Hongereni kwa Press ila naona kuna Kosa la Kimkakati; hii ilikuwa fursa ya kuonyesha NCAA inavyosaidia maisha ya Wananchi zaidi ya elfu 90 na kukemea kwa Nguvu zote wale wote wanaojaribu kuharibu mazingira ya Uhifadhi; Mkaa sio lazima wakate Masai, hata Wasonjo, Wairaq au majangili wanaweza kukata.
@twahathomas35143 жыл бұрын
Na je kuna lami ngorongoro kamanda. Wanamsaidia nani wew. Mamlaka imekuta watu wakiishi pale wakijitegemea. Sijui point yako hasa ni ipi
@dominicmbukeny46733 жыл бұрын
Good presentation
@charlesphilipo64432 жыл бұрын
Ondokeni huko mbele mtaleta janga kubwa,,,,waacheni wanyama waishi huko kwani ardhi tz imekwisha,,,,watoto hawasomi,,,jamii ni maskini sana ,,,,kumbe ngombe siyo wao hivyo wanatumikishwa ,,,,hapana ondokeni
@chingawadunia36213 жыл бұрын
Polen San wangorongoro baba anafuatlia
@noahlarapho34112 жыл бұрын
Utaratibu, ipo ipangwe mambo vizuri. Kuondoka mtakubali tu! kutokana na ugumu wenu etii watoto wenu wanashindi kwa kwenda kurazama Ratiba ya sheria kwani kueleswa tu vizuri yaliomo. Kwanini hawaomini. Mimi zijapenda kabisa ... Ondokenii wanyama nyie