Cha umuhimu ni kujua ya kwamba Mtume MUhammad s.a. w. ni nabii wa mwisho na ndie roho wa kweli na Uislamu ni dini ya haki na kweli kwa mwenyezi Mungu.
@joelmbuvi12334 жыл бұрын
safi sana richard ....May Allah guide us and grant us paradise
@mazeka84024 жыл бұрын
@@joelmbuvi1233 alhamdulillah
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Ndacha wacha kupindua maandiko...musa hakuwahi kuwa na kanisa soma andiko vizuri ueleweke
@epizonepae23003 жыл бұрын
May almighty God bless Teacher Ndacha.tuonane nae katika siku ya kristo.
@richardsineno67205 жыл бұрын
Kanzu ni vazi takatifu na wakristo si watakatifu hawawezi kuvaa kwa sababu ni makafiri wanaoabudu miungu.
@omarabeid13634 жыл бұрын
Shekh Yussuf wafundishe wakitaka wafate Allah pamoja nawe
@higahassib66145 жыл бұрын
Mbona umejificha mrongo huyo anadanganya watu thanks sheik Yusuf for good job
@sarahsalim57693 жыл бұрын
Pole sana ndacha unahubiri maneno aliyosema paul sio Mungu wala Yesu. Pole sana hiyo bibilia yenyewe imetafsiliwa sio ya kweli
@ashamasudi94415 жыл бұрын
subhannallah ndacha akapoteza watu kwa tamaa yake Allah yuakuona
@abdisaleh83604 жыл бұрын
Alhamdulilah! Allah kutupa masheshe jasiri kuwapa wakristo ukweli kwani hawajielewi.
@pippipa9204 жыл бұрын
Shukurani saana mungu akubariki mkristo mwenzetu asante
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
😁😁😁😁 uisilamu dio dini ya haki na unzima
@pippipa9204 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp sio kweli, lamda kwa mdomo wako mbona kor'an haisemi kwamba uislamu ndo njia daah et inasema uislamu dini tu mnaamiini huyo Muhammad.. Krsto ndo njia ya kwenda kwa baba
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
@@pippipa920 matatizo Elimu, quraan 6:126 umeweka kila kitu sawa
@edsonthobias35944 жыл бұрын
@@pippipa920 👍👍👍
@eastafrica68584 жыл бұрын
Ndachaa muongo yesu kasema kweli mm ndio njia na uzima lakini kwa njia ya kwenda kwa mmungu lakini hajesema ni mm kristoo acha uongo
@ahmedikhamis27225 жыл бұрын
Masha Allah masheikh wetu kwa kazi mzur. Mwenyez mungu awalipe malipo kamil na awape maisha marefu yenye kheri na nyie. Amhed kutoka Tz.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@husseinkiruta63565 жыл бұрын
MashaaAllah masheikh wetu Huyo kafiri ndacha hana lolote
@ibrahimkhalif70195 жыл бұрын
Mashallah sheikh yusuf wambugu ukweli umefikisha Allah akuzidishie elimu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@maestrozedtrickings07803 жыл бұрын
Wallah ALLAH akulipeni kheri ustdh yusuph pamoja na wenzako mnafanya vizur sana mnawakomesha hao makaafir na ubishi wao wa bure tuu ALLAH awalaani hao makafir wafe wakauone moto mkali wa ALLAH tabaaraka wataallah
@omarmchinja76605 жыл бұрын
Ndacha sio mhadhiri badala atufundishe kuhusu ukristo ni dini ya haki yeye anakimbila Quran tu, hana hoja wallah.. na hawezi kushindana na kitabu kisicho na Shaka ndani yake.. mashekh Allah awajaze na Kila la kheri katika daawah na sisi sote pia
@abdinoorali54713 жыл бұрын
Masha Allah, sheikh yusuf may Allah blessed you
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Amin sote
@hamadamabali28954 жыл бұрын
Ndacha kichwa yake si mzuri, anafurahisha na kupotosha Wakiristo tuu kwa ajili ya Sadaka
@سعدياقوت-ت2خ8 ай бұрын
Na ana mashabiki waninga wengi😂😂😂😂
@hassanimouigni66483 жыл бұрын
Chekeni na ndacha anakula ela na kuchekeni poleni sana
@jayjayler27954 жыл бұрын
JazakallAhu kheir wahaadhiri wetu mada ilikuwa nzuri sana dacha amejitia aibu kuomba sadaka mbele ya umma hiyo ni aibu nimecheka sana sana tena sana video nzuri sana ALLAH awalinde wahaadhiri wetu tunawepena kwa ajili ya ALLAH
@aburaasmedia36825 жыл бұрын
umesafisha mazingira iliyoharibiwa na mkafiri mkuu anayoitwa ndacha
@ahmedabdullahi82785 жыл бұрын
“Sheikh Yusuf May Allah bless you with endless happiness, May Allah fulfill all your dreams, aspirations and May Allah respond your duas. May Allah reward you a home for you in Jannah .i love you sheikh for the sake of Allah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@andallaathman38564 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp wallah hii daawa inataka moyo na subra Sana mm siwezi dah Yani mungu ndio atakae walipa nyinyi ndugu zetu masheikh mwanzo hio souti tuu ndugu yussuf unayotoa dah mashaa llah
@glorynoel82375 жыл бұрын
Maashala sheikh yusufu ndacha kazoea kugeuza aya na kupindisha pindisha ila cku ya mwisho atapata malipo yake sisi tunayoelewa maandiko we fanya kazi allah atakulipa maisha mema na umri mrefu we simama katika kweli mungu atakuongoza usiangalie uwo ushabiki anaoshangiliwa nao ndacha we eleza kweli
@fatumamwalimu57655 жыл бұрын
MASHA ALLAH, mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema Aamin yarabi
@hamidahamida14735 жыл бұрын
Subhanalha
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@fatumamwalimu57655 жыл бұрын
Mimi uwa napenda ustadh yussufu uwa anavunja hoja za hawa wanaojiita wakiristo hasa uyu ndacha uwa anageuza maandiko sana,yani sijui yuko na shida gani
@jamalathman62194 жыл бұрын
Allah kesha sema kwenye Quran wanao pinga ishara zangu ni viziwi na vipofu wala kamwe hawaongozi waliopotea njia yake
@CharlesESIBITAR-el5je10 ай бұрын
waislamu awakubali wikweli
@hemedharoub54354 жыл бұрын
Allah atawapa nguvu muweze kuelimisha inshaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Amin sote
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Masha-Allah tulikukuwa tumemisi sana
@musamusamm64184 жыл бұрын
ما شا اللہ اللہم احفظ علماأنا
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@abdullah-eq3lt4 жыл бұрын
wakristo wameanza kusoma quran sasa very nice kidgkdg mwisho wnaingia kweny uislamu
@nailahsaeed8374 жыл бұрын
Shekh Yusuf ni professional majibu kwake haikosi wala habahatishi Ndacha afaa afundishwe na mwalimu wake yusuf
@zaidanawadhi26645 жыл бұрын
Mashallah mashekhe, Allah awajaalie maisha marefu na yenye afya muzidi kuitangaza dini ya kweli na ya haki inshallah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@fahadtimimi93355 жыл бұрын
Ya3kulunna amwallaa nnasa bil baathil wayusudun ansabiliAllah ..wanakula Mali ya watu na kuwazuia watu kuona njia na Allah.... MashAllah sheikh umefikisha Allah awahifadhi.....sio kazi kdogo munayo ifanya Allah awalipeni...
@abdidude41675 жыл бұрын
Hawana Dini bali makanpuni ya wazungu tuu ya kukusanya pesa wanaita Sadaka.
@salimaljahwari15 жыл бұрын
May the Almighty Allah grant you with His Firdaus. May you be one among those who will be on the forefront at the Jannah. Allah bless you all.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin us all
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah Ustadh Salim na YUSUF
@JayJay-wj9yz4 жыл бұрын
Mwezi mungu awalinde muweze kuitetea dini yake ameen
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@salimaljahwari15 жыл бұрын
Omanis are all with you.
@aminaamulavu13384 жыл бұрын
Masha Allah.. Allah wakbar
@lileoh38933 жыл бұрын
Waklisto mnashangilia moto hao wanatetea sadaka
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah mungu awabarik
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin
@mlachake323 жыл бұрын
Asante sana pastor kwa kuwachapa na kiboko yao
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Wapi
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Pastor Safi Sana .mungu akubaliki Sana wamesikia wasipokuja kwa yesu juu yao
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Yesu muisilamu
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Usipoteze watu yesu si .mwisram mwisram wa kwanza bihadija
@generalgg50745 жыл бұрын
mashaa Allah masheilk wetu mwenyezi mungu awatangulie kwa kazi nzuri mnafundisha waja wa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@abdulrazaqmusamohammed2195 жыл бұрын
Maa sha Allah
@mohamedAli-vf8hp5 жыл бұрын
Sheikh yusuf c mueke kukurkakra na huyu dasha anajisifu sanaa manake najua hajui kitu
@youngdaddy30855 жыл бұрын
May Allah grant u janatul firdhaus u people ...kaz ngumu hii wallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin sote
@omarabeid13634 жыл бұрын
Walahi walimu wa kislamu wamefundisha vizuri sana lakini niwabishi sio wasomao
@حنةمنغا5 жыл бұрын
Subhannah Allah,yaani ndacha unaujua ukweli but bado you are lying to those who knows nothing about Christianity except that they only follow what their pastor says,what a shame.May Allah guide who are actually searching for the truth and not to be entertained or following the lies of those pastors. May Allah always reward you for going through what you are going through while doing dawwah masheikh in this world and in the hereafter.Allaahumma Amin
@نوراخمسالوي5 жыл бұрын
Masha Allah tabarakallah
@mohamilah5 жыл бұрын
Jezakha''Allahu kheir
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Antakadharika
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
Ndacha una kichaa dini ya haki ni uislam pekeake ww wafanya ushindani tu lakini mungu atakushinda
@axmedcabdi36604 жыл бұрын
Alhamdulillah
@mwanaidishibe92755 жыл бұрын
Mashaallah
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah
@uwesusaid97645 жыл бұрын
Mashaaallah 🇹🇿🗣
@wadimtwana72865 жыл бұрын
A.alykm vp hali mashehe wetu nafurah leo kuwa wa tano kukoment wenzetu wagumu kuelewe lkn wataelewa tu.
@hassanimouigni66483 жыл бұрын
Si kama hawaelewi ubishi tu
@allyabdallah43573 жыл бұрын
Kweli kuna watu wataingia motni huku wana cheka ndio hawa ndugu zetu wana shangilia tu bila kujua
@shabanawino94264 жыл бұрын
Wakiristo kwenu ni kujishabikia kila wakati bila kujua ukweli!
Where do they hold these debates in Nairobi? Who can invite me to debate with them? I am a christian. Any Muslim, SDA, atheist who wud want to debate me? I really feel sad seeing these shallow shallow arguments against my God, Jesus going on. Invite me I debate u n show these ur ears may never hear otherwise.
@mackytalcky11093 жыл бұрын
Kumbe kuna mtume hajui kusoma
@myoutubecom-gg7sb5 жыл бұрын
Masha-Allah
@najmamohmad63485 жыл бұрын
Uyu apoteza watu aki mungu atamuadhibu vp uyu astaghfirullah
@mwarabumbarak43425 жыл бұрын
Najma kwani kuna baadhi ya waislamu washawahi kumfuata.
@najmamohmad63485 жыл бұрын
@@mwarabumbarak4342 hao wakristo wenzake c yuawapoteza vile akipigiwa kelele
@mwarabumbarak43425 жыл бұрын
Ni kweli wenyewe washangilia wakijiona wako kwenye haki
@mwarabumbarak43425 жыл бұрын
@@najmamohmad6348 uislamu Ndyo Dini na ndyo njia ya pekee kumfikia Allah.
@اال-ص8ر4 жыл бұрын
Pastor gan wwe,yesu mwenye alikua aingii na viatu mahal naabudu
@mustafam24625 жыл бұрын
Mwenyzi Mungu akupe subra sheikh Yusuf na sheikh Said kufanya debate na Ndacha mimi siwezi kmstamiliya huyu mrongo mkubwa ndacha.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Amin ,Ndacha haongopi hata MUNGU na hajari kufuru ya aina yeyote
Huyu ndacha anajua km anapotosha watu lkn anatafuta mkate
@joshuaibrahim98933 жыл бұрын
Asee nimeamini uisiram sio din kumbe hata Muhammad mwenyew akusilim
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Matatizo hunjui maana ya kusilimu, WAISILAMU wengi wamezariwa bila kusilimishwa, wamezariwa Katika dini
@joshuaibrahim98933 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp sawa lakn mm nimesikia kwanzia mwanzo mwa mada yote sjaona shekhe ulipo zibitisha kia Muhammad alisirimishwa zaidi ya kusujudi Ndio maan mtumishi apo kasema nawale wachawi walisilim pia Kama kusilim nikusujudu. Mungu atusaidie asee peke yetu atuwez paspo msaada wake
@Awatee3 жыл бұрын
Mna vituko Mtume muhammad صلى الله عليه وسلم hamumuamini tena maandiko munayachukua hata mufanye nini hamuwezi kuizima nuru ya ALLAH uislam utabak mpaka kiyama kitasimama Allah atuongoze ktk njia ilionyooka pamoja na vizazi vyet kweli ALLAH hana ahad za uongo eti summu bukum wakat wewe ndio katk nyoyo zao kuna maradh ALLAH awaongoze ktk njia ilionyooka
@zuusaidibushiri55565 жыл бұрын
Ndacha ulivyopendeza na hiyo kanzu bora nenda msikitin tu
@zuusaidibushiri55565 жыл бұрын
Ndacha akislimu tu nakuwa mke wa pili kwa lazima 😀😀😀
@remigimtenga76084 жыл бұрын
Hatar sana.
@godone71785 жыл бұрын
Ushindwe katika jina langu😂😂
@Hajra-vu9gd Жыл бұрын
Wee pasita dashi tagaza haki acha uogo unapoteza watu nauvue hiyo kazo haikufai
@mselemsalim19864 жыл бұрын
Hawa wanqelipata yule MAZINGE wa TANZANIA...
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Unamaana ngani??
@MoherZO4 жыл бұрын
Jamaa ni kafiri wa kikweli...ana usifa huo, muone alivyovalia
@abdullah-eq3lt4 жыл бұрын
halafu kasoma
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ4 жыл бұрын
una pendeza na kanzu ila sura bado inaonyesha kua ww nikafir angalia waislam hua sura zao zina nawir uislam ni dini ya haki ukiwa muislam una nawir kweli
@godisgreat18455 жыл бұрын
Halafu ndacha unadhani Ukristo ndio dini ya kikafiri pekeyake Jay a baniani wana dini yao ya kuabudu ngombe wapo wanaabudu
@michaelwainaina44764 жыл бұрын
uislamu dini haijielewi..
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp4 жыл бұрын
Hayo nimaoni yako tu
@Awatee3 жыл бұрын
ALLAH akuongoze usije ukawa nawe kwenye khasara kwa ilo ulozungumza Alhamdulilah Ya ALLAH tuongoze ktk njia ilionyooka na ya haki tufishe tukiwa waislam nani dhwalimu mkubwa ni yule anae mzulia uongo ALLAH ya Rabby tuhifadh na tuwepushe na ukafir
@nzakashabani39455 жыл бұрын
Shida ya makafiri ni ushabiki .
@jamesouma86273 жыл бұрын
Abass hoja zake hazina impact
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Maoni yako hayo
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Amkeni usingizini nyiwaisram .biblia hamuelewi mnapata shida Sana. Mtu hataenda.mbinguni ila.kwa.njia ya.yesu. Kwanini yesu anachakula.cha kiroho mtu akila hicho atakuwa mtakatifu .na kupata nafasi ya kuingia mbinguni.maneno ya yesu yako.wazi. Yohana 14 :.4
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Mmm, yesu muisilamu
@jamlickkimathi87713 жыл бұрын
Kusilimu ili uwe muislamu, unakariri shahada. Sio kishujudu. Wala Muhammed hakusilimu kwa maana ya kukariru shahada
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp3 жыл бұрын
Huwezi kufundisha waisilamu uisilam na wewe sio muisilamu
@ambrosiamlinga84023 жыл бұрын
Hembu wasikilizeni hawa kwenye KZbin nyie waislam na wakristo watawasaidia kuelewa zaidi
@godisgreat18455 жыл бұрын
Halafu ndacha mbona hujui kitu sasa. Mbona hauendi makka maana makka ilijengwa na Ibrahim mnajinasibisha na Ibrahim
@eastafrica68584 жыл бұрын
Wao wamejengewa na wazingu wanafata mipicha za mzungu yesu
@godisgreat18455 жыл бұрын
Wewe ndacha unatumia aya za Quraan Unachotakiwa usome aya ndani ya Biblia inasema Ukristo ni dini mbona nyie Makafiri wa kikristo mnajichanganya mara yessu Mungu mara njia mara mwana wa Mungu nyie toeni aya inasema yessu anasema mimi Yesu ni Kristo nyie mmepewa imani na wapagani wasio amini Mungu
@mustafam24625 жыл бұрын
Kweli Mwenyzi Mungu Amesema wana macho hawaoni wana masikiyo hawasikii huyu ndacha kwaza ni mrongo na kazi yake kubwa ni kumwinga sheikh Yusuf anavo sema, sasa makosa ya Ndacha ni kudanganya wakristo wazi wazi hana hoja yoyote . Mara kwa mara anageuza maneno.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Huu ni mkutano wakwanza tazama mikutano ya siku zilizo fuata ndacha alienda akiishiwa mpaka Jana siku ya mwisho amedhihirika hana elimu ila matusi tu
@hassanabdalla27414 жыл бұрын
Ndacha ni Mpotevu na Mbabaishaji tu
@godisgreat18453 жыл бұрын
Ukitaka kujua ukristo ni ukafiri tizama maandiko yote yapo kwa wapagani wa kirumi maana hao ndio waliowapeteza akina Paulo yessu hajawahi kuwa mkristo wala hajafundisha ukristo
@mustafam24625 жыл бұрын
Hawa wakristo wanacheka nini hawamuwelewi ndacha na badou wanacheka
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Hao niushabiki,atawanashabikia wasichokinjua
@paulnyakxx5 жыл бұрын
I watched it live. You've edited it to suit you.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
I edited but did remove anything
@mustafam24625 жыл бұрын
Kazi yake nikuchagisha pesa kwahivo ana kutumiya
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp5 жыл бұрын
Hapati kitu,hana chochote,Mkutano umekamirika kwa mada ya vitabu ,bibilia na quraan,ndacha amefirisika tumemumariza mbaya
@stephenodhiambo78604 жыл бұрын
Huyu ustadh Abass hawezi kushawishi MTU aka slimu hana tajriba ya kuhubiri porojo
@abdirizakbishar94572 жыл бұрын
Na ndacha amevaa kanzu amepata shahaha ama hakupata
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Ndacha ni mshirikina tu
@jamlickkimathi87713 жыл бұрын
Proverbs 6:23 doesn't say that. It doesn't say that "mtu ni njia" the Muslim commentator is just adding that to fool the audience
@samuelmuchina81404 жыл бұрын
WTF was Abas saying..The guy has 0 points
@jamilaomari24445 жыл бұрын
Hawa ma sda wanajua ukweli ila sadaka ya kanisani ndo inawafunga😂
@Hajra-vu9gd Жыл бұрын
Acha chocha wee
@ndiranguaaron10123 жыл бұрын
the miss quoting of scripture in this mhadhara is too much. both parties