Doct izack una huruma sn kwenye njia panda hongera zako nikikosa kipind chako nakosa raha kbs mungu akubari sn unajua kuongea vzr na wagonjwa
@VictorBugaisa20 сағат бұрын
Happy birthday CLOUDS, GenCForLife.
@afropatriot776916 сағат бұрын
Joe ni old timer yaani hamjui Kendrick hapo Gen Z hawatamuelewa lakin kutoka zama za kina Ll coo J,Krs one na wengine wa late 80s na earl 90s mpk leo ni halali kusahau hawa wa siku izi
@BarakaKusalula16 сағат бұрын
Big Joe mbona hamtaji Ruge au hakushiriki kuianzisha Clouds? Joe usijipakulie minyama peke yake,Gen C tumewaferify
@FredrickMatiku-xf2uk15 сағат бұрын
Tutamletea kendrick lamar fekiiii wa maboksi tutamchukua kendrick lamar wa apo buza tu kumbe hamjui kendrick lamar ngoja tumpige pesaaaa zake