Hapa hamna makofi big up Mpina Mungu akujaze ulipopunguza
@kombedavis40562 жыл бұрын
Big up mh.Mpina....Magufuli alipita humo humo tang akiwa naibu waziri wa ujenz, kaza buti mpina, njia hii ni ngumu na ina vikwazo Mungu yu upande wako!
@adriankiponda73082 жыл бұрын
Mpina watanzania wote tunakuona
@machoshabani8382 жыл бұрын
Upo sawa kaka
@liberatusulaya22692 жыл бұрын
Mbunge mwandamizi, mbunge wa siku nyingi sana 2000. Pia mfanyabiashara, mchango mzito sana huu.
@mustaphampandi137 Жыл бұрын
mpina mbunge Bora
@williammbuzimai57442 жыл бұрын
Yaani toka umeachishwa uwaziri" umekuwa mbunge mzuuuuri sana
@kulishaandry57302 жыл бұрын
Wasema ukweli makofi hawapigiwi
@ngwanafabian46122 жыл бұрын
Mpina yuko sahihi ingawa watakupinga na utafukuzwa CCM.
@jamesponeca89122 жыл бұрын
Tangu Mahu aondoke,vitu vimepaa juuu,,Hata Zanzibar Bri ipo chini.