Kuzuri kwa kutembea huko. My next holiday destination is Comoro .😎
@tkvlogs39698 жыл бұрын
ni vizuri kusafiri ...
@zainabmaulid96372 жыл бұрын
Comoro mm nishaenda kwel mtandao shida Sana kumetulia Sana mji upo kimya Ila chakula Chao sio vizur Sana Ila hela yao inasaman
@attoumanemouayad65095 жыл бұрын
I'm about to cry😅😅😅illa ni nna imani kwamba kunasiku mungu atatusaidia
@harounali16268 жыл бұрын
Kuhusu sim siajabu hata sisi tulianza hivyo hivyo Ningekuomba ufanye Tour na hivyo visiwa vingine. Mimi gari yangu ya kwanza ilikuwa ni Renault Clio CUMPAS nime ziona hapo nime furahi sana kuona hapo zina tumika Taxi Tatizo Afrika kupata kiongozi anae jali wananchi ndiyo maendeleo yana kuja sisi watanzania tumshukuru Allaah pia mzee Rukhsa kwa kutufumbuwa macho
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Wahoji wacomoro, sasa umekazana kumhoji mtanzania! Huo uduanzi
@fetysaleh50226 жыл бұрын
wakomoro wote gonga like hapa
@rachelbahahazo63624 жыл бұрын
Aaaah we dada nimkomoro?
@mkemkwama23623 жыл бұрын
Nataka jinsi ya kufika huko
@mkemkwama23623 жыл бұрын
Mimi naomba namba yako nataka kuja komoro
@vincentmokenye4465 Жыл бұрын
Nitafute
@ramadhanpakei27667 жыл бұрын
nakukubali san millard ayo napanda san kaz zako ni nzuur san nakukubali nami nahtaji siku moja niwe kama wew
@greatiq78353 жыл бұрын
Comores! Home sweet home!
@mudrik1852 Жыл бұрын
Safi sana kutujuza taarifa kama hizi
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Comores ni nchi ambayo inaanza kutoka katika mashîmo makubwa but let' us going slowly
@samwelimoshi56146 жыл бұрын
Comoro n kama zanzibar
@karthala66764 жыл бұрын
Zanzibar is prettier than Comoros.
@dainesszuberyguii60408 жыл бұрын
kaka millard huko ni nomaa ukinunua ki2 mpaka balozi ajueee nimishidaaa hakufai huko...💃💃💃💃
@fransiscamatemu9875 жыл бұрын
😳😳😳kisaa
@hooswengosha29853 жыл бұрын
Hiyo iko namna gn rafki yngu inamana upite kwa baloz au unapita nae mashop
@hooswengosha29853 жыл бұрын
?
@lalasheloisheye11542 жыл бұрын
Nimeenda sana. Mij.huu
@jumaramadhani58618 жыл бұрын
Ila nasikia wanawake wa kikomoro wanaheshima sana
@khadigaomri87478 жыл бұрын
Kweli kabisa
@malota21383 жыл бұрын
itabidi nikatafute mchumba uko
@omarykamna39493 жыл бұрын
Hata mm km napata mwenyeji huko niko tayari nikaoe please
@veraisaria2 ай бұрын
Kwanini haka kanchi tusikavamie tukateke kawe mkoa wa Tanzania 😂😂😂
@abdallahkawambwa90414 жыл бұрын
Napatan kweli inshallah tutafika tu.
@mohamedaminah34484 жыл бұрын
Karibuni COMORE island Ni nchi yenye Amani na watu wa huruma.na pia hewa nzuri.
@omarykamna39493 жыл бұрын
Ahsante natamani nije huko km nikapata mwenyeji nije kufanya daawa
@veronicalushugembe74173 жыл бұрын
Asante nitafutie kazi
@NdayishimiyeAdidja-d3l5 ай бұрын
Tutakaribiya Inshallah nimpee namba yako ya sim
@ramadhanmasiku41053 жыл бұрын
Shilling alf5 ni zaidi yaalf20 bongo sasa kwa nn hela ya comoro inathamani zaidi ya dola na paund wakati dola 100 tu ni zaidi ya laki
@kikoadventures693311 ай бұрын
Kwa sababu wanatumia Euro 💶
@abedysteven493011 ай бұрын
Ina jina kuuuuubwaaa lakn kumbe n nch maskn sana!!
@JCMaxima20 күн бұрын
Wananchi wa Comorro ni wavivu sana! Hawapendi kazi! Ndio maana Nchi yao ni maskini!
@zingahassan58516 жыл бұрын
Nice and fine place to be in vacation..how much you need to spend in comoro for week
@alawithebestconcept2313 жыл бұрын
It's up to you for the life you want to be in Comoros islands 😯
@karthala66768 жыл бұрын
Ahsante sana Mylard kwa kwenya Comoro. Nimekuliya huko na nimefurahi koona Moroni kidogo. What you said about the wedding is absolutely true. Left Moroni 40years ago and thank you for going there
@rahmasaid77478 жыл бұрын
comoro
@millardayoTZA8 жыл бұрын
thanks Karthala
@rahmasaid77478 жыл бұрын
Mimi siyo mutanzania ila napenda sanaa kipindi cako sanaaa .na napenda sanaa wasana watanzania sana sana muigizaji Wema
@rahmasaid77478 жыл бұрын
Namupenda sanaa Wema sepetu
@samwelimoshi56146 жыл бұрын
+Rahma Said wema yupo n mke wa daimond
@MwanaidiMoana11 ай бұрын
Wow
@mariamushi15298 жыл бұрын
duh aisee ..huko ni kuzuri sana kufanya tours ..kwa kweli
@Mpakauseme3 жыл бұрын
kabisa aisee
@dseven7094 Жыл бұрын
mbona vts nyingi sna
@arafsaaa88448 жыл бұрын
duh huko kuko nyuma snaaa
@zaiiomary89705 жыл бұрын
Huko Comoros ninoma wanadari kam wahindi mwanaume kuolewa khaa sikuwez huko pia maish yao mitihani na matumiz ni makubwa khaa
@RajabuKitalambo-q2u11 ай бұрын
Taifa ili ukienda kuanzisha maisha unatoboa chap
@chayamhicham72024 жыл бұрын
Huyu siyo mtanzania hâta kiswahili chake bado huyu tunamjuwa vizuri sio mtanzania
@mohamedaminah34484 жыл бұрын
Huyo mwanamke anae JIBU Ni mfanya biashara Moroni Ni TZ.BUT SIO MKOMORO .LAKIN ANATUFAHAMU SIE WAKOMORO VIZURI SANA.YUPO COMORE MIAKA MINGI KWA BIASHARA.
@ndukulusudikucho_4 жыл бұрын
Ukienda rorya au usukumani ndio utajua huyu Ni Mtanzania
@KosovoNaiiem11 ай бұрын
Ukitaka kufanya biashara na kuishi vizuri msingi unatalkiwa uwe na bei gani
@fatmayussuf61256 жыл бұрын
home
@missmuunasharifu23238 жыл бұрын
Bas wanaume woote wata owa ma fast born kwa kupenda kutafuniwa na atakae zaliwa mwisho mwisho imekula kwake kaazehekea home ocz wanaume woote watakimbilia Kula ma fast born
@abdillahabdubakar93368 жыл бұрын
uko home comoro
@ayushiabubakar19307 ай бұрын
😮
@AthumanAthumanTz8 жыл бұрын
Da!! huo ndio mji mkuu!! kama Bukoba
@attoumanemouayad65095 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@rachelbahahazo63624 жыл бұрын
Kwakwel pamekaa kama bukoba
@swalehadinan7264 Жыл бұрын
Hata Tanzania ilianzia huko kaka usibeze
@kihanda25548 жыл бұрын
Kama umewahi kufika Zanzibar basi Utakuwa huna tofauti na Ayo. Hakuna tofauti kati ya Zenji na Comoro.
@salmasalim60558 жыл бұрын
Kihanda Tv kweli ni sawa na zanzibar mji mkuu darajaani😅😅loooh lakini ndio home love zanzibar
@altamyanfane98502 жыл бұрын
Magorofa ya tanzania nia waarabu pemba na wahindi
@vigezo6 жыл бұрын
It is three islands Mayotte is part of France
@attoumanemouayad65095 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@SelemaniKisalo11 ай бұрын
Yes
@hikma-t2x8 жыл бұрын
Ahsante
@mkemkwama23623 жыл бұрын
Mimi nahitaji kufika naomba uongoz
@nassorjabry56558 жыл бұрын
Hahaha haha ayo huko siomchezo yani full utelezi ukioa unakaa kwa mkee dwaaaaaax sema nn ukibahatika kwenda tena wambie waongeze sheria namatumizi ataoe mkee ntanunua BMW hihihihi vitz zimezidi 😂😂😂😂😂
@Awatee8 ай бұрын
😂😂😂Mnapenda vya bure mhh
@frankiedebrilliant6 жыл бұрын
Vizuti Sana
@SelemaniKisalo11 ай бұрын
Mayotte ni sehemu ya Ufaransa
@salehkhamis86533 жыл бұрын
Mazingira yake kama Zanzibar
@salmasaid72548 жыл бұрын
asante ayo tuletee mechi ya jana burundi le mesenger ngoz& kvz kama itawezekana
@msamgunda76843 жыл бұрын
Wajaclia mali mpo hapo. Fursa hio comoro kuna neema.
@hadjiabassi96496 жыл бұрын
Kisiwa cha Mayotte ni kisiwa cha Ufaransa nasi cha comoro 😉
@maryamsinganomaryamsingano79388 жыл бұрын
asante millard ayo huko wakonyuma sana daa nahizo sheria za mwisho mungu azidikukupa uwezo zaidi iliutulee habari mbalimbali
@hikma-t2x8 жыл бұрын
Ni kwetu kwa mamanguuu
@binaliy64564 жыл бұрын
Hikma Haji kumbe
@omarykamna39493 жыл бұрын
Naomba uenyeji ili nitembelee kujifunza huko nakufanya daawa alau hata week 2 0717519111 wasap cjui upo wapi ndugu?
@kuschprince32168 ай бұрын
" The results of decades os communisim! They must understand communism is the source of chaos and poverty!! They must open their country to investors otherwise "Umasikini hautoki kwao!!
@godfreyleka58395 жыл бұрын
vits za kutosha huko
@Ishengoma18 жыл бұрын
Hapo kwenye thamani ya pesa ndo panatakiwa kuwa darasa kwa Magu. Aje huko apewe darasa.
@nitumienoMwana7 жыл бұрын
k uzur
@juliusuronu88128 жыл бұрын
Nimeyapenda sana mazingira yake ila sio kwa vits zile 😋😋😋😋 ukiwa na vogue lazima uitambulishe jamhuri
@millardayoTZA8 жыл бұрын
hahahahhahah umenichekesha sana
@juliusuronu88128 жыл бұрын
Yan documentary nzima sijaona hata Prado....kweli hiyo ni COMMORO hhahahahha
@islamnurdin3897 жыл бұрын
Millard Ayo uyo dada anawadanganya kidogo sijuw kiswahili kinamsumbuwa
@fatimayoussouf48786 жыл бұрын
Yah lazima jamhuri yamagu ijulishwe
@fatimayoussouf48786 жыл бұрын
Millard Ayo tafuta mzaliwa wa comoro sio mpita njia halafu mtu mwenyewe haeleweki anakurupuka tu. Sisi hapa tangu tuanze kutumia simu zamkononi lazima ufike ofisini na kitambulisho chako ukasajiliwe halafu ndio upewe line.huko tz line watu walikuwa nawanunua barabarani kama unanunua nyanaya tu unanunuwa unaweka kwenye simu yako. Ilikuwa 2009 ndio mlioanza taratibu zaku sajili. Mimi nilipitia hiyo ishu.
@amanimtasha91688 жыл бұрын
Comoro hata kwa limbwata siwezi kuishi.
@attoumanemouayad65095 жыл бұрын
Hayo maneno yamenuumiza sana sana....😢😢😢😢😢
@samwa94962 жыл бұрын
Usiseme huenda mwanao akawaoa huko au kuolewa
@minzamabula35518 жыл бұрын
ahahahaaaa et linbwata jamani lakini bado wako nyuma bwana
@mohamedaminah34484 жыл бұрын
Usiali.baada miaka.utaskia tu tupo mstari wambele.tunaanza chini kwenda juu.
@הבליךמיהן5 жыл бұрын
duuuh
@metalcombat44708 жыл бұрын
Ni Moroni, Millard.. Si Moron! Haha! That's ma home, buddy!
@millardayoTZA8 жыл бұрын
asante sana ndugu yangu
@thuweintheprince8828 жыл бұрын
hapo ndio waahaendelea ao
@decodesttz2 жыл бұрын
sasa uko s wawaachie tu samak waish
@mgenisana76108 жыл бұрын
Pesa yetu kweli karatasi😂😂
@bentihamadi6576 жыл бұрын
Mgeni Sana 😂😂😂😂😂
@hamisikimbatikwa69592 жыл бұрын
Nimewekania kuja comoro kutembea na kuja kufanya biashara innnshallah
@BILALKASSIM-ol6kk Жыл бұрын
Mh
@thomaslandwhale8 жыл бұрын
Jazirat maut....
@fatimayoussouf48787 жыл бұрын
Hata dubai wanao jiweza wanamitandao miwili nyinyi mmeanza kusajili simu juzi juzi Line mtu ulikuwa unanunua barabarani kama unanunua karanga.
@jemakhalifa68075 жыл бұрын
tutajie fursa za huko tuje kufanya biashara
@hammerQ9548 жыл бұрын
upande wa mama yangu
@dullatawakal14925 жыл бұрын
Dooooh bhaaaaas habib
@kingroller54568 жыл бұрын
usafiri ukoje kutoka dar mpaka comoro? unasafiri kwanjia gani ?
@dodomikleni92998 жыл бұрын
king roller ndege ..meli pia
@ahmedzahor29752 жыл бұрын
Unakwenda kwa kuogelea ukijitosa baharini utazamkia Moroni
@famffamf408 жыл бұрын
She's not the first Why didn't ask the first
@ashahaji49367 жыл бұрын
Milady nauli ya tz kwenda huko sh ngap?
@lydiampayo597 Жыл бұрын
1mil. Kwa ndege Go and return
@alawithebestconcept2313 жыл бұрын
Please go back to making a video nowadays because something it's readying change 🇰🇲🇰🇲😁😁
@QuartierNord130157 жыл бұрын
Komori
@shabanidigalu66833 жыл бұрын
Vitz kama bodaboda
@islamnurdin3897 жыл бұрын
comores hamna dala dala muini ndio maana unaona izo gari ndogo afu uyu dada anae hojiwa hapa ni muongo sijuw kiswahili kinamsumbuwa au
@fatimayoussouf48786 жыл бұрын
Islam Nurdin anakurupuka tu
@sadikimgassa42156 жыл бұрын
Islam Nurdin Dada anae hojiwa anaitwa mwanjuma Ismael ni mcomoro mwenye makazi Yale dar es salaam Tz,na anaishi Kigamboni,na ameolewa na mwanaume Wa kicomoro anayeishi ufaransa
@hooswengosha29853 жыл бұрын
Tupe kweli yko
@lydiampayo597 Жыл бұрын
Yupo facts,,ila ww ndo hujui
@alinasor85537 ай бұрын
Bc kuzuri uko
@faidasemitende81472 жыл бұрын
Broo mm Niko huku
@dseven7094 Жыл бұрын
mzee natka nije nitembee huko niandae kam bei gani hivi
@aliykibabe90334 жыл бұрын
Hakufai uko
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Hii interview ya kipuuzi ni sawa na historia ya jamii fulani, kuandikwa na jamii tofauti, mwandishi ilitakiwa a wahoji wenyeji, huwezi ukaja kwetu wanyakyusa, ati ukataka historia yetu kule busokelo ati ukaanza kuwahoji wahehe wa iringa! Idiots
@philipomakanamabilikaathum63948 жыл бұрын
hiyo nchi bado inatecnelojia ndogo inamitandao Miwili daah noumer
@metalcombat44708 жыл бұрын
Wame tawala Wafaransa huko hivyo marndeleo ni big issue. Waambie kuhusu ADA, Millard. Kwa Comoro kwa mke ndo kwenye familia na si kwa mume.
@fatimayoussouf48786 жыл бұрын
Halafu wewe ayo,huyo dada nimuongo, kwanza ukitaka kujuwa vizuri katika nchi yoyote unatafuta mzaliwa sio mtu ambae anaishi. hata kama aliishi miaka 100 hawezi kukwambia ukweli halafu hilo dada muongo kabisa anajifanya mjuaji mtu mwenyewe hajui chochote kuhusu mila na desturi za comoro anakurupuka kuelezea asioyajuwa . Eti lazima mwanaume aishi kwa mkewe. Mboba kuna wanaume wanajenga nyumbazao na wana wachukuwa wakezao wanaishi pope . Cha pili wewe ayo kila kitu kinachofanyika nchi yoyote kuna kuwa na hikma ndani yake yake Kwanini hujamuulizia hikma yakuwa mwanamke anajengewa? Ndio mana nilisema pale awali kwamba ungetafuta mzaliwa, sio mtu wakuiishi. Hayo magorofa mnayo yavunia Moroni tuna papenda kama valivyo
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Je wewe ni mkomoro
@decodesttz2 жыл бұрын
kubaya bwana hyp nchi mlitakiwa muwaachie samak nao waishi so kwakuish watu huko😊✌KUBAYAAAA
@lovenessmushendwa12302 жыл бұрын
Ni kweli: yupo sahihi
@JanethMadios-oe5ue Жыл бұрын
Mbona imekuuma dada, kubaya ndio kwani uongo???? Tena kubaya haswaaaa hapo mjini kwenu ndo kama kijijini kwetu tuu ni kubaya kubaya kubaya hata kama mnajivunia lazima mjivunie ndo kwenu tena ila kiuhalisia ni kamji kabaya afu kanatisha sijui kapoje kapoje mimi siwezi ishi huko bora niende nikaishi kijijini kwetu tuu