EXCLUSIVE: MWANAMKE ALIYEFARIKI MWAKA 2003 APATIKANA AKIWA HAI "HAJAOZA, NI KWELI NILIKUFA"

  Рет қаралды 52,454

Millard Ayo

Millard Ayo

6 ай бұрын

Пікірлер: 391
@thobycharles8766
@thobycharles8766 6 ай бұрын
Hakuna mwandishi wa habari hapa, hajui kuhoji maswali muhmu ambayo mtazamaji angetaka kujua. Yàan weng hatujaelewa Hali halisi ya kifo chake
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 6 ай бұрын
Uchawi upo ...ila ole wenu mnao muingilia mungu katika njia zake...adhabu kali inawasubiri.. mungu haingiliwi...na uchawi umeshindwa katika Nguvu zake Allah ☝️..☑️📌
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 6 ай бұрын
Na hiki ndio kinatuchelewesha waafrica. Wakati wenzetu wanawaza kuhamia sayari ya Mars sisi tunawaza kuowa watu kichawi na kufanya wengine wazike magogo bila kujua.Mungu tutetee mazingaumbwe yamezidi.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 6 ай бұрын
@@sophiakimaro5174 mtihani Sana dunia.
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 6 ай бұрын
Kwa hakika wanaoingilia kazi ya Mungu.Endeleeni ila Mungu anawasbr.Kuawa wenzenu kwa Ushirikina.Mungu awaalaani.
@zaituniabdallah1948
@zaituniabdallah1948 5 ай бұрын
Watu wabaya saana 😢​@@sophiakimaro5174
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Subhanallah ee Allah tustiri akifa kweli tena hawato amini Astaghfirullah
@winnesakara6957
@winnesakara6957 5 ай бұрын
Mnao soma coment kama mimi
@FrankEnockmabundu
@FrankEnockmabundu 5 ай бұрын
Tunaosoma comment kama wewe tumefanyaje hatujakuelewa😮😮😮😮
@glorytoGod639
@glorytoGod639 6 ай бұрын
Duh mtangazaji, kasome upya mzee
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Ameeen kaka wa marehem mfufuka kwa maneno mazuri.
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 ай бұрын
Mungu ni mwema wengine tupo hai na tuna ndugu lakini upendo awana mungu akulinde siku zote 🙏
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 6 ай бұрын
Watu wa kigoma ni hatari sana Ila manRahimaRabbiy
@habiba1314
@habiba1314 5 ай бұрын
Sasa yy anasema alifariki alijua je kama hapa nimekufa acheni uongo mtu afe alafu ajijue kama hapa nimefariki
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Aminaaa.
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 5 ай бұрын
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
@user-uf6hw6rf9t
@user-uf6hw6rf9t 6 ай бұрын
Subhanallah hasa inawezekanaje mbona mtihan zama za mwisho na msiseme alifariki bana mtu anafariki atazikwa anarudi tena kwa misingi ipi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 6 ай бұрын
Mimi nikuwepo oman sina masiliano na familiya ilikuwa sijuwi kunganyisha sim wasap watu walisema nimefariki niporudi oman mama alinifanyia maulidi nilishukuru mungu alhadulilah mama alifunga siku 3baada ya kurudi zanzibar
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 6 ай бұрын
Pole yako Allah akujaaliye umr mrefu :story yako inafanana na yangu hata mimi Niko Oman nilivyokuja Oman nilikaa miez 4 Bila mawasiliano siku nilivyoongea na mama alisema tulikuwa na huzuni San tulikuwa tunazani umekufa Labda umetupwa miferejeni alifurah San mama angu alivyojua mi Niko mzm wa afy
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 6 ай бұрын
@@mariamhamisi598 asante sitor yako vip ulikufa au vip
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 6 ай бұрын
Ulikaa muda gani bila mawasiliano
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 6 ай бұрын
Miezi minne au kusoma hujui
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 6 ай бұрын
@@zohoraramadan4540.miezi minne
@ifraimifraimuhusen282
@ifraimifraimuhusen282 6 ай бұрын
Mwandishi wa habari kuna point za msingi umeziacha * Baada ya kifo chake alipoteza kumbukumbu Je kipindi zinalejea alikuwa wapi na kama alisafili au alisafilishwa? * Tunahitaji kujua sehemu alofikfikia siku ana fika Musoma kulikkuwa na watu wengine ajieleze plz Milady ilejeeni fanya interview na au Mpe Vido tafadhali
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 ай бұрын
Mm nimeelewa inaonekana vingi et hawataki kuvielezea nafikilia mwandishi amemuuliza ulikufaje wawati unazikwa ww ulikua wapi ulikua unajua kama una ndugu zako na WATOTO
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 5 ай бұрын
We mama unayesema ulikufa, sema tu ukwel ulitoroka nyumban kwenda kuolewa na ndugu zako wakafkr ulipanda mtumbwi ulopata ajali hvyo wakazka mtu asiyemwanafamilia!..hvyo msitumie hyo mbinu kukusanya sadaka kupata hela
@nusaibahhassan733
@nusaibahhassan733 5 ай бұрын
Hhhhhaaaa Swadaktaaa
@piusvincentkihiyo499
@piusvincentkihiyo499 Ай бұрын
Sure
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Chuma kimerudi Mzee baba kipo imara Asante mashaaalah,chuma hicho,
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Kazi kuongea ujinga tuu. Ndo maana hamuendelei kwa ujinga. Ongea ya maana.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Ujinga upi kama huwez tulia atalea watoto waendeshe maisha uchumi,kuwasomesha,watoto,bila chuma utapata watoto,kama hujui Mambo tulia,meza wembe,
@SoniaYunusu-ze7zq
@SoniaYunusu-ze7zq 5 ай бұрын
😂
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Na bado tutaona mengi. Yesu anarudi. Watarudi misukule yote. Nguvu za giza zimeanza kupoteza nguvu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 6 ай бұрын
Inshaallah yaarabbi, mungu atawaviza wachawi wote
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 6 ай бұрын
Hujielewi ww Aya msubiri huyo yesu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
​@@salmabinyaga2357NABII ISA ATARUDI LAKINI BADO.
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 6 ай бұрын
Yaani hili boya kweli, TUKIO limetokea linaingizia eti nguvu za yesu anarudi, nahisi na ww ni msukule kabisa.
@zuhurasuleiman7455
@zuhurasuleiman7455 6 ай бұрын
hao walizika mwili sio wao walifananisha tu ila uyo alichukuliwa na maji had alikofika mungu kamuhifadhi tu na roho inamsuta apo kuongea uongo duh watanganyika mungu mnamfanya selemani kweli
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Nimecheka sana et name anasema nilifariki jaman walimwengu tukoje? Huyu hakufatiki aliokolewa sema tu hakujulikana ameokolewa na nanani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
KUNA KITU KINAITWA MSUKULE MNAKIJUWA???
@user-mq6gb1zw8s
@user-mq6gb1zw8s Ай бұрын
😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
Ajafa huyo alikua hai kifo mchexo walokufa kweri mbona hawarudi. ? Aliqwkwa msukure au alisafilibilakujijua. Allah atusamee na atujaalie mwisho mwema. Maulidi ni bidaa sasa mnashukuru mnakufuru
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 ай бұрын
Lamda alilogwa
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 6 ай бұрын
Ushirikina ulitumika hapo
@AishaNayimana-pp2pu
@AishaNayimana-pp2pu 6 ай бұрын
Ukweli hapa. Mimi sielew. Sababu hakuna et iyo hali alaf awe na akilintimam apo nisamehen kabisaa watangazaji kihoma kwetu ila sherehe naanavyoongea tofauti
@tamashanuhu2668
@tamashanuhu2668 5 ай бұрын
Kama alichukuliwa kijini na majini bahari anarudi akiwa Sawa ila wachawi ndo anarudi hazipo timamu
@majidalharthi4774
@majidalharthi4774 6 ай бұрын
Watu wamechapwa uchawi ndio waliopotezwa wananza kuonekana bora wachape tu uchawi
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 5 ай бұрын
Hayo makuburi yafanyiwe DNA
@waheedaw1953
@waheedaw1953 5 ай бұрын
Subhanallah ukisikiya maajabu ndio hayoo
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 5 ай бұрын
Allah akbar
@moahmed7588
@moahmed7588 6 ай бұрын
Uyo hakusafiri siku hiyo. Alipojua mtumbwi umezama ndio akaamua kujificha. Aliishia maeneo flani na mambo yake sasa ndio akaamua kujitokeza.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Hahaaaq😂😂😂kama ulimuona
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 6 ай бұрын
Umeskia kaka yake kasema miili iliopolewa baada ya wao kufariki kwaiyo hayo ni mauzauza
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 ай бұрын
Acheni ujinga
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 6 ай бұрын
😂😂😂
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 5 ай бұрын
Msikize huyu mama vizuri mama alichukuliwa kimazingira Tata kumaanisha alikuwa msukule wakazika kivuli chake
@peninashungu6633
@peninashungu6633 6 ай бұрын
Vifo vya ajari mara nyigi ni uchawi
@Allybinamour
@Allybinamour 6 ай бұрын
asante millard ayo kwa taarfa. ila watanganyika mna mambo nyieee
@musicheals1545
@musicheals1545 5 ай бұрын
welcome to African - Tanzania... hivi hakushangaa smartphone kweli😊
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 5 ай бұрын
Hapo hakuna cha kufariki wala kufufuka kama boti ilizama yawezekana aliokolewa na hao ndugu zake wamezika mtu tofauti.uchunguzi ufanywe.
@cbegram6161
@cbegram6161 5 ай бұрын
Naunga mkono hoja😂😂😂😂
@piusvincentkihiyo499
@piusvincentkihiyo499 Ай бұрын
Hii imekaa poa
@zaraally2295
@zaraally2295 5 ай бұрын
Kigoma Tena???🙌🙌🙌🙌ila kigoma hapana hizi kesi za watu kufa na kufufuka ni nyingi mno jaman😢😢😢
@KyandoSpareparts
@KyandoSpareparts 6 ай бұрын
Without vision people perish ,
@elimukwadada
@elimukwadada 5 ай бұрын
Wueh 🙆🏾‍♀️ maajabu
@GiftMwandosya-uf7pf
@GiftMwandosya-uf7pf 5 ай бұрын
MUNGU ni mwema cku zote naamini hata mume wangu atarudishwa katika jina la YESU KRISTO kwani hajafa ila amechukuliwa msukule imeandikwa ktk ISAYA 42:22 ameeeeeeen
@boikambafrancis9536
@boikambafrancis9536 Күн бұрын
Mizengwe kuanzia stori anayehoji na muhojiwa haeleweki
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 6 ай бұрын
Sasa miaka yoote yupo mpaka kazaa watoto2" na huku aliacha watoto kwa nini asingerudi?
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 5 ай бұрын
😢🙏
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 5 ай бұрын
Je huyo mwenzie aliekufa nae yupo wapi ?😢Mungu Mkubwa 🙏🏾🙏🏾
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 6 ай бұрын
Kigoma salute kwenuu🙌🙌🙌
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 6 ай бұрын
Umeona ee😂
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 6 ай бұрын
Kamchape washafanya yao,watu wameachiliwa sio huyo tu wapo wengi
@user-zu1ih8ki4e
@user-zu1ih8ki4e 6 ай бұрын
😂😂😂
@user-sg7wt4cz2q
@user-sg7wt4cz2q 5 ай бұрын
2:03 😊
@KhamisAbdallah-lm9tn
@KhamisAbdallah-lm9tn 6 ай бұрын
Huyu hakufa,anayekufa hafufuki!!
