MAPYA MKASA WA DIDDY, JUMBA LAKE KUVAMIWA NA USALAMA, WATOTO WATIWA MBARONI, AONEKANA AKITANGA TANGA

  Рет қаралды 84,166

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 10 ай бұрын
Shetani hata umfanyie Nini mwisho atakudharalisha tu Yesu ndie tafiki wakweli tu
@FrankAugustino-g2s
@FrankAugustino-g2s 3 ай бұрын
Hakika,Ameen
@StarMerinyo
@StarMerinyo 10 ай бұрын
Mmh Yaani hiyo ni kampen ya kuwafilisi watu weusi nankuwafilisi nankuwataifishia pesa zao
@neemareuben311
@neemareuben311 10 ай бұрын
Asije akajiuwaaaaaaaa jmn mana hawa watu banaaaa mmmh
@queenmollel6739
@queenmollel6739 10 ай бұрын
Pole PDidy sijui kama ni kweli ila kama uliwapiga na kuwanyanyasa wanawake basi pokea tuuu malipo yake, pole.
@wennybarny168
@wennybarny168 9 ай бұрын
Los Angeles sio Lozenjo broooo😊😊😊😊
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 4 ай бұрын
Hawa watu weusi wambien Kwa kiingereza kwamba wakipata pesa warudi Africa wanunue shamba walepoz saio wanamuziki wacheza mpira na wale wengi warudi
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 10 ай бұрын
Hao marekani hata hawajawahi kumrusha Roma alipokimbilia kwao😢😢😢.... Sasa kwa nini tumrushe Huyo
@DM_15
@DM_15 10 ай бұрын
Kuingia kwenye mapenzi na vizungu jiandae kuporomoka
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 ай бұрын
Akuna cha wanawake wala nn hapo ashawavuluga freemason
@mrmc55
@mrmc55 10 ай бұрын
Tatzo ukiwa napesa madelila wanakuwa wengi hata jason Derulo nae kashasingiziwa unyanyasaji wa namna hio 😅😅 mbona kapuku hawasingiziw wakat ndio wanaongoza kwa hayo matukio
@vero57
@vero57 10 ай бұрын
Diddy ndiye aliye muuwa big, huyo Diddy ana matatizo mengi tuu lakini za muizi 40.
@Badvoice707
@Badvoice707 10 ай бұрын
Wanawake wanaoishi nchi za ulaya weusi na wazungu wanamatatizo yaani mkiachana tu matatizo
@Snipperthebabslow
@Snipperthebabslow 4 ай бұрын
Daah sema hizi mambo usizichukulie poah 😅😅😅
@deathrow8004
@deathrow8004 10 ай бұрын
HIT EM UP
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 4 ай бұрын
Malipo ni Duniani Akhera nihesabu ,tunajisahau km tutakuwepo milele ,kumjua Mungu nimuhimu kwafaidazetu
@richardvallerian1003
@richardvallerian1003 10 ай бұрын
Lozenjo au sio
@Nasrakalolo-yh7hr
@Nasrakalolo-yh7hr 4 ай бұрын
😂😂
@neemareuben311
@neemareuben311 10 ай бұрын
Huyu atamfwata r.kelly soon 😅😅😅😅 akiyamungu hii dunia hii kiboko
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 10 ай бұрын
R.KELY YUKO HURU TOKA MWAKA JANA NDG
@heritier5119
@heritier5119 10 ай бұрын
Kwahio waachwe wafanye makosa kisa weusi
@rashtz2785
@rashtz2785 10 ай бұрын
​@@happynesbaemuhappynes8813 acha uongo R Kelly alifungwa miaka 30 na hajatoka, ata juzi juzi ommy dimpoz alimtania alikiba wakati wa uzinduzi wa CROWN MEDIA kwamba wakati yeye kafungwa Alikiba anafungua Radio
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 10 ай бұрын
​@@happynesbaemuhappynes8813sio kweli
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 10 ай бұрын
​@@heritier5119una uhakika gani kama amefanya kweli?
@wennybarny168
@wennybarny168 9 ай бұрын
Mtu mweusi akiwa na mafanikiwa makubwa huko Marekani lazima wampe visa na visanga hadi afilisike down to zero😢😢😢😢
@charitymorgan1068
@charitymorgan1068 9 ай бұрын
Sawa p didy Ana haya makes Lakini umeskia hiko kizungu kinatafutwa
@LizenMaker
@LizenMaker 10 ай бұрын
Weusi hawapendwi marekani. Tusiraumu sana hizo ni figisu za wazungu
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
Ee sindo wazungu walituchukua utumwa wakawasingizia warabu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 10 ай бұрын
​@@binseif2216hata waarabu walifanya biashara ya utumwa kumbukumbu tunazo Mzee😂😂
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
@@josephkiwale374 Nyerere na hao wazungu nakarume ndo walogeuza history nakumpachika mwarabu navitabu vya uongo vikaenezwa mashuleni walituona mambumbumbu tutakubali tu nakweli tukakubali nakuamini uongo
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Huo ushoga uko sindio wameurusu sasa wanamshitaki VP wao wanamashisha mataifa ya African uko kwao wanamshitaki acheni mungu awachape nyie wazungu mbwa sana
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 3 ай бұрын
Ayo mafuta ni ya watoto
@jennytugara9470
@jennytugara9470 10 ай бұрын
Msharaha wa dhambi ni mauti. Kama hana kosa kwa nini anakimbia. This is Shady!!!
@KinonoJuniorkinono
@KinonoJuniorkinono 3 ай бұрын
Mablack Americans wanaonewa sana
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 10 ай бұрын
Atamfata r Kerry jela
@harrychuwa3180
@harrychuwa3180 10 ай бұрын
Hizi KZbin channels zinaendeshwa na mbumbumbu wa kutosha. Kama huwezi pronounce majina ya watu vizuri au pronunciation yako ya maneno kwa English ni mbovu ni kwanini unafanya journalism??? Hujafanya research kwanini mnasema uongo?? Hivi mnakuwa na level gani ya education?? Because you sound very ignorant. Do we need to listen to ignorant people to be informed or mislead???? Nonsense.
@heritier5119
@heritier5119 10 ай бұрын
Atakuwa ashawavuruga freemason
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 10 ай бұрын
Kwani wao habari za kwetu huwa wanazirusha kwenye media zao?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 ай бұрын
Walizosababisha wao ila wanazipindisha hasa kwenye vita na sakata la ngorongoro na loliondo
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 10 ай бұрын
Zakwetu c za kale
@oceankid_tz
@oceankid_tz 10 ай бұрын
Zanani Sasa kina whozu na Wema sepetu😅😅😅
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 4 ай бұрын
😂😂😂
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 3 ай бұрын
Awalushi ila tz wambea
@adamkipenga6512
@adamkipenga6512 10 ай бұрын
Los Angeles sio Miami ni California
@mbwizax87
@mbwizax87 10 ай бұрын
Amemaanisha Los Angeles, na Miami coz nyumba zake mbili ndo zimekuwa raided, ya Los Angeles na ya Miami
@wennybarny168
@wennybarny168 9 ай бұрын
​@@mbwizax87 That's right
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 4 ай бұрын
Mnamsafisha nasiu amesha pakwa mafuta Kwiisha abar yake Hana marinda
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 10 ай бұрын
Wacjiitege black Amerika co kwao wacjiitege black from africa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@josephkiwale374
@josephkiwale374 10 ай бұрын
Ukiwaambia wametoka Africa wanaweza hata kukupiga ngumi,wenyewe wanakuambia wao ndio watu halisia wa America
@AminaBakari-gy8wz
@AminaBakari-gy8wz 3 ай бұрын
​@@josephkiwale374sio kwer mbona AKON mfano mfupi Alikuja hada Africa Tanzania usiongee uwongo nduguu,,,,
@MustyNgongo
@MustyNgongo 4 ай бұрын
Waxungu ndivyo walivyo kuwafilisi watu weusi awo sio watu
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 4 ай бұрын
Akili zako zimeishia hapo
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
Inatuhusu nini Wa Tz?kwani wao wanarusha habari zetu?
@Mumewangu
@Mumewangu 10 ай бұрын
Sio lazima warushe za kwetu sio mbaya kusikiliza habari za wenzako
@DadeSaide-qr7ti
@DadeSaide-qr7ti 3 ай бұрын
Na wewe ukijuwa zakuao zilushe dunia ya yetu sote na ujuzi umeachia sisi atujasoma
@franktangeki9342
@franktangeki9342 10 ай бұрын
jay z na westcoast wanafanya yao kumuondoa diddy kwenye ramani.Wamuulize Tory Lanes sasa hivi anakula miaka yake ya kutosha taratibu gerezani jezea.jezea mtu mwingine lakini sio jay z
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 10 ай бұрын
Jay Z kamuuza R Kelly, Lkn wote machoko wanajuana DDdy Jay Z 50 Cent DR DRE Snoop doggy wauwaji na wahasisi wa ushoga pia siri zao zinavuja kila kukicha Hollywood yote km Sio mwanachama haungii
@mrmc55
@mrmc55 10 ай бұрын
Unauhakika au naww umesikia😅😅
@KelvinMpinga-oy2rb
@KelvinMpinga-oy2rb 10 ай бұрын
Duuh
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 10 ай бұрын
Keshavuruga mashart huyu.
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 10 ай бұрын
Naam wachache Sana wanaozijua hizi mambo hongera Sana ,,wanauwezo kukutangaza duniani kote na kukuchafua ima kukupoteza sekunde 1 yu wap Michael Jackson yu wap Bob Marley watu hawajui
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 4 ай бұрын
Lozenjo
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН