Mbunge wa Hai Freeman Mbowe alisimama Bungeni leo na kuumuliza live Waziri Mkuu kuhusu Serikali kushindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo sakata la ESCROW, Mabilioni ya Uswiss pamoja na Tokomeza.
Пікірлер: 23
@yusuphwella96516 жыл бұрын
PM makini anajibu maswala kwa utulivu kujiamin na kiuhalisia km huyu... this confidence reflects how transparent and ethical he is.... we all know transparency and ethics is among important tools of good governance...
@muhidinihassani5205 жыл бұрын
Majibu ya hovyo Sana ,eti waziri mkuu: swali kuntu huendeshwa Kama tiara na sio matakwa sahihi ya wananchi
@mbokaandbahatitv85097 жыл бұрын
Ahsante sana mh waziri mkuu, Mungu akutunze daima
@philbertmwanakusya80505 жыл бұрын
Naibu spika Tulia Akson alitulia sana kw kweli pongezi kwa hilo
serikali inaagiza sukari kwa matumizi ya nchi nzima ili itoshe kwa muda wote na sio kuagiza kwa ajili ya mfungo. na sio sukari tu yapo mambo mengi mazuri swrikali inafanya
@emilymwanandenje36267 жыл бұрын
komaa waziri wetu, ndugu yetu na mpambanaji wetu
@bugusambalinga36037 жыл бұрын
Hongera Sana mh kassim majaliwa big up
@mangegervas96514 жыл бұрын
Saafiii mbowe
@silvamsophe43927 жыл бұрын
Safi sana minister wetu
@mahelamnazaletimahela93174 жыл бұрын
Kassim ajajib maswali hata moja kudadadeki
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Mhuuuuu!! swali la Kayanza P. Pinda hilo. 😀😀😀😀
@nicholausmwalugi50265 жыл бұрын
Nafasi imempata Mwenyewe,hatuna shaka.
@sciencearusha59516 жыл бұрын
Waziri mkuu hongera sana
@mirajituhaulapa95456 жыл бұрын
mh! kichwa sana
@rasnchimbi7 жыл бұрын
Mimi nakushauri uhamie peoples' maana uko ki-manufaa.
@arnoldamel81647 жыл бұрын
kwa kweli hili swali la mtego
@musasiame27766 жыл бұрын
good
@jocktanmgeta79816 жыл бұрын
Mbowe mim mwana ccm Ila akili ya maswali yako yanaweza mpasua MTU moyo