Mjadala: Je Muundo wa Serikali 3 ni mzigo kweli? Watanganyika na Wazanzibari wauchambua

  Рет қаралды 7,485

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Mjadala kuhusu hoja ya kuwa muundo wa serikali tatu ni gharama na mzigo kwa taifa. Gobless Lema, Wakili Awadh Ali Said na wachangiaji wengine wengi kutoka pande mbili za muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanajadili hoja hiyo. Wasikilize.

Пікірлер: 29
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
Namkubali sana Mzee wangu Awadh Allah akuhifadh.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
MASHALLAH AWADHI sheria unaijuwa. Kama mh. Tundu Lissu.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Mh. Lema umetoa maoni mazuri sana. Na ndugu Awadhi. Serikali 2 ndio Zina gharama zaidi.Mimi naweza kusema Wananchi wote wa pande mbili za muungano. Watanganyika na Wazazi tusikubali tena kubabaishwa na hawa MAJAMBAZI WA CCM SO CALL (SMZ & SMT). wakati umefika wakusimama kidete kudai historia ya nchi zetu. Kundi fulani linafaidika na muungano huu na tunaona kwamba CCM wanarisishana nafasi za uongozi wa juu kwa familie zao. Mifano tunayo. Serikali ya Muungano itakuwa na gharama.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Allah awalinde vnyie nyote mulioko kwenye mjadala huo
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
ASP walikataa kwassbabu hao ASP wenyewe wote ni Kutoka Tanganyika na Nyerere alikuwa tayari ana Ajenda ya Kuemeza Zanzibar. Ujunga wa ASP sasa wanagaiwa tonge ya Vyeo wao na watoto wao hadi leo. Mimi binafsi naona Muunganohuu Lengo lake Kubwa ni Kuuwa Uislamu. Na ndio masna Lukuvi atowa ukweli uliopo kanisani
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Karume mwenyewe amasema muongano ni kama koti tukisikia joto tnaivua tu sio lazima kwa nguvu bora wazanzibari wenyewe wa nataka nini
@muntamudeer4566
@muntamudeer4566 2 жыл бұрын
Nikweli wanatudhulumu daima lkn wakumbuke wanachokila niharamu nawakumbuke kunakufa huko ndo watajua
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 2 жыл бұрын
Ikwa unaona itkua gharama katika srkali 3 basi hapana lazima ya mugano Zanzibar ina furaha kujiedesha wenyewe. Kwahisani yako usjibabaishe furahakubwa kwa wa Zanzibari kutokana na mugano.
@keshe756
@keshe756 2 жыл бұрын
Mnawafanya viongozi wetu wa zanzibar tuwaone c wadilifu na hawawez kutimiza ahadi na malengo waliojipangia na kuwaona km wasaliti kwa kule kuwabana wao na maumivu kutufikia cc. Daima tumekuwa tukiaminishwa kuwa tusubiri maendeleo ya kweli ya sayansi na tecnolojia na kukua kwa uchumi utakaopelekea ajira nyingi na kupunguza makali ya maisha hatimae tunachoambulia ni maisha magumu na ukosefu wa kazi. Tunafaidi fulana za wanasiasa wkt wa kampeni na maneno ya uongo na ahadi zczo tekelezeka..
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Mzanzibari mkaamzi ni mgumo wa Mwinyi aliokubali ku take the bloody presidential post ili aiuze Zanzibar kwa Tanganyika
@keshe756
@keshe756 2 жыл бұрын
Ukweli usio fichika zanzibar inakoseshwa fursa za maendeleo kwa kisingizio cha kuimarisha muungano ilhali inabanwa isiweze kujimudu ili iwe tegemezi kwa Tanganyika. Miaka 50 na kitu ya mapinduzi tumeshindwa kuwa na bandari kubwa ya kisasa wkt zanzibar inategemea biashara na huduma km njia ya kuingizia mapato. Tulitegemea Muungano ungetoa fursa kwa zanzibar kupiga hatua za kiuchumi na kimaendeleo lkn tunachokiona ni uchumi kudidimia na hali kuwa ngumu zaidi ya jana. Fanyeni Muungano wenye tija kwa pande zote mbili nasio kufaidika upande mmoja wa Muungano..
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Mfumo wa GNU Zanzibar uko ktk nchi hata za Scandanevians. Danmark iko na mgumo wa GNU na they share ministers. Huo mfumo wa GNU wa Zanzibar niwakutaka kuwalaza Wazanzibari ili wawatawale
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
kuna mtu apo anakoroma tu, ckiliza mwisho wa mjadalo, utasikia koromo.
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 2 жыл бұрын
😂😂😂
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
Nimesikia mkoromo
@mwigaali1942
@mwigaali1942 2 жыл бұрын
One day yes
@shafaanassor4681
@shafaanassor4681 2 жыл бұрын
} papl Pl) lP
@NaifatJuma-d7b
@NaifatJuma-d7b Жыл бұрын
Ahmed abas wa kombeni znz serikali tatu si gharama italeta usawa kwande mbili za muungano serikali hazina usawa
@keshe756
@keshe756 2 жыл бұрын
Mzigo kweli mana mtakosa kutunyonya
@abdullasleiman796
@abdullasleiman796 2 жыл бұрын
ನಾವು ನಿಮಗೆ ಎರಡೂ ಪ್ರಪಂಚದ ಅತ್ಯುತ್ತಮವಾದದ್ದನ್ನು ಬಯಸುತ್ತೇವೆ
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 2 жыл бұрын
آمين يا رب العالمين
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
HOJA YA GHARAMA NA MUUNGANO Ukiwa na WAKE WATATU ni GHARAMA kubwa za NDOA lakini ukiwa huna MKE, huli GHARAMA za NDOA hata Chembe.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
Rais Samia Hassan ni MZALIWA wa ZANZIBAR lakini Rais Hussein Ali na baba yake Ali Hassan ni WAZALIWA wa TANGANYIKA. Rais Samia na Rais Hussein wote wamewekwa kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa lengo la Tanganyika na Julius Nyerere.
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Hapa ndipo tunapofeli jamani tukianza kumjadili nani katoka wapi nani baba yake kazaliwa wapi hatuwezi kufika jamani kwa njia hii.. Muhimu tuwe focused kwa tunachokitaka, jambo letu la muhimu ni kuidai Zanzibar iwe mbali, Tanganyika iwe mbali, na Serikali ya Muungano ili ijulikane mbichi na mbivu.. Mkisema nani uzawa wake ukoje na nani nasaba yake iko vp hivo hatufiki hata siku moja coz nchi za visiwa always ni multi ethnic group of people, muhimu ni kua na mamlaka yetu kamili..
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 Swadakta! La muhimu zaidi, Zanzibar kuwa na Mamlaka Yake Kamili kama Tanganyika, Kenya na Uganda.
Mohamed Said - Azam TV na Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
51:32
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 15 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 116 МЛН
Othman Masoud ataka Muungano na Utawala wa Haki
1:08:18
Weyani Tv
Рет қаралды 2,8 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН