MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA pt 2

  Рет қаралды 4,638

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@thadeombani7869
@thadeombani7869 5 ай бұрын
Ndacha wewe ni kiboko unajua sana mtumishi❤
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 5 ай бұрын
Hawa wachungaji wa sunday sijui walilishwa nini maandiko yako wazi kabisa lakini hawaoni .kuna andiko limeandikwa kwamba kuna watu waliekewa hukumu tangu mwanzoni na ni kweli na huruma zaidi ni kwamba hukumu itaanzia madhabahuni kwa hivyo mapastor wajumapili jirekebisheni dunia iko mwishoni mnasema mnamgojea YESU nammelala usingizi wa fofofo huruma sana amkenii
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 5 ай бұрын
Ukisikia bangi ya udini ndio hii walionayo wachungqji we jumapili😂😂😂😂😂😂😂😂
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 3 ай бұрын
Huyu mwakemwa nafikiri Roma inamupa mushahara acha😂 uongo wako mandiko yako wazi
@PaulMafuga-jv2xl
@PaulMafuga-jv2xl 5 ай бұрын
Na sijui nani mwalm wa Hawa wahbiri wadaganyifu kbsaa Mungu anawaona wanapotosha watoto wa Mungu
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 5 ай бұрын
Mbona mnapoteza muda. Wasabato ni wayahudi . Watoto Ellen G white. Michigani marekani 7 julai 1945 jumamosi saa6 mchana .
@petromachanga5538
@petromachanga5538 5 ай бұрын
Jumamos si wakristo
@threebrothers..
@threebrothers.. 5 ай бұрын
Chunga ulimi wako,yakobo chapter 3
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 5 ай бұрын
​@@threebrothers..usibishane naye hakuna mtu anakataa biblia hatawahi jua MUNGU, maana biblia ndio msingi, and may God bless Ndacha in abundant, it need heart.
@JafethOdhiambo
@JafethOdhiambo 5 ай бұрын
Hujui ukiongeacho Mungu akisaidie uwe wa mwelewa
@qerysir4410
@qerysir4410 5 ай бұрын
Ellen ndiye aliyeweka AMRI KUMI?
@HellenaMky
@HellenaMky 5 ай бұрын
Waalimu. Mnakazi ngumu. Kuwatoa watu katka giza ambalo shetani amewafunika watu. Pia mwankemwa. Yehova amekuchagua. Kuongoza. Watuwake. Waongoze katika maandiko ya Yehova. Achana. Nahyo theollogea. Nisamehe kama nitakua nimekukwaza
@SaimoniLion
@SaimoniLion 5 ай бұрын
ubalikiwe mwalimu ndacha
@jjtm164
@jjtm164 5 ай бұрын
Yesu alimeza siku ya sabato
@samuellubunga
@samuellubunga 5 ай бұрын
Warumi 14:5-6 siku yote utakayo ifanyia ibada ni sawa Lakini tusiache kuiadhimisha sabato Kutoka 31:16 Tusishindane sisi kwa sisi tusiwape nafasi maaduhi
@samerastus
@samerastus 4 ай бұрын
"hiyo maandiko ikipatikana sitakua na ubishi" Mch. Ndacha hayo ni maneno yako nimeya nukuu.. SWALI; 1.Je, unabishana juu ya Neno la Mungu? 2. NENO la Mungu lasema nini kuhusu kubishana juu ya NENO? 3. SABATO ni SABBATH (Saturday) Je,Kuna udhibitisho upi kwa Bibilia Saturday ndiyo Sabbath?
@RajabJr-r6y
@RajabJr-r6y 5 ай бұрын
Ndacha umepigaje apo !!!? Mwamkemwa za kichwa warumi wamekupapasa akili kw mila za mpinga kiristo kutoka kuleee babeli
@petromachanga5538
@petromachanga5538 5 ай бұрын
Warumi 1:1-11
@mrpeace7150
@mrpeace7150 5 ай бұрын
Mwalimu uko saw kbisa
@ackimackim1880
@ackimackim1880 5 ай бұрын
JMOSI-JMOSI NI SIKU SABA NA JPILI-JPILI NI SIKU SABA. SABATO NI KILA SIKU YA SABA YA IBADA. CHA KUBISHANA APO NI NINI WANA WA MUNGU?
@mush337
@mush337 5 ай бұрын
Sijawai sikia Ndacha akihubiri kuhusu usherati inihali ndio dhambi kubwa iliyokasirisha mungu Hadi Sodom na Gomorrah kuchomwa. Usherati ndio dhambi ambayo imeenea sana,tukifaulu kuhubiri watu waache usherati,sabato haitawashinda .Ukiangalia maeneo ambayo sabato imeenea ukimwi imeenea sana maana watu wanaeza shika sabato ila kuachana na usherati sio rahisi
@StevenBilia
@StevenBilia 5 ай бұрын
Uf 12:14 inajumuisha yote kama sifa ya utakatifu sio sabato tu!
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 5 ай бұрын
Utakatifu upo katika kutii amri za Mungu katika Kristo,,yaani Kristo anakupa Roho wake unaweza kutii amri ,so usherati unakatazwa katika Amri za Mungu,,but sabato wengi wamekataa unaweza kua ww sio kwasherati ila sabato umeikataa,,so wakati mtakubali sabato wakija kanisani pia watafundishwa jinsi ya kua watakatifu
@mush337
@mush337 5 ай бұрын
@@presenttruthloudcryforthel5338 Utakatifu Kwenu ni sabato na utatu
@mush337
@mush337 5 ай бұрын
@@presenttruthloudcryforthel5338 Usherati ndio mwingi,wewe hutaki kuhubiri hio,mtu ambaye hata hajui yesu,unamfunza utatu umusaidie na nini?mkaribishe kanisani kwanza
@mush337
@mush337 5 ай бұрын
@@presenttruthloudcryforthel5338 Hii ndio ujumbe unafaa kuambia watu "Yesu alikufa na siku tatu akafufuka" hio ndio habari ambayo mitume wa yesu walieneza na ndio yenye mnafaa kueneza. Kama sabato ndio muhuri wa Mungu, je wote wanaobudu jumamosi wataenda mbinguni?Na je unaeza enda mtoni ukiwa na muhuri wa Mungu?jibu ni la, huezi enda mtoni huku ukiwa na muhuri wa Mungu,kwa hivyo sabato sio muhuri wa Mungu maana kuna wale wako kwenye sabato ila wataenda motoni
@madatamittage9914
@madatamittage9914 5 ай бұрын
Msipo acha Ukiristo na mkafa ktk huo ukiristo mtakuwa wenye hasara sana, Ukiristo ni dini ya kupanga tuu Wanadamu hata jina lenyewe ukiristo niwapagani walio liita. Mwenyezi Mungu awape Akili ya utambuzi muione njia
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 5 ай бұрын
Sio Kweli unasema ni asara kufa bila kujua yesu
@madatamittage9914
@madatamittage9914 5 ай бұрын
@@franciscomtambakuluca2830 Yesu huyu mnaemfata Leo sio Yule yesu wa ukweli, mnafata yesu Wakutengenezwa. Yesu wa ukweli hajawahi kuwa kristo. Ye ye alikuwa Masihi, huyu kristo niwawarumi washawapoteza watu
@user13375
@user13375 5 ай бұрын
Achana na dini ya majini, wewe ni mwanadam😮😮
@mwoso
@mwoso 5 ай бұрын
Wapi Katika andiko yesu alienda hekaluni Siku ya kwanza ya wiki? Au wapi nitume walifanya ibada Siku ya kwanza ya wiki?
@mwoso
@mwoso 5 ай бұрын
Naona ukweli Katika maelezo ya mwalimu Ndacha. Mwankema ni Kama anawaunga waroma mkono. Kwa hivyo ni ishara ya kuwa yeye ni mtu wa utatu.
MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA
1:33:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 28 М.
NINI MAANA YA KUWA MSHIRIKI WA KANISA
58:29
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 931
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 23 М.
IBILISI MKE WAKE NI NANI?- NDACHA VS Pr MAZINGE
19:27
arkas online tv
Рет қаралды 124 М.
Mtu Wa Uwour Kwa Mhadhara
1:11:49
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 71 М.
CHRISTIAN VS MUSLIM DEBATE KENYA
3:36:17
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4 М.
Mch Moses Magembe - DHAMBI YA ULIMI | IBADA YA JUMAPILI
2:18:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 16 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН