MUONEKANO WA KABURI LA MIL 10 ALILOJENGA SABASITA, LOWASSA ATAJWA "SIO MBAYA"

  Рет қаралды 19,210

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@evarichard4866
@evarichard4866 8 күн бұрын
Hizo pesa ulizojengea hapo ungekwenda kuwasaidia watoto yatimana walemavu ungepata thawabu kwa mungu kuliko hayo uliyoyafanya pole sana😊
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 7 ай бұрын
Hana hofu na Mungu, anampangia Mungu kwamba utafia hapo kwako!!!!
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 7 ай бұрын
Tangu Zama za kale watu walijiandalia makaburi . Yesu alizikwa katika kaburi la Yusufu wa Arimathaya
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂mtihani kweli wallahi
@christophershuma623
@christophershuma623 7 ай бұрын
Ndugu yangu angalia sana u sije ukaliwa na mamba ziwani.
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 7 ай бұрын
Safi sana abarikiwe daima
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 7 ай бұрын
Ingekua vema ungeokoka na kuishi maisha yanayompendeza Mungu,maana kaburi zuri halikupeleki mbinguni mzee
@IsayaNgoiva
@IsayaNgoiva 7 ай бұрын
Mtu ambae hajajiandaa hawezi jiwekea vitu hivi huyu amejiandaa vyema ni zaidi ya kuokoka na kibibilia yupo sahihi
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 7 ай бұрын
@@IsayaNgoiva walewale ww pia hujaokoka sema n mshirika mmoja na yeye😁kumbuka kuongea mistar ya biblia sio kuokoka😁
@lilyrose7983
@lilyrose7983 7 ай бұрын
Jamani huyu Mzee anajua anachokifanya anajua aliko jiunga so haina haja ya kuumiza akili
@donaldkiduko2417
@donaldkiduko2417 7 ай бұрын
huyo mzee hakijui anachofanya atazikwa na kaburi ataliacha na mateso atakayoyapata kutoka kwa mwenyezi Mungu
@lilyrose7983
@lilyrose7983 7 ай бұрын
@@donaldkiduko2417 Daah mtihani 😪
@AbasSemfuko
@AbasSemfuko 7 ай бұрын
Nyie😂wahandishi😂mnazingua sana Kiukwel
@HawaSwabra
@HawaSwabra 7 ай бұрын
Kuna yule hawa anaumwa natumbo kila kukicha anarudishwa hospitali baba umeshindwa kumsaidia baba kila kitu anapanga mungu baba hebu fanya msaad wako
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 7 ай бұрын
Kufuru kufuru,hizo ela ungegawa kwa wahitaj mungu akusamehe
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 7 ай бұрын
Safi sana, busara kubwa sana hiyo, japo wengi hawawezi kuelewa. Tunajifunza pia.
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 7 ай бұрын
Mauti ni haki lkn mtu anatakiwa kuliandaa kaburi lake kwa kufanya mema kila nafsi itaonja uchungu wa mauti lkn mwenyezi mungu hatizami kaburi lako ni la aina gani hiyo ni faghari tu ya dunia tu ukitaka kaburi lako liwe na noor kuna watu hawajiwezi kwa nini usiwasaidie hizo pesa angalau ukumbukwe kwa wema na kuombewa dua 😂😂😂
@AlfredHaji
@AlfredHaji 7 ай бұрын
Ukibadilika Kiroho na ukimjua Yesu ipasavyo,utalivunja ilo kaburi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 ай бұрын
Funzo..Jiandalie Makazi yako ukiwa hai
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 7 ай бұрын
Nikuzihak na kukufuru Mungu. inamaana hakuna wenye uhitaji au matatizo hata ndugu zako hadi unaamua hivyo? hivyo havitakusababishia hata tone la msamaha au pepo njema hata ukizikwa kwenye ndege. Hakuna kitu kama hujafanya yale Mungu kaagiza kufanya ukiwa dunian kumbuka Mungu kama angekua hana huruma. Angekuchukua hata ukiwa huna chochote bro unachokipanda kiufup nikibaya but utakipa shida kizazi chako kwa kufuru hii
@rosedohho8971
@rosedohho8971 7 ай бұрын
Yuko sawa
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 ай бұрын
Hilo nalo neno tujiandae sijaona kosa ni maendeleo pia
@prospermakela7791
@prospermakela7791 7 ай бұрын
7 6 yupo sahihi sana,ni utaratibu mzuri kuandaa mazishi yako.Ni kama tu kuandika wosia.Wanaosema vibaya humu ndani wengi wetu hatuna hela ya ziada yaani tunaishi chini ya budget
@ShedrackHenry
@ShedrackHenry 18 күн бұрын
Hilo ni tatizo la afya ya akila
@fay9687
@fay9687 7 ай бұрын
Jeneza na kaburi sio hoja vitendo vizuri mungu ndio anataka hujui utakufia wapi unaweza ukatekwa ukapotea
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Kwel kabisaa chizi huyu hajielew yy anajua ataxia wapi kama akifia kwenye maji
@romanasulley83
@romanasulley83 7 ай бұрын
Pengine Mungu alishamwonyesha kuwa siku zake ni karibu kufika.......
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 7 ай бұрын
Bro kumbuka kunawatu wapo wanahitaji faraja ya sh20000 wengine wanapoteza maisha kwa kukoswa sh 10000 tu nk natumeagizwa kusaidiana na kusaidia kwa tulichonacho tukiwa na Afya njema bro kiburi cha uzima kisikutenge mbali na Mungu 😂😂😂
@Mwanah27
@Mwanah27 7 ай бұрын
Makubwa....! ila pongezi kwa mzee, ikitokea kuliwa na mamba afu utafutwe usionekane itakuwaje
@swadifaabdallah4965
@swadifaabdallah4965 7 ай бұрын
Sio mamba tu kifo nisiri ya Mungu hakuna anaejuwa kifo kitamkuta wap unaweza kufa hata maiti yko isipatikane ila kikubwa kumuomba Mungu atupe hatma njema sio vibaya kujiwekea na kujiandaa Mapema mana hata usipotumia wew bs watatumia wengine.
@JacklineFrancis-f7b
@JacklineFrancis-f7b 7 ай бұрын
Je akianza mke wako kufa itakuwaje?
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 7 ай бұрын
Mke alishakufa
@joneydomin6708
@joneydomin6708 7 ай бұрын
Bora yeye amejiandalia maana mambo ya KUOMBA michango msibani muda MWENGINE ni fedhea Kwa familia
@ShinyangaBranchCCIL
@ShinyangaBranchCCIL 7 ай бұрын
Uko sawa
@KhalfanShaban-x4x
@KhalfanShaban-x4x 7 ай бұрын
Ukichelewa kufa utaona mengi sana 😂😂😂😂😂
@IsayaNgoiva
@IsayaNgoiva 7 ай бұрын
Kibibilia ipo sawa kabisa vyema mzee wangu
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 7 ай бұрын
Haiko sawa,ww biblia umejifunza lini😁
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 7 ай бұрын
Bibilia gani?? Mawazo yako sawa naye, huo ubatili mtupu chini jua, tunakujua kaka, je kama hukupata hicho kiinua mgongo kaburi la 10.0m ungejenga na nn??😮
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 7 ай бұрын
​@@AlvanEdwine-ih4vykwa asili ya waisraeli yupo Sahihi hata Yesu Alizikwa kwenye kaburi la Yusufu wa Arimathaya alilokuwa amejiandalia mwenyewe
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 7 ай бұрын
@@robertgeofrey4118 kaka mm hapa nazungumzia habari ya yeye na roho yake kuokoka cjapinga kuzikwa ,angependa ata aakazikwa na magari yake.mm nlchomshauri n kuwa autafute ufalme wa Mungu kwanza then hayo mengine n ziada
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 7 ай бұрын
Hela zote hizo ungekuwa na hofu ya Mungu ungesaidia wenye uhitaji unaweza kufa kwa kumezwa na mamba na hilo sanduku usiingie😃😃
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 7 ай бұрын
Kuokoka ni lazima na baada ya kuokoka unakazi ya kufanya kumletea mungu mavuno maana yake kutumika chini ya ufalme wake unataka unaharaka ya kufa unaenda kufanya Nini huko?
@donaldkiduko2417
@donaldkiduko2417 7 ай бұрын
atakuja kufa nahilo kaburi hatazikwa nalo mungu mkubwa
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 7 ай бұрын
Mbona maandalizi ni kaburi moja tu mh.???
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 7 ай бұрын
Hajajiandaa kufa angejenga porini
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 7 ай бұрын
ni ubatili na kujijaza upepo tu
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 ай бұрын
Dunia inamambo tupeni hera wengine maisha magum wengine wanatengeneza majene kweli kufa ni kufa tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@christophertanu1880
@christophertanu1880 7 ай бұрын
Mimi ninaona huyu Jamaa amerogwa . Wakati wa utumishi wake kuna mahala alikosea. Hizi kazi za upolisi zinamambo kweli
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 7 ай бұрын
Unaakil ndog sana ww angestaaf vip hay ni maamuzi tu ya mtu alogwe kujenga kabur lake asilogwe afe
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 7 ай бұрын
Kwel bro au kutokua msomaji wa maandiko matakatifu ya Mungu na Amuri 10 hadi tunaingilia kazi za Mungu..😄😄😄
@goodteam7890
@goodteam7890 7 ай бұрын
Mi mloma ila nimependa mazishi ya rais mwinyi no makolokolo
@ramadhanimtiba834
@ramadhanimtiba834 7 ай бұрын
Bro ni mtata Toka morogoro
@georgebataze6625
@georgebataze6625 7 ай бұрын
Andaa roho, huo mwili ni useless. Ingependeza kuwambia watu habari ya kuwa tayari kufa kwakuwa roho ikosalama tungejifunza kitu hapo, lakini hii habari inakosa mashiko coz ukisafiri ukapata ajali mbaya ukaungua na moto ukabaki majivu na mko watu wengi kiasi mwili wako haujulikani ilo kaburi inakuaje?😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 7 ай бұрын
😂😂😂😂Subhana Allah wakristo wanafiki ndio ataishi ktk hilo kaburi zuri huko ni amali njema zinatakiwa acheni kujidanganya bora hizo pesa ungesaidia watu hiyo ndio hazina yako.😂😂😂acheni ujinga
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 7 ай бұрын
Gharama zote za nn? Aende kama wengine, ukishakufa hiyo sarvege (catrage)inastahili kufukiwa kwenye udongo ioze, au ungelipa wataalamu ukifa wakumount na mwili usioze kama mzee Harambee kule kenya😅
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 7 ай бұрын
Sisi hatutaki mambo ya gharama za kaburi na jeneza. Tunataka tule nyama za kushiba kama ilviyokuwa kwa Lowasa.
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 7 ай бұрын
Hiv kajenga ndani ya nyumba yake au 😂😂😂
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 7 ай бұрын
Watu saiv washazinduka na kujua kua kifo huwezi kukiepuka lazma utakufaaa tu
@Winford-f4l
@Winford-f4l 7 ай бұрын
Nadhani unawaelewa vizuri ndugu zako wachaga,ukifa jeneza wanauliza million 2 ,wanakuzika kwenye jeneza laki 3. 😂😂
@ahmadally2437
@ahmadally2437 7 ай бұрын
Sabasita, ulipambana aisee na uhalifu morogoro. Ulikuwa ni mwamba kipindi chako na karate zako mzee, ulijitahid
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj 7 ай бұрын
Nunua nyakula vya kutosha ,vinywaji vingi na pia usisahau kutenga bajeti ya wasanii uli kuweza kunogesha mazishi yako huku wakinywa na kula.nahisi mawazo yangu yatafanyiwa kazi na Kama Kuna lakuongezea wadau ongezeni bajeti iwe juu ndo anavyotaka.
@hotstoryndaniyabongo9628
@hotstoryndaniyabongo9628 7 ай бұрын
Kwenye 10M angenipa hata 1 tu ningefurah
@georgebataze6625
@georgebataze6625 7 ай бұрын
Kwani faza unataka kufa lini?😂😂
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 7 ай бұрын
Kufuru sana utakuwa uwozi na ilo janaeza
@cmoshi7014
@cmoshi7014 7 ай бұрын
Hatujaambiwa kuandaa majeneza na makaburi ya kufukiwa kwani roho yako ikisha achana na mwili wako ni kama gogo tu limelala hapo. Andaa moyo wako. Shetani mjanja sana anawaletea watu mawazo potofu uone hilo ulilolifanya kama ni sifa vile kumbe anakusubiri. Tubu dhambi zako lasivyo moto unakusubiri huko wewe jifariji tu.
@leejems142
@leejems142 7 ай бұрын
Wat Kam Hao Mungu hawaui mapem anaaz kuwap Adhab hap hap dunian
@lilyrose7983
@lilyrose7983 7 ай бұрын
Ndio atajua Mungu hapendi mzaha
@HajiAmbali-jq9dr
@HajiAmbali-jq9dr 7 ай бұрын
Labda anataka kujiua mnajuaje
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39