Ukiona unachukia/Haupendi KUTOA ZAKA NA SADAKA basi jua kuwa una tatizo kubwa sana la KIROHO. By. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Пікірлер: 14
@stellaedward77266 жыл бұрын
Dah!! Kweli kbs nami ngoja nmtolee Mungu cz tangu nianze ajira yangu cjawahi mtolea Mungu wa Mbinguni dah! Yesu wangu nsamehe unitie nguvu
@JacksonMnanu-pf3qy Жыл бұрын
Naomba kunua Kwa Nini kwenda Kwa mugaanga ni dhambi
@teddytonny21826 жыл бұрын
nlitaman Sana kujua somo hili Asant mtumishi wa Mungu nmebarikiwa Mungu aniwezeshe nifanye Kama apendavyo🙏🙏
@aminielyusufu43515 жыл бұрын
uko vizuri,Mungu akubariki.Nitakutumia kwa manufaa ya watanzania wote muda wa Bwana ukifika
@akinyisusan80495 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji asande kwa mafunzo mazuri
@tumainiezekia58733 жыл бұрын
Mungu akubariki San pumzik kwaanani
@elimishanyamoga13015 жыл бұрын
Kabisa utoaji ni vita
@aishasasha3503 жыл бұрын
Napata mafubdishi ya zaka nimejuwa sasa Mungu NISAIDIE nisikose kutowa zaka
@shukurualumbatu34926 жыл бұрын
Vizur sana mwalimu ubarikiwe
@cars99696 жыл бұрын
Baba Uwezo this not fair zaka is for the pastor big stomach
@cars99696 жыл бұрын
It is true you will see the pastors with their big stomach and big cars enjoying zaka.
@edwardmamuya80665 жыл бұрын
Mchungaji. Tumtazame pia Baba yetu Ibrahim. Mungu alitaka kumbariki kupita sadaka ya mwanawe Isaka. Siku hizi wahubiri wengi wanamsingizia Yesu amekataza zaka. Wakati yeye mwenyewe anasema hakuja kutangua torati Bali kuiendeleza. Barikiwa!
@wambuakasimu2431 Жыл бұрын
@@cars9969 ndio manake uko na umasikini zaka Ni amri sio tafadhali