Mimi S01Ep25 (TV Series)

  Рет қаралды 26,551

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@AliceFrances-x8j
@AliceFrances-x8j 3 ай бұрын
Hii movie ni hatari sana Lakini unakaa muda mrefu bila kuachia mzigo utatuua na kiu sasa😢
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 3 ай бұрын
Patamu watoto watatu tenaaaa wanawake mungu atusamehe tyuuuu unaficha watoto kweliiii
@EstheurWabenga
@EstheurWabenga 3 ай бұрын
Yaani glory eti mimi muzuri🤣😀🤣🤣🤣
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 ай бұрын
Lulu ni hodari na mkongwe.sijawai acha kumtazama tokea kadogo kipindi Cha watoto washule wakidhaminiwa na cowbell ITV asbui
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
yan alikua mdogo jmn
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 ай бұрын
@@nancyg8664 na ndio talent yake ilpoanzia
@GorbaChev-yn2tb
@GorbaChev-yn2tb 2 ай бұрын
Cowbell milk 🤣🤣
@PraxedaJustinian
@PraxedaJustinian 2 ай бұрын
Kumbe 2ko wengi.
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so 3 ай бұрын
Naomi unaweza mpaka unaweza tena nawote nawapenda ❤❤❤❤
@Daniella249
@Daniella249 3 ай бұрын
Naomi nick atakumaliza wewe 😅😅😅 Naomi kitkuramba muda sio mrefu jamani maskini dhahabu kaanza kukutenga 😢 tena
@edmundsama60
@edmundsama60 2 ай бұрын
Nakubali Sana kazi single mtambalike yupo vzuri Mzee Joseph pia mkewe mirium
@rehemawasama3780
@rehemawasama3780 3 ай бұрын
Nainjoi na mhuni nick
@neykidoti102
@neykidoti102 3 ай бұрын
Hapo penye watoto wa3 daah wamama why mfe kwa kuficha ukweli wa maisha yenu khaaa😢😢 soooo sad
@saumujuma-qk7ql
@saumujuma-qk7ql 3 ай бұрын
Tuwekee haraka lulu unachelewa sana
@maijakipingu-yn8uj
@maijakipingu-yn8uj 3 ай бұрын
Nmeogopa wallah Naomi kitamlamba awamu hii
@BiabaeBianca
@BiabaeBianca 3 ай бұрын
Tupostie haraka tunahasiraaa 😎
@KingNamber
@KingNamber 3 ай бұрын
Kwani Naomi atakuj kupatw nanini😊 guys naipenda muno mimi
@stephanosilinu3767
@stephanosilinu3767 2 ай бұрын
Hakika lulu vazi la uigizaji linamfaa na ni hodari❤❤
@nurusaid4698
@nurusaid4698 3 ай бұрын
Ijayo Inafuraisha😂😂😂😂😂Naomi Kazima
@GrolyMlawa
@GrolyMlawa 3 ай бұрын
Dogo Lina anamajibu yahovyoo🎉
@khadijatirionaire2510
@khadijatirionaire2510 3 ай бұрын
Elizabeth we kiboko,sio kwa utunzi huu my dear mdg wangu mafunzo tosha
@princecodricheniyimbona
@princecodricheniyimbona 17 күн бұрын
Vipi njomwisho kabisa
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Glory 😂😂😂😂nakupenda mwaya wewe ni mzuri sana ❤❤❤it's his lost steve 😂😂😂😂😂kukukosa mtoto mzuri kama wewe 😊😊😊
@angelrichard899
@angelrichard899 3 ай бұрын
Jmn mama Steve jmn nampenda xikuizi ximuoni maana huyu anaigiza kuliko kawaida......
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 3 ай бұрын
Nenda kwenye mizani ya mapenzi
@winifridawolfram3010
@winifridawolfram3010 3 ай бұрын
Yupo kwenye tamthilia ya mzani wa mapenzi inaonyeshwa sinema zetu
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 3 ай бұрын
Humuoni khee mbona anaigiza
@AngelineSidi
@AngelineSidi 3 ай бұрын
Mefikia matamu😂❤❤nakupenda lulu n ahongera kwa kazi njema😂
@azizasanga6440
@azizasanga6440 2 ай бұрын
Yaani umejua kunifanya nicheke sana😂😂😂 eti kama hamna kuwaza vitu ambavyo havipo😅😅😅😅
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Ihii movie inanikosha sana
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 ай бұрын
Uwiiii😢😢naomi sijui kwann nakuwa na wasi wasi juu yako
@rehemarusunzu804
@rehemarusunzu804 3 ай бұрын
Duhhhii ni fireweeeee dah
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j 3 ай бұрын
Hongera Lulu❤🎉 nangoja Ep 26 Mimi
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 2 ай бұрын
Sema ka Nancy kazuri 😍
@AminaAmina-w1e1p
@AminaAmina-w1e1p 3 ай бұрын
Siangaliagi series lkn hii 🙌🙌hongera lulu hongera sana❤❤😊
@tonnybarbers6971
@tonnybarbers6971 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤❤ nawapenda God bless 🙌
@SaqnaAlly-jb9nv
@SaqnaAlly-jb9nv 2 ай бұрын
❤❤❤naipenda sn mimi
@iddysalim6331
@iddysalim6331 3 ай бұрын
Number oneeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hureeeeeeeeerre 😂😂😂😂😂😂
@MwanaidiAkida-sh8yt
@MwanaidiAkida-sh8yt 3 ай бұрын
Umeweza
@patrickjulias-i8i
@patrickjulias-i8i 2 ай бұрын
Kazi ni kazi tuu
@EstheurWabenga
@EstheurWabenga 3 ай бұрын
Glory kapanchi jamani😀🤣
@julianamalanyingi
@julianamalanyingi 2 ай бұрын
Jaman mwendelezo dear ❤😢
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
Mtambalike ndie actor bora kwangu kwa Tz watu wengi wamefungwa macho hawamuoni.
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 ай бұрын
Mapenzi weweeeeee😂😂😂 pole Glory 😢
@dinatito-e1y
@dinatito-e1y 3 ай бұрын
Vivian ana kielele sana
@magrethmarco3793
@magrethmarco3793 3 ай бұрын
Dada umeweza❤
@ShaprettyEzekiel
@ShaprettyEzekiel 3 ай бұрын
ila groly utakuwa kichaaa wew sio bure....😂😂😂😂😅
@LucieGolden
@LucieGolden 3 ай бұрын
Jamani gulo weee ashakua chizi
@RoselyneKhavere
@RoselyneKhavere 3 ай бұрын
Gai??? Naomi jua litakuakia..dadake nick, Vivian akijua ni wapenzi😂😂
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Jmn movie nzur
@FedhaLuhunde
@FedhaLuhunde 3 ай бұрын
Nick,kipara na brayan
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 3 ай бұрын
Naomi duuu kama kunakitu kitakuramba
@MissFreeda
@MissFreeda 3 ай бұрын
Pole bray
@Jenipha-f5q
@Jenipha-f5q 3 ай бұрын
Kipande cha lulu Kubakwa na ms Joseph na alivyopata shda kimeniliza sanaa😢😢
@CareenAkida
@CareenAkida 3 ай бұрын
Move nzuri coment chache shoda nini wadau
@WitnessWitnessthomas
@WitnessWitnessthomas Ай бұрын
mi naomba kuulza tu ivi izo ni hela kwel au vimbao😂
@rilianwillium
@rilianwillium 3 ай бұрын
Ila misiba ya kishua jaman mbona kama miriam ajafa 😂hata heka heka za msiba hakuna
@UpendoMwinuka-o8h
@UpendoMwinuka-o8h 2 ай бұрын
Jamani lini tena😭
@paulinengeresa8649
@paulinengeresa8649 2 ай бұрын
huu msiba unaniliza aki
@michaelkazungu1987
@michaelkazungu1987 3 ай бұрын
Usingizi jamaniii umenibamba lakini bado nipo tu na mimi
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
Duuuuuuh dhahabu khaaaaaaaaaaaaaaa
@fathma-wp1gt
@fathma-wp1gt 2 ай бұрын
Aya sasa tukutane mwakani tena😂😂😂
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 ай бұрын
Guroliiiii utakuwa chiz wa mapenz
@Kizzyboytz
@Kizzyboytz 3 ай бұрын
Baada ya week mbiri ndomuendelezo utatoka 😅😅😅 ngoja nifanye mambo mengine nishamaliza kuangalia zote😅😂
@BerthaModest
@BerthaModest 3 ай бұрын
😂😂😂problem
@Kizzyboytz
@Kizzyboytz 3 ай бұрын
​@@BerthaModest😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 3 ай бұрын
Ktk hao watoto wa tatu akiwepo nicky
@michaelkazungu1987
@michaelkazungu1987 3 ай бұрын
Weeeh mama glory cheza ukorofi kama ulivyo cheza tandi
@RechoJosepho
@RechoJosepho 2 ай бұрын
Apo kwenye jambo letu mzee jiandae vizur
@RoselyneKhavere
@RoselyneKhavere 3 ай бұрын
Nina jamani msiba usiuchezee...😢😢
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 ай бұрын
Mbona naumi Tena kazirai ama pia yy mamake niuyu mama Brian
@catydisigner7436
@catydisigner7436 3 ай бұрын
Kiukweli lulu unatukosha
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 3 ай бұрын
Groly aende milembe 😂😂
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 2 ай бұрын
Mtoto yupi wa 3,ni mtoto yupi hakufika kwa msiba anayeongelea Brian?kwa nni dhahabu hataki tena naomi,her friend,wat happned🇰🇪
@DoreenEmmanuel-z5y
@DoreenEmmanuel-z5y 3 ай бұрын
Oooooh today namb one😂😂😂😂
@CatherineDominic-e6x
@CatherineDominic-e6x 3 ай бұрын
Jamn toeni mzigoooo ety 😢😢
@marryofficial9143
@marryofficial9143 3 ай бұрын
Groly uchizi wa mapenzi umekuanza nn😮😅😂
@husnanchimbi5064
@husnanchimbi5064 3 ай бұрын
Lulu umecheza hii mov
@khadijahhussan182
@khadijahhussan182 3 ай бұрын
😂😂😂Apo watt 3apo
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nicky 😂😂😂😂😂😂
@doctormkulima9474
@doctormkulima9474 3 ай бұрын
Inaeleweka sasa
@AliceMudandi
@AliceMudandi 3 ай бұрын
Heee,jamani !! watoto WA Tatu tena?!😮😮😮😮
@PaschaziaFesto
@PaschaziaFesto 3 ай бұрын
Hapa tusubili tena after 2weeks
@aysherkhamis3338
@aysherkhamis3338 3 ай бұрын
Naomi umemuua mama yake rafiki yako😢😢
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Ee maskini naomi cjui itakuwaje sasa
@DeliphinaCosmas
@DeliphinaCosmas 3 ай бұрын
Dah movie mbona limeisha pazur lkn kifo cha Miriam kimeniuma Sana
@RozPeter-s5z
@RozPeter-s5z 3 ай бұрын
Miriam amekufa msababishi ni naomi
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 2 ай бұрын
😂😂joseph!! Mpaka kwa mazishi unafokea mke wako?
@kitengegaston6946
@kitengegaston6946 3 ай бұрын
Elisabeth samahani musicheleweshe
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Joseph 😂
@olicej7837
@olicej7837 2 ай бұрын
Na picha ya marehemu hauonekani bhana😢
@hellenzahabu1873
@hellenzahabu1873 2 ай бұрын
Hope so Leo mtaweka mm 😭😭😭
@Nurukhamis-j8v
@Nurukhamis-j8v 3 ай бұрын
❤❤
@RoselyneKhavere
@RoselyneKhavere 3 ай бұрын
Nawe Nicky ukipenda unaachwa.. Vivian kaoleka na brain,hivi sasa Naomi kavalishwa Pete ya uchumba.maskini
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 3 ай бұрын
Jamani ,usicheleweshe watoto wa 3?😢😢
@JenipherDaud
@JenipherDaud 3 ай бұрын
Naomi kaya timba jaman??.😂😂😂
@jenipherangelo1740
@jenipherangelo1740 3 ай бұрын
😢jmn naogop kam kayatimba kweli duh
@olicej7837
@olicej7837 2 ай бұрын
​@@jenipherangelo1740tena kwa mhuni daah yajayo yanafurahisha 🤣🤣
@ErnestMbwana
@ErnestMbwana 3 ай бұрын
Ongeza vipande vingine
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 3 ай бұрын
Tunasubiria muendelezo
@CharlineNguru
@CharlineNguru 3 ай бұрын
Lulu ninakupa max zako
@mariamagenda149
@mariamagenda149 3 ай бұрын
Huyu G kachanganyikiwa 😂😂😂😂 masikini ya Mungu😢😢😢
@BeatriceKalulu
@BeatriceKalulu 3 ай бұрын
Muendelezo jmn
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 3 ай бұрын
26 Please jaman😅😅😅
@DianaRichard-bu9tz
@DianaRichard-bu9tz 2 ай бұрын
Kwani dhahabu una nini tena umepatwa na nini jamani 😮
@rachelrodgers5080
@rachelrodgers5080 3 ай бұрын
@violethaloice212
@violethaloice212 3 ай бұрын
Yani mtaaza tena kutukalisha macho juu juu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 ай бұрын
Naomi atakuwa mama yake Edo lazima
@mariamagenda149
@mariamagenda149 3 ай бұрын
Nzuri sana❤❤❤
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 3 ай бұрын
Yajayo yanafurahisha……nini kwa Naomi 😢
@ConsolataIsdory
@ConsolataIsdory 3 ай бұрын
Big up naomba namba yako nkutumie hela 😢❤❤❤❤
Mimi S01Ep26 (TV Series)
25:26
Elizabeth Michael
Рет қаралды 30 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
LALAKÉ - Saison 1 - Episode 6  **VOSTFR**
27:40
KHASS Production
Рет қаралды 600 М.
Huba jumatano hii ijayo
1:58
Gado Baden
Рет қаралды 1,9 М.
Mimi S01Ep21 (TV Series)
24:28
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.
AMOURS BRISÉES   Saison 1- Episode 32
38:26
Yesdakar
Рет қаралды 366 М.
Mimi S01Ep37 (TV Series)
26:55
Elizabeth Michael
Рет қаралды 11 М.
NITOU INTÉRÊT - Épisode 104 - Saison 1 - VOSTFR
35:29
Pikini Production
Рет қаралды 398 М.
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН