ROSTAM; "HAKUNA NCHI DUNIANI ILIYOJENGA UCHUMI WAKE KWA KUTEGEMEA WAWEKEZAJI WA NJE"

  Рет қаралды 36,132

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 209
@simas.a1003
@simas.a1003 Ай бұрын
Milango, mageiti na madirisha. Asante rostam.
@IbrahimMassaw
@IbrahimMassaw Ай бұрын
Exactly, always investors they are after profit, that's why JPM prioritise Tanzanian first, Due to lack of knowledge we submitted our resources to the foreigner with zero management we end-up like slaves.
@TryphonRabson
@TryphonRabson Ай бұрын
Ongea kiswahili bwege ww mbona unakisikia ww cyo mzungu acha utumwa
@IbrahimMassaw
@IbrahimMassaw Ай бұрын
@TryphonRabson sawa broo nitafanya hivyo
@vusumuzi_mathumo
@vusumuzi_mathumo Ай бұрын
​@@TryphonRabsonspeak english idiot
@mazartajmohamed1437
@mazartajmohamed1437 Ай бұрын
Huyu jamaa aliwahi kuongelea wachina wanaofilisi wana kijiji kwa kuweka mashine za kamali vijijini alisema inawalemaza vijana kutokupenda kufanya kazi wakitegemea kamali hongera mwana wantemi igogo lya kaya likashenenegwa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Na aliongea ukweli
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Ай бұрын
Asante Rostam kwa kuwaelewesha mbumbumbu wanapita kila nchi kutembeza kibakuli cha mikopo kila iitwapo leo huku kiasi kikubwa wakiingiza mikopo hiyo kwenye matumbo yao. Ni umaskini ulioje! Hebu watupishe.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Ай бұрын
Huyu mtu hachanganyi kiswahili na Kiingereza... Safi sana
@stateofart1089
@stateofart1089 Ай бұрын
ACHA UPUMBAVU WA AKILI RANGI YAKE NYEUPE INAKUWEUSHA NINI?? Hana tofauti na mtu wa Tandale tu Amelia kigoma waongea kingereza kigoma??
@fatumajohn703
@fatumajohn703 Ай бұрын
Ujumbe mmeuelewa au mnabisha visivyopo kama MASHOGA
@Daniel-g2f6v
@Daniel-g2f6v Ай бұрын
Umemuelewa kweli mwenzako​@@stateofart1089
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Ай бұрын
@@fatumajohn703 acha kutukana watu hapa.
@ahz6907
@ahz6907 Ай бұрын
Anajielewa
@HermanSasuri-tu6we
@HermanSasuri-tu6we Ай бұрын
Nakubali kabisaa anavyosema mheshimiwa Rostam Aziz,nimefanya kazi Kenya kwa kweli wale ni wabinafsi saana tena saana,Tanzania tumeruhusu mpaka wachina wanaingia mpaka vijijini wanachimba sasa tunafikiri kupata ushuru kuliko masrahi ya watanzania wa baadae.
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 Ай бұрын
Nyie hamuna akili wakenya si mabwabwa
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Ай бұрын
Sawa je wamefikia wapi kimaendeleo au ndo uko kuandamana
@SharifuIssa-h5u
@SharifuIssa-h5u Ай бұрын
Ushuru wenyewe unatusahidia nn
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 Ай бұрын
​@@laisamaujud1157kweli mwanangu sie waTz ni wapumbavu tunathamini wa nje kuliko wazawa
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Ай бұрын
Kweli kabisaa tanzania ndiyo nchi ambayo inakataza watanzania kuwekeza nchini mwao nakuwakandamiza ili washuke kiuchumi nakuwatetea wawekezaji wa geni
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela Ай бұрын
Pointi nzuri sana sijajua wakubwa kama wanasikiliza vizuri hii kitu ❤❤❤
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 Ай бұрын
Daaah mwamba rostam tangia nimeanza kukujuwa leo hii umeongea point
@NETIQIncorporation
@NETIQIncorporation Ай бұрын
Uko vizuri sana, nakuelewa sana
@ibrahimgamba8053
@ibrahimgamba8053 Ай бұрын
1.Reginal Mengi (R.I.P) 2.Said Salim Bakheresa 3.Rostam Aziz Ni miongo mwa wawekezaji wazawa ambao tunaweza tukawaamini. Ni wakati haujafika kuwaamini wawekezaji wazawa kupewa miradi mikubwa na wakaiendesha vizuri tu bila taabu.
@RehemaAbas-v8m
@RehemaAbas-v8m Ай бұрын
Unaakili nyingi kushinda wabunge wote wanaomshabikia mama kukopa ela nje
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Tanzania ina sera za kiuchumi zisizotabirika, mfano kipindi cha JPM serikali ilizuia uuzaji wa madini ya bati ili biashara ifanywe na wazawa ikiwemo plant za kuchenjua madini watanzania wakakopa mikopo wakaanzisha miradi hiyo. Samia aliposhika madaraka akabadili sera jambo liliopelekea kufilisika kwa walioanzisha hiyo miradi. Misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje isiyozingatia kanuni inalemaza wazawa kushindana hizi ni sehemu tu ya changamoto
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 Ай бұрын
​@@RubenMtuwaMungu-bz8eekweli ndugu
@Mauya23
@Mauya23 Ай бұрын
Hukuwemo ktk wale waliomuita ROSTAM fisadi wakati ule? Mana sifa moja ya cc watz ni roho mbaya na unafiki, wengi tulimpopoa Rostam wakati ule tukamuita fisadi, leo eti cc cc tunamsifia na kumuelewa.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Tumeruhusu magate na madirisha kwa wawekezaji. Hakuna nchi duniani iliyojenga uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji, kwani hawa wanategemea kupata masilahi yao zaidi kuliko mwenye nchi yake. Lugha inayo pingana na taratibu za huyu Samia Suluhu Hasan. AHSANTE SANA Rostam Azizi umekuwa muwazi. Wenye masikio watayasikia. Acha tuibiwe tuwe weupeeeeeee na baadaye mama mama aelekee Kizimkazi kupumzika.
@abuuabdul1792
@abuuabdul1792 Ай бұрын
Ndo kilicho bakia
@davidsebastian661
@davidsebastian661 Ай бұрын
Kama mfanyabiashara mkubwa kama huyu anaogea kuhusu maumivu ya wawekezaji oh my wawekezaji walio shika sehemu nyeti mpaka wakatuache tutatota sana ....MAGUFULI salama baba
@ibrahimkatunzi7851
@ibrahimkatunzi7851 Ай бұрын
Sasa hapo magufuli anahusikaje
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
@@ibrahimkatunzi7851 Alikuwa msimamiaji mzuri wa raslimali za nchi. Hakutaka washenzi kuja kujifanya kuwekeza. Iko wapi bandari, uko wapi uwanja wa KIA, Bagamoyo nayo vipi. Ndio maana mwenye kufikiri sawa sawa anamkumbuka Magufuli.
@rajabhussein-e3f
@rajabhussein-e3f Ай бұрын
Umeongea vizuri sana igunga boy angalia Nigeria uchumi wa nchi umeshikwa na wanaigeria wenyewe sisi huku tunajifanya wajuaji kuthamini wageni na kuwaweka kando wazawa mwisho wa siku wanaiba kila kitu wanahamishia kwao
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Mbona wanaongoza Kwa kukimbia Nchi yao
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 Ай бұрын
​@@ndukulusudikucho_Kukimbia nchi hata ulaya wanazikimbia nchi zao
@rajabhussein-e3f
@rajabhussein-e3f Ай бұрын
@@ndukulusudikucho_ inategemea unakimbia nchi kwa mlengo gani hata Mimi na wewe Leo hii tunaweza kuikimbia bongo tukaenda kukaa nchi zingine,lakini Mimi nawewe mzawa mwenzangu tukisema tuanzishe hata kakiwanda kadogo tu ili tutoe ajira kwa ndugu zetu wabongo wenzetu tutakutana na vikwazo vingi ila Leo hii akija mtu wa nje atapewa mpaka mkopo ili kurahisha huo uwekezaji wake akitajirika tu anaenda kuifaidisha nchi yake
@faisalkamara6122
@faisalkamara6122 Ай бұрын
Magufuli aliona hii. Alitaka wazawa wapewe nafasi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Ай бұрын
Huo ndio ukweli,kwanza waitwao wawekezaji kutoka nje ni mawakala wa mataifa yao,wengi kwanza huwa majasusi,kwahio nchi makini huwatengeneza wawekezaji wazawa kwanza,
@JuvenalKileo
@JuvenalKileo Ай бұрын
Broo Milad this two weeks before I was thinking of this , na hili n true. Ukiangaliaa mataifa yote makubwa uchumi wao umekuwa Kwa kutegemeaa matajiri WA ndani kukuza uchumi WA nchi. This can be traced long time ago those days we don't have country we we're having small society and it's how they had done
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 Ай бұрын
Upo sahihi sana
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l Ай бұрын
Mwamba mwenye historia TZ. Well said Azizi 🔥🔥🙏
@EdwinAugust-q8z
@EdwinAugust-q8z Ай бұрын
Ningekua na uwezo ningekufanya rais wetu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Uwezo unao Cha msingi ni nia ya Kuutaka na Maono yako unataka kutuongoza tufanye nini.
@ndewoyambise3114
@ndewoyambise3114 Ай бұрын
Yaani uyu Rostam ndiye mwenye uwezo wa kufanya wa Tanzania kuwa wawekezaji wakubwa sana ktk nchi yetu uyu anafaa kuwa mtu mwenye mamlaka ya maamuzi makubwa ya nchi maana uyu ni tajiri hawezi kuibia nchi maana yeye ni tajiri
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 Ай бұрын
Rostam anaongea kiswahili kizuri sana
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
Umesomeka mzee 👊✔️
@buberwajohn1312
@buberwajohn1312 Ай бұрын
Yuko sahihi kabisa tatizo letu na sisi watanzania hatutaki kuwekeza ukijaribu kuangalia hela ipo tunayo sisi wenyewe huku kama tunaweza jenga makanisa na misikiti mizuri kwa hivi vijisenti vyetu vidogo tunaweza pia kufanya makubwa zaidi cha msingi ni kuanza tuu.
@life_varieties9559
@life_varieties9559 Ай бұрын
Amemalizaa kila kitu. Akili kubwaaa
@ibrahimgamba8053
@ibrahimgamba8053 Ай бұрын
Hata wewe Masoud kipanya Unaweza kuwa Mwekezaji 😊
@mapatojuma
@mapatojuma Ай бұрын
Yuko sahihi 100%
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h Ай бұрын
Safi sana kwa kutufumbua macho
@TryphonRabson
@TryphonRabson Ай бұрын
ww kama nikipofu utaona aliyokuonesha mengine utaendelea kua kipofu tu
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 Ай бұрын
Ameiweka kitaalam mno short and clear
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Ай бұрын
Imekuwaje tena leo umeongea point mwanza mwisho,hayo yalikuwa maono ya jpm.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Ай бұрын
Huyu jamaa anaakili ya kuzaliwa wewe. Uwezi mfikia kamwe.
@pinielefraem4159
@pinielefraem4159 Ай бұрын
Nikweli hakuna mwekezaji wa nnje atakae kujengea nchi yako
@islamicreligiontv2718
@islamicreligiontv2718 Ай бұрын
Nilijua hujui kiswahili rostam
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Yupo sahihi sana
@jumannerajabu5288
@jumannerajabu5288 Ай бұрын
umeongea ukweli kabisa
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 Ай бұрын
Huyu mwamba NI vile samaki ana mengi ya kuongea shida maji mdomoni yamejaa, nahisi picha ya maneno haya NI hii wafanyabiashara wazawa kama wamebanwa halafu wageni ndiyo wamepewa nafasi
@KulijeNovart
@KulijeNovart Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea maswala ya kiuchumi ambayo ni mazito katika lugha rahisi ambayo hata Mimi ambaye sijaenda shule naelewa
@aman1leonard914
@aman1leonard914 Ай бұрын
#MIMI: DAAAH KWEL TUNAIBIWA😢 @NCHI YANGU: NAHANGAIKA KUTAFUTA WAKEZAJI KWAAJILI YENU. 😂😂
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Ungekuwa rais ungefanya hayo usemayo.....iwe heri kwa nchi na watu....natamani uwe rais ufanye usemayo
@smaahflix
@smaahflix Ай бұрын
Anacho sema yuko sahihi 💯
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Ай бұрын
Vip bandari zetu juu ya waaarabu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Madini autaki na ges
@ManswetKimario
@ManswetKimario Ай бұрын
We huogopi?
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Ай бұрын
Watanzania hawasikiyagi anko magu ashakga yasema hayo yote kitambo tu.kwamba tuwekeze kwetu kwanza kuliko kutegemeya wengine weje wekeza nchini mwetu.nchi ni tajiri lakini inaliwa na wengine kuliko kunufaisha wanainchi.
@abdalaomari8430
@abdalaomari8430 Ай бұрын
Yupo sahihi lakini wawekezaji wa ndani kama wapo nao wajitokeze hawajakatazwa ili uchumu wa nchi uwe juu Unakuta sisi wenyewe choka mbaya ndiyo maana yeyote anaye kuja sawa tu
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Ай бұрын
Kwani hawapo? Si wewe hapo
@Tiger-i8b6i
@Tiger-i8b6i Ай бұрын
Shida 10%
@benimlisa6056
@benimlisa6056 Ай бұрын
Sasa nimeelewa kwa nini makampuni mengi ya kichina ya ujenzi niya serikali... Jamaa yupo smart sana.... Kuna kitu ametufungua...
@jut1161
@jut1161 Ай бұрын
Jamaa ana akili kama yangu.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
KWELI kabisa sisi tunafanya kazi sana lakini tunaliwa mno.. kuendelea itakuwa shida
@CarlMagi
@CarlMagi Ай бұрын
Sisi hadi misitu yetu tunakabidhi wageni wasimamie, tena wasio na huo uzoefu maana kwao hakuna misitu. Ajabu sana!
@emmanuelelias7589
@emmanuelelias7589 Ай бұрын
Akili mingi Sana,,hata ruge nilishamnakilialipokuwa hai,,alisema lazima serikali ijikite kuinua watanzania ili tuijenge nchi yetu
@safeniubwa3588
@safeniubwa3588 Ай бұрын
Kikubwa ni sheria za nchi kulinda maslahi ya wazawa na nchi zidi ya wawekezaji, lazima kuwe vipengele vya ukomo na maslahi mazuri kwa wazawa kwanza ndio maana China ni wazalendo pengine kuliko sisi wabomgo, ila kuna wawekezaji wa nje na wananufaika nao, na ulaya na marekani wapo wa asia waliowekeza, kikubwa tuangalie vipengele vya katiba vinalinda vipi maslahi ya ndani.
@blacksomaly5822
@blacksomaly5822 Ай бұрын
Huyu mzeh apewe ulinzi kaongea fact sana ani nimerudia kama mara 3 hii video kila kitu anacho kizungumza ni fact 🤝
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Wachoyo au wanaakili awataki kibinasifwa malizao😂😂😂
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Ай бұрын
Nchi tajiri dunia zimewezesha watu wake kuimalisha sector binafsi. Kwahiyo Tz yetu iendelee kuwezesha raia wake uchumi utapanda
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Kweli ksbisa .mfano mchina anawekezaga nini zaidi ya kupigahela nakusepa. Hata majengoyao yakazizao maranyingi wanajenga yasio yakudumu wana piga piga mabodi na marine zamdamfupi jengo wana paua wanafanya kiwanda theni mkataba ukiisha anawaachia ma mbaombaotuu na aridhiyenu tuu hskunakitu anaacha zaidi ya taka taka.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Very true
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b Ай бұрын
Sio Kweli Nchi Nyingi Zimeinuka Kutokana Na Wageni Kuja Na Mitaji. Mfano Mdogo Ni DUBAI Isingekuwahapo Ilipo
@charlesmtangi9046
@charlesmtangi9046 Ай бұрын
Wamejazana bungeni kupiga makofi tu Yani ata kwaajili ya kawaida tu unaona kabisa aiwezekani lkn daaah katiba mbovu tuelewe ndo sababu ya yote Aya kutokea
@abdielfrancis
@abdielfrancis Ай бұрын
Rostam Aziz 👍🏽
@mathiasmsila8387
@mathiasmsila8387 Ай бұрын
Namisemo Yao, (Mama amefungua nnchi) acha tuipate Habari yetu
@Cyprianjohn
@Cyprianjohn Ай бұрын
JPM aliona hiki
@MathewMabula
@MathewMabula Ай бұрын
Umetoa somo
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Ай бұрын
Ndio yale yale alichosema Bw. Ndugai.. Nchi itapigwa mnada... Lakini Rostam ameisema kwa makini na ustarabu...
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Hata mwekezaji wa ndani au mfanya biashara wa ndani asiye mzalendo (moigaji)hawezi leta maendeleo katika taifa lake(Tanzania)
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Ataleta sababu wafanyakazi wake wengi ni wazawa pia yeye ni WA ndani hatazunguka lakini hapa ndiyo kwao lakini wa nje anaweza akanufaika then akasepa kwao
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 Ай бұрын
Iyo hela ataipeleka wapi Kama sio kwa wazawa?
@JumaLulanje
@JumaLulanje Ай бұрын
Mzee ameongea kizalendo sanaa, viongozi wetu yachukue haya madini yafanyiwe kazi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Ай бұрын
Madirisha mageti sawa lkn wageni wanalalamika akuna ichi ngumu kupata documents km hii utaishia kariakoo tu na wajanja wa uwamiaji
@JeremiahYohana-br2bd
@JeremiahYohana-br2bd Ай бұрын
Mirlad Ayo anahisa clouds maana bland yake skuhz nikubwa inakaribiana na clouds, siku mirlad akifungua media zake akajitenga na clouds clodus itapungua Makari
@saidimhina6365
@saidimhina6365 Ай бұрын
Kitendo cha nyinyi matajiri kukubaliwa kuwa wa bunge na kushika nafasi za juu serikalini ndio kimefanya munatunyanyasa sisi waajiriwa wenu
@c75923
@c75923 Ай бұрын
Hii message ilifikie pumbavu moja linajiita Madelu Mwigolo; tumbafu jizi kabisa wote na bi chura maizi wakubwa
@mdl6463
@mdl6463 Ай бұрын
Corruption Ina chukua nafasi
@HabibuHoseni-sv8hd
@HabibuHoseni-sv8hd Ай бұрын
Sure wawekezaj.wanaongezea katk uchumi.wako sio kukujengea uchumi wa nchi yako
@btechie04
@btechie04 Ай бұрын
Hao unaowambia hawakuelewiii mzee😢😢
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
History ya dini na shule kwetu havijatufundisha kupenda vya kwetu. Ndo Maana made in Tanzania haviuziki Tanzania
@FrolenceNicodems
@FrolenceNicodems Ай бұрын
Nyie wafanya biashara wakubwa mnanyonya sana wananchi wa har ya chin mnapandisha ovyo bidhaa Bora zije kampuni nyingi Ili mshindane kwenye soko
@vibetz9991
@vibetz9991 Ай бұрын
Kumbe rostam sio roma na stamina
@bonnaGerhald-mz7cp
@bonnaGerhald-mz7cp Ай бұрын
😂😂😂😂😂 si ndio
@abdallahmhina8718
@abdallahmhina8718 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@JamesLuis-y2c
@JamesLuis-y2c Ай бұрын
Wew kumbe ni mtoto wa 2000
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Duh ss kwann nchi yetu I ahangaika kutafuta wawekezaji jmn
@BenjaminAugustino-ep9tb
@BenjaminAugustino-ep9tb Ай бұрын
Ivii serikali yetu inaskia kwelii haya madin
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 Ай бұрын
Mpaka uwe nje ya ulingo ndio unaweza kuongea maneno mazuri kama haya. Huyu huyu akirudi ulingoni unaweza kubaki mdomo wazi! Sijui ulingoni huwa wanalishwa nini!!!
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Kwani yeye sio mtanzania? Halafu ile kwamba kasema ukweli ndo Cha mhimu
@jifunzemengi1620
@jifunzemengi1620 Ай бұрын
Kwa heshima kubwa sana lkn hapo sikubaliani na muheshimiwa kwani kuna nchi nyingi sana zimekuwa kutokana na uwekezaji wa nje ikiweme china na brazil na nyenginezo
@SurprisedOmbreSky-qg6dk
@SurprisedOmbreSky-qg6dk Ай бұрын
Kweli hata Dubai pia
@veelmng7746
@veelmng7746 Ай бұрын
Jamaa ana akili sana.
@salehemustapha9969
@salehemustapha9969 Ай бұрын
😂dah kuna siku nilibahatika kukutana nae yupo smart sana wakati naongea nae uliniambia pambana na usikate tamaa kuwa na prani kubwa kuliko umri wako
@SaidKasomo
@SaidKasomo Ай бұрын
Wawekezaji wa nje ni moja wapo ya ajenda zinazokuja zikimbatana na misaada na mikopo kama sehemu ya masharti. Ikiwa tutaendelea kutegemea mikopo na misaada ya nje basi lazima tuendelee kukubali uwepo wao.
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 Ай бұрын
Upo sahihi kabisa
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Ай бұрын
Wangapi Tulijua ROSTAM ni Roma na stamina😅
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Kwa bahati mbaya sana ni wewe peke yako....it seems you are so young that's why it is difficult for you to know our big booster like Rostam Aziz.....let's call u GEN Z
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui Ай бұрын
rostam Aziz alikuwa mbunge wa igunga miaka mingi, itakuwa wewe ni gen z
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Ай бұрын
@@sir_ENOCKMACHA Tofauti yako ww ni Dem wako ni Hedhi peke yake😏😏
@AzizMangara
@AzizMangara Ай бұрын
Hivi anavyo sema, Yeye ni mbunge wa kwanza mfanyabiashara, hivi Abasi guramal na yeye nani alianza kuwa mbunge. Hapo naona Kama yule kiumbe anayeitwa NYENGERE MAFUTA, Au kichwa Cha SGR Mchongoko. Mbele nyuma nyuma mbele.
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 Ай бұрын
Ukweli unaosemwa na kutuamsha
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Rostam yupo sahihi Tanzania imekuwa shamba la bibi tena mfano wahindi wamejaa Tanzania 🇹🇿 wengi wao wanafanya upuuzi tu hawana ujuzi yaani nashangaa unakuta mhindi yupo site naye ni formen wangine wanauza maduka hapa tanzania, siku hizi watuluki wamejaa Zanzibar kila sehemu wanaendesha mpaka magari na wanaopaleti mitambo sisi wazawa tunakosa kazi watuluki na wahindi wamechukuwa kazi zetu yani kweli Magufuli alikuwa sahihi kabisa kusema Tz ni shamba la bibi
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 Ай бұрын
Nikweli kabisa
@vifarangakuku9098
@vifarangakuku9098 Ай бұрын
Kaongea madini matupu..tushikamane tuijenge nchi yetu
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 Ай бұрын
Mtu makini sana!
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Ай бұрын
Kwanini kila siku usingekuwa unaongea hivyo
@KelvinSimango
@KelvinSimango Ай бұрын
Mnafiki leo hii wanaikumbuka tawala ya magu wakati ndio walikuwa wakimpinga sana.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Ni sheria mtu Rostam ..mfano amerika ukipata hela wanasheria ngumu huwez tu kuhamisha mapesa ukayaleta Tanzania. Ata ss tunaweza kudhibiti wawekezaji iwe ngumu kuhamisha pesa kutoka nchini.
@MICHAELSHESHE-x8r
@MICHAELSHESHE-x8r Ай бұрын
Unaruhusu wawekezaji kwa Sera ambazo zinamanufaa kwako na inchi,, piah unalinda wawekezaji wa ndani kwa Sera vivyo hivyo.
@kisumbalufuor8512
@kisumbalufuor8512 Ай бұрын
Njo Congo utapewa na watoto😂😂😂😂😂 jaribu DRC
@pasiensiabel7278
@pasiensiabel7278 Ай бұрын
Akili kubwa
@vusumuzi_mathumo
@vusumuzi_mathumo Ай бұрын
Watanzania wajifundishe kuongea kiengereza wakumbafu !!
@MichaelCosmasi
@MichaelCosmasi Ай бұрын
Anayeongea ni mwekezaji wa yanga ajaye GSM by by😂😂😂😂
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Ай бұрын
Huyu muirani ni muongo kufa, mbona yeye kawekeza mamillioni Dubai na South Africa, pia mbona Dubai Ina wawekezaji wakubwa na mabillionea toka nje??na ndio wanaendesha uchumi wote mkubwa wa Dubai, Dubai haina mafuta wala Gesi kama nchi zingine za kiarabu, inategemea wawekezaji wa nje.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Dubai ni muungano wa UAE ndugu yangu, UAE mafuta mengi sana yapo na sifa moja ni kwamba Dubai inapata ruzuku nyingi sana kutoka shirikisho la UAE, kuwekeza nje si dhambi hawa matajiri huwekeza nje ili kulinda usalama wa mitaji yao na mambo mengi kama siasa, vita, mfumuko wa bei na n.k...Swala ni kwamba tunazalisha wawekezaji wengi au wafanyabiashara wengi ili waushike uchumi wetu au tuna sera mbovu kwa wafanyabiashara wazawa?
@EzekielTv49
@EzekielTv49 Ай бұрын
Haya sasa wanaojua uchumi hawa hapa,,,kumbe kufungua nchi haisadii 😂
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 Ай бұрын
Hawa huwa hawapendi ushindani
@EzekielTv49
@EzekielTv49 Ай бұрын
@hilmialjahdhami9787 Yeah ni kweli ndo maana amesema hakuna nchi inapenda hivo
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c Ай бұрын
Hiyo kauli aliyosema kwamba hakuna mwekezaji yeyote wa nje anauchungu na nchi hiyo huo huo mfano uwafikie wanaosomesha na kuishi na watoto wa watu wakizani ipo siku watafaidika nao message hiyo
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Ай бұрын
Daah eti namadirisha😂😂
@christophernzige3913
@christophernzige3913 Ай бұрын
Kuna haja yakuchagua mfanyabishara kwenye mamulaka ,nadhani tutaendelea , other wise tutahangaika
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Ай бұрын
Tusidanganyane ili nchi iendelee inahitaji vitu 2 tu siyasa safi na teknolojia Afrika hatuendelei hatuna vitu viwili hiyo. Hivi tunajifanya tunaumia tunaibiwa tunadhiniti tunajisumbua tu tukiwa na siyasa safi na teknolojia hakuna atakae kuja kuiba kwa sababu tutajua thamani ya mali zetu tunazisarifu wenyewe wala hatuuzi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Hata ukiwa na hivyo vitu km Kila mtu anaangalia familia yake kwanza sahau ilo
@BablayEagle
@BablayEagle Ай бұрын
Hivi kwanini matajiri wa Tanzania hasa wale utajiri wao ranking za juu asili yao sio tanzania?
MWEKEZAJI MZAWA ROUNDTABLE NDANI YA POWER BREAKFAST NA CLOUDS
3:39:19
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
TUTIKUHAKWO MACURU RINGI !!! | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
37:55
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 164 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН