Mpina ataka wizara nzima ifukuzwe kazi kuanzia waziri hadi mfagiaji

  Рет қаралды 12,908

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ametaka Bunge limtake Waziri Mkuu awafukuze kazi wizara nzima ya Maliasili na Utalii kuanzia waziri mpaka mfagiaji kwa kile alichopkiita ni kumdharau Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, maagizo ya Bunge na yeye mwenyewe.
Mpina amesema hayo leo Jumatatu, Juni 3, 2024 wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2024/25 jijini Dodoma.

Пікірлер: 24
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 Ай бұрын
Wapi mpina ,,,, good research
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 Ай бұрын
Je mpina wameshindwa kabisa kumnunua maana Hawa wezi wananunua watu wetu,, Tumlindeni mpina wasimnunue 🎉❤❤
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Ай бұрын
Daaah Yaani Mh Mpina unatufumbua macho Sasa yote mliyoyaongea Mwaka jana hayajatekelezwa 😢😢 Inasikitisha sana
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 Ай бұрын
Safi mpina
@ElibarikiEliud
@ElibarikiEliud Ай бұрын
Mpina wewe ndie mbunge pekee wa ccm unayewasemea watanzania waliobaki woote ni wakumsifia Samia tu. Tunaomba uendelee hivyo hivyo
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go Ай бұрын
Huyo ndo mpina bwana
@denisbukanu
@denisbukanu Ай бұрын
Ina uma sana na. 😮kweli ka bisa
@user-hf9kp7ys2h
@user-hf9kp7ys2h Ай бұрын
Jamani aijua namba ya simu ya Mh Mpina anisaidie niweze kywasiliana nae kuhusu upotoshaji huu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Ningekua bungeni ningekuambia uachane na Chama cha majambazi CCM 😮bahati mbaya uwezi kusikia nilipo na Mimi sipo hapo hao wenzio wanamashetani ya wizi na uhongo,uchawa n . K
@raphaelkorio2435
@raphaelkorio2435 Ай бұрын
Kweli mpina ni kiboko yao, umeenda kuwakilisha wananchi na sio vinginevyo, kazi yako umeiweza.
@umrathhassani
@umrathhassani Ай бұрын
Jaman kweli hiii nchi ni ngum ety dah
@lolekutardoilolekutardoi7532
@lolekutardoilolekutardoi7532 Ай бұрын
Uko sahihi mh mbunge
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 Ай бұрын
Bro kunywa Pepsi barid hapo ulipo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Makumbusho ya marais asipojenga samia. Basi tena
@frankkimaro4696
@frankkimaro4696 Ай бұрын
1bil makumbusho ya maraisi duuh
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Tanzania kuna laana.
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Ай бұрын
Kwa akili hiyo utashauri mbu wanaoeneza sana malaria wahifadhiwe! Huyo mamba si mla watu?
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Akila watu na wageni waje kuwaua hovyo Kwa nini tusimuue wenyewe tukamchuna na kuuza ngozi yake. Wanyama poli wengi wanaua Kwa hiyo tuue Simba na Tembo wote?
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Huyo mamba alileta kelele sana nchi za nje na hao WA Marekani walitishiwa kuuawa na haki za wanyama
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Ай бұрын
Tumeua mamba wangapi Wala watu?amba anathaminiwa kuliko binadamu! Chunguza malalamiko Mtera, Rufiji, Ifakara! Ukiua mamba faini mamilioni! Mamba akiua binadamu fidia Elfi kumi
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 Ай бұрын
Mueleweni mpina nyie watu
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Ай бұрын
Si huyu alikuwa anapima samaki waliopikwa kwa rula ?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Nchi ngumu hii😮
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН