SISTER WA MACHAME ASHANGAZA BAADA YA KUWALEA WATOTO 385 WAKIWA WADOGO, VITU VYA MIL 6 VYATOLEWA

  Рет қаралды 6,659

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@sirellyonlinetv8477
@sirellyonlinetv8477 9 сағат бұрын
Hongereni sana Shule ya Ebenezer kwa kujitolea kwa ajili ya watoto hawa... mungu awabariki sana sana.... Hakika mmefanya jambo la barka sana
@EliasifiweMbise
@EliasifiweMbise 10 сағат бұрын
Wanajitahidi mnoo, mazingira yao ya kulea wanajitahidi mno, wana watoto wa aina nyingi sana na wanahitaji msaada wa kutosha. Kuanzia maziwa, mavazi, chakula nk. Toa sadaka yako kwenye hichi kituo kadri Mungu atakuongoza kuelekea mwisho wa mwaka, kumshukuru Mungu kukulinda na kuwa na maisha au familia iliyostawi.
@sirellyonlinetv8477
@sirellyonlinetv8477 9 сағат бұрын
Wazazi wa Ebenezer Academy mko vzr sana sanaa 🔥 🔥 🔥 saaaafiiiii sanaaaa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 11 сағат бұрын
Hongera sana kwa kujitoe kuwalea watoto hawa na MUNGU awabarik sana❤❤
@MonicaMacha-q7y
@MonicaMacha-q7y 11 сағат бұрын
My big dream mungu nisaidie
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 7 сағат бұрын
Hongera sana🎉🎉🎉
@JaqlineExavery
@JaqlineExavery 11 сағат бұрын
Tujitahidi jamani kujitolea japo kwa kidogo maan watoto wanakosa upendo wa wazazi 😢😢
@trestar_tz
@trestar_tz 8 сағат бұрын
MWENYEZI MUNGU ABARIKI WOTE🙏🙏
@SkideLouis
@SkideLouis Сағат бұрын
vip inawezekana nikisema nichukuwe watoto wawili niwakuze mimi inabidi nifate nini hili kuwachukuwa
@EmmanuelKolambo-ig6js
@EmmanuelKolambo-ig6js 10 сағат бұрын
Mungu aendelee kukuongoza
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 11 сағат бұрын
Lutheran NAO kumbe Wana masister? Maana wao wachungaji wanaoa je masister wa kilutheri wanaolewa? Mnaeewa mnisaidie
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 9 сағат бұрын
Wakjibuuuu faster na mm nipateee jibu
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 8 сағат бұрын
Masista wa. Kilutherii hawaolewi
@Zxodes
@Zxodes 7 сағат бұрын
Hata anglikana wana masisita n ahawaolewi
@Gospel-n4k
@Gospel-n4k 7 сағат бұрын
lutheran are protestant , under protestant are: methodist, seven day adventist, pentecost, Baptism, and so on, the pastor have no celibacy, so he can marriage and have a family, they allow this not because its good, but because is better option! the same to the nons, they can have a family , the lutheran have also different variants, some allow women to preach, serve as clergy. (Evangelical Lutheran Church) also The ELCA allows for open or "non-celibate" gays and lesbians to serve as clergy. homosexual relationships are allowed to the podium and church leadership positions.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 10 сағат бұрын
Matendo mema
Lillian Mwasha: SIFA ZA KUOA WAKE WA TATU
13:01
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 8 М.
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 89 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
Foundations in Critical Care Session 1: Distributive Shock
1:44:22
Global Anesthesia and Critical Care
Рет қаралды 1 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 24, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 177
DUNIA (Ep 23)
19:25
ASMA FILMS
Рет қаралды 42 М.
WATOTO WANGU PART 6 (FINAL) #love
30:46
BabaJoan
Рет қаралды 68 М.
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН