DC BOMBOKO AONGEA KWA NIABA YA FAMILIA YA ULOMI “TUMEKUBALI NI AJALI, MENGINE YAPUUZWE”

  Рет қаралды 11,992

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 сағат бұрын
Mhhh🤐Mungu ampumzishe kwa Amani 🙏🕯️🕊️
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 11 сағат бұрын
Yaan mm mwenyew nikiona habari kwa miradi ayo Sina shaka nayo big up broo💪🙏
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Mkweli sana , no mbaaambaa
@hassanlubola414
@hassanlubola414 8 сағат бұрын
Hapo juu kidogo tu kuna daktari amesema marehemu alipelekwa na POLICE aisee!!!
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 8 сағат бұрын
Heeee pikipiki ilikuwa imesajiliwa na polisi walihusika kuchukua majeruhi,walishindwa vipi kuangalia jina la usajili😢
@elizaminja-e9c
@elizaminja-e9c 8 сағат бұрын
Hapo Sasa
@StephenMpallange
@StephenMpallange 8 сағат бұрын
Je ajali ni kati yake yeye na nani,mbona hatuelezwi,boda boda au gari?
@edwinmulokozi5019
@edwinmulokozi5019 5 сағат бұрын
Ninavyojuaga kwenye ajali mara nyingi simu ya majeruhi au marehemu ndio inatumika kuwapa taarifa familia kutoka kwa wasamaria wema! So simu yake kuzimwa inatia mashaka sana.. Au alikuwa na simu kitochi kwamba ukiangusha inatika betriii ..
@Jenifajerad
@Jenifajerad 10 сағат бұрын
Sawa msema ji ila sema kweliiii😢😢😢😢😢😢😢tuonesheni bas ajaliiiiii
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Kweli kabisa
@Kabwela776
@Kabwela776 9 сағат бұрын
Hivi wewe ni fala au msenge hivi mkifirwa sana Na kukojolewa mkundu hizo shahawa uwa zinapanda Hadi kwenye ubongo Na kuwa mazuzu sasa wewe huonyeshwe ajali kama Nani mkundu wewe
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
@Kabwela776 mmmmmmmh kaka
@KyissmaMoreen
@KyissmaMoreen 6 сағат бұрын
@@Kabwela776Kha!!!!😢😢😢
@edwinmulokozi5019
@edwinmulokozi5019 5 сағат бұрын
Kwani ajali hazitengenezwi .. hakuna malofa tena aisee
@PeninaAdam
@PeninaAdam 12 минут бұрын
Mwandishi we upewe mauwa yako ,na ulinzi upewe kabisa wanakuchukulia poa ila naona unaitaji ulinzi na uenda ata ukachukiwa na polisi mana unafanya upelelez mzuri sana .upewe upelelezi ukasomee upelelez kesi nyingi utashinda na kutetea haki zao.
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 12 сағат бұрын
HUYU JAMAA MBONA HAELEWEKI MAELEZO YAKE? FAMILIA POLENI SANA;SIAMINI KAMA HUYU NI MTU WA FAMILIA HIYO HUSIKA ;MASHAKA NI MENGI SANA KTUOKA SURA YAKE NA ANCHOKIONGEA;
@Kabwela776
@Kabwela776 9 сағат бұрын
Tuambie ukweli wako
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 10 сағат бұрын
Poleni sana .
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc 10 сағат бұрын
Huyo Jamani apo mbele mbona kama anamashaka juu ya hayo mazungumzo
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 10 сағат бұрын
Rest in Peace class Mate.
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 7 сағат бұрын
Unajua nn siwalaum raia kila kitu kuwashuku police ila police yangu naomba muwe chapu kufuatilia habari mukuwe wa kwanza mm kama mimi naliamini sana jeshi la police naomba mjitahidi walinzi wetu tuko pamoja yani kama chupi na trako
@JoyceChacha
@JoyceChacha 9 сағат бұрын
Jaman tanzania hii tunaelekea wap
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Sasa ajali tunaenda wapi?
@InnocentAbel-e2t
@InnocentAbel-e2t 7 сағат бұрын
Pumzik salam aisee inauma 😢
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 2 сағат бұрын
HILO LORRY LIMEKAMATWA? DEREVA WAKE YUPO WAPI? PIKIPIKI IPO WAPI? MBONA UNASEMA WASAMARIA WEMA WAKATI DAKTARI ANASEMA NI POLISI NDIYO WALIOMLETA? ACHENI UONGO NINYI
@aishajuma7813
@aishajuma7813 10 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏❤❤❤
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 7 сағат бұрын
Saiv mmeanza maigizo mwanzon tulikua hatujui mmb yaajali ..... ok kila kitu kina mwisho
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 7 сағат бұрын
Kwahio siasa niuadui boya kabisa
@hovickkagaruki2481
@hovickkagaruki2481 10 сағат бұрын
mbona mzungumzaji wa familia anaenda tofauti sana na kazi aliyopewa, analeta mashaka
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 11 сағат бұрын
Upumzike kwa amani😢😢
@EDWINMAPUNDA-de4ds
@EDWINMAPUNDA-de4ds 10 сағат бұрын
polen sana
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Ni ndugu yake
@luckyvenance2618
@luckyvenance2618 6 сағат бұрын
Ajali ya kawaida?mmmh kumbe kuna ajali ya kawaida mpaka mtu kafa na hamsemi??
@TatuMkeso
@TatuMkeso 9 сағат бұрын
Inalilah wa inailah rajuun
@StephenMpallange
@StephenMpallange 8 сағат бұрын
Ahaa kumbe ukiwa mwanasiasa unakuwa adui!!!
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 9 сағат бұрын
Jamani dc
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 сағат бұрын
Kaka HASSAN anaongea kama anatangaza.harusi..
@EDESSYSINKONDEKAMSWENGA
@EDESSYSINKONDEKAMSWENGA 10 сағат бұрын
Msemaji ni nani vile?.
@annajohn175
@annajohn175 6 сағат бұрын
Mkuu wa wilaya ya Ubungo
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 6 сағат бұрын
Rip😭😭😭🙏
@MaryTango-e1o
@MaryTango-e1o 11 сағат бұрын
Apumzike kwa amani BWANA AMETOA BWANA AMETWAA
@ChireGriffin
@ChireGriffin 10 сағат бұрын
DC mpendwa sifa
@TumainiMwampashi-z2c
@TumainiMwampashi-z2c 10 сағат бұрын
Poleni wapedwa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 сағат бұрын
Huyo ni ds anakula chunnvi ya selekali anaongea jeuli anavyotaka
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 51 минут бұрын
Tuskiluze na ndugu ata mmoja uyo n mkuu wa Wilaya kama ubaya upande wa police au serikal hawez ongea
@MasaweMasawe-r5b
@MasaweMasawe-r5b 8 сағат бұрын
ajali ya kawaida kwako wewe
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 11 сағат бұрын
Nenda meti
@George-jz3jg
@George-jz3jg 8 сағат бұрын
Meti mafinga?
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 11 сағат бұрын
Unaongea sana
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 10 сағат бұрын
Mashuda wa ajali wanasemajee
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Ajiali ilikuwepo kweli
@DevothaJohn-q4s
@DevothaJohn-q4s 11 сағат бұрын
Unaongea huonyeshi hata huzuni jamani wewe ni Mtu wa karibu kweli?
@MaguguStore
@MaguguStore 9 сағат бұрын
Ni ndugu
@George-jz3jg
@George-jz3jg 8 сағат бұрын
Huyu alikuwa rafiki wa karibu sana wa marehemu kwa mjibu wa utambulisho wake sasa kwa huu ujanja jinsi anavyoongea na uchangamfu alio nao anapoongea kuhusu taarifa hii namuona kabisa anafurahia kifo cha rafiki yake kwasababu yeye atammiliki/atamridhi yule mjane maana ni mrembo kweli kweli
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 8 сағат бұрын
Binadamu bana kwa hiyo mmechukia kuona hajatekwa au shida yenu nini badala ya kutoa pole mnamsema anayeongea.
@luckyvenance2618
@luckyvenance2618 6 сағат бұрын
Kama anahusika ivi
@AsiaAa-w5m
@AsiaAa-w5m 10 сағат бұрын
Macho meupeee
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 14 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
ALICHOSEMA KUSAGA KWA MILLARD “NI TAJIRI KULIKO MIMI”
11:51
Millard Ayo
Рет қаралды 47 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 14 МЛН