MIPANGO YA KUMUUA MAMA SAMIA NA GWAJIMA.

  Рет қаралды 12,416

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 138
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m 7 сағат бұрын
TUUNGANE KWA LIKE,HAPA TUNAO AMINI MUNGU,KATUPA NABII WA KWELI TAIFA LA TZ,
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 6 сағат бұрын
Tunashukuru Sana Mungu kwakutupenda ,mioyo ya wtz wengi imeyeyuka kwani tunaona hakuna tumaini kwetu,kwani tunaona wazi kabisa Kuna Mambo yakukaa nakuzungumza ili Taifa liende salama lakini Sasa Vime ngia vitisho na mauaji Kana kwamba kunakikundi chawatu fulani tu kuwa wao Wana hati miliki ya Taifa hili .Tunaomba Mungu atutetee .Asante Sana Mtumishi wa Mungu
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 2 сағат бұрын
UMENENA VYEMA INATI SHA SANA,ILA BWANA WA MAJESHI YUPO MTETEZI WA WANYONGE
@norahfrank
@norahfrank 2 сағат бұрын
Hata Mbowe.hawatamweza kwa jina la Yesu
@janengaga2928
@janengaga2928 Сағат бұрын
Ya Rohoni hutambulika na wa rohoni.. MUNGU MKUU ponya Taifa letu.Amina
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 6 сағат бұрын
Mungu aendelee kukufunulia yaliyo sirini
@EstherEsamaMagero
@EstherEsamaMagero 3 сағат бұрын
Amen 🙏 Mtumishi wa Mungu na iwe hivyo
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 6 сағат бұрын
Mimi nimekuwa nakufuatilia na upo sahihi, endelea tupo pamoja,
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 6 сағат бұрын
Mtumishi wa Mungu Bwana azidi kukutumia ili nchi yetu itoke kwenye sintofahamu.
@Glorydavid248
@Glorydavid248 Сағат бұрын
😢😢 Jamaniii sisi tunataka tuandamane tu sio kuuwawa Haki yeye ni mwanamke tu hata km anakosea labda wasimamizi wake pia wanasibabisha ila kuongoza nchi nzima ni jambo gumu San ukiwa mwema Sana kama ghadafi ila alikufa kikatili
@AlexJoel-h4m
@AlexJoel-h4m 6 сағат бұрын
Mi namjua mungu wa isaka na yskobo itoshe kusema yamungu yatimie ila nakuombea mtumishi wa mungu maana inaweza ibuka mipango ya kinyume na wewe naa itashindwa
@frankkaminyoge3357
@frankkaminyoge3357 5 сағат бұрын
Mwaminini BWANA Mungu wenu, hivyo mtathibitika, wasadikini manabii wake nanyi mtafanikiwa.
@HaikaFoya-m5r
@HaikaFoya-m5r 3 сағат бұрын
J Gwajima yeye ni jitu la mbinguni hawa muwezi.
@RichardRere
@RichardRere 6 сағат бұрын
ACHA stvini alitumikie kusudi lilimleta duniani ACHA kumshauri kupunguza ukali wa maneno
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 6 сағат бұрын
Nashangaa!!
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 минут бұрын
Cc my la
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 5 сағат бұрын
Kwa unabii huu mtumishi, wa box huko very deep sijui kama naelewa
@victorrobert7797
@victorrobert7797 3 сағат бұрын
Ubarikiwe sana 🎉mtu wa Mungu
@ElizaCharles-qj4he
@ElizaCharles-qj4he 4 сағат бұрын
Nabii. Au mwalimu sibishana na ww mungu azidi kukupa maono
@jizzomonster
@jizzomonster 5 сағат бұрын
Huyu jamaa ukimskiliza kwa umakin unaona kama anakitu flan kama una D na F moja huwez kuelewa
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 5 сағат бұрын
Tangu umeanza kutabiri huo uzushi wako hakuna hata siku moja umesema ikawa, kwendraaaa
@MerichoPeter
@MerichoPeter 6 сағат бұрын
Mungu wetu wa mbinguni tunakuombea usiruhusu tena warinde viongozi wetu amina
@NeemaEdwin-s4d
@NeemaEdwin-s4d 2 сағат бұрын
Ww umechukua hatua gani kama mtu wa Mungu kweli,hafii mtu hapa Mungu akiwa upande wetu ni nina aliye juu yetu
@dassustephen731
@dassustephen731 5 сағат бұрын
Mambo mengine magumu sana.Bora kuyasikikiza na kujikalia kimya
@richardnganya2311
@richardnganya2311 5 сағат бұрын
Woga au ? Neno linasema "mkinyamaza mawe yatasema".. Wenye shingo ngumu mshahara wao upo mlangoni !!
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 2 сағат бұрын
Ndoto njema sana..wewe mwache aendeee na safari afe😂🙏🏾
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 5 сағат бұрын
Mungu pekee ndie ajuwae atakuwa lini wapange Yao Mungu anajuwa yake
@NimethNdelwa
@NimethNdelwa 4 сағат бұрын
Amina mtumishi utufundisha soma la kutoa zaka ili tubarikiwe
@hermanclemence7728
@hermanclemence7728 2 сағат бұрын
Amen, Mtumishi wa Mungu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 сағат бұрын
Wamekosa nini mpaka wauwawe jamani mbona tunafikia huko Mungu tusaidie Mama Samia kakosa nini mpaka wamuue Mungu mlinde
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 сағат бұрын
Yesu tunaomba Amani tulinde na uwalinde waja wako
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 5 сағат бұрын
Omba Mungu awaepushe na kifo hao wanaotaka kuwawa
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 16 минут бұрын
Damu ya Yesu ikuffiche na wasiojulikana maana ukweli hautakiwi!
@frankkaminyoge3357
@frankkaminyoge3357 5 сағат бұрын
Ninakushukuru Mungu kwa kuwa wewe ni mwema na fadhiri zako ni za milele
@fredgonga
@fredgonga 51 минут бұрын
🚶mhhh! Nitarudi kucoment baada ya uchaguzi!
@jumamaulid9462
@jumamaulid9462 57 минут бұрын
Duuuuuuu! 1.Gwajima yeye mwenyewe ni nabii, hajaoteshwa kuhusu hao wanaotaka kumuua, ila umekuja kuoteshwa wewe!! Nafikiria sana sipati majibu. 2.HIVI kila ndoto ni kweli? Mpaka ndoto hiyo ikufanye uwe shujaa wa kuzungumza hadharani? 3.Ukiwa kama nabii ulipaswa uwe ni mtu wa faragha na siri pia, Kwa ndoto kama hiyo ulipaswa kumfuata huyo Gwajima na hata Mheshimiwa Rais ukawaeleza kwa siri na heshima yao. Badala ya kusema kama hivi hadharani. 4.Nabii anayejichekesha hovyoooo......
@3349-c7l
@3349-c7l 6 сағат бұрын
Daaah huu unabii mmmh
@dotomanda-h9q
@dotomanda-h9q 4 сағат бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwakazi unayofanya ila nasikitika ujumbe wako nimeuona after UK 7/49 lunchtime results imeshachezwa ningewini bet leo maana hizo ndoto kuna namba tatu ambazo ningeweka hela ningewini maana Rais ni namba moja (1) Gwajima kwavile ni anajulika ni namba 2 au 8 au 44 treni ninambari 11 ni mbili tu katika hizo namba ambayo haijatoka siku yaleo 11=44 zimetoka lunchtime 8 imetoka teatime jioni hii tena imechezwa as a bonus. Thank you mtumishi but from now, will follow you
@MaryamMohammed-bi9cy
@MaryamMohammed-bi9cy 3 сағат бұрын
Wewe huyo bwana kakuotesha kifo chako utakufa vipi nalinii au utakaa maishaa
@dotomanda-h9q
@dotomanda-h9q 3 сағат бұрын
@@MaryamMohammed-bi9cy mimi siyo niliyeoteshwa na cjui chochote kuhusu unabii ila kwakuwa wewe ni muisilam ndiyo maana unabisha ila ndoto hizo zingekuwa anazisema Mwaipopo ungemuunga mkono ( kumsapoti) ila usiwapuuze watumishi wamungu either muisilam au mkristo maana mungu sikwamba anampa ufunuo kila mtu hapana. Kwamfano mm hapa mke wangu nimuombaji mzuri sana tena anaona sana mtu akiwa namatatizo kwamfano kunatukiyo lakupotea mtoto huko Tanzania aliyekwenda mlimani nawalimu ameshaliona lile nahuyo mtoto amechukuliwa na ndugu yake mfanyabiashara kimazingala lakini mke wangu yupo malawi sasaki acheni kuwadhalau watumishi
@DaudaBilikesi
@DaudaBilikesi 4 сағат бұрын
Wanasaikolojia watusaidie,huu ugonjwa wa nabii huyu unaitajwe au mpaka mrudi maabara!. Anasaidiwaje mtu huyu na watakaomwamini !
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Сағат бұрын
Mungu akufungue ufahamu wenye hekima tu ndo wanaelewa,,
@moddysunshine6618
@moddysunshine6618 Сағат бұрын
Bajaji ina tairi za treni 😂😂😂. Huyu akapimwe mkojo. Bora abaki kuomba zaka
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 45 минут бұрын
Wacha,uwongo, mbona mnatudanganya kama mazuzu?😂😂😂😂
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 3 сағат бұрын
asante mtumishi
@KhamisiSalimu
@KhamisiSalimu 2 сағат бұрын
Mama haondoki nyuma yke ana mazito wewe hujui wala hayo mandamano hayawi huyo mama anaasili ya kipemba anaulinzi mkubwa na kma wewe unauwona ulinzi wke usingal sema kitu amejipanga kisawa sawa ukijaribu tu kumuuwa bas unaondoka wewe.
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 3 сағат бұрын
Katika jina la yesu mama hafi
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 сағат бұрын
Mimi natabili baada ya mama utakufa wewe
@NeemaEdwin-s4d
@NeemaEdwin-s4d 2 сағат бұрын
Hafii mtu hapa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Сағат бұрын
Gwajima utaishi kwa jinala yesu
@FellaMbogela
@FellaMbogela 24 минут бұрын
NIMEKUWA MPINGAJI WA MANABII WENGI SANA, HASA KUPITIA MITANDAO, ILA HUYU BWANAMDOGO MARA NYINGI UNABII WAKE AU NDOTO ZAKE NI ZA KWELI 100% MWANZO NILI MPUUZA HATA KWA COMENT KUNA SIKU NILIANZA KUPINGA SIKUMALIZA COMENT ILE NIKAFUTA BAADA YA SIKU CHACHE NIKAONA WATEKAJI NA WASIO JULIKANA WAMEANZA KUJITOKEZA AKAJITOKEZA TENA AKASEMA BADO WATAJITOKEZA WENGI TENA AKASEMA MUNGU AMEMWAMBIA WOTE WATAJULOKANA HAPO NDIPO NILIANZA KUOGOPA UKUU WA MUNGU
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 7 сағат бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen!!
@jizzomonster
@jizzomonster 5 сағат бұрын
😂😂😂
@komangohill5957
@komangohill5957 6 сағат бұрын
Wishiful thinking imetawala hapo.
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 4 сағат бұрын
Iam in think thepopularity of bishop Gwajima in.Tanzanzania. If.heis fit to that post or Unfit....
@EmmanuelKolambo-ig6js
@EmmanuelKolambo-ig6js 5 сағат бұрын
Mwalimu,unakula kuwa ulishatabiri kuwa atakuwa rais watanzania ni Josephat Gwajima,Lea unasema mama atauwawa na Gwajima,je huyu Mungu ni kigeugeu?
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Сағат бұрын
kama mzaha lakini ni kweli sisi tulio kwenye ulimwengu wa roho tunaelewa
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 2 сағат бұрын
Hii nchi inabidi hospital za ugojwa wa akili ziongezwe, kuna watu hawapo sawa kabisa, mmoja wapo ni huyu jamaa
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Сағат бұрын
Pole sana
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 Сағат бұрын
Anayepanga kumuua gwajima ajipange
@victorrobert7797
@victorrobert7797 3 сағат бұрын
Amen
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 сағат бұрын
Watu wanahangaika ila Allah anawazoom tu mnaohangaika na wanadamu wake
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 7 сағат бұрын
Utabiri wa uwongo wa Hali ya juu
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 3 сағат бұрын
Acha uchawa kwa kutumia jina la Mungu. Mtaweka nchi kwenye machafuko tokana na njaa zenu kumbaff kabisa sheitwan mkubwa. Umetumwa na Gwajima tapeli mwenzio katika jina la Bwana? Kwanini polisi hawamshiki huyu akawapa ukweli. Hata kiswahili chenyewe hajui.
@norahfrank
@norahfrank 2 сағат бұрын
Usiyoyajua Acha.utapigwa na Mungu
@mahmoudabokar4956
@mahmoudabokar4956 6 сағат бұрын
Wacha kutafuta umarufu na kutafuta njia ya kula na kutafuta pesa.
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 6 сағат бұрын
Ujumbe umefka mtumishi
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 5 сағат бұрын
Wewe ni mwongo namchochezi, sikuamini
@EmmaroseJoseph
@EmmaroseJoseph Сағат бұрын
EE BWANA LIEPUSHIE HILI JAMBO KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
@reginas1832
@reginas1832 Минут бұрын
Mh. Lema hivi hivi wakati wa magufuli
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 5 сағат бұрын
Tushike lipi nabii,nimeshapotea
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 4 сағат бұрын
Isaya 58:1
@studio..07
@studio..07 4 сағат бұрын
Mimi mwenyewe nakuamini
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 Сағат бұрын
Huyu bado hajaokoka ila anamidomo ya kujiendekeza nikwambie Gwajima hayo na hawezi kuwa Rais
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Сағат бұрын
Mbingu zimesha mchagua
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 Сағат бұрын
@@janethmwihumbo1289 Mungu hachagui vipofu kama hawa wenye jina hai ila wamekufa (ufunuo3:1-2)
@victorrobert7797
@victorrobert7797 3 сағат бұрын
Ninyi mnaompinga mtumishi hamna Mungu ,roho mtakatifu hutufunulia yaliyo sirini
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 3 сағат бұрын
roho-Rohomtakatifu!
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 3 сағат бұрын
Mungu mpe neema Mama yetu yakutambua mafumbo!
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 сағат бұрын
Acha ujinga wewe tunatumiya vibaya maandiko nakumbuka ulisema ujinga ukaomba msahama
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 6 сағат бұрын
Utabili WA uongo ? Wahuni Tanzania wapo kimywa kimywa nyie mmesinzia
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 6 сағат бұрын
MAPALOKO NDIO HATARI KWA JAMII 😢
@helsonjonathan
@helsonjonathan 4 сағат бұрын
Kabishoo flani ivi akapendi kazi kana certificate ya thiorojia 😂😂😂
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 сағат бұрын
🤣😂😂😂😂😂😂 acha ujinga wewe
@TeloAwor
@TeloAwor 3 сағат бұрын
Acha ujinga Gwajima ni nani mpaka auwawe ana nini cha maana?
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 сағат бұрын
MUNGU aponye Nchi.
@Selemlaki132
@Selemlaki132 5 сағат бұрын
Utakula mb zetu nyingi
@eliezergama7073
@eliezergama7073 3 сағат бұрын
unakuwa kama kiboko ya wachawi?
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 5 сағат бұрын
Mtu wa ndani ni kiboko,
@mejamiela7436
@mejamiela7436 6 сағат бұрын
Na gwajima kvp
@RehemaMbilinyi-i2e
@RehemaMbilinyi-i2e 2 сағат бұрын
Mpoteano
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 3 сағат бұрын
UNAPOTOA UNABII WA KIFO CHA MTU MKUBWA KAMA HUYU KICHEKO KINATOKA WAPI ?????? MMMMMMM. MHU
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 сағат бұрын
Watumishi wa.shetami
@saidali7644
@saidali7644 3 сағат бұрын
Njaaa tuu hio ulonayooo.
@SalimuMshangama-fv1vc
@SalimuMshangama-fv1vc 8 минут бұрын
Hiyo bangi
@salummsangi4645
@salummsangi4645 5 сағат бұрын
Mbabaishaji na unabii wake feki!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 сағат бұрын
Toeni uongo wenu huo ujumbe wenu hata hatuelewi watauwawa na nani
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 2 сағат бұрын
Wewe utaelewaje mambo ya MUNGU nawakati wewe ni paganism kwendaa chawa mkubwa wewe
@Selemlaki132
@Selemlaki132 5 сағат бұрын
Huyu ni mpinzani tu
@davidwatson6821
@davidwatson6821 4 сағат бұрын
Mmmh!
@eliezergama7073
@eliezergama7073 4 сағат бұрын
unasoma meseji?
@davidwatson6821
@davidwatson6821 4 сағат бұрын
Kwa hiyo mtumishi wewe uko upande gani???
@justinlusambo9454
@justinlusambo9454 19 минут бұрын
Na iwe hivyoo
@allyshaban406
@allyshaban406 6 сағат бұрын
Heti hadi 2035
@anethachengula1258
@anethachengula1258 2 сағат бұрын
ACHENI PROPAGANDA. GWAJINA NI NANI KUUAWA!!!!!
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 5 сағат бұрын
Acha uongo, huna unabii wowote wewe hovyooooo
@RichardRere
@RichardRere 6 сағат бұрын
Ww unayesema huu ni utabiri wa uongo,, kwa hakika wewe ni kipofu
@eliezergama7073
@eliezergama7073 4 сағат бұрын
mbona unatisha watu?
@japhetmwakagugu1968
@japhetmwakagugu1968 6 сағат бұрын
Nasikitika nimepoteza MB zangu kukusikiliza kidogo wewe nabii wa uongo. Mama ana ulinzi wa Mungu wa kweli aliye hai.
@MichaelMatiku-v7o
@MichaelMatiku-v7o 6 сағат бұрын
Mama anasema ana interijensia hiyo jamii inayotaka kumuondolea huai aitomuweza 😂😂😂😂😂😂
@dassustephen731
@dassustephen731 5 сағат бұрын
Kifo kikifika hakinaga cha intelligentsia.Bora tumuombee Raisi wetu
@MichaelMatiku-v7o
@MichaelMatiku-v7o 5 сағат бұрын
@@dassustephen731 muombee wewe angekuwa rahisi wetu angekuwa na roho ya utu Kwa wengine anasema kifo ni kifo angeuliwa mwanae angesema ivyo ? Mshahara wa dhambi ni mauti ....
@dassustephen731
@dassustephen731 5 сағат бұрын
@@MichaelMatiku-v7o Simaanishi namuunga mkono mambo yake au Kauli yake ya wiki hii, rahasha siungi mkono kabisaaa wala Mie simuungi mkono Kwa mambo yanavyoendeshwa Kwa sasa. Nilichomaanisha NI kwamba Kumuonba Mungu yeye anajua amfanyajeyaani Mungu amuongoze ili apite njia sahihi au Mungu anaweza kumuadhibu vile vile Kwa njia arakayoona inafaa.
@edwindavid7037
@edwindavid7037 6 сағат бұрын
😳😳😳
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 6 сағат бұрын
Mungu hashindwi kuokoa au kuangamiza alichokiumba haitaji msaada kwa alichokiumba pia kwahiyo kusema kwako hakuna faida yoyote kwa alivyoviumba kama angetaka kukupa siri ni kwakua amekutunuku tu sio kukuambia ukaseme kwakua kusema kwako hakuzuii alichokipanga nazani huyo ni shetani amekutuma uchonganishe watu tu mungu hana sifa hiyo unayotuambia akiamua hata wewe uliyeota usingeamka acha propaganda na kuchezea akili ya watanzania hiyo ni mipango yako na wajinga wenzako tena polisi tz ingependeza kukukamata wewe na kukuhoji ni bora kuliko kukamata wapinzani
@ramadhan122
@ramadhan122 2 сағат бұрын
Wewe ni mungo na mzandik kadanganye watu wajinga
@karebukaminyoge
@karebukaminyoge 7 сағат бұрын
Daaa nikushauri punguza ukali wa maneno tafuta namna ya kufikisha ujumbe kwa mhusika endapo kweli mungu anakusemesha
@SalimuMshangama-fv1vc
@SalimuMshangama-fv1vc 9 минут бұрын
😢😅
@mahmoudabokar4956
@mahmoudabokar4956 6 сағат бұрын
Makonda leo kasema kuna mapadre feki. Mojawapo ni huyo.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 сағат бұрын
Mwongo sana wewe
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Сағат бұрын
Uongo wake upo wapi?
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Сағат бұрын
@@Mahershalalhashbazi-kf6xi hilo analo sema litatokea sio
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Сағат бұрын
@@samwelmatemu8873 umejuaje wewe ndo swali langu? Yeye ameshuhudia Mungu ndiye kasema naye;wewe umeshuhuduwa na nani kuwa anaongopa?
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 сағат бұрын
Huwa sikuelewagi ndugu. Josephat Gwajima atapitaje kwenye zile kamati 5 za CCM hata apate upenyo wa kugombea hata awe Rais? Hizo zitakuwa ni NDOTO za mchana.
@AsyaOmari
@AsyaOmari 3 сағат бұрын
ndoto itakua inakuhusu wewe ndie utotangulia kabla ya mama Alla amlinde mama yeti na ampe umri mrefu
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 22 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,6 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 9 МЛН
Amakuru Arambuye: 21.09.2024
19:49
RwandaTV
Рет қаралды 1,9 М.
ROHO YA MAUMIVU KWA NCHI.
1:02:57
huduma ya kristo
Рет қаралды 1,9 М.
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 186 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 22 МЛН