Its very touching, and we need God katika maisha yetu. Ushuhuda wako Gigy should not end there, nakuomba uanze program ya kuongea na watoto wa kike. Okoa maisha yao, na mbele za Mungu utakuwa mtumishi mwema. I wish I could meet with you to share the idea and see how you could make a difference.
@jacklinekalinga85836 жыл бұрын
Msema kweli ni mpezi wa mungu ,mama anathamani kubwa sana ndio maana ukaamua uingia dhambini,na ninaamini IPO siku utakubalika tu.nakupenda bureeeee
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Barikiwa Zawadi naamini yote uliyopita ni maisha tu yatapita na ipo siku utaheshimika na kukubalika
@jeremiahkalimanzila33096 жыл бұрын
Zitt o
@choppalababurao84446 жыл бұрын
Bfses
@nayomimatola85676 жыл бұрын
For real uwa namwombea gigy afike anapopataka mungu akucmamie gigy.love u sanaah
@EmmyKilleo7 ай бұрын
Huyu dada mnamuonaga mwehu Chizi but anajielewa zaidi ya wale mnaojiona wastarabu nampenda sana gigy she don't fake life yaan yupo straight sana you can learn things from her ❤❤❤
@sayrachuna67056 жыл бұрын
Gigy nakupenda sana na nasababu nyingi za kukupenda
@muharamharoub88966 жыл бұрын
sabab nawe unafanya kama afanyavyoo
@sayrachuna67056 жыл бұрын
@@muharamharoub8896 sio lazima kumpenda mtu lazima ufanane nae....muharam haroub huwezi kujua labda hayo maisha hata mama yako kapitia
@EsterMagembe-k2o3 ай бұрын
Nkupnd gigy reality❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@joycemashikolo90966 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana Dada Gigy money.wewe ni mwanamke wa shoka sn.
@ForeveryoungNana20195 жыл бұрын
just love this girl. ungekuwa comedian
@wardajeilan66365 жыл бұрын
Nakupenda ggi😍😍
@sakinaomar3016 жыл бұрын
Wakwanza kuwatch Gigy love u
@reenaroy19685 жыл бұрын
nakupenda saaaaaaana ktk UKWELI! hakuna wakweli km ww gigy mwanangu
@preetysham65206 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio na furaha ..nakupenda sana tena sana my cash money
@zialhakhmuna11766 жыл бұрын
Preety Sham Hel
@natashaally1922 жыл бұрын
Aww Gigy.....nakupenda sana, sana sana...upo real kabisa
@diamondplatnumznewsajm20536 жыл бұрын
Gonga like kwa GIGY MONEY #GIGY NI #KIKI. SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YANGU.
@RehemaPendo20235 ай бұрын
Hongera Sana mdg wng. Mama anathamani Sana mungu atakusamehe
@subrynerysegerow13236 жыл бұрын
Gigy kaba huna kwel tena ila fresh nakupenda tu et nilimpa teke mungu ndy anakumbuka 😂😆
@neemajonh90646 жыл бұрын
We nae umenifanya nicheke kwa sauti
@esterdavid66646 жыл бұрын
Gigy wangu peke angu mimi hapa kwa kufunguka mama hahaaaaaa konki konki konki master😂
@vadinadanivadina74556 жыл бұрын
Uwii sina mbavu
@neemashao53146 жыл бұрын
Pole mumy ,,inaonekana mama yko kakufanya upitie ambayo ucngeyapitia ,,nimekupenda bure coz uliji sacrifice ili mama asiumbuke,,
@hamzarumela17846 жыл бұрын
Pole aise, Kila kitu mungu aliona lengo lako, na hope atakusamehe
@zainabumtubwi2636 жыл бұрын
Gigi monney nakupenda na pia nakuonea imani .mama anaweza fanya lolote kwa mwanaenila wewe mtoto umefanya lolote kumuokoa mama yako.mungu atakupa pepo yako.pole sana
@happymoshi11746 жыл бұрын
Zainabu Mtubwi wanamchamba bure nan ambae ajawau kuwa na mausiano mengi mana kujiuz nisawa namtu anamausiano na watu wengi au michepuko bora yy kafanya kwajil yakusave family BT family inarudishaga watu nyuma ASA ukiw wakwanz au unakauwex cha kutafuta
@agnesmwakyusa30366 жыл бұрын
Nakupenda bule. ww ni mkweli sana. Mungu akupe maisha malefu yenye balaka tele
@bintybinahsiraj94996 жыл бұрын
Jamani gigy nakupenda buree😘
@shayonapatel14085 жыл бұрын
She an incredible story teller, i love listening to her tell her truths!!!!
@JoyceAdamukisagati-hy7gr7 ай бұрын
Dada Mungu akuzidishie umri mref maana niukwel huwezi kubal mama apate fedhea hata ingekuwa nani ndio ukwel
@prettyakoth43066 жыл бұрын
The true th with gigy is she's always real she tells the trueth
@joharally76416 жыл бұрын
Nakukubali sana
@aminakuchora49725 жыл бұрын
umedamshi
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mkweli hadi amepitiliza.. nimelia.. hakika huyu dada amejilipua..hana deni
@rizikirizikirasy93006 жыл бұрын
Nakupenda bure Gigy
@enocktanu86936 жыл бұрын
napenda sana interview ya gigy money
@muharamharoub88966 жыл бұрын
Malaya mwenzio ninnn!!?
@rehemajohnson90126 жыл бұрын
Wewe dada uwa nakuelewa sanaa
@josephmoses17355 жыл бұрын
nampenda sana gigy
@petertungu23136 жыл бұрын
I like the way she speaks
@zuhrahassan25896 жыл бұрын
Najiuliz kila siku kwann Gigi anaendelea kumbe razi za mama japo kuwa anatafut kwa njia mbaya lkn anatafut kwa ajili ya mama ake Mungu amuweke ni watoto wachache san wanaojitoa kwa ajili ya mama zao
@ashleycole35786 жыл бұрын
Safi Gigy
@ravindranagar29766 жыл бұрын
Kya kr rhe
@muharamharoub88966 жыл бұрын
Nisawa anataka raz za mama ila sio kiivyoooo
@shanisimai90775 жыл бұрын
Ayo maisha niwengi wamepitia dada
@mahendejumanne60075 жыл бұрын
@@ravindranagar2976 y
@jennipherstanley222stanley56 жыл бұрын
We n super hero mama.......no body can
@jasminramadhan28872 жыл бұрын
Nakupenda gigy kw Sababu wewe ni mkwli na mungu ata kuacha
@fettymbogoma71586 жыл бұрын
Mom ake Mayra nakupendaga bureeee
@aloycevitus82565 жыл бұрын
Nakupe we dada ulivyo mkwel
@a.8566 жыл бұрын
Maisha ni safar refu kwa kweli pole dada
@jasnafclassic85595 жыл бұрын
Nimkweli sana huyu dada
@jasnafclassic85595 жыл бұрын
Napenda sana interview za Giggy money
@hasiyakeniyausiachiebabu76346 жыл бұрын
uyu uwa nimkweli nampenda ga aumiumi maneno
@MohdRashid-cu9qb6 жыл бұрын
Hasiya Mungu hampendi mwenye kufanya dhambi haafu akaitangaza sasa wewe unampendaje?
@oliverenock2786 жыл бұрын
H
@juniorsmart24835 жыл бұрын
We unauhakika gn kama anaongea ukweli?
@atukuzwelameck15234 жыл бұрын
🌹Love you mam Mayra 🌹 blessed one 💘
@lameck83tv235 жыл бұрын
bigup gigy kumsev mama af magalz wakiwa wakwel inakuwa poa sana kama iiivo an
@walburgajohn94376 жыл бұрын
I love you mama mayra!!!!
@witnessjohn26005 жыл бұрын
The gud thing this young lady speaks truth,,,she don't take,,,,,,,,,,,but she need to change
@bintdavid76725 жыл бұрын
Nakupenda sana Gigy money na ukichaa wako
@oscarmwambonja6 жыл бұрын
Ahsante bro #MillardAyo nimeipata na hii.
@jnovati39525 жыл бұрын
Mpw yesu maisha yako
@omaryramdhani98232 жыл бұрын
Halafu yeye atabaki na Nini akimpa maisha take huyo ulomtaja ,wacha kumdanganya mwenzio,kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
@jenifercharlie77462 жыл бұрын
Nakupenda bure
@misspowers96596 жыл бұрын
nampenda sana Millard Ayo
@venstonvedasto5 жыл бұрын
U are real girl
@cresensiandimbo41823 жыл бұрын
Nakupenda mumy
@benjaminjoph11385 жыл бұрын
honger gigy nakupenda bureeeeee
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Gigy uwe unabakiza akiba ya maneno my khaa
@neemajavan41256 жыл бұрын
Asia Zuberi hahahahaha
@Aselitha846 жыл бұрын
😂😂😂
@kicmarthawa66592 жыл бұрын
Daah jmn maisha. Tujifunze sana
@mynersaid89436 жыл бұрын
Nakupenda maana unaongea ukwel kabsa ni wadada weng wanapitia ayo maisha na sio kwamba wanapenda
@iradukundamike53706 жыл бұрын
Uyu gigy namupenda sana kwasab bu nimuwazi
@halimasalimu28285 жыл бұрын
I love you gigy money we nimtu usiye penda kujiplaud
@FatmaFatma-kt1or6 жыл бұрын
Nakupenda sanaaaa qiqy ukweli kwakweli
@dabbydabby39576 жыл бұрын
#giggymoney nakupenda sanaaaaaaa....U say the fact.
@fettyliclous_flovour_tz94895 жыл бұрын
Duh gigy noma
@nusraissa36785 жыл бұрын
love gigy
@lashymreal65556 жыл бұрын
Gigi uwe unabakisha maneno Myra akisikia ushawahi jiuza ataumia sana
@hananmustafa64306 жыл бұрын
Maskin ama kweli ww ni mkweli Allah atakusaidiya Inshaallah
@jullymshashu8566 жыл бұрын
nakupenda tu kwa kujiamini
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
hiyo sio kujiuza sijui tuite vipi lakin sio kujiuza shida
@luckydavid74756 жыл бұрын
Lashy Mreal 😁😁😁😁😁😀😀😀
@modestferan62036 жыл бұрын
Ataelewa.. Atajua nia ya mama yake kufanya hvo.. Itamuumiza sana ila baada ya muda she'll get over it na atajivunia mama ake mpambanaji na hakati tamaa...
@michaelhumbi27286 жыл бұрын
Mwanashelia Gigy yupo vzr sana kwenye kujielzea??
@KiooNetwork6 жыл бұрын
AyoTv keeps on Top
@hafsairakoze49606 жыл бұрын
KiooTv Onlinehh
@kassimhashi40926 жыл бұрын
Si afathali ungeomba .hela ya zinaa unampekekea mamako.
@umulkheirshivanhassan54644 жыл бұрын
Nimeipenda
@jaliakamote54856 жыл бұрын
Jamani huyu dada ni mkweli balaa,walahi kipindi nafanya kazi kurasini alikujaga ofcn kwetu yupo na mama ake na dada ake,watu wakawa wanawasema sana wakasema yule dada anajiuza,ckuamin leo ndo naamini kupitia mdomo wake mwenyewe.Pole inabidi uache sasa.
@marryhendric27674 жыл бұрын
I love ggy
@amourzubeir73066 жыл бұрын
Analana tu ,na Mungu akamueleze ivo ivo
@billgussy60995 жыл бұрын
Wadada hiyo biashara ya kuuza mwili si ya kumpongeza mtu hiyo ni ya kumpa mtu pole. Haijalishi ana pata pesa kiasi gani, maisha yana thaman kuliko pesa.
@joshuajofrey98322 жыл бұрын
Kama mr Ruge aliomba mzigo hapo najua huwezi ulizwa wala ukiulizwa huwezi kuongea ukweli.
@faustinanziku14495 жыл бұрын
Pole Sana mama Mayra 😥😥😥
@emmyalex78435 жыл бұрын
Nampenda Sana gygy
@marthalukumay64654 жыл бұрын
Gigy ♥️♥️
@reenaroy19685 жыл бұрын
na utabarikiwa sana
@aminaally936 жыл бұрын
Love u ggy
@angelamon70656 жыл бұрын
nakupenda bure we mkwer
@pizzop5 жыл бұрын
Ugonjwa usio julikana tazama dalili zake hapa kiki tv online kzbin.info/www/bejne/aJmYZYSprd6rmq8 Pizzo p ndani ya kiki tv online please don't forget to subscribe like comment and share m.kzbin.info/www/bejne/b16UlGmBpN15oJY Njaa ya watia aibu bongo movie shishi na uwoya wazichapa kwenye ugali m.kzbin.info/www/bejne/qJ3SiaeidreWjJY Inatia huruma kijana augua ugonjwa wa ajabu usio julikana tazama hapa m.kzbin.info/www/bejne/aJmYZYSprd6rmq8 Yalio jiri nyuma ya pazia futari ya makonda haji manara vs steve chupu chupu Tazama hata kilicho tokea m.kzbin.info/www/bejne/bXalfaiNgc6Spa8#searching Maajabu shuudia mwanafunzi alivyo toa maziwa maane seem ya kwanza usikose kufatilia seem ya 2 na kuendelea m.kzbin.info/www/bejne/n5Kpn2uVqNCVl6s Mtambue kibaka hatari jiji dar anae wahenyesha polisi m.kzbin.info/www/bejne/eKq9pnarp7x-jdk
@zamoyonichilusungu974 жыл бұрын
Cr Millard #1
@dayanafelly14886 жыл бұрын
I love you so much Gigy
@mercicolimited17876 жыл бұрын
wow yani huyu dada nampenda husema ukweli aki u video vixen ni kudanga hiyo tumemaliza
@NonoNono-qp3zu6 жыл бұрын
Mhh huyo casto nae kumbe kawalala wengi hadi wake za watu ana nini??😂😂
@peteralfonce58486 жыл бұрын
Mi simoooo!
@snetiengineering_hub6 жыл бұрын
Asa mnamsifia kujiuza asee asee natumaini wote jinga sana kweli
@rayanjoseck44585 жыл бұрын
A very ambitious lady so sad the world is cruel... Pole sana dear friend may God make it easy for you
@amospallangyo78174 жыл бұрын
Una akuligan mjinga 2 ww
@mussaalphonce93226 жыл бұрын
Nimekuelewa sn my sister gygy money Ipromic one to meets with you
@obbyguyfwandi96186 жыл бұрын
Upo Vzr dada
@saumuhassan63656 жыл бұрын
*Gigy Money* hata mimi naogopa madeni dah! Ila nikiona cna uwezo wa kulipa sikopi vitu vya pesa nyingi.
@rubyplutivan17405 жыл бұрын
gigy💕💕💕
@worldrapamako39606 жыл бұрын
mwalimu wako wa kiswahili anazambi sana sana akufunza kutumia tafsida ya maneno
@hasiyakeniyausiachiebabu76346 жыл бұрын
utatafanikiwa gigy unabidii
@benigneirakoze99066 жыл бұрын
Ila jomon kuokoka ni raha mtu ambae ameokoka hawezi kumuacha mwanae aende kudanga kisa kumlipia deni daaaahhh
@glorymaimu51096 жыл бұрын
Muombe MUNGU
@modesteryohana33366 жыл бұрын
Doreen sarehe kwani mama ake alimtuma acha ushabiki wa kifala
@benigneirakoze99066 жыл бұрын
Modester Yohana fala weweeeeeee 😜😜
@modesteryohana33366 жыл бұрын
kwaio wwe nyumbu ndo unajiona umeokoka
@africanhappyadventure69516 жыл бұрын
Hata walio okoka wapo wengi tu sana Wanadanga hicho ni kichaka tu cha kujifanya uonekane mwema ila hamna Lolote
@gigi nakupenda buree maana wewe ni mkweli... ila mambo mengine ni secret hupaswi kusema mama... kesho kutwa marya atakuja kuview huku atakuja kuona huu ujinga hapa... don't momah
@kassimhashi40926 жыл бұрын
Mungu wangu shame in u
@pendoanthony64026 жыл бұрын
Gigy actually huwa nakuelewa sana .,.nakupenda mama Mayra
@uwamahoroemanneul45276 жыл бұрын
Gygy tunakupenda wengi wanakuongeleya vizuli
@kabulajuma40276 жыл бұрын
yani huyu Gigi ni strong woman
@taniahsasha78266 жыл бұрын
jaman mtu akisema ukweli mnamsanga wakati wakina amber rutty wao wanazengua nahawana lolote lov u ggy money nakukubali sana always b urself heri ww umesema ukweli wako
@himdatdumila39966 жыл бұрын
Gigy nakupenda coz unaongea ukweli
@manyaramrema65316 жыл бұрын
Ila hayo maneno yako iko siku utayajutia kwa nini uliyaweka wazi hivyo!
@luckydavid74756 жыл бұрын
Hawezi jutia ukweli una nguvu saaaanaaa Angekua anaongea uongo ndo Angekuja kujutia ila uyu anaonekana anaongea ukwelii kabisaaa, walaaa hajaongezea chochotee...
@niaanthony95886 жыл бұрын
@@luckydavid7475 ni kweli kabisa ukwel humuweka mtu huru ndo mitihani yaduniani
@modestferan62036 жыл бұрын
Hatakiwi kujutia coz inahtaji ujasiri mkubwa kuongea hivo na story yake ni ushuhuda tosha kwa watu hasa wanawake wanaopitlia alopitia yeye na kuonesha thamani ya kila mtu kwa nafasi yako...
@merryn48916 жыл бұрын
+NIA ANTHONY kwel kabisa
@mariamjengo47966 жыл бұрын
I would like to be like her, napenda sana life style yake... Nakupenda Sana Gigy money.!