RIP this man of God was amentor to my life, your teachings will live forever 🙏
@salehomarlubisia88014 жыл бұрын
Hakika Ulikua jasiri kufanya Kazi ya Mungu na ulitekeleza hadi ulipo kumbatiana na mauti. Mungu Akujalie Mwisho Mwema
@marianalingigwa4684 жыл бұрын
Jina la Bwana Yesu litukuzwe kupitia utumishi wako.Pumzika Kwa amani mtumishi wa Mungu.Mama Mungu akutie nguvu Katika huduma.
@justooluoch24684 жыл бұрын
Pole sana mchungaji kwa yaliyokupata na mkeo huko Awendo Kenya. Mimi ni mKenya na ninathibitisha kwamba polisi wakwetu wa ngazi za chini wana hiyo tabia ya kutesa watu, hata wakenya wenyewe wanateswa hivyo. Endelea tu kuwasamehe na kuwaombea.Nafuatilia sana mafundisho yako kutoka hapa Nairiobi.
@furahayabwana61274 жыл бұрын
Kweli yaani wamejaa tamaa lazima ukiwa unaendesha gari uweke hela za kuwapa njiani 🙈
@celestinebenson81834 жыл бұрын
Mm ni mkenya but hii ni tabia muozo
@furahayabwana61274 жыл бұрын
@@celestinebenson8183 kabisa yaani.Mbaya sana
@julianawilson81794 жыл бұрын
Aiseee kweli,ukiaacha kumtumikia Mungu, automatically utamtumikia shetani.... you're not with us but your words are with us
@gladyswangare35034 жыл бұрын
Kindly members of the church take care of his wife and children. Musiwachee
@MrNorthshoremc4 жыл бұрын
Ohh my God. I loved this servant of God after listening to him the same day i learn about his promotion to Glory. I cant stop crying. What happened?why now, please someone help me understand.
@jaidenrhett59683 жыл бұрын
instablaster...
@vaicefikiri20184 жыл бұрын
Daima mungu hamuachi mwana wake amina
@pastoreliwkimaroni83323 жыл бұрын
Mungu ahimidiwe
@janewanjiku18294 жыл бұрын
Mafundisho makuu Mchunganji RI I P Kenya
@magdalenaayubu20444 жыл бұрын
tulipenda uishi daima lakini mungu atakupenda zaidi
@mr.sangaellies51104 жыл бұрын
Ahsante kwa somo LA imani yenye ujasiri
@frankdev19554 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@marylandmary40675 жыл бұрын
Mm ni Mkenya ,hio ni tabia ya police ya kenya pastor Tusaidie kuombea police ya kenya
@hamidakassim44 жыл бұрын
ntakukumbuka sana Babaa ingawa umetuachaaa😓😓😓ohhh nenda salama
@farajachesco9854 жыл бұрын
RIP Baba Mchungaji tutakukumbuka daima
@makaostanley20944 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman
@janegeogre32344 жыл бұрын
Doh!!!wakenya ni wana roho mbaya sn!!
@patrickmusyoka73535 жыл бұрын
Ameen barikiwa Sana
@ombenindiavana20264 жыл бұрын
Nice one
@khalifalutonja61254 жыл бұрын
Somo zuri
@lydiacherotich3064 жыл бұрын
Nimeamini yesu yupo
@celestinebenson81834 жыл бұрын
Imagine,makosa ya gari ni kukosa sitbelt mteja anaumiaje,it was unfair, pole mama!.
@marylandmary40675 жыл бұрын
Ningemtemea mate ya ushidi mm
@christerrodgers65194 жыл бұрын
Mitimingi bado Unaishi jaman
@everwasike6554 жыл бұрын
Amen
@margrethkimei60394 жыл бұрын
PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI WA BWANA 🙏
@mkabesamaashao68054 жыл бұрын
AMEEN
@marylandmary40675 жыл бұрын
Njina la mungu ni la mungu
@rosesubi38424 жыл бұрын
R. I. P. Baba
@rev.musabalalarogersmusabalala4 жыл бұрын
We Missed u baba
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Dah pumzka kwa aman
@petronilamutindi92724 жыл бұрын
R I P Peter
@samwelmalindi10835 жыл бұрын
Ameeee
@vandickslaa30494 жыл бұрын
Pumzka kwa aman
@brysonuronu58624 жыл бұрын
Yaaaanii
@christerrodgers65194 жыл бұрын
hahahahah asante
@childofgod44124 жыл бұрын
Mh siku hizi kuna walinzi madhabahuni au macho yangu.🙄
@princessrose58824 жыл бұрын
Shut up my friend,,,tunaomboleza mchungaji huyu katuacha 😭😭😭😭
@childofgod44124 жыл бұрын
@@princessrose5882 haina haja ya kutukana ndugu yangu poleni na msiba ni swali tu wala ambalo ungeweza kujibu bila matusi.kuwa basi mstaarabu hupendezi kutukana na kama una uchungu sana basi tufanye yale ambayo alikuwa anatuambia haswa la kufanya mapenzi ya Mungu na kufuata njia safi hilo tu Mungu azidi kutusaidia tufanye mapenzi yake.love you dear🙏🙏
@baltazaryleticia44514 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mchungaji
@blandinakimbe40193 жыл бұрын
Amina amina
@deograciakashaigili59733 жыл бұрын
@@childofgod4412 Barikiwa sana sana nimekupenda!!!