Kuaminiana na kuheshimiana ni Moja ya msingi unaoboresha ndoa na kufanya idumu kwa muda mrefu. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Пікірлер: 57
@mhigiisack56675 жыл бұрын
Hapo mchg sijakuelewa vizuri nieleweshe uzito wa maneno haya mke na rafiki, niambie na tofauti yake, zaidi nakupongeza kwa masomo yako mazuri yanatuhuisha kiroho.
@hamidakassim44 жыл бұрын
kipao mbele sanaa mtumishii💯💯✔✔nakubaliana nawe! shukran kwa funzo
@sabrinakenya23535 жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha kiroho na hata kimaisha ubarikiwe sana Mchungaji Amina.
@mpogomimussa23685 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa bwana kwa mafundisho ya maisha yenyewe
@meksonnickson78875 жыл бұрын
Dr mitimingi nakukuabali sana katka mafundisho yko na nayatilia sna MUNGU akubaliki sana
@mrsrummy1585 жыл бұрын
Mungu atusaidie wanandoa
@angelinaelishachisongela78594 жыл бұрын
Tunapona BABA. NEEMA YA BWANA WETU YESU KRISTO IWE PAMOJA NAWE AMEN AMEN
@fatmaalnabhani36094 жыл бұрын
Hivyo vipimo vingekuwa vizuri wapimwe wanaume, haloo my dear I love u mwaah 😘, haya twende tukapime 😂😂😂😂
@orestamwabena17735 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji unanisaidia ndoa Yangu kuwa imara
@selinamnzava77504 жыл бұрын
Sijui nisemeje sio rahisi kumpata mtu kama huyu jamani roho inaniuma sijui nifanyeje, pumzika kwa amani mpendwa
@mzungujohn81665 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafundisho yako yananikumbusha maisha yakumwishia kristo, amina Sana.
@luwi20215 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri
@loisafelix8815 жыл бұрын
Amina
@kfastak5 жыл бұрын
Shukran
@focustz44085 жыл бұрын
amani sana mtumishi
@tulivuevethatemba76285 жыл бұрын
amen amen
@emilygathoni21965 жыл бұрын
Ukweli kabisa,barikiwa sana
@salehejongo27993 жыл бұрын
Dr.Safiii kabisa
@whatsappvideos96154 жыл бұрын
Mungu akubariki
@magnifiquentkrtmna3205 жыл бұрын
Barikiwa wasemakweri
@jeniventinajustine57974 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@deustutu11625 жыл бұрын
Huyu jamaa kiboko mfweka misitu na mkaguz hatar hyo ni wakusukumia ndan
@gracealexander53095 жыл бұрын
Ameen
@evachanjarika1705 жыл бұрын
Amen
@elizabethjacksonelizabith25635 жыл бұрын
nabariki myumishi npate mwenye hofuyako
@mwanaidikitogota57514 жыл бұрын
namkubarii sana
@sadickwalker27955 жыл бұрын
we are together.
@denisgermany32884 жыл бұрын
Hahaha Kali sn pastor
@glorianiyokwizera45124 жыл бұрын
Maneno yako yatapaki kuwa moyoni mwangu Asanti sana RIP 🙏
@jeangodelo53493 жыл бұрын
Ameondoka mapema sana jamani,, Mungu ampumzishe kwa amani lakin tunamisi vingi kutoka kwake,,😭😭😭
@sadickwalker27955 жыл бұрын
Amina.
@fabiolastanley16505 жыл бұрын
nakubali maneno yako Dr
@wemasanga58275 жыл бұрын
Amina mtumishi
@janegeogre32345 жыл бұрын
Hiyo detecter ilogunduliwa huko Marekani ni kiboko!!!
@abdullah-eq3lt5 жыл бұрын
mi nukta ilionigusa ni ukweli na uaminifu katika ndoa yko
@ramaamiri44385 жыл бұрын
amen
@mwanaashajuma31155 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi mafundisho yako yanatusaidia na kututia moy.
@gershomgabriel2145 жыл бұрын
Baba, Dr. na Mch. zote ni kofia zako mm ni kijana mdogo ambaye sijaoa lkn mafundsho yako nayafuatilia sana hakika unaokoa ndoa nying sana kusiko tamkika kwa wale wanaotendea kaz mafundsho haya. Kwa vijana mafundsho yako ya somo la MAISHA YA UCHUMBA NI KIVULI CHA MAISHA HALISI BAADA YA NDOA. nimetaja kichwa cha habari kwa maneno yangu nikilejelea somo lako la kivuli ktk UCHUMBA kama nimekosea kichwa cha somo kukitaja kwa uweledi kumladhi. Ni somo zuri sana. Mungu akubaliki sana. Pia ni ombi langu kwa Mungu azid kukufunulia na mengne meng yatakayo wasaidia watu kwa kuwa kuna watu wanapata shda ktk ndoa zao kwa kukosa maarifa. Keep growing pastor.