Mjadala mzito Bungeni kuhusu wasiopita JKT na JKU kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama

  Рет қаралды 10,909

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
Azimio hilo limekuja kufuatia hoja ya dharura iliyotolewa jana Alhamis Februari 15, 2024 na Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole na kisha Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kutaka kujiridhisha ikiwa Bunge limeshawahi kutoa maelekezo juu ya jambi hilo.
Hata hivyo baada ya kujiridhisha kuwa hakukuwahi kuwa na maelekezo juu ya jambo hilo alimruhusu Mbunge huyo kutoa hoja ambayo iliungwa mkono na kisha ikajadiliwa na azimio likatoka.
Hata hivyo wakati akitoa hoja ya kuahirisha Bunge Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilitaja azimio kupitishwa na Bunge kama moja ya maazimio yaliyopitishwa kwenye mkutano huu wa Bunge.

Пікірлер: 84
@ibsentz8888
@ibsentz8888 4 ай бұрын
Au tufanye tusisome sasa, tuende jkt tu, yani Bongo bana
@SilasYonazi
@SilasYonazi 3 ай бұрын
nimecheka sana
@AndersonNambunga
@AndersonNambunga 7 ай бұрын
bunge limefanya kazi kongore mh.speaker nmekuelewa sana🎉
@mombasa0076
@mombasa0076 7 ай бұрын
Kila mtu na ujuzi wake na Elimu yake. HAPANA sababu ya kuleta masharti ya JKT au JKU . Kama ni lazima kwenda JKT watakwenda baada ya kupewa ajira. Hatutaki UBAGUZI katika AJIRA. Wasomi wanakosa ajira kisa JKT. Huu ni unyayapaa
@FaridaNasoro-b6y
@FaridaNasoro-b6y 7 ай бұрын
Na ukisindwa kumaliza hayo mafunzo ya JKT unalud nyumban cndyo, siasa weken kando tujali uimara na ukakamavu wa vyombo vya ulinzi sio mpiraa uo ni swala la userious
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 7 ай бұрын
Kama jkt ni muhim nafkri serikali iongeze bajeti jkt
@WahidSalim-od8hc
@WahidSalim-od8hc 7 ай бұрын
Uyu mama ni kiongozi sana sana yupo katikati haonei mnakumbuka hata haya mabasi yanatembea usiku ni yy aliwambia polisi hatusafiri usiku kwa kigezo cha usalama haupo usiku au sasa polisi wamejipanga vizur route za usiku zipo na safi kabisa it hatupandi tena
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Mpina na (kidogo) Agnes Marwa wameongea kama Viongozi wanaoelewa mambo ya Ulinzi na Usalama👍🏾👍🏾👍🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@danielmanenge4490
@danielmanenge4490 7 ай бұрын
Kwa kweli hili suala gumu sana maana inauma mwaka jana nimepoteza kazi jkt
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
@FaridaNasoro-b6y
@FaridaNasoro-b6y 7 ай бұрын
Jaman hilo swala sio la taifa stars kwamba mkifungwa mtarekebisha. Hvyo nivyombo vya ulinzi lazma tuwe na watu imara na wenye mwanzo unao eleweka,unataka ajila za ulinzi na usalama nenda JKT
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
Kama makambi hayana uwezo wa kupokea watu wengi mfumo ubadilike mafunzo yangeendeshwa kama yale ya mgambo
@MsNajma-e6e
@MsNajma-e6e 7 ай бұрын
Ajirini vijana kwa wingi muape ajira sio watto wajitole hawaripwi wanafanya kaz za bule kwa muda mlefu ebu jifudhen kubadrisha kaba nchi ya Oman mnao sema meungana nao hapa vijana wao wengi ni police na jeshi tz brah brah tu watto wawakubwa ndio wanajiliwa mashalingi mengi
@yassirkhamis1165
@yassirkhamis1165 5 ай бұрын
Apa nikweli ajira za tanzania kupitiaa wizara ya ulinzi na usalama kisiwekwe kigezo cha kuhusu kupitia jkt au jku ilaaa iwekwe njia ya kuepo jkt n jku kwaniaba ya vijana kutokwenda kwsabab ya kuona so lazima
@EdwinMagoti-q6g
@EdwinMagoti-q6g 6 ай бұрын
Speaker ana akili sana japo ni mama miguu flat
@EdwinMagoti-q6g
@EdwinMagoti-q6g 6 ай бұрын
Tuna speaker chuma imala
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Waasiasa wanapenda sana sarakasi. Hivi, mkisema apite JKT baada ya kuajiriwa, huko JKT anapita ili afuzu au ili akajifurahishe? Mtakuwa tayari akipita JKT baada ya kuajiriwa na akashindwa kufuzu arudishwe nyumbani maana atakuwa hajatimiza vigezo?Wanasiasa wengine ni mizigo sana! Hapo mnakwepa ukweli huu👉JKT sio ombi,JKT ni LAZIMA kabla ya kuajiriwa ndani ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Mkitaka JKT ije BAADA,muwe tayari wakishindwa kufuzu WAACHIE AJIRA. Hii Nchi STORY za KISHAMBA na MAIGIZO yamezidi sasa😡😡😡
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
@FaridaNasoro-b6y
@FaridaNasoro-b6y 7 ай бұрын
Thinker man
@SwaiSaid-ho1rs
@SwaiSaid-ho1rs 6 ай бұрын
Wanachaguana kwa kujuana tu hakuna haja ya jkt
@SwaiSaid-ho1rs
@SwaiSaid-ho1rs 6 ай бұрын
Mpaka uwe na mkubwa huko juu sisi tusio na ndugu imekula kwetu
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 6 ай бұрын
​@@SwaiSaid-ho1rshata Kigezo cha kupita JKT bado watabebana. Huondoi kubebana eti kwa kufuta kigezo cha kupita JKT. JKT ni kigezo kisichoepukika kwa sababu hata ukiingia huko bila JKT bado utakutana nayo halafu ukiifeli unadhani utachukuliwa? Ni kujidanganya!
@duniakijiji9489
@duniakijiji9489 7 ай бұрын
SPIKA UKO VZR
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
BLUNDER! Plain and simple!
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
Mwigulu kichwa maji sana ata haelewi anaambiwa kwa mifano ata haelewi jkt waajiliwe jwtz ila uhamiaj,polis, magereza haihusian na jkt
@NeemaAkyoo-v2h
@NeemaAkyoo-v2h 7 ай бұрын
Bax kam vip jkt na jku ifutwe
@PeterSaqware
@PeterSaqware 7 ай бұрын
Ila kuna wengine waliacha kwenda jeshi kimasiara sasa maji yamezidi unga wanalaumu poleni ambao hamkwenda kwa sababu za msingi
@AnisethBonge
@AnisethBonge 7 ай бұрын
Hata hamfahm mfumo wa ajira hzo zilivyo lkn mnajikuta mnajua kila kitu huo ni ukosefu wa kufikiriiiii
@kidykodyyusufukod-ud6vg
@kidykodyyusufukod-ud6vg 7 ай бұрын
ni ubora sana kama watatakiwa kwenda jkt wangetenga eneo maalumu kufanyia mafunzo hayo lkn yasiendeshwe vikosini yaendeshwe sehemu maalumu
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Spika na wabunge wenye mihemko wamefanya kosa kubwa na naishauri Serikali IWAPUUZE na ILIPUUZE Azimio hili la OVYO!!!
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
MPUUZI WEWE
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
@@ethanethan4437 Hilo ni AZIMIO LA OVYO. Halitaanyiwa kazi na yeyote mwenye akili zake timamu. Wewe na tuvimatusi twako endelea kudhani mmepata kumbe mmepatikana! Mnakuwaga na vimihemko vya kishambashamba sana📌📌📌
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Spika akisema eti wakati JKT si kwa Mujibu wa Sheria Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilikuwa vinaajiri,ni siasa! Palikuwa na wa KUJITOLEA!!!
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
ACHA KUVUNGA UNAJUA MTOTO WA JUZI WEWE
@ndamezerevocatus1078
@ndamezerevocatus1078 7 ай бұрын
Speaker wetu ni kichwa kwakweli.
@AlexMakungu
@AlexMakungu 7 ай бұрын
Wabunge wenu hao wa CCM matope kweli sasa walioko makambini watawapeleka wap
@JustineNgerangera-zs9qq
@JustineNgerangera-zs9qq 7 ай бұрын
BHN n ukweli usio pingika kuwa masharti ya jkt kwenye ajira Yalikuwa yanaleta uonevu kwa baadhi ya wanyonge maana vijana wengi wanakosa nafasi ya kuingia jkt na vigezo wanavyo kisa uwezo mdogo wa makambi ya jkt kuchukua idadi ndogo ya vijana na huambiwa mje mwakani kijana akienda mwakani wanaambiwa umri umezidi ndo inakuwa kakosa hapo jumla jumla,,masharti ya jkt n ya ovyo kabsaa na uonevu kwa vijana wasiokuwa na wasemaji kwenye maombi ya wilayani mfano mimi tu nimekosa nafasi za JKT kalibu mara 3 sababu hazieleweki naambiwa uje mwakani mpaka umri ukapta wa kwenda yaani wilayani mnaomba 200 wanaotakiwa 30 unazani wenye vigezo hawabaki hapo lazma wabaki tu wenye support waende 😭😭😭😓😓🥲🥲😓JKT n shamba la mkoloni
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
Uyu Luhaga mpina hafai kua ata diwani
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 7 ай бұрын
Saf sana bunge jkt aina faida yoyote ni usanii na upumbavu mtupu
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Kama haya ndo mambo Bunge na Tume ya Haki Jinai wanashauri, basi tuna matatizo sana!
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
MATATIZO UNAYO WEWE
@BARAKAMLYAKADO
@BARAKAMLYAKADO 7 ай бұрын
Kuna usahihi wa kigezo hiki kuwepo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama
@BilaliChakusaga
@BilaliChakusaga 7 ай бұрын
Waleten watt wenu msomela jmny mtaona km vijana wana haki ya kupewa ajira au laaa
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Hapo navyowafahamu Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wataPUUZA haya maigizo ya Bunge, ajira zitakwenda KWANZA KABISA kwa waliopita JKT halafu KAMA kuna nafasi zinabaki watapewa wasiopita JKT. Hivi mnachukuliaje mambo ya Ulinzi na Usalama?
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
@user-uu5lp6mp1o
@user-uu5lp6mp1o 7 ай бұрын
Hebu wahulumieni hawa watoto ambao wako msomela wapate ajila ndo muanze hayo maongezi
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 6 ай бұрын
Kwakua yupo nduguyo au?
@GeofreyJames-g6t
@GeofreyJames-g6t 7 ай бұрын
Kama vp wafute tu zote maana hazina faida
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs 7 ай бұрын
Mimi dr tulia ndio mana nakukubali
@stevenmhina7222
@stevenmhina7222 7 ай бұрын
Hivi kule kwenye wanaenda kuchukua mafunzo ya ajira za hivi vyombo hakuna cha hayo ambayo wanasema yanapatikana JKT Maana kama ni ukakamavu yanafundishwa huko. Ksma ni uzalendo yanafundishwa huko. Kama ni weledi vinafundishwa huko. Kama JKT ni kigezo muhimu. Kwa nini yafundishwe tena katika recruit course !!! Bora ziangaliwe taaluma za watu mengine yataongezwa katika mafunzo ya ajira husika. Kama kigezo ni elimu inayotolewa JKT wao wanaona hawawezi kuipata katika mafunzo yanayotolewa katika mafunzo ya ajira husika, jambo ambalo siyo kweli. Basi baada ya kuwarecruit wawapeleke huko JKT na JKU. Na wale ambao walichanguliwa wakiwa walishapitia JKU na JKT itakuwa ni faida kwao kuwa hawatahitajiwa kurudi huko tena
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 7 ай бұрын
Elewa kuna tofauti kubwa sana kati ya aliyeajiriwa akiwa katika mafunzo na yule aliye ajiriwa akiwa nyumbani na kwenda kwenye mafunzo.kwa uchunguzi wa wahusika ( waajiri ) watakuwa na fursa na uhakika na mtu mwenyewe (wakichunguza tabia na mwenendo wake)
@DanfordEmmanuelNtakije
@DanfordEmmanuelNtakije 7 ай бұрын
​@@PhilibetLadislausvzr Sana Kaka umemujibu vzr sana
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Kati ya mambo ya OVYO Bunge limefanya ni hili!!!
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
MJINGA WEWE
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
@@ethanethan4437 Ni jambo la OVYO! Ukiacha ujinga unaouuza, utaona kwamba hapo mmepatwa! Hamjapata. Ni hivyo, upende usipende, utake usitake. Hakuna Chombo cha Ulinzi na Usalama kitatii Agizo au Azimio la OVYO. Ukitumia ubongo wako kufikiri utaona kwamba hicho kigezo cha JKT hakikwepeki! Yaani hata ukisema ETI ajiri kwanza halafu kabla hajaanza kazi aende JKT, vipi huko JKT asipofuzu? JKT watu hawaendi kuchekeshana na kunywa gongo, wanaenda MAFUNZONI na kuna KUFUZU! Asipofuzu mtakubali huyo aliyepata ajira arudi nyumbani? Ndo maana wenye busara Jeshini wakasema JKT iwe kigezo cha wazi kila mtu ajue ili asipoteze muda! Nyie kaeni mnatukana lakini JKT kuwa kigezo cha Ajira za Vyombo vya Ulinzi na Usalama haikwepeki!!!
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 6 ай бұрын
Kwakua mnufaika mkuu wa jkt ukiwemo wewe au
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 ай бұрын
ACHEN UFALA JKT N MUHIM
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 7 ай бұрын
Inaumuhimu ganii
@AndersonNambunga
@AndersonNambunga 7 ай бұрын
aina umuhim wowote jkt😊
@mombasa0076
@mombasa0076 7 ай бұрын
NI MUHIMU LAKINI SI KWA WATU WOTE.
@HassanHassan-uo5og
@HassanHassan-uo5og 7 ай бұрын
Haina umuhum. Zaid ya kulima na posho kidogo
@AndersonNambunga
@AndersonNambunga 7 ай бұрын
aina umuhimu wowote 😜
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 6 ай бұрын
❤❤❤😂
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Katika ulimwengu wa leo wa Ulinzi na Usalama sahauni JKT kutokuwa kigezo cha upendeleo kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama!!!
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 7 ай бұрын
Who are u by the way
@AndersonNambunga
@AndersonNambunga 7 ай бұрын
tujiulize uyi ni nan mbn atumuelewi😂
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
@@AlphanMbundamila and who are you???changia mada au kama na wewe huna hoja practical kaa pembeni sio lazima kila mjadala uje kuuza pumba
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira@@emmanuellyatuu4103
@mombasa0076
@mombasa0076 7 ай бұрын
JKT na JKU zilikuwa na lengo la kuwafunza wananchi UZALENDO. na ukakamavu. Haihusiani na AJIRA.
@urioxidetz8893
@urioxidetz8893 7 ай бұрын
Walitakiwa kuakikisha wanaweza kuaccomudate wanafunzi wote
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira@@urioxidetz8893
@beinafuu6219
@beinafuu6219 7 ай бұрын
Sasa mbona muda umepotea bule wakuongea wewe
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 7 ай бұрын
Haya, anayesema eti hata kama hujapita JKT ukiingia Jeshini mambo yanaanza kuanzia Step One. Sasa ndo aone jinsi ambao hawajapita JKT wasivyo na mashiko!!! Spika kakurupuka! Wabunge wamepwaya,hawajatafakari. Serikali ITUPILIE MBALI Azimio hili la ovyo la Bunge!
@ethanethan4437
@ethanethan4437 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
@user-xp3lr9nu4w
@user-xp3lr9nu4w 7 ай бұрын
Mtu anamaliza degree pia aende jkt au jku changamoto
@RashidjumaMboi
@RashidjumaMboi 7 ай бұрын
Kwan mwigulu yeye watoto wake Wana shida gan?ndo maana anavuruga hoja
@simonsadala2386
@simonsadala2386 7 ай бұрын
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
Msako mwanafunzi aliyepotea kuhamia mtaani, wenzake waeleza alivyotoweka
3:02
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН
MAKALA MAALUM WAKALA WA ULINZI JKU
11:36
JKU HABARI ZANZIBAR
Рет қаралды 7 М.
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania
5:02
Evarist Chahali
Рет қаралды 85 М.
MAPYA YAIBUKA MWANASHERIA WA KADA WA CHADEMA BONI 'YAI' AFUNGUKA YOTE A-Z
10:06
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН