Nandy am so proud of you gal keep the spirit and the candle burning. Cause l know Ruge is watching over you. God Bless you and follow your heart.
@swahilitheafricantongue70415 жыл бұрын
Nandy uokoke, uanze kumwimbia Mungu saut unayo nzuri sana
@kacheali47775 жыл бұрын
Very true fanya vzur kwa kumuimbia Mungu tengeza kesho yako ya mbingun
@youngrapperfadhili8055 жыл бұрын
Pole kwa msiba dadangu
@peterjohn87455 жыл бұрын
Nandy dear wanasema acha utumwa kwenye family ya ruge yasije kukuta ya lulu sabb ck ukitaka kuishi maisha yako hawatapenda
@salmangassu10115 жыл бұрын
Sio wote vigeugeu kua karibu nao nivizuri zaidi usisahau kama wasinge mkubali nandi asingekua hapo
@fatmarashid23845 жыл бұрын
@@salmangassu1011 Kabisaa
@roidatadey86565 жыл бұрын
Duuuuh mtumishi wetu mwamposa namkubali sana
@mathewleakonoleakono16825 жыл бұрын
Sorry Nandy. You will meet someone along your way
@beatricehenry71015 жыл бұрын
Kwa kweli Nandi acha Haya mambo
@kweliumesemailanaowangetul19335 жыл бұрын
Poleni familiya yarunge jembe rime tutoka
@kiki-ko8vi5 жыл бұрын
Pole sana mjane
@floridajonhmatata43654 жыл бұрын
😂😂
@zackrichard36175 жыл бұрын
amelaniwa yeye yule amtegemeaye mwanadamu.....
@halimasaleh57055 жыл бұрын
Wkt Ruge alikuwa hai ulikuwa ukiulizwa hbr zake na mahusiano ulitukana sana watu na ukafikia kusema huyo ni baba yako, sasa haya mahaba unayoonyesha ktk media wkt kishakufa na hakuoni hayana faida kwani hayupo tena ungeonyesha wazi kipindi kile nadhani hata stress zingempungua Rip Ruge
@ainessanga465 жыл бұрын
xxx vedeo
@bethadickson52425 жыл бұрын
yaan huyu Nandy na Ruge jmn kaaah!!!
@lilianrozio65885 жыл бұрын
RIP Rugeee
@nyambelewinfrida90745 жыл бұрын
Huyu dogo jaman hata walio zaa nae wametulia unadhan ulikuwa mtam sana kuliko wao ? Muda wa yeye kukushusha thaman ulikuwa mbele yako mfikirie Zama kama alishushwa utakuwa wewe? Kaa pemben na hio familia tena Wahaya hauwajui wanakushangaa sana kimbele mbele chako unajiaibisha sana.
@elizabethjoseph9815 жыл бұрын
Nyambele winfrida jamani huyu alikuwaga tayari ni mchumba wake tofauti na akina zama ndo maana kipaumbele alichopewa yeye siku ya msiba ni tofauti na mama watoto alozaa nao marehemu