MTOTO WA SAJUKI ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI AKIMUONGELEA BABA YAKE

  Рет қаралды 48,063

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 9 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 mjifunze kumkumbatia mtoto akiwa na uchungu kama huu hug 🫂
@SafiniaMbarouk
@SafiniaMbarouk 5 күн бұрын
Wastara nadhani huyo mtoto umlee ktka maadili ya wema na kumjua Mungu zaidi kuliko maisha ya kisanii msaidie kua mtoto mwema ili amuombee babake na ata wewe endapo utatangulia mbele za hakki,kifo cha mtu unaempenda kinaumiza zaidi ni mnoooo 😢haielezeki tuombeane dua tuendako ni mbaali na kunahitaji amali njema t
@mohamedbakari8253
@mohamedbakari8253 11 күн бұрын
Mungu amkuzee katikaa maadili memaa cz huoo uchunguu hauelezekii hapo nimejikutaa naliaa duuu mungu tupe mwisho mwema
@DerickNgowi-mf5pe
@DerickNgowi-mf5pe 11 күн бұрын
Yan huyu dad ni mtu wakujionea huruma mda wote angejua ss tumekutwa na maswahinu gan magum kuliko yake angeacha kujitilia huruma
@ZamratZuberi
@ZamratZuberi 11 күн бұрын
Kila mtu ana ustahimivu wake na namna yake yakuumia
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 11 күн бұрын
Tunatofautiana sana katika kubeba mambo haswa maumivu ya kuondokewa na unayempenda zaidi zaidi alikuwa kijana mdogo, ulimwengu na familia ilikuwa inamuhitaji bado
@zabubamudy126
@zabubamudy126 11 күн бұрын
mhhh usiongee hivyo mwenyewe anamauvimu sana
@patisondidas6720
@patisondidas6720 11 күн бұрын
​@@TEDY-MTEMY24kabisa
@SadatTesha
@SadatTesha 11 күн бұрын
Sasa naww c uumie utie huruma sasa jmn
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 10 күн бұрын
Allah awatie nguvu 😢😢😢 Allah awalaze penye waja wema walio tangulia
@nasra95kings43
@nasra95kings43 9 күн бұрын
Amiin
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 11 күн бұрын
Naelewa hayo maumivu wallah 😢
@anastaziamoses4100
@anastaziamoses4100 11 күн бұрын
Nimejikuta nalia tu😢😢
@aishajuma6706
@aishajuma6706 11 күн бұрын
Afanana na Bababke.sajuki.mashallah
@ZuhuraBilal
@ZuhuraBilal 2 күн бұрын
Pole San wastra mungu awatie nguvu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 11 күн бұрын
Pole mtoto mzuri Allah atawapa subra
@MagdalenaMwambapa
@MagdalenaMwambapa 10 күн бұрын
Msiba haujawahi isha jamani poleni sana😢
@SaraRobert-io8xv
@SaraRobert-io8xv 11 күн бұрын
Mungu akutie uvumilivu mama
@aminrashid991
@aminrashid991 10 күн бұрын
😢😢😢binti ameshindwa kujizuia ni uchungu kupoteza baba na umjue leo unatajiwa unalia pole sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 күн бұрын
Mola Atupe Wallah,kuondokewa kuskie tu na watu ila kukikufika ka mm utaelewa😢
@SharifuChala-iz4xj
@SharifuChala-iz4xj 10 күн бұрын
Sijawai ona mdada kama wastara mungu akutie nguvu
@jemimabakari
@jemimabakari 11 күн бұрын
Sajuki kaacha copy MashaAllah 😢
@SethJohn-x9f
@SethJohn-x9f 11 күн бұрын
Inauma sana
@farahali6041
@farahali6041 11 күн бұрын
Mm pia nimelia
@HanifaRamadhan-v2t
@HanifaRamadhan-v2t 7 күн бұрын
Pole sana mama kwa uchunvu❤❤
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 11 күн бұрын
Anaitwa stev nyerere sio nyelele😢😢
@OMARIMSANA
@OMARIMSANA 11 күн бұрын
Ndio ulichosikia tuu hicho au sio???
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 күн бұрын
Uzuri ujumbe umefika
@janepherjamson4166
@janepherjamson4166 11 күн бұрын
Nimejikuta na nalia pole tunajua maumivu unayopitia
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz 11 күн бұрын
Mungu awakumbuke wastara na mwanao
@AyshaSalumu
@AyshaSalumu 9 күн бұрын
Hv uyu dada ataacha lini kuumia jaman mbona mada wote mungu msimamie sasa ni mda mlefu sana jamn
@nasra95kings43
@nasra95kings43 9 күн бұрын
Yakikukuta utaelewa maumivu yake hayaelezeki😢
@jamilabakari1283
@jamilabakari1283 6 күн бұрын
pamoja na yale aloyapitia bila kusahau hapo alipo anamguu mmoja huo mwingine niwa bandia.
@AyshaSalumu
@AyshaSalumu 6 күн бұрын
@@nasra95kings43 me nikimsikilizaga uwaga nalia maana uwaga anaongea kwa hisia Kali sana yan
@FatmaHaruna-i5c
@FatmaHaruna-i5c 5 күн бұрын
Analiya kwakumbuka walivyokuwa wanaishi kwaupendo kusikiliza nakupata vitu ambavyo adhani kama kunamwanaume atakuja yeyote atakaye weza
@veronicacharles2427
@veronicacharles2427 10 күн бұрын
maskin😢kuondokewa hakupoi jmn
@wardamarungu2478
@wardamarungu2478 9 күн бұрын
Tunajikaza tuu😢😢ila inauma inauma
@ZakiaSalum
@ZakiaSalum 8 күн бұрын
Tena hakupow haswa mda mwengine nakaa namuwaza baba yangu walezi wangu dada zangu yani machoz yananitok lakin ndo kazi ya Mungu Haina makosa muhimu kuwaombea dua maan hata ukilia hawarudi
@hanifaa1487
@hanifaa1487 11 күн бұрын
Yani alhamdulillah
@BahatiKasembe-bw9hd
@BahatiKasembe-bw9hd 11 күн бұрын
Mama mungu akusaidie
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 11 күн бұрын
Mungu azid kuwa faraja kwenu
@aishajuma6706
@aishajuma6706 11 күн бұрын
Mbona daa.wanikumbusha sajuki
@MakameMufadhil
@MakameMufadhil 9 күн бұрын
Wacheni kukumbushia machungu kama hivyoo waombeyeni dua tu
@khadjamhozya
@khadjamhozya 11 күн бұрын
Siteve kwakwer anafanya mambo mazuri japo wanamshamburia
@ReginaManyangu
@ReginaManyangu 8 күн бұрын
Kwakweli lkn avunjiki moyo.Ana uthubutu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 11 күн бұрын
Tuanche utani mtu akifa kijana anauma sana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 11 күн бұрын
Ni kweli
@MalaikaJadeni
@MalaikaJadeni 4 күн бұрын
Kiukweli inauma sana
@KudraEliasa
@KudraEliasa 11 күн бұрын
Pole san
@khadjamhozya
@khadjamhozya 11 күн бұрын
Wabongo wambea sasa hao mambo ya mifano ya umbire amekujaje kama sio domo rakishamba ndo maana wakenya hawataishi kuwatukana
@AshuraMnubi-qe4vy
@AshuraMnubi-qe4vy 11 күн бұрын
😢😢
@SleepyCello-tb4lk
@SleepyCello-tb4lk 8 күн бұрын
Pole sana ila jipe moyo
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 9 күн бұрын
Hapendezi
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 11 күн бұрын
MASKINI DAH😢😢😢
@mariajames5558
@mariajames5558 9 күн бұрын
Mi mwenyewe nimelia mno
@rahoumkhatry3758
@rahoumkhatry3758 10 күн бұрын
Yaani we si muislam unashindwa na mtoto anajua kusalimia kiislam
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 11 күн бұрын
So sad
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 9 күн бұрын
Huo dada anapenda kullmika
@OmOmabs
@OmOmabs 11 күн бұрын
M sijaelea uyo ni mama yake ai😢
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s 11 күн бұрын
mtu ana zungumza utazani sio live
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 10 күн бұрын
Yani huyu binti ni Sajuki mtupu daaa kifo
@halimamndeme6908
@halimamndeme6908 9 күн бұрын
Machozi yamenitoka kwa wastara
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 10 күн бұрын
Watu woote walio kufa hawahitaj tamasha wanahitaji duaaa sidhanu kama lnauluimu
@joynessmichael1824
@joynessmichael1824 11 күн бұрын
😅
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 11 күн бұрын
sasa kaja hapo mbele ya camera ili aonekane akilia au
@NunuKupela
@NunuKupela 11 күн бұрын
Kama hujafiwa huwezi kujua hiyo situation kufiwa kunaumiza sana Mimi ni mtu mzima na nina watoto 3 nimefiwa na baba nikiwa na watoto 2 lakin pengo la kutoweka Kwa baba angu bado naliona na naumia pia ni kitu kapanga Mungu wallah binadam hatupendi hatuzoei na hatuna uvumilivu kwenye hili hata ukiona miaka mingi imepita lakin ndani ya nyumba husika kiumbe hicho hawakisahau hasa baba babaaa husahau kamwe
@Gersah
@Gersah 10 күн бұрын
Pole dear ​@@NunuKupela
@Gersah
@Gersah 10 күн бұрын
​@@NunuKupelapole dear
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 11 күн бұрын
😢😢😢
@Susan-f4j
@Susan-f4j 11 күн бұрын
Pole sana wasetara
@RehemaCharles-bc6fn
@RehemaCharles-bc6fn 11 күн бұрын
😢
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 54 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН
Irene Uwoya Ampa Onyo Mama Aliemwambia Hafai Kuwa Mchungaji
2:56
Mtoa Taarifa
Рет қаралды 2,3 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 103 М.
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 146 М.
JUX na MPENZI wake PRISCY walivyotua Usiku Mnene Tanzania
8:49
Rick Media
Рет қаралды 79 М.
WASTARA ASIMULIA MAISHA BILA SAJUKI, AMUONESHA MTOTO WAO
10:32
Millard Ayo
Рет қаралды 11 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 54 МЛН