Haya maneno si ya leo, ni ya zaidi ya miaka miwili iliyopita. Sasa matokeo ya walioenda kule yakoje? Wewe Millard Ayo ni mmeru wa Arusha kafanye utafiti wa wale waliokwenda kule maisha yao yakoje. Watu hawa wanaoongea inasemekana ni mapandikizi. Hati miliki vipi wakati hayo maeneo ni ya wamasai ya asili. Fanyeni mipango ya matumizi bora ya ardhi muainishe maeneo ya hifadhi na yale ya wananchi bila kuwaonea!!!
@adelinelyaruu30364 ай бұрын
YES
@hamzakimaro37642 жыл бұрын
HONGERA MAMA SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA HUNA MPINZANI! UNATISHA MNO, UNAUPIGA MWINGI WAPINZANI WATASUBIRI SAAANA!!
@ilungasalle2 жыл бұрын
Sijamuona mmasai ndindindi hapo hao ni michongo mitupu
@bahatiasheli90322 жыл бұрын
Mzee uko vizuri kwanza unajieleza vizuri inapaswa kua kiongozi ktk eneo lako
@johnmike60592 жыл бұрын
Wewe ni mwandishi gani unaandika habari za mazuri tu mabaya uandiki watu wamepigwa wameumizwa ngorongoro uko uandiki uosio uzalendo ni ushabiki maandazi
@nkolemuya92832 жыл бұрын
Sirikali yenu hii😃, tunasubiri kuandika news zingine in a short while 😆🚶♂️🚶♂️🚶♀️🚶♀️
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Bass haya bakieni na umasai wenu
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mtihani kwakweli
@malelabmalela50162 жыл бұрын
Ok
@nikodemmwahangila33342 жыл бұрын
Shida wanasiasa wameingia huko kupotosha wamasai
@adelinelyaruu30364 ай бұрын
Wamasai jieleweni
@nkolemuya92832 жыл бұрын
Sasa ni familia ngapi wanatakiwa kuondoka hao wanaojua kiswahili vizuri na wangapi kubaki
Kama watapewa kibali sehem nyngne itakuwa vizur Ila migogoro haishi nchi hii
@emmanuelsaiko57162 жыл бұрын
Hata hapo watakapo pelekwa watajutia maisha yao yote.
@TZ692 жыл бұрын
The masci has rights too
@mawazoselemani6142 жыл бұрын
huyu father anafaa kuwa m/kiti wa kijiji
@joshtv272 жыл бұрын
Serikali inawajengea majumba Kwa sehemu watakayo pelekwa na serikali?
@barakatumai642 жыл бұрын
Wache ushonga mingi nyiye
@jamessanga71202 жыл бұрын
Serikali ijifunze kuwa na plani ya miaka 1000 ili kuepuka matatizo kama haya idadi ya watu inaongezeka na mabadiliko ya tabia nchi
@frankmdee46152 жыл бұрын
umeongea kweli kaka
@adelinelyaruu30364 ай бұрын
Kila mahali watu wanaongezeka
@leokamil62842 жыл бұрын
Wewe wa kofia sio Mpare wewe 😂🤣😆
@leokamil62842 жыл бұрын
@gsg international 😆😂🤣
@emmanuelsaiko57162 жыл бұрын
Nahisi
@monicafedrick92 жыл бұрын
Awahamishi kabila wanahamisha laia jaman muelewe hilo
@theosaimon69332 жыл бұрын
The last guy is not a masai tusidanganyane ? Mbona wote wanaohama maana hawajaanza leo? Wala jana ? Since March tunaambiwa watu wamasai kadhaaa ?sijui mia ? Mara wamasai 80 swali ni mbona hatuoni ngombe wala mbuzi zikiamishwa? Nasemaje ? Mnaowaona mitandaoni kusema wanahama? Wapo teyari?? Hawatoki ndani ya hifadhi? Not real masai ? Watu wanatumia fursa tu my friend
@jhecfoundationtanzania28912 жыл бұрын
Huyu jamaaa huwa namshituka sana,Hana dalili hata za kimasai
@noahlarapho34112 жыл бұрын
Hameni tu wenzangu serikali na mkono yao refu moto wa kuotea mbali wamasai wenzangu!
@peterlemurwa38342 жыл бұрын
Kwann wewe ni wanaume
@manfrednguyu79932 жыл бұрын
HUYU dog wa miaka 32 sio mmasai kabisa
@emmanuelsaiko57162 жыл бұрын
Mnawahoji watu walewale kila siku
@kipigapasilisungu25812 жыл бұрын
.
@emmanuelsaiko57162 жыл бұрын
Vyombo vya habari wako biased sana Enendeni mkawahoji watu wengine maana hawa tumeshawajua mwelekeo wao Muwatafute malaigwanani na wengine tofauti na hawa. Hawa mmewahoji sana karibu miezi mingi sana