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 6 ай бұрын
Hakika aliye chukuliwa na Mola ni ngumu mpaka siku atapo rudi tena labda kwa mazingila yetu ya kibinadamu
@joycekelvin5434
@joycekelvin5434 5 ай бұрын
Ni kwel kabisa mtu akifa hakun kufufuka mpk sk ya kiama, huyo alikuwa sehem anakula maisha
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅​@@joycekelvin5434 Ashakula bata kashoka ndo kajirudisha home😅😅😅
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 6 ай бұрын
Marehemu mfufuka kachorwa piko vizuri❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@DorkasDanieli-pw5qq
@DorkasDanieli-pw5qq 6 ай бұрын
😁😁😁😁😁
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 6 ай бұрын
Wala usiseme piko ya nini sasa mtu mwenyewe hata tabasamu hana ni kushkuru mungu tu. Na kutia dua.
@user-wy7hx4sj3c
@user-wy7hx4sj3c 5 ай бұрын
😮
@user-wy7hx4sj3c
@user-wy7hx4sj3c 5 ай бұрын
Ya Allah😮
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 5 ай бұрын
😂😂😂😂 yani ww sikuelewi kwa kweli
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Mmmh
@oma3795
@oma3795 5 ай бұрын
Mungura yupo kabisa🤔🤔🤔🧎‍♀️
@musicheals1545
@musicheals1545 5 ай бұрын
Rudieni enterview, mwandishi katukosea sana
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Marehem alikua fasta kuolewa ndani ya mwaka mmoja kaolewa mara2 kweli na yuko ugenini kama alikua na akili ya kuweza kukubali kuolewa kwanini asitafute kwao? Ila marehem jaman😂😂😂
@ayububakari9942
@ayububakari9942 6 ай бұрын
😂
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 5 ай бұрын
Juwa kuna msukule plz sababu mazungumzo yake anaeleza alikuwa kwa mazingira tata
@user-yh8cp6uu7e
@user-yh8cp6uu7e 4 ай бұрын
🎉marehem jaman kna baadh musoma wamesoma nae, hp kna sanaaa!!
@Excellent1Michael
@Excellent1Michael 6 ай бұрын
Mtangazaji umefeli kwenye kuuliza maswali ya msingi na kupata mtiririko mzuri wa hyo story
@MussaKingu255
@MussaKingu255 6 ай бұрын
Kigoma kigoma kigomaaaaa😢😢
@UpendoMdeme-yx9gz
@UpendoMdeme-yx9gz 5 ай бұрын
Kigoma imeosha
@abednego3876
@abednego3876 5 ай бұрын
Tunaomba hiii stori irudiwe na maswalibserious yaulizwe huu ni utoto
@cbegram6161
@cbegram6161 5 ай бұрын
Naunga mkono hoja
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 5 ай бұрын
Yo 🤗🤗🤗🤗🤗 na baba yangu si aje nayeye pia sinto kata tama kumsubiria baba yangu kipenz 😢😢😢😢😢😢
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 5 ай бұрын
Wengine ukipeleka picha zao kanisani hashwa za kiroho hurudi
@jackiekimario9324
@jackiekimario9324 6 ай бұрын
Na huko alipokuwa alikuwa anaitwa Amina?
@MercyChapax
@MercyChapax 5 ай бұрын
Je hiyo posa alitolewa kwa nan wakati ndugu zake wapo kigoma muulizeni vizuri hatujaelewa
@user-xb9hb5dk4c
@user-xb9hb5dk4c 5 ай бұрын
🎉Shukuran
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 6 ай бұрын
Hivi kigoma ni noma khaaa😅
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 6 ай бұрын
😂😂😂eeh nilikufa marehm alinitowa cheko. Jaman uli tekwa kimazingar subhnallah
@senseiamani4684
@senseiamani4684 5 ай бұрын
Haaaaahaaaaa
@user-qg2ct7fj1n
@user-qg2ct7fj1n 6 ай бұрын
Mmmmmmmmmhhhhhhhhh labda tumuachie mungu tu maana yeye ndo😂 muwezaaa tu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 6 ай бұрын
😢😢😢😢😮😮😮😮
@mubarakajuma9179
@mubarakajuma9179 5 ай бұрын
Yaani mm xjaelewa kabsa sema hii movie tu
@user-dt4ef8og4w
@user-dt4ef8og4w 5 ай бұрын
Eeh mungu tusaidie
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Sema huy hakufa. Anayekuf kweli harud
@user-pz3in8fn9u
@user-pz3in8fn9u Ай бұрын
Asate sana
@janifajani8875
@janifajani8875 6 ай бұрын
NAAMINI IPO SIKU NA MM MWANGU ATARUDÌ INSHAALLAH 😢😢😢😢😢😢😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
😢😢Pole Allah akupe subra
@devothamturi7571
@devothamturi7571 6 ай бұрын
Amina🙏
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Mutakutana pepeponi Inshallah Kwa aliekufa kurudi mimi siamini wangerudi kaka zangu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 5 ай бұрын
Mmm! Msikufuru mungu anaye kufa harudi labda kafa kimazingara ya kichawi ila Kwa rekhema za mungu da! Harudi shukuru mungu na muombee ndua
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Maelezo yake mbona hayajakamilika.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Sasa na kama mama enu marehemu mbona hajarudi huyo alikuwa hajafa musitupotoshe alikuwa pahari kapumzika tu leo kaamua kurudi
@Namtumbo
@Namtumbo 6 ай бұрын
Walizika kivuli
@morjanoman5181
@morjanoman5181 6 ай бұрын
Uyo akufariki. Isipokua warimlushakipaipai Tu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 6 ай бұрын
Au wamemfananisha
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 ай бұрын
Mungu nitendee na mimi mama angu afufuke 😢😢😢😢
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭 WEWE UNAVITUKO KWELI WALLAHI
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Uchawi upo hata kwenye bibilia umeandikwa
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 6 ай бұрын
Ndugu yangu ulietoroka nyumbani kama utaiona hii sms usije kusema ulikufa ukafufuka😂😂😂 sijui kufanyia maulidi mie Wala hatuchangishi pesa😂😂😂😂
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu mie
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 6 ай бұрын
Ni mm na sirudi mpk ifike miaka 25 na hukui nilipo nina watoto sita andaa hela ya dua
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Waende wakafukue kaburi ili wajue kama ni kweli
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
LABDA WAENDE WAKAONE WAMEZIKA NINI.
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
@@salimmalaka256 Kwa kweli maana wapo wanaoonekana baada ya kufa ila wanarudi Kwa mazingira ya kutatanisha na wanakua hawapo sawa lakini yeye ameenda uko na kapata bwana na watoto amezaa na mji pia anao Kwa kweli inashangaza mungu atunusuru yarab 🙏
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 5 ай бұрын
Wamezika mgomba
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 ай бұрын
@@easternyerembe7271 Mmmh kweli Kuna watu wanajua kushindana na mungu
@m404msigara7
@m404msigara7 5 ай бұрын
Umeambiwa alizama kweny maji
@estherryoba4595
@estherryoba4595 6 ай бұрын
iko siku hata Mimi mwanangu mery ataludi tu Nina Imani hiyo
@tabiaswedi8488
@tabiaswedi8488 5 ай бұрын
Pole
@MwaniPh
@MwaniPh 6 ай бұрын
Duuuuh
@user-gq3oj7du3h
@user-gq3oj7du3h 6 ай бұрын
Mhhh uyu alikuwa ajafa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
​@@Rich-woWANAO KUFA HAWARUDI KACHUKULIWA MSUKULE HUYO.
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 5 ай бұрын
Elewa anasema alikuwa kwa mazingira Tata kumaanisha huo ulikuwa msukule
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 ай бұрын
Sub- hannallah!!!!
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 6 ай бұрын
Kiama kimekaribia
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 ай бұрын
Mungu ni mwema🙏🙏
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 6 ай бұрын
Kuna bibi yangu alipotoea miaka zaidi ya 30 hakujulikana yuko wapi ila arudi nyumbani alikaa kama mwaka akafariki
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Wakirudi hawadum tena wanafariki haraka sana
@noelamduga6258
@noelamduga6258 5 ай бұрын
​@@joycekalago532hivi kweli?. Maana hata sisi kijijin kwetu nyumbigwa alirud hakukaa saana akagongwa na pikipik akafariki mara ya pili,. Sijui ikoje hii😢
@salumadam154
@salumadam154 6 ай бұрын
Hayaja wakuta ndio maana hamuamoni ysliyo myokea Ila Mimi mwenyewe yalinitokea amin uchawi upoooo
@ayububakari9942
@ayububakari9942 6 ай бұрын
ulikufa lini
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 6 ай бұрын
Pole sana yalikupata wewe au mtu wa karib
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
​@@ayububakari9942KAFA LEO
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 5 ай бұрын
​@@ayububakari9942😂😂😂😂😂
@piusvincentkihiyo499
@piusvincentkihiyo499 Ай бұрын
Huu ni uongo wa hali ya juu, mmezika mtu sio
@abuusaid3297
@abuusaid3297 5 ай бұрын
mazingira yakufa kwake yalikuaje?
@user-nx7jd3cf1m
@user-nx7jd3cf1m 5 ай бұрын
SUB HAANALLAH!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
Huyo Anayohongea kafanana na dada yake ❤❤❤
@misembe
@misembe 6 ай бұрын
Anafanana nauyo kaka ake kabisa
@halimaramadhani2981
@halimaramadhani2981 6 ай бұрын
Jamani hili lapili mm kuliona alitokea mukule kigoma huko kibondo
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 5 ай бұрын
Ni kweli kimsingi hakufa bali aliibiwa
@marthadanielgethro6216
@marthadanielgethro6216 5 ай бұрын
Mama yangu rudi nawewe😢😭😭😭
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 5 ай бұрын
Pole Sana Kweli
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 5 ай бұрын
Huyu hakufa ni ugumu wa maisha kakimbia hapo kijijini kaenda mwanza huko na kama sio hivyo basi ni uchàwi wamempeperusha basi lakini hajafa
@SamsoniSona-sx3sw
@SamsoniSona-sx3sw 6 ай бұрын
Mungu amfufue Anna alikufa kwa mazingira ya kutatanisha
@saliviusbraiton-ge5rl
@saliviusbraiton-ge5rl 6 ай бұрын
Pole akoo jaman
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 6 ай бұрын
Kafanyeni DNA ili tuweze kupata ukweli na watoto wake wapo ndio mtapata ukweli lkn Naona huo ni usanii mpk sasa
@user-zu1ih8ki4e
@user-zu1ih8ki4e 6 ай бұрын
Ayo mambo mbona yapo?
@zenahans1751
@zenahans1751 5 ай бұрын
Huyu hakufa jamani tuache kumkufuru mungu mtu anajieleza yeye alisafiri na alikuwa sehemu flani akiendelea na maisha yake na anasema atarudi kuendelea na maisha yake
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 5 ай бұрын
Huyo hakufariki naomba muulizeni kuhusu machungu ya mauti
@timothykaiza327
@timothykaiza327 5 ай бұрын
Wakafufue kaburi waone kama hakuna mabaki yake wapeleke kwa mkemia mkuu ili tuamini tusioamini hayo.
@Shadia544
@Shadia544 6 ай бұрын
Subuhannaallah zaidi ya miaka 21 😢 leo kaonekana allah ampe umri mrefu inshaallah 😢
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 6 ай бұрын
Allahuma Amin 🤲🤲🤲
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Sio miaka21 we we amefariki mwakajana mwaka2023 ameonekana mwaka huu2024
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 6 ай бұрын
Amefariki mwaka 2003 sikiliza Vizur...amepatikn mwaka Jana 2023​@@joycekalago532
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 ай бұрын
​@@joycekalago532UNA TATIZO LA UZIWI WEWE 😂😂😂😂
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 5 ай бұрын
​@@salimmalaka256😂😂😂😂😂😂😂
@user-ng6nl3pc1b
@user-ng6nl3pc1b 5 ай бұрын
Sema hakufa sema ni uchawi upo kigoma sio tu Yeye wapo kibao inawatokea niwengi sana
@mwanahussein5935
@mwanahussein5935 6 ай бұрын
Mmmh kwan huu msimu wa wafu kurudi bado unaendelea🤔
@GMD820
@GMD820 6 ай бұрын
😂😂😂😂mtajua hamjui mwaa wa wafu huu
@blessingmapazia9545
@blessingmapazia9545 6 ай бұрын
Yaaani
@user-mt8op1gl4v
@user-mt8op1gl4v 6 ай бұрын
Ahaaaaa nimecheka kama mazuri wallah
@GMD820
@GMD820 6 ай бұрын
@@user-mt8op1gl4v Jenifer kiwelu mtoto wetu nipe no zako pls Mimi ni triza kiwelu
@user-dh4bp2vs4t
@user-dh4bp2vs4t 6 ай бұрын
Ipo siku nina iman baba angu atarud kam hiv
@user-it2tr7ny8d
@user-it2tr7ny8d 6 ай бұрын
Kigoma😂😂😂😂😂
@user-zu1ih8ki4e
@user-zu1ih8ki4e 6 ай бұрын
Ndy kigoma kwetu
@rugendorunene545
@rugendorunene545 6 ай бұрын
Huyu alizama, aka okolewa na kupotea... lakini hakuna kinacho onyesha alikufa.
@catherineitemo166
@catherineitemo166 6 ай бұрын
Aise hatarr
@uzungupoint
@uzungupoint 6 ай бұрын
Hivi kila taarifa ya Kigoma kwetu huwa ni uchawi tu? Hakuna taarifa nyingine? Ni Kigoma ndiyo mkoa pekee wenye uchawi?
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 6 ай бұрын
We unaonaje
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Kigoma oyeeeeee
@sheki9163
@sheki9163 6 ай бұрын
😂😂😂Tunawakilisha vyema😂😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 6 ай бұрын
Kigoma tuu ni Dunia nzima yapo haya
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
@@sheki9163 Kwa kweli 😆😆😆
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Me nimeona kigoma na amerudi na akili timamu na kuzaa amezaa 😆😆kigoma juuuuu juu zaidi
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Story za kigoma ninazo kifuani dada yangu ameolewa na watu wa uko alienda siku ya kwanza ya pili lilitelemshwa radi takatifu uwanjani mpaka ardhi ilipasuka dada yangu alipatwa na msituko na alia guka chupu chupu akufe wao wenyewe tukiwauliza wanasema Kuna watu walikuja kumsalimia tatizo amestuka tunawaambia warudishe wanasema atapona na hawana nauli ya araka sisi familia tulichanga fasta tena tulichanga ya watu wawili na mume wake walivyo na mambo ya ajabu na sasa wanamiaka kumi dada hana hamu ya kwenda uko chezea kigoma wewe 🏃🏃🏃
@RamaMbwambo-ru8ym
@RamaMbwambo-ru8ym 5 ай бұрын
Duh huo ni uongooooooo....acheni kudanganya watu
@user-yr3yi2yr6i
@user-yr3yi2yr6i 5 ай бұрын
Nilijua tu ni mkoa wangu Kigoma
New bionics let us run, climb and dance | Hugh Herr | TED
19:01
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
A student’s fiery address on coaching centres in India
3:22
Brut India
Рет қаралды 1,4 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН