From DR Congo 🇨🇩 Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Mwalimu Ndacha 💐💐💐💐💐💐
@AnitaJuma-eb4jn6 ай бұрын
mwalimu Ndacha nemekuelewa may God guide many years and prosperity
@sutnasndiku6 ай бұрын
Ndacha niombee nipate pesa ni support hii kazi nzuri ya Mungu
@rkellyrkelly14246 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, aki hii dunia😂😂😂😂
@Robert_7876 ай бұрын
Ujui kuomba mwenyewe?
@sutnasndiku6 ай бұрын
@@Robert_787 wewe ni Ndacha?
@sutnasndiku6 ай бұрын
@@rkellyrkelly1424 Just imagine 🤔🤔🤔🤔
@macdonaldotieno50106 ай бұрын
Mungu hatakusaidie
@daudmtoba1916 ай бұрын
Mwalimu ndacha ubalikiwe mno😂😂 nafurah sana sana Kwa mafundisho yako mazuri 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@BethaniamwalongoАй бұрын
Wanafunzi wa daniel polen sana maana hata mwalim. Wenu haeliwi
@ChrispinOriama6 ай бұрын
Siku hakuna siku maskio itazidi kichwa vivyo hivyo hakuna siku uongo itazidi ukweli, hawa wamekataa amri za Mungu wakakumbatia mapokeo ya mnyama. Ni sawa lkn Mwalimu Ndacha Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kufunua ukweli wake.
@moshantoj6 ай бұрын
La kushangaza ni kwamba hata hajui maana ya mnyama na ni wachungaji 😂😂
@petromachanga55386 ай бұрын
Soma Marko 12:28, , _34 kunasabato hap?
@Kanyawela6 ай бұрын
Ibada ni kila siku ni kila siku
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Mdacha hajui agano jipya,Mandiko yanasema Torati na Sheria vilikuja Kwa mkono Musa Neema na kweli vilikuja Kwa mkono wa Yesu Kristo, Yohana1:17-18
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Sabato ya kweli ya rohoni na kufanya ibada kila siku,
@MzaziMwidete2 ай бұрын
Mwl Ndacha wewe Mungu anakutumia, nimekuelewa vizuri sana .pole Daniel usifanye moyo mgumu..Usione aibu kukubali ukweli wa Ndacha.
@Nolithajack126 ай бұрын
Ndacha nimwarimu ❤ nimukweri Mungu arakuripa
@Majiifande6 ай бұрын
Daa, Mwankemwa umebabaika sana. Unatumia nguvu nyingi sana kupotosha watu.
@sirpleasureb6 ай бұрын
SABATO YANGU YA KWANZA KWA MAPENZI YA MUNGU TANGIA NIZALIWE ITAKUA JUMAMOSI IJAYO 22:6;24 NIOMBEENI WATUMISHI.SHALOM
@JosephMpangala-wd5mp6 ай бұрын
Àmina, Mungu akubariki sana kwamaamuzi sahihi, umechagua fungu jema, ninakuombea.
@sirpleasureb6 ай бұрын
@@JosephMpangala-wd5mp amina.tuombeane.
@dancanomwenga19876 ай бұрын
Amina, Mungu akulinde na akujengee Imani thabiti
@Motheking-ps2tl6 ай бұрын
Nipe maandiko jumamosi ndio siku ya ibada
@sirpleasureb6 ай бұрын
@@Motheking-ps2tl luka 24:53-56 then luka 24:1-2.
@FaithJohn-b8x2 ай бұрын
Ndacha Mungu akupe hekima zaidi,japo wamelewa na mvinyo wa yule mwanamke kahaba ,
@mwoso6 ай бұрын
Yesu alitii sabato na hata wakristo na mitume waliendelea kuitii. Soma Mathew 24:20, Luke 4:16, acts 13:14, acts 13:42-44, acts 16:13, acts18:4. Lakini hakuna andiko ambalo linasema yesu alikana sabato. Amri 10 za Mungu haziwazi kuvunjwa wala kubadilishwa na binadamu.
@nicodemuswidambe51325 ай бұрын
Hata Yesu hakutii sabato bwn, alifanya kazi kwa kuponya watu siku huko ndo kutii? Hafu mnao sali jmos mbona yesu hamumjui? Msalaba kanisani kwenu hamuweki kwanini? Mnamuimba vzr lkn hamumfuati. Hebu kila mtu asali anakoona Mungu atamsikia. Hatutaenda mbinguni eti sababu ya kusali cku fulani bali kwa matendo yetu. Mafarisayo waliifuata sabato lkn ndo wanafiki wa kwanza
@0yh9645 ай бұрын
Soma matthew 12:12 Yesu ameruhusu kufanya mambo mema siku ya sabato siyo kufanya kazi, know the difference.@@nicodemuswidambe5132
@ZabronWambura-yb5jf5 ай бұрын
@@nicodemuswidambe5132 na unaitwa nicodemus nimekumbuka nicodemus wa biblia😅😅😅😅
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
@@nicodemuswidambe5132leta andiko ndo tujuwe usitowe kwa Mawazo yako tu
@MathayoGervas-z6gАй бұрын
Unajua maana ya sabato alivunja yesu sabaroYohana 5:15-19, 22 15 Yule mtu akaenda zake, akawapasha habari Wayahudi ya kwamba ni Yesu aliyemfanya kuwa mzima. 16 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato. 17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. 18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia, 19 Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile. 22 Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote;
@christophermotonyi25475 ай бұрын
Ndacha the best teacher
@CubakaCirhuza-j1c3 ай бұрын
Mwalimu Francis Ndacha, Mwenyezi Mungu wetu akubariki!
@gastokonzo97986 ай бұрын
Daniel oja ZAKO dhaifu
@didasmajor92886 ай бұрын
Nimependa sana mdahalo huu, barikiweni nyote kwa elimu nzuri
@RehemaKaingu-c1z6 ай бұрын
Mtumishi Ndacha Barikiwa sana
@mathieuombeni46436 ай бұрын
From DR Congo 🇨🇩/Mwalimu 👉🏼 Mwankemwa, leo ameingia shuleni
@AMKENIKWAYAGospelmusic6 ай бұрын
Katika amri kumi hakuna ibada inazungumuzwa,Mungu alisema Nisiku ya mapumuziko Ibada inafanyika Kira siku MATENDO YAMITUME 2:46. Soma Hapo na pumziko ,Kupumzika kwa Mukrito anapumzikia ndani ya Kristo Asante mbarikiwe Amen 🙏🏻
@aminakadzo11424 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu ndacha na kikundi chako na akutumie zaidi ❤
@Masotastv13896 ай бұрын
Mwl Mwankemwa pole, huyo Ndacha ni fundi sana aisee.
@PaulRichard-vq9xz4 ай бұрын
Mungu awabariki sana sanasana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Glory to God
@fredykiluka66066 ай бұрын
Yan saiz bando langu aliendi bure .....ndacha mungu kakufungua
@khizarjr76943 ай бұрын
Subhana Allah mwenyezi mungu azidi kuwaogoza makafiri
@japhetndoro65332 ай бұрын
Kafiri ninani ww
@MathayoGervas-z6gАй бұрын
wewe apo muisrael uwauwae manabii namitume we ndie kafili hujijui ukokundi gani kimandiko😅
@Thruthministry6 ай бұрын
Kazi inazidi kusonga zaidi maana itamaalizwa na wachachee tuu ,, ndacha BWANA akubariki
@JosephDadu-bj2ck6 ай бұрын
mbona akuna Manali pa download apa
@renatuskweyamba64606 ай бұрын
Mwenyewe napatafta sipapati jamaniiii
@onkombageoffrey52266 ай бұрын
Hipo download ukipeleka kushoto hapo pa share
@IpyanaPaul6 ай бұрын
Ndacha vs mwankemwa wote ni walimu wazuri Sana nimewapenda Sana nawote mpo sawa jumamosi jumapili zote ni Safi kwa MUNGU nawote tuna mwamini YESU KRISTO kuwa mwana wa MUNGU na alikufa na kufufuka kikubwa tusitende dhambi. Jumamosi haita kusaidia ukiwa mtenda dhambi. Jumapili haita kusaidia ukiwa mtenda dhambi. Sisi sote ni wa Baba yetu mmoja. Mbarikiwe Sana walimu wangu 🙏
@stephen-S7n6 ай бұрын
@@IpyanaPaulmada sio ni siku gani itakusaidia, madi ni sabbath ya biblia ni siku gani? Ili watu wawe huru na uongo WA bishops na pope
@ABELYZAKAYO3 ай бұрын
😢ama kweli wapinga kristo niwengi maana ivi Kati ya MUNGU na mwanadamu Nani wakufuata
@michaelkishosha23916 ай бұрын
Mch Ndacha Mungu akubariki uendelee kufanyka Nuru Kwa wengi,nna hakika wale Mungu aliokusudia wataongolewa.
@mozesdaniel74846 ай бұрын
Ndacha Is fine thanks nimeelewa vzr naachana na Waprotestanti.. Hatakm ni chungu but nikweli isiyo na konakona
@tsumamartin68786 ай бұрын
Leo kinyanganyiro
@isayaogola87336 ай бұрын
mchungaji Ndacha Mungu akubatiki
@MzaziMwidete2 ай бұрын
Leo ndio nimetambua kuwa siku ya pumziko ni jmosi . Walimu wangu ! Nawaomba kesho muendele na huo mdahalo . Mungu awabariki !! Kupitia mdahalo huo wengi tumepona .hata Ustadhi Daniel amepona.
@mwoso6 ай бұрын
Kumega mkate haikua dhibitisho ya kuabudu siku ya jumapili. Pia yesu kufufuka siku ya tatu haikumanisha watu waanze kufanya ibada jumapili.
@sylvestersamwel82106 ай бұрын
YESU alikufa kwa ajili ya ondoleo la dhambi siyo kwa ajili ya kubadisha Amri za Mungu.
@christophersimwinga66896 ай бұрын
Ondoleo la dhambi likiwapo Sheria inakosa kazi .
@sylvestersamwel82106 ай бұрын
@@christophersimwinga6689 Basi zikose kazi zote sio ya nne tu, kama ni kuzini, kuiba,kuwaheshimu wazazi na nyingene zote tuzivunje!!
@sylvestersamwel82106 ай бұрын
@@christophersimwinga6689 Basi isiwe kwa amri ya nne tu, kuzini, kuiba, kuwaheshimu baba na mama na nyingine zote tuvunje!! Sheria za Mungu ni kioo( dira) ya maisha ya Ukristo.
@christophersimwinga66896 ай бұрын
Haya mengine yanatimizwa kwasabbu Yameelekezwa kufuatwa katka Agano jipya. Hakuna aliye sema tushike sabato katka Agano jipya.
Ndacha wew ni mwalimu hakika mungu anakutumia sawa sawa na mapenzi yake
@JosephNyaberi-sb1rf6 ай бұрын
Jinga hii ni ya wapi?
@herimwinge-et9ei3 ай бұрын
Kwenye mdahalo huu kuna mtu anaeleza ukweli na kuna mtu analinda mchongo. NDACHA BALIKIWA SANA.
@ellymakongo6564 ай бұрын
Ndacha Mungu anakutumia
@marrygicho40506 ай бұрын
Kuna watu wako kwenye giza sana kuyaelewa maadiko' kama amrita kumi za MUNGU hazijabadiriswa bona mtu azibadirishe? Mtakuja mwambiaje YESU arudipo.
@gracemoraa39633 ай бұрын
Mchungaji Ndacha mungu akupaliki sana nawacha roho asidi kukuongoza kutoa watu kutoka upotofu.
@dismasndaro6 ай бұрын
Wao wamepigwa upofu juu ya siku izi sabato ni amri ya mungu na pumziko la mungu mwenyewe mbona mmekuwa vipofu wa kiroho jamani
@Nolithajack126 ай бұрын
Daniel hana hoja❤
@japhetndoro65336 ай бұрын
Hii mada ukimwangalia huyu mtanzania nikama anakataa sabato ndacha barikiwa sana
@francisjoseph10746 ай бұрын
Sabato NI kwa wayahudi sasa nyie wabantu na sabato wapi na wapi , myahudi akisali siku ya sabato NI Sawa , na kunasababu
@japhetndoro65333 ай бұрын
Soma marko2:27-28 Sabato ilifanyika Kwa ajili ya mwanadamu kwaivo ww ni mwanadamu ama nimnyama
@samerastus5 ай бұрын
Wakristo msikashifiane mkikosoana kwa ni nani aliye sawa katika Majira na siku za ibaada,mradi ninyi nyote mu waaminifu na wamoja wa Kristo. Someni (Mariko 9:38-41)
@AnitaJuma-eb4jn6 ай бұрын
Ooh lord guide us and show us your way 🙏🙏🙏
@AlphonsinaMkongoma5 ай бұрын
Yesu ndiye Bwana wa sabato kinacho takiwa ni kumkili yesu na kutubu dhambi kinacho itajika ni kumkili Yesu na kuishi maisha matakatifu tu.izo Siku nikelele tuu hakuna siku itakayo mpeleka MTU Mbinguni sipokuwa utakatifu tu
@AlphonsinaMkongoma5 ай бұрын
Yesu ndiye Bwana wa sabato kinacho takiwa ni kumkili yesu na kutubu dhambi kinacho itajika ni kumkili Yesu na kuishi maisha matakatifu tu.izo Siku nikelele tuu hakuna siku itakayo mpeleka MTU Mbinguni sipokuwa utakatifu tu
@GodfreyErene6 ай бұрын
Hao wasabato ukiondoa kurud kwa yesu mara ya pili na mambo ya unabii hawana mafundisho tuzidi kuwaombea maana wanaabudu siku badala ya kumwabudu mwenye siku. mch daniel barikiwa sana kwa kuwafundisha washika siku.
@GodfreyErene6 ай бұрын
😂😅😂yaani ndacha nilikua namuamini sana ila kwenye kutetea sabato kachemka vibaya sana, ukweli ni kwamba hata wanao shika sabato Bado wanashindwa kwani wengi wao tunawaona wakipika,wakisafiri, wakibeba mizigo na hata wengine kuwapa watu mifugo Yao kuwachungia siku ya sabato.kinyume na sabato inavotaka
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
Kipofu kitaombea watu wazima?
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
@@GodfreyErenesasa hapo ndipo mume funga Macho kbs kwanini mna amini amli kwanini moja mnayitowa? Soma Matayo 5:17 Yesu mwenyewe alisema kwamba hakukuja kutowa Amli za Mungu
@amosmalakyese-i4q2 ай бұрын
Ni watu wa kitabu
@peteryona30185 ай бұрын
Mwalimu Mwankemwa uko vizuri
@japhetndoro65333 ай бұрын
Mwakema mwongo nawe
@MUSSAMSAFIRI-cj9nz6 ай бұрын
Ndacha yuko vizuri sana tatizo lake c mwislam tu ila ukweli anaujua sana
@ismailmasoud60016 ай бұрын
Huyu muda c mrefu anasilimu, maana mahubiri yake ya Sasa anahubiri MUNGU ni Mmoja , sio watatu..! Lkn hapo ndacha anamuuliza mwenzie atoe andiko kati ya MUNGU au Yesu ni nani alibadilisha sabato, yaani ameshajua Kuna MUNGU halafu Kuna Yesu, 🤣🤣🤣.
@ZabronWambura-yb5jf5 ай бұрын
@@ismailmasoud6001mnajifariji😅😅😅😅😅
@EdsonDaud-rg5jk6 ай бұрын
Mwalimu ndacha ubarikiwe sana ushuuda umeutoa kweli u sahii
@andrewsylv82482 ай бұрын
John 4:23-24...."the hour is coming ,and now is ,when TRUE worshipers will worship the father in spirit and in truth,,,,the father is seeking such to worship him.."" ibada ya kweli hai husu siku......inahusu hali ya roho ya yule anae fanya ibada .....MUNGU anatafuta wanao abudu kwa roho na kweli ....kuna wale ambao wanazingatia iyo siku ya jumamosi ,,,na ibada wanayo ifanya sio ya roho na kweli,,,,sasa hapa siku haijalishi,,,,,unaweza abudu MUNGU siku yoyote ,bora iwe kwa roho na kweli
@thechosen62205 ай бұрын
By the time ndacha anamaliza his first argument debate imeisha😂😂😂😂 Daniel roasted the mwakemwa🎉🎉
@Lubungotitoelise2 ай бұрын
Ndacha umeenda vibaya katika kutafsiri eti haiwezekani Mungu ni mmoja kisha aamurishe kundi moja hivi na ingine hivi, watu wa zamani waliambiwa jicho kwa jicho yesu alipokuja ametukatalia.
@moshantoj6 ай бұрын
La kushangaza ni kwamba hata hawajui maana ya mnyama na ni wachungaji 😂😂
@japhetndoro65333 ай бұрын
Nani hawajui Mambo ya mnyama
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
@@japhetndoro6533ni wenye wanaenda ibada sunday wale tu.
@MathayoGervas-z6gАй бұрын
wee unajua maana yamnya kimandiko wewe😅kuwa mwelewa maana yamnya niumoja wamakanisa ulimwenguni
@edwardmugendi-hb1tj6 ай бұрын
hapana hawa watu wanashetani kichwani siyo kawaida asee, maana kitabu cha danieli kiko hai na kimeenza kufanya kazi mpaka sasa lakini haya majamaa hayana habari yanazani bado, najisikia vibaya mimi siyo sili😢😢
@AmourHamza-m3j5 ай бұрын
Hivi ninyi ni waiziraeli?
@BrianMaraga-nk4zr5 ай бұрын
Abarikiwe Ndacha
@Georgemutwiri-v5b5 ай бұрын
Danieli umeshindwa kubali
@anafikamugisha88345 ай бұрын
Ndacha 🎉❤❤❤❤
@EzekielBrown-yq9ui6 ай бұрын
Ndacha unajua sana maandiko ila unakwepa
@RossaRutasha5 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu wa kweli hana mpinzani hapa duniani 😅😅
@elizabethnzula67046 ай бұрын
Mwalimu dacha ako right kabisa pasha sauti dacha dunia ipone tumechoka kundanganya na hawa wachungaji bubu wanaofanyia kazi chakula cha tumbo na kusahahu hukumu iliyo mbele yao chakuhuzunisha ni kwamba humo kanisani wanaofundisha upotovu huu kuna watu hawajui kujisomea maandiko hivyo huwa vile wakisomewa wanaamini ni hivyo .kuna hatari kubwa wachungaji ambao wanapindisha maandiko na kupoteza watu ambao wanampenda MUNGU SANA.....NASEMA HIVI AMRI ZA MUNGU NI ZA MILELE....Mwalimu dacha MUNGU akubariki sana kea ukweli huh.
@PascasMathew6 ай бұрын
Sabato na Ukristo ni vitu viwili tofauti . Yesu mwenyewe hakwenda kuabudi ktk sinagogi balialienda kuwafundisha habar za ufalme wa mbinguni ,na baada hapo alikwenda kuomba ktk mlima wa mizeituni .
@nicodemuswidambe51325 ай бұрын
Wasabato cyo dhehebu ni waabudu siku ya saba. "Seveth day adverntist" hivyo tusibabaishane wao ni waabudu wa siku ya saba. Hakuna kingine. Swali langu: Agano jipya nani alileta na kwanini??
@YusufShane-b6k2 ай бұрын
Maybe u are right but ukweli ni kuwa huulewi kabsaa bible
@YusufShane-b6k2 ай бұрын
Ety wanaabudu siku kwani amri ni Nini?
@SamuelmuneneMuthoni5 ай бұрын
Mwakemwa wacha ukaangwe 😅😅😅😮😮
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Sabato inabaki tu kama historia lakini sio uhalisia ni Agano jipya
@UswegeJohn-ov3ym6 ай бұрын
Daniel ni Mwalimu professional kabisa ingawa watu wa mwilini hawakuelewi.
@estakenia6 ай бұрын
😂 alie wa mwilini ni wewe
@Shomariamuri16 ай бұрын
Ni mwalimu kweli, lakini mafundisho yake sio ya Biblia bali ni Theologia ya ki catholic 😂
@msemakweli2436 ай бұрын
Mwankemwa hapo umechemka umeshindwa kudhibitisha lini siku ya kusali ni lini?
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Mwankemwa Kanisa limekwelewa, Hizo amri zililewa na Musa na Neema na kweli zililetwa na Yesu Kristo
@EmmanuelMoses-pb1zh6 ай бұрын
Nimejaribu kumsikiliza mwankemwa lakin ata sielewi kabcaa
@DanielErnest-nn2zj6 ай бұрын
Na hauwezi kumuelewa maana anapinga amri za Mungu
@JafethOdhiambo6 ай бұрын
Hana jibu la point
@JONATHANSETI-yd5uq5 ай бұрын
Huwezi kimuelewa wakati Bado haujachagua kumuelewa pole sana ndugu ,waruma 14:1-
@filexbenefits56126 ай бұрын
Hama siku ya kwanza ya juma, konfiushoni, results of being in Babylon
@PascasMathew6 ай бұрын
Kweli nimeamini kwamba Mungu anaweza kukupa vitu vingi sana lkn lipo moja aweza kukuficha usioelewe kabisa. Ndacha Mungu kakupa vingi lkn hili moja bado hajakufunulia . Nina imani kama ukiamua kuomba ktk Roho na kweli Mungu atakufunulia hili . Kuhusu siku sio jumamosi bali .ni Kila siku ❤ .Baki kwenye sheria utaachwa mbali
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
Sasa mbona huja towa andiko wewe? Yesu kasema nini katika Matayo 5:17
@benardmwamboneke96126 ай бұрын
Ndacha❤
@Neemaamani-dj5dg6 ай бұрын
Ndacha 🙏🙏
@POVELSPORTS6 ай бұрын
Mbn kipande Cha mwl mwankimwe hakuna watumish
@TitusSirwoi29 күн бұрын
Paulo na yesu ninani anafaa kufwatwa. Yesu alituonya juu ya walimu waongo siku hizi za Leo kama akina Daniel nawengine ambao wame kataa sabato ya mungu na kuweka siku ya kwanza.
@ismailmasoud60016 ай бұрын
Ndacha anamuuliza mwankemwa atoe andiko ni nani alibadilisha sabato ni MUNGU au Yesu.? , 🤣🤣🤣....kumbe anajua kuna MUNGU na kuna Yesu 🤣🤣🤣
@issakisu48696 ай бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣
@AllySilwamba6 ай бұрын
Mchungaji Mwakemwa uwe una jibu hoja kwa Vifungu sio kwakusematu. Iliwasikilizaji wa sibitishe
@nicodemuswidambe51325 ай бұрын
Kumbe kuna sabato nyingi? Duuh hiyo tafsiri ya wakolosai mmh huu ni uongo.
@JosephMpangala-wd5mp6 ай бұрын
Ukweli utabaki kuwakweli,nauongo utabaki kuwaongo,mwanadamu amepewa uchaguzi wa kuamua anasimama upande upi,mwisho nihukumu.Mathayo7:24-26.
@aliyyuhibu35616 ай бұрын
Daniel yuko vizuri ndacha chagua moja kumfata paulo au manabii
@HellenaMky6 ай бұрын
Mwlm danieli unakosea Sana biblia Iko wazi siku ya Bwana nimojatu. Kama hyo jumapili kwanini isiitwe sku ya bwana?hebu msiwachanganye watu. Jumapili nisku yakwanza.
@daudifoti76466 ай бұрын
Hello me naombeni namba ya mwalimu ndacha watu wa MUNGU
@BIBLIANURUYADUNIA6 ай бұрын
+254705602959
@mosesmwalugale188329 күн бұрын
Hivi sasa siku ya sabato ni historia baada ya kuja Kwa Bwana Yesu
@cosmassisa52566 ай бұрын
Haha 51:50 huyu Daniel mpotoshaji sana kwani hajui kwamba Paulo anaposema aliwaudhi Wayahudi ni kwamba alikuwa akiwaua Wayahudi. Kabla ya Paulo kuwa mtumi, alkuwa akiitwa Sauli na aliwaua Wayahudi wengi sana. Baada ya Yesu kumtokea ndipo alikuwa mtume. Sasa Daniel anakuja kusema kwamba kisa alikuwa Msabato😂😂
@JafethOdhiambo6 ай бұрын
Hapo hakuna mjadala Yesu ni mshindi siku zote Amina
@albertvalentino1306 ай бұрын
Wasabato mnatia huruma linapokuja suala la kuitafsiri Torati kwa muktadha wake ---- mnafanya vizuri mnapoutetea ukristo dhidi ya imani nyingine zisizo za kikristo,lakini nadhani mnahitaji kunyenyekea na kukubali kufundishwa ili muweze kujua nini muktadha na makusudi ya sheria ( Torati ) juu ya mwanadamu,ikiwemo hiyo amri ya Sabato,ukizingatia na hitaji la msingi la mwanadamu la kuokolewa kutoka dhambini.
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
Wongo wako we leta andiko
@tobiaswabwoba38056 ай бұрын
Huyu jamaa haelewi maandiko kabisa
@bonifasiemanueli216 ай бұрын
Mwankemwa hamuwezi Ndacha kwa Neno,ni hatari hata waislam wanamuogopa😢
@herimwinge-et9ei3 ай бұрын
Ndacha mkali na nimuelewa lkn kwa Waislamu Ndacha anafundishwa kwa sababu Quran aijui anako tegemea yeye kunawabobezi wa kwenye Biblia kwa Ndacha anakua chai ilio poa anakua mtu wa kujitetea tu.
@EfraimNjole6 ай бұрын
Nimekukubari
@albertvalentino1306 ай бұрын
Kwa mkristo anayeujua ukristo wake vizuri,kila siku na muda wote ni muda wa ibada --- ibada inapaswa kuwa ni sehemu ya maisha ya kila siku na muda wote.
@alzawahirabdallah22996 ай бұрын
Hakuna kanisa la kwenda kila siku utakuwa maskini na ndio maana ukawekewa kwa wiki mara moja upate kutowa fungu la kumi vizuri
@NicholausNkumira-ue8fe6 ай бұрын
Mwankemwa umeshinda, Roho mt. alishuka Jumapili, Bwana Yesu alifufuka Jpili na aliendelea kuwatokea Wanafunzi Jpili Wanafunzi wakawa wanakutana Siku ya Kwanza ya Juma. Acheni hiyo mijadala wakristo Kwa wakristo. Bwana Yesu alibadilisha Kwa kuanzisha Agano jipya.
@BonaneCanisius-t1s3 ай бұрын
Sasa alifufuka akiwakuta shambani wakienda kulima,😅😅
@christophersimwinga66896 ай бұрын
Amri na Sheria hazikusaidia kuleta ukombozi zilishindwa na badala yake ikaja neema Kwa kifo Cha BWANA Yesu kristo .ndio mana Agano la kale likaitwa Agano chakavu Kwanini tuendelee na Agano chakavu . Mi naona hili Mmekosa kazi
@filexbenefits56126 ай бұрын
Wacha watu wakose kazi ww uliyenayo ifanye, hata nashaka waijua kazi yako gani na wala kwa namna io huwezijua
@Shomariamuri16 ай бұрын
Umeptea wewe ndugu yangu. Hakuna sheria ya Mungu ambayo mtu yeyote anafaa kuvunja.
@christophersimwinga66896 ай бұрын
Kuendelea kushika amri na Sheria ni kukataa ukombozi ulioletwa kwa njia ya yesu kufa msalabani. . Sheria amri Torati na sadaka vilishindwa kuleta ukombozi ndipo yesu akafa msalabani kwa ajili ya kuleta ukombozi
@ZabronWambura-yb5jf5 ай бұрын
@@christophersimwinga6689yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu,,,pili ilivofika sabato yesu alienda sinagogi akaponya,,,tatu yesu anasema utoapo sadaka yako na zaka yako iwe ni siri yako na baba yako,,,,sasa unapotuambia hivyo vilipita si yesu asingevifundisha
@EzekielBrown-yq9ui6 ай бұрын
Usikwepe ndacha zile siku za kumega mkate katika kitabu Cha kutoka ziliitwaje kama ni sabato ni nani
@davidogero9796Ай бұрын
amen
@godwinkileo77024 ай бұрын
Kwahiyo kujifunza neno la Mungu ni jumamosi tu😅😅😅siku zingine hakuna kujifunza? Hatari kweli
@SelestiniAlfonceАй бұрын
Ndacha kasema jambo moja kuwa yesu alijua kuwa siku ya mwisho kutakuwa na sabato sasa vipi hii juma pili ime tokea wapi
@EmileClaver2 ай бұрын
Daniel yuko sahihi
@ShabiniAmriСағат бұрын
Dah! Mtachekwa yaani mnavutana wenyewe kwa wenyewe yaani mnatuonesha njia yakua hukosiko ,yakwamba hiyodini niyakuchezea akili za watu,nakuchukua pesazetu za michango, duuu! Yaani mnatuumiza vichwaaaaa,
@Gkk19495 ай бұрын
Yani huyu mchungaji hajui hizi picha sina maana gani
@HeppynesLugoga5 ай бұрын
Mwankemwa ubarikiwe
@KennedyLaizer-wx8uw5 ай бұрын
Jonathan Edwards had put this matter clear. Go and read the work of Jonathan Edwards on perpetual sabbath