi angekua ampendi angemzalia watoto tena 2
ASANTENI WOTE MLIONIPONGEZA NA KUNITAKIA MEMA❤MUNGU AWABARIKI SANA...NNACHOOMBA KUWASIHI NDUGU ZANGU, HASA WANAWAKE, MABINTI " KAMA TUMETOKA KWENYE FAMILIA DUNI NA TUKAKULIA KWENYE MAZINGIRA YA DHIKI SHIDA TUSIKUBALI KURUDISHA AU KUONGEZA SHIDA NYUMBANI..WAZAZI WETU WANATUHITAJI WANATUTEGEMEA SISI SO UKIONA SHOTCUT INAYOELEWEKA INAYOSOMEKA PITA NAYO✍️AS LONG AS HUJIUZI WALA HUFANYI BIASHARA YOYOTE HARAMU WALA HUMKWAZI MUNGU NAKUSHAURI PITA NAYO NA 💯UTANISHKURU BADAE😉❤️
@Eleonora-ei6yx11 ай бұрын
My dear,achana nao hao wewe songa mbele Mungu ameruhusu uolewe nae wa ni nani wapinge.Ila,kaa benet na Mungu watu sisi wabaya mwanangu
@saumukambi856211 ай бұрын
Mungu axidi kukuongoza barikiwaa❤❤❤❤❤❤❤
@MarySion-c6h11 ай бұрын
Nyie watanzania accent kupindisha maneno.mtu anafuata pesa kwa mzungu Sio kitu kingine
@millicentaseyo912811 ай бұрын
Some questions anakwepa how come hukumbuki miaka yako n pesa uliotumia just try or learn to be transparent kuna kauongo ktk hii interview n mbele wazungu hupenda kua wakweli Africans please style up😊
@RoydaspityKobero-jq9cm11 ай бұрын
Yaani wadada Mungu awasaidie yaani penye pesa umri ni namba tu ila kwa mlala hoi namba ni uzee.happy acha umbea unaolewaje na babu yako unajifanya umri ni namba tu kupenda pesa kutakugharimu.
@Kabwela77611 ай бұрын
Ni yuko kibiashara zaidi anajifanya Umri ni namba wakati ni babu yake angekuwa kibabu cha kibantu choka mbaya angesema ni matusi kumvulia chupi mzee Na ni mkosi , kweli kupenda pesa kutamgharimu 🤣🤣🤣🤣🤣
@graciousmedia823511 ай бұрын
Ha ha ha nimecheka kwa nguvu
@Adrianwhite211 ай бұрын
Dear naomba unigawie siri unaishije bila pesa? Au wewe ni ndege wa angani??
@Kabwela77611 ай бұрын
@@Adrianwhite2 wewe shangazi unaonekana ni malaya kabisa ushuzi kabisa huna point, kwa hiyo kutafuta hela kwa kukubali kumvulia chupi mwanaume wa mama yako mzazi? Au unawavulia chupi wanaume wa mama yako mzazi ?
Mbona mume kijana kabisa na watoto watazaa Insha Allah kananongi ungabalikisya balosi Kyala akutule shemeji hana mjomba anataka mke❤
@FridaMmari11 ай бұрын
wana watoto wawili, tiyarii
@nr878211 ай бұрын
Umekosa wa mtu wa kukuoa umeenda olewa na pink skin evil...hawa dada wa kiafrika wanafikiri haya madudu yanahela...ndio maana....majinga kweli
@Namsifu11 ай бұрын
😂😂😂kaa kimya
@ElizabethKilumbo-r1s11 ай бұрын
Wivu ni kidonda .
@adeladavid654010 ай бұрын
wivu huo
@FelisterMunissy11 ай бұрын
Nikweli huyo ni mume wa mtu hakosi watoto tabia yko s nzuri ulikosa kijana mwenzako mpaka ukalale na huyo babu umefata hela unamshirikisha mungu kwenye story zako unatuaibisha sa na
@hidayaswai311911 ай бұрын
Kwnn. Kijana yupi haloo
@svt311 ай бұрын
@FelisterMunissy: wewe ukiolewa na kijana na ukifata umaskini hiyo inatosha sio lazima kila mtu aolewe na kijana na si lazima kila mtu afate umaskini
@raymoshmikidadi8711 ай бұрын
Sio lazima awe kama wewe..kwanza ng'ombe hazeeki maini...Bora yeye ameolewa kuliko wewe unae danga na vijana
@juliennenzeyimana327411 ай бұрын
Acha makasiriko kwenye maïsha ya watu?kuriko uworewe na mme wa mtu bora uyo mtu mzima?utaishi bira stress za mke wake nata enjoy maïsha yake?hongera mwaya