No video

NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO

  Рет қаралды 43,212

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

MADA IBADA YA MANABII NJIRU TOWN TAREHE 14:1:2020 NA USTADH YUSUF ,USTADH ABASS,USTADH MOHAMMAD,USTADH SAID

Пікірлер: 217
@Tristan-t1x
@Tristan-t1x Ай бұрын
Mr ndacha nakupenda sana, wendeleye vile usipo zimiya roho Mungu atakulipa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Ай бұрын
Matayo 24:24
@josephchui479
@josephchui479 4 жыл бұрын
Ndacha MUNGU akubariki sana unawafundisha waislamu
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
Huyo haezi kufunza anawapotosha wakirsto tu
@daudijoseph4340
@daudijoseph4340 3 жыл бұрын
@@farhathamdansalum9725 Pole sana kwa kuwa ungali gizani ndiyo maana unasema Ndacha anapotosha.
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
@@daudijoseph4340 anapotosha watu
@ipyanapaul8268
@ipyanapaul8268 2 жыл бұрын
Mchungaji nakupenda sana kwa huduma yako ya maandiko matakatifu hakika ubarikiwe sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amepotea
@josephchui479
@josephchui479 4 жыл бұрын
Jamani ndacha anatisha MUNGU akubariki sana kaka yangu unawafundisha waislamu kama watoto Ukristo ndo dini ya manabii na mitumee
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 4 жыл бұрын
Huo ni ushabiki lakini sio eti umejifunza chochote kutoka kwake, mm namuona kuropoka tu nakubabaika
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Masha-Allah ustadhi Yusuf hiyo mhadhara ulifanya nimelala na furah sana tena sana, Leo umezika ndacha mzima mpaka akakwambia amwachie mwalimu Abbas, inalilah wa inalilah rajuni, ustadhi Yusuf ungekuwa humurumil huyu ndacha kama Leo angekuwa anakuona na anakimbia mbio sana, mpaka saai ustadhi Yusuf nakupongeza sana, siku yoyote ukikuja huku side ya kisumu na western nijulishe nkuletee zawadi yangu, kwa haki ustadhi Yusuf Mungu akuzidishie muda Leo umefurahisha waisilamu sana, umenipa maandiko mazuri yenye ntafundishie hawa makafiri,Mungu amjalie
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Alhamudulillah
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Nashukuru MUNGU kwa kuwapa wanadamu maaarifa yakuweza kusoma bibilia takatifu. Na waislamu waweze kuokoka.
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Ndacha kiboko yao
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Lakini Mimi huwanga najiuliza enyi waislamu mna akika mtafika kwa MUNGU wa kweli ili hali mnaabudu na shetani msikitini?
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
@@interiorpaintingdesign9307 hata yesu alikuwa na mwanafunzi wake shetani Hiyo huiyoni? Na toa andiko inayo sema tunaswali na mashetan mskitini
@mrboma4343
@mrboma4343 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh yusuf Allah atakupa kauli thabith
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 4 жыл бұрын
Vidume vya Allah MashaAllah!
@zaidanawadhi2664
@zaidanawadhi2664 4 жыл бұрын
Mashallah mashekhe, Allah awajaalie afya muipambanie dini yetu inshallah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@akeem1221
@akeem1221 3 жыл бұрын
Ndacha is good at confusing people, misconceptions. Deep in his heart, he knows the truth.
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 жыл бұрын
Masha Allah, Sheikh yussuf muendelee na dawah vizuri; Jazakumullahu kheyran .
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@janelithasolomon5212
@janelithasolomon5212 3 жыл бұрын
Ahsante mlm Ndasa waambie hao waisilamu ukweli,,,wamekuwa gizani kwa muda mrefu,,, Ndo maana hawajui hata tofauti Kati ya Mungu Jehovah na .....mungu wao allah mungu wa kiarabu Pia Hawajui hata maana ya kusujudu,,, Ndo maana wanajua kuchamba tu na maji wakijua dhambi imeobdoka kumbe Ni kuacha dhambi,,,, Mungu awape macho ya rohoni Hawa wasilisha mashetani Wapo kwenye kiza kinene kweli kweli,,,, Damu ya Yesu ya thamani iendelee kunena mema juu wa wapiga ramli Hawa na wasoma albadili Janelitha From Tanzanian
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Mathayo 24:24
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 жыл бұрын
Masha Allah, Allah wazidishie kila la kheri masheikh wetu na waekee wepesi katika mambo Mambo Yao in shaa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@yunisboshe7227
@yunisboshe7227 4 жыл бұрын
Allahu Akbar, may Allah guide our christian brothers and sisters...surely wako kwa upotevu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin
@yunisboshe7227
@yunisboshe7227 4 жыл бұрын
Thanks to ustadh wetu for that commitments and dedications for the religion of Allah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Alhamudulillah
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Ameen
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH, mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema Aamin yarabi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh Yusuf wape dozi hao wakristo,Huyo pastor ndacha kachanganyikiwa hajui anachikiongea ila ni porojo tu zake
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 4 жыл бұрын
Masha Allah Ustadh Mohamed amefika . Dawa ya masabato
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
Ina lilahi waina ilahi rajiun, kwa kweli huyu Ndacha anawapotosha watu sana ila anajuwa ukweli In Sha Allah Allah ampe ufahamu huyu Ndacha aingie kwenye uislam In Sha Allah
@nairobiflavour
@nairobiflavour 3 жыл бұрын
Huyu dacha ana neno LA mungu mungu amubariki
@ahmedikhamis2722
@ahmedikhamis2722 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mnayo ifanya masheikh wetu kz ya kufikisha ujumbe muhimu mungu awaepushie kila baya lililopo karibu yenu by Ahmed Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@fatmaismail13
@fatmaismail13 4 жыл бұрын
Ameen
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@habsosiman1736
@habsosiman1736 4 жыл бұрын
SubhanaaAllah may Allah(SwT)show him the right path
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin
@ayadehila4932
@ayadehila4932 3 жыл бұрын
Ameen
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Wislam raha siraha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@feisalabdi1005
@feisalabdi1005 2 жыл бұрын
Masha allah
@noorkeyz1083
@noorkeyz1083 4 жыл бұрын
Allahu Akbar
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wapendwa Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Masha Allah.watching from Boston USA
@mohamedAli-vf8hp
@mohamedAli-vf8hp 4 жыл бұрын
Ustadh muhammad napenda unqvyofunza sanaa huwa nafrai sanaa inshaallah naomba ustadh mpeni mic muhammad mwanzo mwanzo
@janekaari3788
@janekaari3788 3 жыл бұрын
Wanaoendelea kupinga pinga ukweli huu sababu ya kutetea dini ya kiislamu, Remember that th Judgement is waiting for u & me. Tengeneza uhusiano wako na Mungu aliyekuumba kabla hujafa ukishikilia dini bali si Mungu!! *Utalia siku ya mwisho!!!
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Matatizo hunjui tafsiri ya neno dini
@divinahdivinahw513
@divinahdivinahw513 3 жыл бұрын
Mungu ni mmoja kwa kuwa watu wote habadunianihatuelewanivizuri mambo yakusali vitabu vinaleta mabishano katiyetu Naye siku ya hukumu mungu atangalia matendo peke take kwa hivyo tutende mema.
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
Subhanah Allah, huyu Ndacha anasoma vitu bila kufafanua maneno yake uzuri anapotosha wakirsto tu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤔
@robertmtandika2523
@robertmtandika2523 3 жыл бұрын
Sema sheh wachungaji wengi niwapinga kristo
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 жыл бұрын
Masha Allah🇹🇿 Wafundishe wajue dini yakweli
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Nipe andiko uislamu ni dini ya kweli na uzima. Ukinipa nasilimu
@muhammadngala1268
@muhammadngala1268 4 жыл бұрын
@@interiorpaintingdesign9307 ww usisilimu baki hivyo hivyo cha moto utakiona baada ya mauti kukufika
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Sasa dini ya uislamu inaandamana na majini na shetani pia anabudu huko Yani kweli wewe ukiwa na akili penye shetani anaabudu itakua ni dini ya MUNGU wa kweli? Tumia akili yako vizuri. Dini ya shetani haiwezi kua ya MUNGU. Uruke ju ufanye Nini ni hivio. Ju shetani alisilimu naye akawa muislamu.
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 жыл бұрын
@@interiorpaintingdesign9307 sheta niwewe
@muhammadngala1268
@muhammadngala1268 4 жыл бұрын
@@interiorpaintingdesign9307 haina neno wacha iwe kama unavyosema lakini kumbuka nlichokuambia mwanzo cha moto utakiona baada ya mauti kukufika hapo ndio utajua maharagwe ni mboga na kua hamna dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu isipokua uislamu
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
Mashallah
@najmamohmad6348
@najmamohmad6348 4 жыл бұрын
Ma shaa Allah mungu awe pamoja nanyi mashekh wetu yani duh ni kz iliyo na ndacha
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
Anajicheka mwenyewe Ndacha mwalimu mara aitwe yesu mara mwalim.
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 2 жыл бұрын
Watching from Lusaka zambia, Islam won this debate, Christian lost,we love and admire and appreciate the way you conduct those debates in your respective countries, they are very educative
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Kwani huyu ndacha mnadhani ana elimu yoyote ya maneno ya Mungu huyu anatafuta ucheshi kwa kumtumikia ibilisi kwa kuwapoteza watu wasimuabudu Mungu huyu ni kafiri mkubwa hajui chochote amekaririwa aya za kumtusi Mungu akiniamini I asiingie jahannam pekeyake ila nawaambia makafiri wa kikristo msiposoma wenyewe mkajua Mungu anaabudiwa vipi basi hatakuwa na wa kumlaumu siku ya majuto mtajuta majuto makuu na muda wa kutubu haupo
@mussakilo4916
@mussakilo4916 4 жыл бұрын
Sheh yusuf ipo cku nitakutafuta ninakufuatilia Sana unavyo wanyoosha akina ndacha pia mshauri huyo ndacha aache kmtukana alaah
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
sema kweli kweli ila saiz hawezei ona ivo
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 4 жыл бұрын
Kweli
@abbaimran4122
@abbaimran4122 3 жыл бұрын
Amali ya kuhesabiwa siku ya kiyama mbele ya Allah SWT ni swalah na chenye kinatofautisha Uislamu na Ukristo hapa duniani ni swalah.Je,hao wakristo wanaswali huko kanisani au hapana?Na Yesu mwenyewe kaswali wanamuamini yupi ilhali wanampinga Yesu mwenyewe? Hakika dini ya haki mbele ya Allah SWT ni ya Uislamu,enyi kina Ndacha na wafuasi wake Mungu awaongoze ili mpate kalima njema siku yenu ya kuondoka kwenu hapa duniani la sivyo ni motoni expresssss.....
@omargbabaomar2004
@omargbabaomar2004 4 жыл бұрын
Masha Allah
@higahassib6614
@higahassib6614 4 жыл бұрын
Jazakallahu kheri thanks so much sheik Yusuf
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin,Afwan
@farhiaabdilahiali2194
@farhiaabdilahiali2194 2 жыл бұрын
Wanajaribu kuficha nuru ya Allah Kwa midomo yao Allah ata timiza nuru yake hata makafiri hawapendi. AS-SAFF 7-9
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Hata mfiche machafu ya humo kwenye korani yenu tumeshayajua,acha Yesu atukuzwe
@glorynoel8237
@glorynoel8237 4 жыл бұрын
Maasha sheikh yusufu
@rukiamusa9916
@rukiamusa9916 3 жыл бұрын
Maashalah mabruk vidume vya Allah waelimishe wajue dini ya haki kua mwisilamu ni rahaa huyu mwalimu pasta ana jichanya hata haeleweki kejeli ndio zakee tu !
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Safi ndacha,Mungu Yuko pamoja nawe,hakika hao mashekhe jasho linawatoka
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ukristo ndio dini inayomtukuza Mungu si uidlsmu
@shushu8105
@shushu8105 2 жыл бұрын
Alhamdulillah yarabiin kwanem yakuwa muslim kila mwislam ananur kakita uso wake tazama jinsi walivyo pendeza hapo
@abdallashabaani4560
@abdallashabaani4560 4 жыл бұрын
Mashallaw mungu awabariki sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin
@johnsonoyugi1773
@johnsonoyugi1773 3 жыл бұрын
Thank you brother Ndacha for teaching the truth of the Lord. May Jesus Christ strengthen you in His service. Amen.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
😂😂😂Matthew 22:29
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp unaunga S Tu mjomba Hujui lolote kuhusina na Biblia😀😀😀,wewe unavyoisoma Biblia unamawazo ya kiQurani ndio maana inakusumbua hata kuielewa, kwanza hilo Fungu halihusiani na matendo ya ibaada, hilo Fungu unataka kulitafsiri wewe unavyofikiri katika akili yako na haiwezekani, sasa hilo hilo Fungu tusome tuone kama kunauharisia wowote wa kuhusiana na Ibaada, Mathayo 22:24-30 [24]wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao. [25]Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake. [26]Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba. [27]Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. [28]Basi, katika kiyama, atakuwa mke wa yupi katika wale saba? Maana wote walikuwa naye. [29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. [30]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. Basi tujaribu kuingiza akili zako apo kama zitatoshana na hilo andiko , kwanza Yesu kusema hivyo kwamba " Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu" Wapo watu waliokuwa wakimuuliza Yesu kuhusiana na habari za kuoa wake wengi kama ninyi WAISLAMU mnavyofanya mnaoa wanawake mia kwa tamaam zenu wenyewe, lakn Yesu ndio anawajibu wanapotea kwasababu ya mafikiria yao kama ninyi Mnavyoamini kuwa katka Paradise( makao ya milele) mtaenda na wake zenu huo ni uongo Mkubwa kama Yesu alivyosema mnapotea inamaana hiyo hilo andiko linasawazisha hoja Yenu ya madai hayo kwahiyo WAISLAMU mnapotea kwa Mujibu wa Maandiko matakatifu (Biblia) mbingu hakuna kuoa wala kuolewa Njooni kwa Yesu mkawe kama malaika mbingu wachaneni na Muhammad, sasa wewe hapo unatoa hilo andiko kwa mantiki ipi? maana haliingiliani na matendo ya Ibaada wala halina uhalisia wowote kwahiyo Hoja yako au makusudio yako ni Dhaifu.
@harbisulub
@harbisulub 4 жыл бұрын
I love you all my brothers for the sake of Allah. I love your debates, continue your dawa. May Allah bless you all and your families.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin us all
@georgeasalla6967
@georgeasalla6967 4 жыл бұрын
Kweli mchungaji Ndacha,nakupata vizuri sana nikiwa Mererani Tanzania
@daudijoseph4340
@daudijoseph4340 3 жыл бұрын
Nami pia Ndacha nampata100% nikiwa Kigoma TZ
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
kwenda ndacha yuajua ukweli lakini yuapotosha ao wasio jijua watu waliswali msikitini na walivaa kanzu wajua kila kitu lakini upuzi ndio wako na wapotosha wenzio mungu arakuadhibu
@ritharitha1685
@ritharitha1685 4 жыл бұрын
Nyinyi ndio mna potosha watu wasipokua makini wengi mtapotea nyinyi ndacha songa mbele na injili hongera sana ndacha
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
@@ritharitha1685 sasa ww unasifia ndacha na hata hayo maandiko ya bibilia anayasoma nusu,mbona hamalizi maandiko
@SharifMustafa
@SharifMustafa 4 жыл бұрын
Allahuakbar.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Maashaallah
@annasongolo2887
@annasongolo2887 2 жыл бұрын
mungu ambariki dancha, mimi ni mkristo msabato,
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Wapi ukristo ni dini ya kweli?
@aishawangui6635
@aishawangui6635 3 жыл бұрын
Huyu ndacha ni wale watu hupiga ukweli wakijua kupoteza wengine .Mungu amuongoe
@ahmedikhamis2722
@ahmedikhamis2722 4 жыл бұрын
Alafu uyo Ndacha anamatatizo kweli ety Qur an anaamini baadhi ya vipengele ila tumuombe mungu amuongoze aamini yote
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Tatizo nyi mnatamba kuiamini eti korani iko sawa kuliko biblia,wakati korani vya hovyo vingi na ndiyo hivyo mlivyodhani hatuvifahamu Sasa ndio tunawaekeza kuwa tunavifahamu hivyo mnavyoficha
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Kwa hiyo nami nasema wenye matatizo ni nyinyi waislamu
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
mashaAllah jamani baada ya kuhuzunika nimecheka eti ndacha akilala ndo anaabudu,hahaha jamani,Mwenyezi Mungu atunusuru
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 4 жыл бұрын
Mashaallah
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 4 жыл бұрын
Mwanaidi shibe classmate👋
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 4 жыл бұрын
@@prettyaysha7892 mbona sijakufahamu
@stephenelieza6726
@stephenelieza6726 4 жыл бұрын
Mtabatizwa kupitia kweli tuu
@kibojewee2710
@kibojewee2710 4 жыл бұрын
Uwongo mtupu uwongo mtupu, hahaha😂
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 4 жыл бұрын
Pole kwa ndoto yako ya mchana
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
Asokubali kushindwa simshindani. " NDACHA " lazima tumsilimiahe in sha Allah 🤲🤲🤲🇰🇪
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Kabsa
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ambao ni nyinyi waislamu hamkubali kushindwa,Sasa Hapo Ndacha kashindwa nini?Hata mjitahidi kuficha tumeshajua Kila kitu Cha waislamu hamna Mungu wa kweli
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ndacha Mungu akulinde na na hao waislamu uwafundishe kwani wanadhani hatujui wanachoabudu ni uchafu mtupu
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ndacha laxima ubatize waislamu hao
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ndacha lazima awabatize mashekhe hao
@mohammedali7803
@mohammedali7803 4 жыл бұрын
Jezakha''Allahu kheir
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 4 жыл бұрын
Kile napenda ni waislamu ni watu wakulalamika Wala hawana helimu. Na ndio maana muhumad akawambia waulize waliotangulia waislamu Yani wakristo. 87:18 Qur'an photocopy
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 3 жыл бұрын
ما شاء الله
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 4 жыл бұрын
Sheikh Yusuf umempeleka mbio huyu , pole pole sheikh huyu Ndacha hana elimu na hikma walahi.
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 жыл бұрын
Huyo Ndacha mgumu na mshindani sana ihali anajua Ukweli
@Prisca-fj9zv
@Prisca-fj9zv 2 ай бұрын
ndacha wewe ni baraka toka kwabwana amina
@yusufathman2478
@yusufathman2478 3 жыл бұрын
Ndacha anajua ukweli
@estherkanini4627
@estherkanini4627 2 жыл бұрын
Hakuna kushidani hapa nikujua kweli
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
NDAcha hawezi kushindwa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Eee ndacha kwamashidano ameshida, but kwa kufundisha hawezi, labda waisilam wamupatie elimu
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp huyo ni mwalimu kutoka mbinguni
@AmiirAlwajidiAsomaal
@AmiirAlwajidiAsomaal 4 жыл бұрын
Kazi nzuri ustadh
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Alhamudulillah
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
Ata usipoiamini Kur,an huzidishi hupunguzi kuna wengi sana tunao iamini kwaiyo kwanyie wakiristo tu nikama ulo dondosha shindano kwenye bahari
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 4 жыл бұрын
Ndacha kabeba vitabu Au Nn Jmn 😃 Ndacha muogope mungu.. unawapoteza tutu karibu ktk uisilamu dini y hakh
@bonanekad8702
@bonanekad8702 4 жыл бұрын
Ndacha is very intelligent congratulations
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Shindwe
@brotherblack6531
@brotherblack6531 4 жыл бұрын
Ni mchovu sana
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
Shindwe kbsa kwa jina la M.MUNGU
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
mutafute ungine mucungaji ana iyirimu aje kuwateteya
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Ndiyo,Ndacha anaweza hajawahi kuzidiwa na waislamu
@rajabkimia1876
@rajabkimia1876 4 жыл бұрын
Kazi njema kila la kheri Allah awafanyie wepesi kazi mzito Sana..... jazzaka Allahu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
Ushindwe kbsa wewe kwa jina la ALLAH
@faithwairimu1466
@faithwairimu1466 3 жыл бұрын
The debate is good between christians and muslims
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Alhamudulillah
@sefaniaslyvestertv1498
@sefaniaslyvestertv1498 4 жыл бұрын
Waislamu poleni kwa kuwa mnalazimisha kuvaa miwani ya mbao ili mupotee maksudi
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Leo ndacha kapatikana
@MwandagasyaVicente
@MwandagasyaVicente 5 ай бұрын
Wewe mutangazaji unapengamiya haupo serieuse
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Asalam alykum www ndacha rundi school unapoteza wa kristo
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
we ndacha wajua lugha ungesema kifur fir kifudi.fudi sio kuanguka kifur fur
@jumaakatembe7106
@jumaakatembe7106 3 жыл бұрын
Ndacha shida yako huna hoja, umeambiwa utetee ibada ya kikristo na Nani ameamrisha ifanywe hivyo... Sasa yeye aruka ruka kuthibutisha hawezi... Alafu maskini wale walioko pale pia wanajichekea tu na ukweli hawaujui...watu wapenda vya rahisi kweli yani raha tu..
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 2 жыл бұрын
enzi zile dozz ilionja kama coctail ya pilipili dasha ilimwashaa😀
@bilo1106
@bilo1106 2 жыл бұрын
Ndacha alipeleka urongo Tanzania ssa maana amemuacha yesu kenya amenda kutafuta pesa ..vile munavyopenda pesa waenda kutafuta hela chenji yake iko chin sana kenya ...usije ukazeekea huyko maana ujaz her ungeenda yuganda
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 3 жыл бұрын
Mashaallah wisilam ustadh yusufu we kimboko ya ndacha 😃😃😃🤝wape 🤣 wataelewa tu
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
🕋huyu mungu wenu ni hili jiwe waislamu machukizo
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Hakika Ndacha kiboko ya hao maustadhi
@khalifaali9229
@khalifaali9229 3 жыл бұрын
Ndacha hajujui lolote
@ibrahimiddi3134
@ibrahimiddi3134 2 жыл бұрын
Shukran masheikh wt lkn huyu ndacha c Kama haelew kuwa ukiristo c dini c unamuona anavotapatapa cjui kusujudu c kufany hiv au vp yn anajuw ukwel asaa. Ila anadangany wt
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
Ndacha biblia imeshuka kutoka wapi? Je imeandikwa na nani?na imeteremkia wapi na malaika gani kaishusha?
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 4 жыл бұрын
furaha kuona Mohamed Yariti
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
Mbona wewe hulali na kiatu kitandani kwako Ndacha acha upotofu,kiatu unachovaa kinakanyaga uchafu sasa chukua kiatu weka mezani wakati wa kula.
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 жыл бұрын
Ndacha huyu alikufuru kitambo muache Ile cku yake ikifika ndo atajua hajui
@ritharitha1685
@ritharitha1685 4 жыл бұрын
Nyinyi ndio mnakufuru ngojeni siku ya mwisho mtasema tungejua
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
NDACHA NIPE KABILA LA YESU TAFADHALI?
@ipyanapaul8268
@ipyanapaul8268 2 жыл бұрын
Ijumaa ni siku ya mauaji siyo ibada
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Kwa andiko ripi?, wacha chuki bila sababu
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
Umesema kusujudu kumeandikwa kwenye bibilia sasa umekiri mbona hausujudu kwenye Ibada zako.sasa hapo kuna agano la kwanza na la pili sasa hivyo vitabu vimeandikwa na nani kama kweli?Hoja yako haina msingi na wanawake wanasali wakiwa na nguo fupi?
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 жыл бұрын
WAISLAMU NJOONI KWA YESU, ndacha anajitahidi sana kuwafungua akili zenu lakn mnamzihaki acheni ziaka maana hazina faida yeyote,
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Yesu ni muisilamu
@mariamngadoa7808
@mariamngadoa7808 2 жыл бұрын
Tuje mara ngapi nyie ndio mmemkataa yesu mmemfuata paulo
@abubakarhajjabubakarhajj1252
@abubakarhajjabubakarhajj1252 4 жыл бұрын
Huyu Ndacha anajua kweli lakini-------
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Naona ndacha haoneshi ibada za kikristo, kazi yake ni kupinga za waislam
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
ww si mwalimu ndacha mwenda wazimu wapinga sasa shekhe yusuph yuakurekebisha
@jeremiahmayala2099
@jeremiahmayala2099 4 жыл бұрын
Tumia lugha ya staha
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 жыл бұрын
Ndacha show us how christians worship.
@timotheojumal894
@timotheojumal894 3 жыл бұрын
John 4:23, 24 23 But the hour cometh, and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth: for the Father seeketh such to worship him. 24 God is a Spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth. This is how we worship " In spirit and in truth"
@braitonmatimbwi7659
@braitonmatimbwi7659 3 жыл бұрын
{JE HAMPOTEI KWA NAMNA HII.?} •Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja ndugu yangu. Wakati ule masadukayo walimfuata Bwana Yesu, na kumuuliza maswali ambayo, ndio yaliyowafanya waamue kuwa masadukayo kama walivyo wasioamini kuwa kuna kitu kinachoitwa ufufuo wa wafu. Na swali lenyewe lilikuwa ni kuhusu ndoa baada ya kifo..Walikuwa na sababu nzuri kabisa za kufikirika kwa akili za kibinadamu, kwamba kama kiyama ipo basi Musa asingeruhusu mtu kuoa mke wa mtu baada ya kufa, ili huko ng’ambo kusiwe na migongano ya kindoa,.Lakini kama aliruhusu kuoa mke wa marehemu, ni wazi kuwa mambo yote ni ya hapa hapa duniani, hakuna kufufuliwa wafu. Embu Tusome kwa ufupi habari yenyewe na pale mwishoni lipo jambo ambalo Bwana atatufundisha siku ya leo.. Anasema.. >>Marko 12:18 “Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, 19 Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao. 20 Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao. 21 Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika; 22 hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. 23 Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye. 24 Yesu akajibu, akawaambia, JE! HAMPOTEI KWA SABABU HII, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU? Kama tunavyosoma hapo kulingana na maneno ya Bwana Yesu, aliona watu hao wamepotea, na kupotea kwako kulichangiwa na sababu mbili kubwa, ya kwanza 1) Walikuwa hawayajui maandiko 2) Walikuwa hawaujui uweza wa Mungu. Hizi ni sababu kuu ambazo zinaweza kumfanya mtu apotee hata leo hii, aidha katika Dini za uongo kama hawa Au arudi nyuma katika ulimwengu kabisa aseme, haya mambo hayawezekani. Tukianzana na kutokuujua uweza wa Mungu Hawa masadukayo, waliishi kwa fikra za kibinadamu na sio kwa fikra za Ki-Mungu, hawakukaa kujiuliza hao malaika wanaishije ishije huko mbinguni, bila kuoana au kuzaliana lakini bado wanaishi kwa furaha mbele za Mungu. Hata leo hii, Hawakujua kuwa Mungu pia anao uwezo wa kuwafanya kama Malaika. Akaondoa katika miili yao tamaa za mwili, wakawa ni miili ya utukufu isiyokuwa na mapungufu, isiyosinzia, isiyoumwa, isiyochoka kama wao..Hilo hawakuliwaza, kwasababu hawakuujua uweza wa Mungu kuwa unaweza kufanya na hilo pia. Imani kama hizo hata leo zipo katika baadhi ya dini, wakidhani kuwa mtu akifa atakwenda kupewa wake 70 huko mbinguni. Hiyo yote ni kwasababu hatuujui uweza wa Mungu. Kukosa kuujua uweza wa Mungu hata sasa, kunawafanya watu wengi, wapotee sana, wakidhani pia Mungu hawezi kuwaokoa wanadamu wakiwa hapa duniani..kwa kuwafanya wawe watakatifu..Na hiyo inawapelekea wajidanganye hivyo hivyo kwamba hakuna mtu anayeweza kushinda dhambi akiwa duniani, na matokeo yake wanakufa katika dhambi zao, na mwisho wa siku wanajikuta wapo kuzimu. Kumbe hawajua uweza huo wa kufanywa wakamilifu hautoki kwa mwanadamu bali kwa Mungu pale mtu anapomwamini na kumpokea. Alisema.. >>Yohana 1:12 “Bali wote waliompokea ALIWAPA UWEZO wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;” Mtu akimwamini Kristo, na kumtii yeye, kitu kinachotokea kwake ni kupokea uwezo mpya, wa kufanyika mwana wake wa kushinda dhambi. Ukishindwa kuyajua hayo, basi ni rahisi sana kupotea.. 2) Sababu ya pili ni: Ni kutojua Maandiko. Tukirudi kwenye lile swali lao walilomuuliza tunaona mbele kidogo Bwana akiwauliza, HAMJASOMA?. Akitazamia kuwa kama wangekuwa wamesoma vema wasingekuwa na swali kama hilo.. >>Marko 12:26 “Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? 27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. HIVYO MWAPOTEA SANA”. Unaona? Dini ambayo ilikuwa imeshakita mizizi yenye wafuasi wengi, kama baadhi ya dini nyingi leo hii duniani lakini kumbe ilikuwa imeshapotea kwa kutoyajua tu maandiko. Leo hii watu wengi wamepotoshwa kwa kutoyafahamu maandiko, ukiona unaabudu sanamu, Ukiona unashikilia sabato na kusema huo ndio muhuri wa Mungu, wakati biblia inasema muhuri wa Mungu ni Roho Mtakatifu (Waefeso 4:30) ujue umepotoshwa na dini, ukiona unaabudu sanamu na kudhani kuwa zile ni viunganishi au vipatanishi na Mungu basi ujue umepotoshwa. Hivyo sote kwa pamoja ni sharti tuufahamu uweza wa Mungu, kwamba hapa duniani wokovu upo, na watakatifu pia wapo, na kwamba pasipo utakatifu hakuna mtu atakayemwona Mungu asipokuwa nao sawasawa na (Waebrania 12:14) vilevile tuyasome maandiko, tuyatafakari sana, kila siku ili tusije tukazama katika madanganyo ya dini au madhehebu, au upotofu wa kidunia uliopo leo hii duniani. Tukizingatia hayo mawili kama Bwana Yesu alivyosema, tusahau kupotea. •Kama unaswali lolote kuhusu Biblia nicheki WhatApp namba>>0699822975 Bwana akubariki sana. Tafadhali washirikishe na wengine habari hizi njema
@ashuashu3843
@ashuashu3843 2 жыл бұрын
JE ?YESU KATEREMSHIWA KENYA MBONA UNAMTA WEWE NA YESU SIO KABILA YAKO?
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 4 жыл бұрын
Ndacha anafundisha kiswahili na anasema kifuri kifuri badala ya kifudi kifudi.....huyu ni sarakasi na ukafiri na hata kiswahili hafahamu
@Alkaburu
@Alkaburu Жыл бұрын
Ndacha amka kutoka usingizini. Eti hiyo ni biblia ya kiafrika, kwa hiyo biblia zinatofautiana 😭 basi sio kitabu cha kukitegemea wala kukifuata.
@sulaimansleemalhajri9108
@sulaimansleemalhajri9108 4 жыл бұрын
Ndacha anakuja kuharibu na kuchafuwa uisilam haje kufundisha wala kujifunza hatumie elimu anaongea maneno ya mitani.
NDACHA AKIRI MUHAMMAD S.A.W KATANJWA NDANI YA BIBILIA ILA KANDAI KUWA NI BIBILIA YA WAISILAM(MSIBA)
1:42:36
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 33 М.
MJADALA KUHUSU DINI YA HAKI MJI WA NJIRU TAREHE 12:1:2020
1:56:04
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 74 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 31 М.
MASWALI NA MAJIBU KATIKA MUHADHALA TURBO COUNTY YA UASIN GISHU TAREHE  8-7-2019
2:34:11
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 29 М.
MJADALA MOTO MOTO BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA MCHUNGAJI NDACHA KUHUSU KIPI KITABU CHA KUFUATWA
1:38:55
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 9 М.
MPE MIC NA USTADH SULEIMAN MAZINGE,USTADH YUSUF WAMBUGU
43:59
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 50 М.
MASWALI NA MAJIBU NYANDIWA TOWN COUNTY YA MIGORI
1:22:14
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 40 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
TIZAMA UONE NAMNA USTADH YUSUF WAMBUGU ALIVIO VUNJA HOJA ZA PASTOR NDACHA KATIKA DEBATE ISIOLO PART2
49:08
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 27 М.
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 496 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН