Huyu jamaa ukimskiliza vzuri anatufundisha Sana kumshirikisha Mungu Kwenye mambo yako
@fadhilimatandala76292 жыл бұрын
agreed
@asmahhassan22662 жыл бұрын
Kabisa cm jamni
@bernardmkuffya51712 жыл бұрын
Ubarikiwe sana,umeongea kitu kizuri sana.
@frolawihenge20782 жыл бұрын
Mungu akutetee sana kijana Mabula .Kuna nyumba Mlandizi haijaisha sawasaw lakini inaweza.kukaliwa na watu uko tayari kukaa huko?Tena bure sababu mateso uliyoyapata yatosha.Mungu akusaidie.
@OnlyRuky2 жыл бұрын
Watafute kina Millard wamuulize yeye hata cm ya kuona ujumbe hana
@sikatendeshabani24902 жыл бұрын
@@OnlyRuky duh nipe number yak ni mcheki ata fungo la kumi
@2116-n2 жыл бұрын
Angalia dk ya 34 namba zake zimeoneshwa, chukua umpigie mshikaji
@2116-n2 жыл бұрын
@@sikatendeshabani2490 dakika ya 34 angalia namba zake zimeoneshwa
@trillianbennahbennah53122 жыл бұрын
Watu wa tanzania ebu niambieni buku ni shilingi ngapi
@nouvamusik34822 жыл бұрын
Millard ayo jitolee umsaidie uyu kijana kwa sababu naamini huez shindwa tafadhali kaka 🙏,,,🇰🇪
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
Ata wew pia unaweza kumsaidia
@wasalimie112 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Je wewe hauwezi ?
@TheSalma19992 жыл бұрын
Ntakutumia pesa Kaka yangu Mungu akipenda pole sana Na matatizo kumbe polisi wana treat watu vizuri sana sikujua pole sana na matatizo
@johnjosephat12522 жыл бұрын
Mtumie sasa
@mwansitisuleman Жыл бұрын
Umemtumia pesa
@AlbertBikogoto5 ай бұрын
Mhh
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Haya waazimisha mageto amkeni uko mtapewa kesi ziwaharibie maisha,,, pole sana bro ni mitihani ya maisha Mungu atakusaidia 🙏🏻
@syliviakente94602 жыл бұрын
Na hao wanaenda kuomba geto alete girl friend wake wajifunze fuateni mila na desturi na utamaduni turudi kwa mola
@zenadaudzena28492 жыл бұрын
😂😂
@jacksonjohn56862 жыл бұрын
Kwakweli
@bongorecaps35582 жыл бұрын
Nyie acheni tu hii kitu Kuna siku nilimpelekea moto mtt wa watu akageuza macho akazima nashkuru kummwagia maji akazinduka ila sasa hv hata nikiingia lodge naomba sana lisitokee jambo
@mdta81612 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 🤣🤣🤣
@rashidikawanga29412 жыл бұрын
Umeongea yote mazur na tumejifunza kaka lkn kubwa pia hilo la kusaidia wenye kuhitaji 👏👏👏 na Mungu atakubless siku zote na ufanikiwe pakubwa 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@martinymaryogo87532 жыл бұрын
Aseee pole sana mdogo wangu, pole sana, ila MUNGU ndo kila kitu utainuka na utakaa pwa tu tena sana, ucje ukajutia kwa lolote, ni sehemu ya maisha ulipitishwa maan kuna wengine wako uraian lkn ni wagonjw na hawawez hata kucmama,ko ww shukuru uko na afya yote MUNGU anafungua kwa wakat wake kwa kila alie wake.
@focusernest56102 жыл бұрын
Na uzuri umri mdogo kabsa
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@focusernest5610 kwl mda bd anao wakupambana
@poployalty94032 жыл бұрын
Daah nimejifunza kitu sana jamaa alikuja ofisini kwangu akiwa na simu ina password akaniambia naomba unifrashie hii sim nimepewa ili niende na mawasiliano kwa millard ayo...akaniadisia kidogo moyo wa imani ukaniingia nikamfrashia bure japo wenzangu waliniambia uyo analolote katoka kuiba iyo...daaah sasa leo namuona hapa moyo umeshtuka sana kumbe ni kweli....nimeelewa maana ya usi ukumu kitabu nje kabla ujakisoma.....#Tumsaidien
@gervasmalimi51262 жыл бұрын
Dah
@2116-n2 жыл бұрын
Kweli tusihukumu pia kwa kufuata mikumbo ya wengine
@rashowshine78492 жыл бұрын
God well pay
@miaerny66092 жыл бұрын
Afadhali huku sikiliza ya watu ukamsaidia Mungu akulipe wema wako🙏
@annamuro59372 жыл бұрын
Mungu atakubariki
@Milla_20242 жыл бұрын
Thanks millard ayo hii content naamini kila mtu amejifunza na tumuombee jamaa atimize ndoto zake Muda bado upo..!!🙏🙏
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Mkuu tusidanganyane watu wamejifunza kwa kusikiliza tu hapa ila walipoweka cm pembeni mambo yaliendelea pale pale ukitaka kuamini sisi wa afrika au watu wote ni vichwa vigumu unakuta mtu yupo hospitality amekaa mapokezi anaangalia TV wanaweka yale mambo unakuta uume au uke umealibiwa na magonjwa ya zinaa au anaona jinsi watu walivyoathirika tunashauliwa tutumie condom ila akitoka hapo hospital unazani anakumbuka hilo tena ndugu yangu hapo ndo utajua kumbe shetani yupo kazini
@estameryngogo5948 ай бұрын
Pole Sana, Leo ndio nimekuona kwenye mahojiano na Upendo TV.
@nunizedon88762 жыл бұрын
Respect sana Millard wew ndio sababu kuu ya kumsaidia huyu kijana bila ya wew tusingemjua mungu atakulipa kaka .
@doricecyprian72462 жыл бұрын
Hilo ni funzo usimwamini hadi rafiki ako na watu wapenzi waende kurent mungu akulinde😍😍
@fatimamv27232 жыл бұрын
👏👏👏Asant sn kk nmejifunza mengi Kuna rafiki yng Huku warabuni Huwa wanapigana mm Huwa naingilia Kati bt Kwa maelezo yk nmekoma juu mm Bado kijana mdogo hawa umri umeenda n Huku si kwetu
@marykarebeti94102 жыл бұрын
Tena ukome kabisa.
@majidisalumu32602 жыл бұрын
Looh, Nimeumia Sana Kiongozi😭 Tupatie Namba Yake Tumsaidie Japo Kidogo
@stelasianga94682 жыл бұрын
Number kqeka jaman..ila mungu katenda haki
@besteralbert52472 жыл бұрын
Ipo chini kwenye description ya video...
@fadhilindunguru79462 жыл бұрын
Mmmmmmh
@sein.2082 жыл бұрын
Subhana Allah Mtihani kweli kweli 😭😭 pole sana kaka.. Allah akuhifadhi na akufanyie wepesi popote penye uzito🤲🏼
@rabylicious71782 жыл бұрын
Allah akujaalie pole hiyo n mitihani ya mwnyezi mungu uckate tamaaa🤲🙏
@ayubumbembati86582 жыл бұрын
Kwenye Uhuru hapo umenigusa sana. Siku zote huwezi kujua thamani ya Uhuru kama hujawahi kuukosa. Uhuru tulionao una thamani saaaana!! Umepita kwny wakati mgumu sana lkn Mungu alijua unaweza na ndo sababu aliruhusu upite kwny huo wakati mgumu na akakuvusha salama. Usimwache Mungu wako siku zote za maisha yako. Pole sana bro, hii ndo dunia!
@thabealaizer33132 жыл бұрын
😭😭😭 anarudi Tena, Yesu anarudi Tena, utukufu haleluya tumbariki tumepona msifu Bwana anarudi Tena 🙏 Pole sana kaka
Duh nimeamini kweli wanaufungwa jela wote sio wenye hatia Allah akupe subra
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Hakika dunia ina mengi
@yusuphmtumweni58292 жыл бұрын
Duh kupitia ushahidi wa macho tunajifunza utukufu wa Mwenyezimungu hana mfano na kiumbe chochote
@jamesfanuel45952 жыл бұрын
Amina
@shukranjazzakhaallahukheir18972 жыл бұрын
shukran Sana BB.,msaada ndungu zangu mwenye nacho mwenye nachumba apangishiwe nafunguliwe mradi.inshaaAllah
@nsumburoote24862 жыл бұрын
Nitakusaidia mtaji in shaallah na naomba watz tumchangie apate pesa Ya passport nitamtafuta kazi
@njoroboihustla1252 жыл бұрын
Onesha nia yako yakumusaidia uandike contact yako
@neemapatrice17042 жыл бұрын
🙏🙏
@michaelthobias99672 жыл бұрын
Wasiliana na milad ayo
@khadejarajab80072 жыл бұрын
Itakuwa umefanya jambo zuri sana ila tz sasa kwenye paspot wanazinguaga sana na maswali pia eiport ni shida tu
@0ttii2 жыл бұрын
Duuuh.ubalikiwe.san
@brightlastborn44402 жыл бұрын
Dah pole sana bro, sema umezungumzia sim na ili jambo jana tu tulikuwa tunalijadili na washkaj zangu duh kumbe limekualibia maisha kiasi iko,pole sana
@aboumaburaramadhan41882 жыл бұрын
Pole sana bro hizi ndio story tunazo zitaka maana zinatufunza musilete story za ajabu
@victormessy71302 жыл бұрын
Pole Sana kaka @milard naomba kumuona huyu jamaa,naweza saidia chochote. Dah 9years inamtosha mtu kua Billionaire
@fatumaabdi42903 ай бұрын
Utakua umefanya laa maana Sana kumsaidia maana mungu amesema tuoneyane huruma na pia atatuonea huruma
@fatmasalima38472 жыл бұрын
I'm really sorry kaka all will be well in sha Allah ameen 🙏
@annamuro59372 жыл бұрын
Mungu si Asthumani.... Mungu anaishi, ni kuwa na subira tuh na kumtegemea Mungu... Kama ameweza kutoka jela basi na maisha yatamnyookea Kwa uwezo was bawna Alie juu mbinguni, Mungu akufungulie milango ya baraka kaka angu
@Stellaetesha2 жыл бұрын
That can happen to anyone kwenye system ambazo uchunguzi wa ukweli haupewi kipao mbele. Tanzania justice system has to improve! Pole sana Tumaini.
@bintiAbdalla2 жыл бұрын
Duuuh pole sana kijana,yote ni maisha anza upya madhali we ni mzima mikono uko nayo pambana tu kaka
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Daa, nimejifunza mengi. Kumbe ndiyo maana wanasemaga upelelezi unaendelea. Wee, sitosogelea penye matukio ya mauwaji ng' o. Pole Sana mdogo wangu . Apumzike salama Binti wa watu.
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Mmh mimi ctoacha kushuudia nataka hiyo cctv ya macho na mimi ininase tu napenda kushuhudia matukio mimi
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
@@ricksonlyimo2662 🤣🤣🤣 utakipata, unachokitafuta. Mi hata 😔
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 kwakwer acha tu nikipate sipendi kusimuliwa mimi napenda kushuhudia live
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
@@ricksonlyimo2662 🤣🤣🤣🤣
@zuweinaally24132 жыл бұрын
Pole sana Aliloliandika Mungu huwezi kuliepuka kila tukio mungu ana sababu yakepia hua ni mtihani kwako..Mungu kakuvua bado mzima na kijana ...Jitahidi kaza tu kweri yako Mungu kaificha.. pambana mungu atakufungulia
@donalddonald31902 жыл бұрын
the guy is damn innocent 😥😥
@evancechangae2 жыл бұрын
Very Sad 😢... MUNGU atakupa Mwanzo mpya 🙏. Na kwa kuwa umeweka namba hapo, tutakujali kwa chochote.
@malugukushaha67642 жыл бұрын
Dah! Pole sana bro, mwenyezi mungu ndiye ajuaye.
@janethkomba44852 жыл бұрын
Daaaa kunawatu wanapitia mhhhh😭😭😭😭😭pole sanaaa "Mungu Atakufanyia njia mpya
@zayumar29552 жыл бұрын
Daaa maisha haya😭😢😢 pole saña ndugu yàngu Mwenye enz Mungu atakusaidia ktk maisha yako
@saudahassan66672 жыл бұрын
Pole sana ndg yangu mungu kakusimamia umetoka na ridhiki mungu atakufungulia tuu inshaallah
@abdulnaseermrisho43422 жыл бұрын
Duuuuuh,eheee Mungu akufanyie wepesi ndugu yetu 🙏
@mariamsaidi16812 жыл бұрын
Dah aise imeniuma sana amepitia mtihani kwa ajili ya wema dah pole sana kaka Mungu atakupa nguvu inshallah 🙏 umetufunza kitu kikubwa katika maisha ila pia mngetutajia namba zake za simu ili mtu kama utakuwa na chochote tuweze kumchangia angepata ata chumba na mtaji ili aanze kujipanga
@janethkomba44852 жыл бұрын
kabisaaa
@rahimmarions57122 жыл бұрын
Daaah pole sana mwamba.. naamini bado ujachelewa, pambana muda bado unao.. maisha yetu hatujui mbele tunakutana na kipi.. hili ni funzo kubwa sana....alaf namba imefungiwa kupokea simu hii.. Sina uwezo wa aina ile Ila naamin mwamba ni mpambanaji tunaweza fanya Jambo..
Mungu ni mwema mbaya wako alipatikana nawe uko huru ,Mungu atakupa mahitaji yako na amani tele.Watz tupambane tumpe support
@anathaliamwangamila32962 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana utafanikiwa tu, kila jambo hutokea kwsbb. pole sana kijana mwenzangu
@sharonmasawe53812 жыл бұрын
ila wanaume wana hii tabia ya kuazimana vyumba sababu ya wanawake, wanasahau hatari kama hizi hata waskie vitu kama hivi wanasahau mapema sana
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Sasa tunafanyeje ndo kusaidiana uko likikukuta unajumuika nalo tu we ukumbuki ata wewe nilikupeleka kwa msela wangu ushasahau hilo uoni kama tulisaidiwa tukamaliza kiu zetu tulizokua nazo
@athumanimtajih2 жыл бұрын
Funzo kwenu mnaoazimana ghetto kwa ajili ya kumpa support shetani
@amossmabangotz20322 жыл бұрын
Inategemea. Kaka sasa amekuja msela wako meshibana kinoma huwezi kumkazia mzee sema ndy hivyo kwenye maisha tusiwe wema sana
@mariamswedi11402 жыл бұрын
kabisaa mshahara wa dhambi
@esthersiresire2 жыл бұрын
Nina Imani wewe pia ushawai saidiwa ghetoo so usiongee vibaya mwambie mwenzako pole Kwa yaliyomkuta tuu
@athumanimtajih2 жыл бұрын
@@esthersiresire sijawahi hata hiyo tabia
@faithzamani19652 жыл бұрын
@@athumanimtajih acha uongo ulikuwa unipeleki kule kwa rafikiako juu kule
@allyhafidhi4826 Жыл бұрын
pole sana bro mungu ni mwema muda wote amekupa mtihani na amekulinda Allah akujaze kila lenye kheri
@mamakekhubeiby42062 жыл бұрын
Wallahi mtihani pole sanaaaa mdogo wangu
@sabinajoseph67332 жыл бұрын
Poleee sanaaa.... Urafk wa hivi nimbaya sanaaa poleee utapata na Mungu Baba atkusaidia
@clementiddi57082 жыл бұрын
Ila legal system ya Tz hovyo sana. Pole sana na Mungu akupe rehema zake.
@Stavanger-cr3ee2 жыл бұрын
Clement, Legal system iko sahihi ila WASIMAMIZI wa mfumo huo ndio Changamoto
@Stavanger-cr3ee2 жыл бұрын
Clement, Legal system iko sahihi ila WASIMAMIZI wa mfumo huo ndio Changamoto
@idrisaallysalum944710 ай бұрын
Pole sana kijana, nakuombea mafanikio makubwa maishani mwako. Ila Muandishi "Hana uwezo wa kuuliza" hata hajamuuliza kama kijana ana ndugu au Wazazi na kwanini haendi angalau nyumbani kwao akapate baraka za wazee wake.
@thenewking_tv2 жыл бұрын
Pole sana ndugu ni mapito tu hayo, bado ni kijana na una nguvu anza upya maisha mungu atakujaalia utakaa sawa
@dorislinus82962 жыл бұрын
Pole Sana kakaangu mungu hajawahi mwacha aliye wake
@ianchristopher19502 жыл бұрын
safi sana, kumbe bongo kuna fingerprint and Dna detection
@julianaboniphace73512 жыл бұрын
O Morning
@maryamm77652 жыл бұрын
Dah pole sana bro Mungu akufanyie wepes Inshaa Allah
@yohanamartin51772 жыл бұрын
Pole msukuma mwenzangu 🙏🏿
@leaherasto9292 жыл бұрын
Mungu atakulipia kaka umepitia magumu Sana pole Sana kaka Mungu akakupe haja yamoyo wako kupitia jaribu ilo
@michaelbryson69162 жыл бұрын
Pole Sana na hongera kwa wapelelezi kwa kunusuru maisha yako kwasababu kazi waliyoifanya nikubwa
@fatmasalim82932 жыл бұрын
Pole sana brother msaidieni jamani kijana huyu atia imani wallahi msaidieni please
@aisharamadhani19482 жыл бұрын
Pole sana tumaini ila hongera kwa kutoka pia karibu uraiani ila tushukuru mungu umetoka bado kijana ,, tumaini mungu yuko nawe namini kwa uwezo wake ipo siku yatabaki story na unaonyesha unaakili mno utafika mbali nakuombea kheri
@andrewcharleskillaga68052 жыл бұрын
Tumaini Mabula-:Pole sana kijana.. Imani yako itakusaidia..
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani pole kijana ndio tujifunze kwani katika hiiii duniya hakuna rafiki hasa ukipata tatizo wote walio wakia wema kwako watakukimbiya
@aminamollel57252 жыл бұрын
Ni mara ya tatu Leo naangalia na kusikiliza hii na sijawahi comment, sababu hata sijui nacomment nini? Wacha nijitahidi tu😭😭😭😭 nimejifunza kuwafukuza vijana wote wanaolala kwenye ghetto la watoto wangu
@getrudemsigala84812 жыл бұрын
Aiseeee pole mno ashukuriwe Mungu mpaka sasa uko hapa🙏
@mumuog78762 жыл бұрын
Dah mwanangu nimekukubali aise unajua kujielezea kiukweli Mungu akusaidie aise
@angelanaftael79652 жыл бұрын
Pole kijana wangu hakika Mungu yuko nasi tunataka tukuwezeshe uone furaha tena sio kusafisha mitaro unahitaji kilicho chema zaidi sana.
@edowardeddy5 ай бұрын
Ametupa fundisho sana sisi ambao tupo na Hawa wachumba zetu Alla amtie nguvu na amjaalie mafanikio mema inshaalla
@sheryphamwenevalley61242 жыл бұрын
tatizo nchi za Africa hususan police hawawezi kazi kabisa hawana uweledi hata kidogo kazi kurundika watu jela wasio na hatia
@neemamathew74652 жыл бұрын
Kwrrr kabisa😓😓
@elizagreen80982 жыл бұрын
Shida sio police, shida ni sheria zenyewe vilivyotengenezea police hana mamlaka ya kumuachia mtu mwenye tuhuma hasa kesi za mauaji ni kipengele kidogo na hazina dhamana... Mpaka hukumu itakapotolewa
@sheryphamwenevalley61242 жыл бұрын
@@elizagreen8098 sio hivo ki vp wakati wao uchunguzi miaka 20 ? sikiliza hiyo storimuuaji alipatikana kitambo kwanini huyo waliendelea kumuweka, ? police Africa ni shida tupu na kusingizia watu kesi
@elishaelishaedward9454 Жыл бұрын
Imeisikitisha sana haya maisha haya Pole sana kaka ni sehemu ya kujifunza pia mwenyezi mungu Akupe uvumilivu na afya njema bado utatimiza ndoto zako tu.
@tanveermalik61822 жыл бұрын
😭😭 AKI SIMU WW UMEKUA NI TATIZO KUBWA DUNIANI POLE BRO ILA HII NI ELIM TOSHA KWENYE HUU ULIMWENGU WA SIMU .!!!
@Warner1922 жыл бұрын
Pole sana bro I streamed some tears , ila wabongo tujitahidi kufarijiana kwenye matatizo dizaini hii
@beatrixmalakasuka12142 жыл бұрын
Pole sana kk Mungu akutie Nguvu
@auntdorah91412 жыл бұрын
Kwa maelezo haya , mpelelezi wa hii kesi, hakumuelewa hata kidogo? Tunajua kesi ya mauaji hutumia muda mrefu lkn.....na mashahidi mbona kama walikua wapo? Miaka .. 9 .!!. Hilo jaribu ni gumu lkn naamini Mungu atakusaidia kijana..wema umekuponzaaa😭
@1stladyafrica4022 жыл бұрын
Asingeweza kutoka mpaka huyo muuaji kupatikana kwani mauaji yalitokea nyumbani kwake.
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Hii story ya broo imenikumbusha wimbo wa ferooz wema wangu umenipoza
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
@@1stladyafrica402 kwaiyo asingepatikana angekaa ata miaka 50 na zaidi kuna mda serikali itizame upande wa pili kisaikolojia tu mtu kashaeleza kila kitu pale nikufanya upelelez wao wa kina kisha kumpa ata dhamana ya kuwa nje akishilikiana na mahakama na jeshi la polisi maana yeye asingeweza kukimbia wakat jambo akulifanya yeye kwaiyo angewapa ushilikiano polisi na mahakama vzur sasa mtu akuhusika miaka 9 je tufanye alieusika sasa asingepatikana au angelikuwa nae alishafariki je jamaa angeukumiwa au ndo ile kesi ingegeuzwa kuwa ameuwa bila kukusudia wakat sio yeye kuna jambo kama vile alijakaa sawa hapo kisheria japo cjui sana mambo ya sheria ila hilo litizamwe kwa jicho la nne
@dijasaid29942 жыл бұрын
@@1stladyafrica402 yaani damu ya Binaadam kuitoa roho haiendi bure.... na HAKI ya mtu asie na hatia ipo japo inachelewaga... pole kwake maskini ALLAH amfanyie wepesi
@venancegaspatv196110 ай бұрын
shida ilikuwa pale kwenye DNA baada ya yeye kumshika bega na pia kururhusu getto kutumika inachukua muda kuonesha no connection
@khadijakinyala94072 жыл бұрын
Pole kaka ,wenye mageto mjifunze hili na maisha ya sasa visasi ni vingi mnoo
@estonhaule92535 ай бұрын
Anyway hii inaeza mkuta MTU yeyote na wakati usiotarajia. Kikubwa ni kupunguza Imani kwa watu. Naomba mwisho mwema
@Rafkazu2 жыл бұрын
Naomba namba yake nitamsaidia kwa malipo ya nyumba miezi mitatu
@vailethysanga49692 жыл бұрын
Mimi nikushukulu TU kwakusema utamsaidia miez mitat mungu akubariki sn
@iamjanemapozi20792 жыл бұрын
Angalia video vizurii kaiandika mbn
@bibambalamula14532 жыл бұрын
Barikiwa sana
@hono12322 жыл бұрын
Safi sana bro msaidie
@sosthenesjairo79952 жыл бұрын
Dar..pole xana mwana na sisi maskini tunaetoka kwenda kutafuta mbali na nyumbani atukumbukwi na ndugu maana wanajua auna cha kuwasaidia kumbe m2 uko ndani dar toa namba ndg yany na karibu katika bwana
@ibra_muddy2 жыл бұрын
True Story ila presenter una feli kwa kutokua serious. Ndugu yangu omba yasikukute.
@sharmelasaif472 жыл бұрын
Masikn pole sana my dear mtihani mizito huo ila Allah atakufanyia wepesi
@GfgGgh-v5z8 ай бұрын
Subhana Allah pole sana kakangu japo story ilishapita Allah akuzidishie subra huko ulipo
@GfgGgh-v5z8 ай бұрын
Alhamdulillah kumbe alipatikana
@estakapufi75822 жыл бұрын
Utapata kazi mdogo wangu mungu yupo na wewe utafanikisha tu bado kijana mdogo usikate tamaa
@salumleja78002 жыл бұрын
pole kaka maixha yanachanga moto uxijali muombe2 mungu utaludi kama zaman na maixha yako ila uxiludie tn ata ndugu xio lafki
@teddyndungurusabnu47922 жыл бұрын
Pole sana kaka lakini ushauri wangu kaka angeenda kwanza nyumbani kwao akajipange akapate baraka za wazazi then arudi kupambana
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Kama wazazi walimtenga ?!!
@teddyndungurusabnu47922 жыл бұрын
@@ashurajengela3926 mzazi ni mzazi tu huwezi jua huwenda hata walipambana hivyohivyo kimasikini lakini walishindwa dunia inamengi hii na hata ukute wanajua alishakufa
@zainabkazige73882 жыл бұрын
Pengine hata wazazi hana😥
@miaerny66092 жыл бұрын
Akirudi nyumbani kwasasa hivi sjui kama atatoboa kimaisha kwa kweli nilichokiona kwake ni kua ana Mungu na anaimani pia baraka za wazazi atazipata hata kwenye simu sasa hivi atafute pakutokea kwanza atafute maisha hapahapa mjini
@thomaswenceslaus66772 жыл бұрын
Dah pole jombaa. Kuamini binadamu ni kosa. Ila hii judicial system ya bongo nayo iko slow sana kesi ziwe zinafanyiwa upelelezi na kuisha mapema.
@bhokesaid32642 жыл бұрын
Dunia hii kila kitu ni mpango wa Mungu tuombe sana hatujui mwisho wetu asee
@nayrasayd3442 жыл бұрын
Pole sana kaka allah ni mwema kila siku tumejifunza kitu
@abdulkarimngitao86102 жыл бұрын
Pole sana ndugu hujafa hujaumbika zte ni changamoto za kimaisha tu mungu atakupigania
@aminakawawa58002 жыл бұрын
Pole mdogo wangu imeniuma sana 😭😭😭🤲
@fimboonlinetv52822 жыл бұрын
Dah sana bro. Lakini kuna udhaifu sana katika ufatiliaji wa kesi
@josephinaisaya95122 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Kwa yaliyokukuta
@salim02tv242 жыл бұрын
24:03 wanawakeee wanafelishaa Sanna 😭😭
@gradnessshitindi36942 жыл бұрын
Duuuh harafu n bonge la HB😘
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Mambo ya sm kukaguwana n vifo nje nje aki me kuna sk nikagua sm ya mme 😥walai tuligombana nilipigwa sikurudia tena ndo ikawa fundisho cjawahi kagua sm yake mpka tulivyoachana uwiii pole sna kaka kwa changamoto uliopitia weka iman tuu ipo sk utasahau yote
@winheleni92632 жыл бұрын
Pole sana kaka mwenyenzi mungu akupe wepesi kwa hayo unayo yapitia utafuka tu ukipa ujumbe huu andika namba zako za simu hapa
@pilikhamis29242 жыл бұрын
Pole sana kaka kikubwa zidi kuomba mungu kwa kila jambo inshaallah
@andreakulwa16292 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa matatizo yaliyokupata
@abdallahmzee4335 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu haya kweli ni mafunzo kweli ya maisha
@salim02tv242 жыл бұрын
29 :09 MACHO ni zaidi ya camera ukiona ugomvii usisogeee yanarecord 💯
@sureiamboo2 жыл бұрын
Almost a decade 🥲, very sad. The Government should be responsible to pay him compensation for his lost life he spent in jail for the crime he did not commit!
@khanifa64532 жыл бұрын
Very sad story,Allah will continue to be with him Always
@jhecfoundationtanzania28912 жыл бұрын
Siyo Tanzania hiii
@romansixbert45292 жыл бұрын
He represents the many wrongly convicted. Something has to change!
@julianaboniphace73512 жыл бұрын
@@khanifa6453l
@lonelady33682 жыл бұрын
For sure wanafaa wamlipe .coz awakufanya ufatilizi mzuri wa haya mauaji
@joycekambuga62862 жыл бұрын
Pole sana sana Mungu atakulipa. Naomba tuwasiliane kama una cm. Hongera sana kwa kumpokea Bwana Yesu huyo kila kitu