Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini kuwa wanawake wengi ndiyo wateja wakubwa na watumiaji wa bangi aina ya skanka
Пікірлер: 18
@mohdali24083 ай бұрын
Kila siku tunaisema Serekali ila kwa hili hongereni sana
@damasmassawe36013 ай бұрын
hiyo nikweli kabisa yani wanawake hasa mabint wasasa wanavuta sna bangi ndio maana unakuta jambo dgo tu anaropoka ovyo ovyo
@mariammagige71273 ай бұрын
Hatimaye wanawake tumefikiwa halooo 😂😂😂😂😂😂🎉
@MonicaBenitomwalongo3 ай бұрын
ongeleni sana
@nacophai.t26013 ай бұрын
Sasa skanka hashish na bangi ni kitu kimoja ni hemp na chemical yake ni mmoja
@VictaDaudi3 ай бұрын
Wanawake hoyeeeee😆😆😆😆😆😡
@YumnaBurhan-q6h3 ай бұрын
Wanawake sasa duuuuh
@zainabubakari3193 ай бұрын
😂😂😂 masihara
@stanastana31993 ай бұрын
Skanka ndio msuba sio
@watupipo3 ай бұрын
Maisha magumu hakuna cha mapenzi
@adiaygo85463 ай бұрын
Hizo takwimu Za wanawake Na mashaka nazo😊😊
@gabapentin80703 ай бұрын
Ww huwezi jua lkn ndo uhalisia
@saidimpako51863 ай бұрын
WANATUMIKA KUSAMBAZA SIO KUTUMIA NI KAMA WATEMBEZA VIJOLA KUMBE NI HIYO
@OmbeniShoo-kg8dr3 ай бұрын
Funika kombe mwanaharamu apite yanamwisho
@mohammedkhimji75053 ай бұрын
Serekali: "Idadi kubwa ya watumiaji wa skanka ni wanawake" Mwandishi: "Hizo takwimu mmepata wapi?" Serekali: "tuliambiwa na wateja na wadada wa saluni" 🤣🤣🤣
@stanastana31993 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RomanMwinyi3 ай бұрын
Madem wa bongo Kila sem madem wana vuta sana sinza mbezii beach kinondoni tabata k koo mbagala mazensee tegeta kama au tembei mjini uwezii jua na uweziii ona madem wame alibika sanaa
@DeogratiusMelchior3 ай бұрын
Kimfaacho mtu chake, na pia hatufanani mpaka tuanze kupangiana nini cha kufanya na kutokufanya.. tupo Dunia huria.. huwezi jua huenda wewe unaepinga bangi ndio haupo sahihi... BANGI idumu milele sababu ipo tangu uumbaji, na kama ni haramu yeye alieifanya IWEPO ndio haramu zaidi. Weed Oyeee