GHOROFA REFU TANZANIA LITAKUWA HILI LA TRA DSM, NEMBO YA JIJI, ALIYEBUNI AONGEA

  Рет қаралды 62,397

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@arch.amankisamo3151
@arch.amankisamo3151 9 ай бұрын
iam proud that Tanzania start to recognize architecture🇹🇿
@kelvinivan6844
@kelvinivan6844 9 ай бұрын
Expecting yours soon
@misschagga8042
@misschagga8042 9 ай бұрын
Huu mtanange wa kenya na Tanzania naupenda sana Dar and NRB sky scraper competition unaleta faida ya uwekezaji na uchapa kazi.Pia watu wanapata pesa na ajira.Hongera sana engeneer Mringo hili ni bomu la herishima.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 9 ай бұрын
Hongera sanaa lakini Dar inatakiwa kuwa na magorofa kama ishilini kama hayo uwezo upo serikali yetu inauwezo .
@section8ight174
@section8ight174 9 ай бұрын
*IshiRini
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 9 ай бұрын
Mwandishi hujatuambia Hilo ghorofa litakuwa na floor ngapi? But KENYA MPOOOOO AU MMMELALAAAAA😂😂😂
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 9 ай бұрын
tunamuomba rais wetu na kamishina mkuu tra jengo hili liwe more than 50 floors Mungu ibariki tz Mungu mbariki rais wetu Samia tunakupend tunaomba ujenzi uanze soon
@idrisaseiph3499
@idrisaseiph3499 9 ай бұрын
Hilo jengo lisiende kutupiwa huko ndani ya mji likae pale pale city centre kama majengo yale mengine
@mbonimanakisenya4178
@mbonimanakisenya4178 2 ай бұрын
lipelekwe sinza kalibu na lenzake maana ipo day sunami ikija hapo tunaanza upya
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 9 ай бұрын
Mm naona majengo yote hayo yajengwe
@JohnUegene-bs5bv
@JohnUegene-bs5bv 9 ай бұрын
Wakenya tuendeleeni na bifu letu,baada ya treni ya umeme sasa jengo refu kwa kufupi hatuwaachi mpumue na mji wenu wa kikoloni
@Toothlessthedragon-qo5ij
@Toothlessthedragon-qo5ij 4 ай бұрын
tafadhali nyamaza
@husnamfuko4938
@husnamfuko4938 9 ай бұрын
Napenda kusikia Habari kama hizi za miradi mkubwa hongeren sana 👏 👏
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 8 ай бұрын
Wimbo wetu ule wa ''Tanzania nakupenda kwa moyo wote'' .. , Tumeanza kujali wasomi wetu na wataharamu wetu ongera Tanzania .. Tunasogea Mdogo mdogo..
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 9 ай бұрын
Nimefirahi kusikia Architect ni mzawa na tunaweza kuonyesha ubunifu tulio nao Nice Competition this it will make Our cities better more than the last session
@jafarikideghesho6509
@jafarikideghesho6509 9 ай бұрын
Hongera sana sana Arch Yasin Mringo
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 9 ай бұрын
😂 KENYA utawasikia eti pesa yao inathamani, 😂 thamani wakati njaa tupu sisi yetu haina thamani lakni tunakidhi mahitaji na maisha ya kwetu Tz sio magumu kama ya kwao Ky
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 9 ай бұрын
😂😂😂👌👌
@SigwejoJoseph-im9ye
@SigwejoJoseph-im9ye 9 ай бұрын
Umeogea poit san
@shinipapaya846
@shinipapaya846 9 ай бұрын
😂😂😊😊 imepenya hiyo
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 9 ай бұрын
Hongera Tra kwa kazi nzuri na maendeleo kwa taifa letu,endelea kuchapa pamoja tunajenga taifa
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 9 ай бұрын
Bertin yupo wapi
@gibsonmwamakula6407
@gibsonmwamakula6407 9 ай бұрын
Nairobi ni ndogo sana kwa dsm hata nusu haifiki labda inafanana na Kigali in term of majengo na ukubwa wa mji......so Kenya imebakia historia tu na hawatugusi......viva TRA
@daviddeus41
@daviddeus41 9 ай бұрын
Sure bro Yan Nairobi 3 ni dar 1😂 🤟
@modenasayi
@modenasayi 9 ай бұрын
I am a Kenyan what you said is totally true
@manenomlawa7347
@manenomlawa7347 9 ай бұрын
Kweli kabisa Nairobi ni historia na wawashukuru wakoloni waliojenga huo mji. Sisi tumepambana Wenyewe 2:26 Dar na punde tu tutapindua meza.
@SelemaniMeena-oo3os
@SelemaniMeena-oo3os 9 ай бұрын
Tufanye yetu masuala ya Nairobi tuachane nayo
@daviddeus41
@daviddeus41 9 ай бұрын
@@SelemaniMeena-oo3os Acha tuwanyooshe siku zote maisha ua n mashindano na wameyataka wao tangu kpndi Cha JPM wakatufungia na mipaka so let it be
@kiddyadams
@kiddyadams 9 ай бұрын
Its nice to see local architectures giving the priority to build our modern city buildings, BUT!! my questions to all Tanzanians architectures and engineers, why are we copying and paste the western or Asians styles ?????? aren`t we have creativity and do it in our own identity..??? @millardAyo fikisha swali kwa wasomi wetu hao tafadhali
@imaniLameck-fd4eb
@imaniLameck-fd4eb 9 ай бұрын
Hilo jengo kujengwa hapo hapo TAP patapendeza mno yajengwe hata ishirini patapendeza mno nayakawe karibu karibu DAR ooyeeeeeeeeeeeeeee MUNGU IBARIKI TANZANIA
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 9 ай бұрын
Proud to be Tanzanian 🇹🇿
@faridapetro
@faridapetro 9 ай бұрын
What makes you proud to be Tz
@peternassari7634
@peternassari7634 9 ай бұрын
​@@faridapetrobest country ever, friendly people, peaceful, best foods, vibes. Natural attractions such as Kilimanjaro, Serengeti and Zanzibar 🇹🇿 ❤
@section8ight174
@section8ight174 9 ай бұрын
@@faridapetroyou must be special needs!!
@edsonsilayo7659
@edsonsilayo7659 8 ай бұрын
Bado san hilo haliwez kuwa Icon ya Tz tunahitaji ubunifu wa tofauti utakao beba historia yetu na litadumu kwa miaka mingi kam iliyvo KICC Nairobi,miaka 50 tangu kujengwa kwake mpka leo ni Icon ya kenya
@aoloathumani10
@aoloathumani10 9 ай бұрын
Sasa majengo kama hayo marefu yanatakiwa yakae sehemu moja kule posta ili kuketa madhari nzuri ya jiji, sio kama lile jengo la pale mliman city, ni jengo zuri lakin lipo katika location mbaya yaan limekaa peke yake sas huo sio mpango mji mzuri 😠😠😠
@modenasayi
@modenasayi 9 ай бұрын
Yes
@blackyonkou6004
@blackyonkou6004 9 ай бұрын
Nadhani yawepo mengi na yasiwe sehemu moja kupendezesha mji kila sehemu kupunguza foleni
@EmanuelyMbagalla-rt2vm
@EmanuelyMbagalla-rt2vm 7 ай бұрын
La Mlimani City litafutiwe mengine kama matano karibu yake, patapendeza zaidi. Kuwe na vifunguvifungu vya majengo marefu.
@augustinomshangila8924
@augustinomshangila8924 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana Architecture
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 9 ай бұрын
Mbona kenya kwenye majengo marefu tumewazidi lile jengo la vioo liloloandikwa PSPF KAMA SIO PSSF ndio gorifa refu East Africa kama sio na Central Africa
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 9 ай бұрын
Hongera rais wetu mama samia watanzania tunakupenda pia hongera kamishina mkuu tra kwa ubunifu hilo jengo ni zuri sanaaaa tunaomba utekelezaji tu Mungu awasimamie nampend san rais wetu nan kama mama
@imaniLameck-fd4eb
@imaniLameck-fd4eb 9 ай бұрын
Hutu Anaye plan majengo ya TAP namkubali sana Haya majengo yameibadilisha DAR sana majengo marefu Yakiwa pamoja yanapendeza mno lile jengo lilioko mwenge nalo lihamishieni post linavutia mno na aliyeshauri lijengwe kule hakuwa vizuri kichwani
@MubarakaCloud
@MubarakaCloud 9 ай бұрын
​@@imaniLameck-fd4eblile ni lonely tower sasa litaamishwaje 🤣🤣
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 9 ай бұрын
Wow vzur saana 💯🔥💥🌟🖐🏽
@manase_fast_courier
@manase_fast_courier 9 ай бұрын
hongereni sana maarchitecturers wetu ila ubunifu wa gorofa za vioo za blue umekua changamoto na kuboa sana...mje na idea nzurinzuri zingne kama za makumbusho mpaka morocco
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
Piga floor 70 hapa
@IssaHirsy
@IssaHirsy 9 ай бұрын
Tuna hitaji majengo Kama hayo mengi d s m
@alanalexanderntuule6262
@alanalexanderntuule6262 9 ай бұрын
Ivi kweli hapa cha kushangilia ni urefu? Ama shughuli madhubuti zitakazokwenda kufanyika humo?
@pascojm6816
@pascojm6816 9 ай бұрын
Urefu pia
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 5 ай бұрын
Safi.....Good sana kama nchi flani hivi kazi yao kubwa ni kusifu sifu tu hata kitu hakielewi..Kwa hili Good sana Tunaongoza sasa kwa kua na jengo refu na zuri ulimwenguni😂 na sisi pia
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
T R A Jengeni haraka Mimi nna mpango waku jenga Jengo lenye Gorofa 103 hapa Dar es salaam
@josephambrose2215
@josephambrose2215 9 күн бұрын
Mbona mnadizaini majengo yanayofanana?
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 9 ай бұрын
Matokeo ya kodi zetu sisi wananch tunahitaj mirad mikubwa kama hii asant rais wetu Samia na kamishina mkuu Kidata hii ni historia kwenu na tz kwa ujumla
@hanifa9153
@hanifa9153 9 ай бұрын
Mama Samia Oyeee kazi iendelee mama yetu wengi tunkpendaga tu wachache ndo hawakpendi wakafilie mbali wanawake Oyeee💞💞💞💞💞💞💞💞🙏
@barakamikidadi4669
@barakamikidadi4669 5 ай бұрын
Acha ujinga saw kama ukipnda xio kila mtu atafata unachopnda bhana ni vp
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 9 ай бұрын
Hilo Jengo litapendezesha sana Tanzania.!
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 5 ай бұрын
Serikali imehamia Dodoma,mbona taasisi hii ya serikali inajenga Dar na siyo Dodoma. Majengo mengi ya serikali yako wazi, hapa Dar so it does not make sense taasisi za serikali kuendelea kujenga tena ofisi. Wauziane zilizopo like PSSSF building along Samu Mjoma Road near Mlimani City
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Hujui T R A Wana biashara gani 😂😂😂😂😂😂
@daviddeus41
@daviddeus41 9 ай бұрын
Kenya kaeni mkao wa kula 🤣 soon tunapindua meza
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 ай бұрын
acha ujinga NRA kuchapa sasaivi tulisha wameza muda tuu sasa Tunamalizia Ku wameza niombe msamaha kaka ako umenikosea 🤣🤣🤣🤣👍🤝
@officialjasonraider
@officialjasonraider 9 ай бұрын
Huu mgogoro hautaishaga!! Africa tuta unite as one nation ila Tanzania na Kenya bado tutakua na huu mgogoro, milele 🤣🤣
@daviddeus41
@daviddeus41 9 ай бұрын
@@officialjasonraider Hii ndo inaitwa Skyscrapers construction war btn Nairobi vs Dar er salaam 😂🙌
@daviddeus41
@daviddeus41 9 ай бұрын
@@SophlaJackson-nt1nc kwa Sasa mechi ni 50 kwa 50 na mtanange bado unaendelea😂😂 Nairobi vs Dar
@officialjasonraider
@officialjasonraider 9 ай бұрын
@@daviddeus41 we keep each other sharp, huu ushindani uendelee 🤣
@user-js2ck8xu5s
@user-js2ck8xu5s 5 ай бұрын
Eneo lipi Dar usikute kwa mtogole
@zolongOne
@zolongOne 5 ай бұрын
Serikali si imehamia Dodoma kwahio hilo jengo linatakiwa kujengwa Dodoma
@zolongOne
@zolongOne 4 ай бұрын
Ujenzi utaanza lini?
@neshamringo6810
@neshamringo6810 9 ай бұрын
Good
@oxygentv6880
@oxygentv6880 9 ай бұрын
Tanzania
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 8 ай бұрын
Jengo lenyewe halijajengwa wtz walishatoa mapovu
@christophermsrwiza3407
@christophermsrwiza3407 7 ай бұрын
LITAjengwa wapi , eneo gani?
@ramadhanikassimu
@ramadhanikassimu 9 ай бұрын
Mama kiriochangu umekisikia
@FadhiliMesha-pd2th
@FadhiliMesha-pd2th 8 ай бұрын
rinagorofa ngapi mbona hasemi
@user-js2ck8xu5s
@user-js2ck8xu5s 9 ай бұрын
Linajengwa wapi na ni ghorofa ngapi story haijakamilika
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
Dar
@DenisiDenisi-w7p
@DenisiDenisi-w7p 9 ай бұрын
Mi naona Lijengwe moshi
@utopolo543
@utopolo543 9 ай бұрын
Lile uchumi complex liko empty na majengo kibao Moshi hayajaisha mji unazidi kuwa magofu...sijui Moshi imekumbwa na Nini aisee...mji unazidi kuchoka na kukimbiwa... Mji umerudi nyuma vibajaji kibao na boda kibao...hakuna mradi wa maana unaendelea Moshi...Tumeanza kuzidiwa na iringa na bukoba watani wetu..mji kama bukoba wanajenga barabara ya njia nne km 5, stendi mbili, campus ya UDSm na Mandela, Bandari yao bukoba inapanuliwa na kujengewa terminal ya kisasa, airport inawekwa control tower...sisi Moshi tupo tupo tu
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 9 ай бұрын
Liende dodoma
@georgesolos344
@georgesolos344 9 ай бұрын
Dodoma earthquake
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw 9 ай бұрын
Wewe mbumbumbu hujui dodoma kuna matetemeko na water table iko juu sana
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 9 ай бұрын
@@haroldtarimo-wj9lw duh sasa umbumbumbu unatoka wapi tena kama ushauri wangu haufai,duh haya bana kila la kheri msomi, asante.
@section8ight174
@section8ight174 9 ай бұрын
Earthquake doesn’t matter if structural integrity is solid, see Tokyo Japan the earthquake capital of the world, it’s dotted with skyscrapers
@isackmbade3181
@isackmbade3181 9 ай бұрын
Gorofa ngap
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha 9 ай бұрын
Labda useme mita ngapi ? Maana linaweza kuwa na idadi sawa ya ghorofa kama majengo mengine marefu tz Ila likawa na mita nyingi kuliko ayo kulingana na design wanakadiria litakuwa na mita 180
@LuckyMusyki
@LuckyMusyki 9 ай бұрын
Wajenge Dodoma ,ama Pia wakajenge lingine huko tofauti na Hilo na refu zaidi
@lydialaurian4734
@lydialaurian4734 9 ай бұрын
Dododma??? Dododma majengo marefu ni hatari... Earthquake Kama zote alaf jengo potential Kama hili ukalitelekeze Dodoma kweli??
@section8ight174
@section8ight174 9 ай бұрын
@@lydialaurian4734Tokyo is Earthquake capital of the world, have you seen the amount of sky scrappers in that city?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
​@@section8ight174do you compare developed and developing?
@section8ight174
@section8ight174 9 ай бұрын
@@jumakapilima7295 They only have to make sure each and every building over a certain height has to be vetted and built to quality standard, structural integrity is of the utmost importance.
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 9 ай бұрын
Hilo jengo la TRA nashauri lijengwe mbezi jirani na stand ya Magufuli au mawasiliano jirani na fly over ya kijazi au makumbusho
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 9 ай бұрын
Lijengwe makambako
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 9 ай бұрын
Hapana sio sehemu sahihi wao wameshapanga kila kitu wakaona wapi ni sahihi zaidi
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 9 ай бұрын
@@husseinhkitambi1701😂
@imaniLameck-fd4eb
@imaniLameck-fd4eb 8 ай бұрын
DAR NDIO MJI WA KIBIASHARA MAMA SAMIA RAIS WETU JENGA MIJENGO MAREFU HATA ZAIDI OROFA 80 NA MUNGU ASIMAME NASI TUTAITIISHA AFRIKA NA MUNGU AKUBARIKI
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 5 ай бұрын
Kule posta kujenga sawa lakini mvua ikinyesha na mabadiliko ya hali ya hewa ya dunia nashauri majengo haya ya gharama ya serikali yajengwe sehemu salama pia .Nilipita siku moja barabara ya mnazi mmoja kuja Chang'ombe maji ya mvua ilikuwa balaa gari ilitaka kuanza kuelea.kule mbezi stand ya jpm,siyo kubaya Tanzania tujenge miji mipya kama pale makumbusho safi kabisa au ubungo Manzese vunja nyumba taka zote lipa watu fidia nzuri jenga majengo mazuri ya nchi nzuri ya mzee Nyerere.mgeni akitoka tz akubali tz si mchezo katika bara la Afrika.pia uwekwe utaratibu kila mkoa taasisi ya serikali marufuku kujenga majengo ya aina ya mabehewa.iwe shule iwe tra,iwe,crdb ,iwe trc majengo yote yawe ya ghorofa kuhifadhi ardhi na mazingira pia.Angalizo majengo haya yawe bora na mvuto wa kutosha kupendezesha miji ya Tanzania.
@martinstarford6209
@martinstarford6209 9 ай бұрын
jengo kubwa Tanzania sio africa wala africa mashariki
@aoloathumani10
@aoloathumani10 9 ай бұрын
Sas likisha kuwa refu Tanzania, maan yake ni east Africa yote, sababu tuliyo nayo sas ni Marefu Zaid Africa mashariki, na Hili likiwa Zaid ya hayo unafikir nin kitatokea
@mbwizax87
@mbwizax87 9 ай бұрын
@@aoloathumani10Nairobi kuna majengo zaidi ya matano marefu kuliko haya yote ya Bongo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
​@@mbwizax87unateseka ukiwa wapi?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi?
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 9 ай бұрын
Nataka nihoji TRA kwa biashara gani wanazofanya kujenga jengo la gharama kiasi hiki? Pili mji mkuu ni Dodoma ndiko marehemu Magufulii alitaka taasisi zote za Serikali zikajenge makao yao Makuu huko Sasa Kwa hili TRA mnarudi Dsm Sasa?
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 9 ай бұрын
Kodi inazokusanya ni sababu tosha maana wanajngiza matilioni ya pesa kwahiyo ni taasisi au shirika kubwa linalopaswa kuwa na Jango kubwa lense hadhi maana TRA inavitengo vingi ndani yako kuliko unavyojua na inahitaji mifumo ya kisasa ya technolojia ambayo ni ya usiri haipaswi kuwekwa kwenye majengo ya kukodi ya watu
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 9 ай бұрын
Sio lazima walitumie lote pekeyao, watatumia nafasi inayo watosha itakayo baki itumike kurent ili waweze kujiongezea kipatoo
@mjeshimsofe9730
@mjeshimsofe9730 9 ай бұрын
Hilo n la tra mkoa wa Dar na dom lipo la nchi...nb dar ndy pesa ilipo
@hassantandiko1943
@hassantandiko1943 9 ай бұрын
Ni hivi chanzo kikuu cha mapato nchii Na dar maana hata Bandar kuu ni dar Dodoma ofic.zipo lakin.wanalazimika kuweka kambi kubwa zaid dar kulingana Na ufatiliaji Na ukusanyaaj mapato.bila dar tuna yumba
@IssaHirsy
@IssaHirsy 9 ай бұрын
Kumbuka DSM ni Jiji la biashara
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 9 ай бұрын
Mijengo mizito hii mji wetu utatitia bhana Dar yenyewe mashamba ya mpunga mitope kama yote Ila zuri😂
@MubarakaCloud
@MubarakaCloud 9 ай бұрын
@explorewithbertin
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 80 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 34 МЛН
Saudi Arabia’s giant money pit: NEOM | If You’re Listening
13:28
ABC News In-depth
Рет қаралды 245 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 80 МЛН