MITIMINGI # 366 UKILA ZAKA (FUNGU LA KUMI) UMEKULA SUMU

  Рет қаралды 17,184

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

Күн бұрын

SOMO: Siri iliyomo ndani ya fungu la Kumi
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Пікірлер: 13
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 3 күн бұрын
Sauti ingali ikinena asante yesu kwa zawadi hii
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 3 жыл бұрын
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wenye dhambi na wenye dhambi wakapata Milki mpya kwa njia ya ukombozi. Na fungu la kumi ilikuwa ktk agano la kale. Jipya Ni matoleo au sadaka Ni zaidi ya fungu la kumi.ni kutoa kwa moyo wa kupenda bila sheria, yaani torati. Mungu tusaidie sana
@tegemeamtui3515
@tegemeamtui3515 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mrumishi kwa ujumbe wako...naomba kuuliza ivi nikatenga zaka yangu ila sijaipeleka madhabahuni nikawapatia watu wenye shida katika jamii kama vile watoto yatima au watu wanaoishi katika mazingira magumu ni nitakua niko nimefanya sawa sawa.????
@modecayvalerian9554
@modecayvalerian9554 3 жыл бұрын
Nime barikiwa sana kunzia leo natoa fungu la kumi
@emmanueltwaha1489
@emmanueltwaha1489 6 жыл бұрын
Asante Mtumishi kwa kutuwekea somo zuri, Barikiwa na BWANA
@eliasmaspela8916
@eliasmaspela8916 6 жыл бұрын
Nzur pasta
@patricelias8545
@patricelias8545 5 жыл бұрын
Somo zuri sana ZAKA
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
somo zuri
@jenipherminja3144
@jenipherminja3144 5 жыл бұрын
mtumishi naomba kuuliza ukiwa unafanya kazi utatoa fungu la kumi kwenye gross salary au ile net salary??
@johnny.j.nyondo
@johnny.j.nyondo 4 жыл бұрын
Waliobarikiwa na MUNGU mtu asiwaite mwizi Aisee MUNGU tuokoe
@johnny.j.nyondo
@johnny.j.nyondo 4 жыл бұрын
Hili fundisho linaua kanisa Na kuliweka kanisa kwenye laana ya TORATI Na hiyo kumbukumbu hajaimalizia maana haijaagiza kutoa hela Alafu hilo suala la hela kuwa jiwe na kujikwaa na kuwa kikwazo na wewe mtumishi unalo ndomaana unalifundisha
@princejesus5108
@princejesus5108 3 жыл бұрын
Jiangalie ndugu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
haha pastor unachekesha ila unasema kweli tupu ya MUNGU BABA ni kweli ukila fungu la MUNGU ni balaa,mimi namshukuru MUNGU natoa tena kamili,hata watoto wangu MUNGU aliotupa nawatolea zaka. kwa hapo jamani siyo mwizi kabisa.
MITIMINGI # 367 UTOAJI NI VITA
17:01
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
MITIMINGI # 386 KAMAPANI YAKO ULIYONAYO ITAKUFANYA UFANIKIWE AU USIFANIKIWE
18:11
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 17 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 26 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
50:40
Reality of Christ Church
Рет қаралды 32 М.
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 18 М.
SOMO: KWANINI TUTOE SADAKA BY REV FJ KATUNZI
51:28
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 4,3 М.
MITIMINGI # 738 SIRI YA MAFANIKIO INALETWA NA MAMBO HAYA MUHIMU
15:57
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
UKWELI KUHUSU ZAKA NA DHABIHU
8:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 11 М.
MITIMINGI # 379 UKITAKA KUFANIKIWA JIBORESHE WEWE MWENYEWE KWA KUJIENDELEZA
22:23
MITIMINGI # 369 MADHARA YA KUTAMANI MAISHA YA NJE
30:36
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 35 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 17 МЛН