MJADALA MZITO WAIBUKA RAIS SAMIA NA CCM KULINYAMAZIA SWALA LA MUUNGANO,LISSU, MWABUKUSI,SLAA,ASKOFU.

  Рет қаралды 19,669

Zandaani media tz

Zandaani media tz

Күн бұрын

MJADALA MZITO WAIBUKA RAIS SAMIA NA CCM KULINYAMAZIA SWALA LA MUUNGANO,LISSU, MWABUKUSI,SLAA,ASKOFU MWANAMAPINDUZI NA DR PATRICK NHIGULA PAMOJA NA BISHOP MPEMBA WAIBUKA NA HOJA NZITO NINI KIFANYIKE ILI KYINUSURU TANGANYIKA KUTENGANA NA ZANZIBAR, WAMEELEZA PIA NAMNA ZANZIBAR WANAVYONUFAIKA NA MUUNGANO NDO MAANA WAMEKAA KIMYA. ATAJWA KINANA, NAPE NNAUYE NA AMOSI MAKALLA KUWA WAJITOKEZE TENA KULISEMEA SWALA HILI LA MUUNGANO KAMA WALIVYOJITOKEZA KUMJIBU TUNDU LISSU. ACT WANAONEKANA KUUNGANA NA CCM CHINI KWA CHINI.

Пікірлер: 129
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 ай бұрын
CCM yote imeoza tuu, hata Magufuli kuna wakati alituwekea masela wake kila sehemu. Ila Mungu ni fundi hata kabla ya kufa kwake Magu walianza kufa kwanza masela ili watangulie kumpokea boss wao. CCM imejaa funza tuu hamna nafuuu ya Mkapa, Jakaya, Magu na leo tuna Mzanzibari katili
@hamadmamoja6041
@hamadmamoja6041 3 ай бұрын
Wacheni ulaghai hakuna mzanzibar anaeutaka muungano
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Mchangiani Nakupa 100% Good Points.
@tupendanevilla3183
@tupendanevilla3183 3 ай бұрын
Muna.takiwa.mukumbuke.vizuri.
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 2 ай бұрын
Wapeni tanganyika yao jamani. Kila mtu awe na nchi yake. Na iwepo serikali ya muungano kwani c tumeungana nchi mbili.
@petsmore9955
@petsmore9955 3 ай бұрын
Mbona kina kitu kiko wazi. Kitu gani hakieleweki jamani ? Akili ndogo tu ndo shida. Tanzania,zanzibar, muungano. Serikali tatu si mbili😮 Asante kwa ufafanuzi mzuri!
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 3 ай бұрын
MUUNGANO UENDE KAMA ULIVYOUNDWA NA WAZEE WETU MWL NYERERE PAMOJA NA MZEE KARUME... NYINYI NI WATU WA OVYO NA MNATAFUTA MAJUTO TU BASI YOTE HII NI UBAGUZI WA KIJINGA... UBAGUZI HUU ALIONYA SANA MWL NYERERE...
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Nasikia mikopo inayo kopwa kwa jina la Muungano Zanzibar hailipi hata sh moja?Mzigo wote ni wa watanganyika,Ndiyo maana Tunataka Tanganyika iwe dhahili kama ilivyo Zanzibar
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Sawa ndugu zetu tuinuke
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 3 ай бұрын
Acheni kumlaumu Raisi Samia. Yote haya yamewezeshwa na Wabunge wenu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 3 ай бұрын
Kwa kweli Wabunge hawa wa Bunge hili la muungano wanastahili adhabu ya pamoja kutoka Kwa Mwenyezi Mungu!
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 ай бұрын
Kwani hapa kuna Bunge ???!!! Hata hilo Bunge lipo kwenye mkoba wa rais ???!! Unajua Spika wa Bunge [Ndugai] namna alivyoondolewa kwa mchongo ???!!! ....... Lile ni Bunge la mchongo tuuu hakuna Bunge pale, Red Carpet la Rais; na ndiyo maana ili uendeleee kubaki kwenye Bunge la mchongo lazima uwe Chawa ???!!! ....... Kwa hiyo acha kuongea kama darasa la Kwanza ama mtoto mdogo ....... Hakuna Bunge Tanzania. Na ndiyo maana kwasasa tumeamua kudai Tanganyika yetu. Muda siyo mwingi mvua ya mawe mazito itanyesha kudai Tanganyika kama wakiendelea kujitoa ufahamu.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 3 ай бұрын
Mungu ibariki nchi yetu
@user-ze8jz4pe7j
@user-ze8jz4pe7j 2 ай бұрын
Na mimi naomba ikiwepo mijadala nishiriki muhidini kutoka unguja zanzibar nami nahitaji kushiriki ninayo ya kuzungumza
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Sema baba lakini nawalaumu Filipo Morango, Kasimo Majaliwa,Spika Tília,na wabunge wote waTanganyika. Hakika hawo wanastahili kufungiwa José lá kusagia shinhoni na kutozwa baharini Kwa sababu hão wamemapa sana ngumu Samia kuiuza nchi yeti. Hawa mm nawafananisha na ng' mbe Wala majani
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Pia Kumbuka Wapo Walanchi Wa Tanganyika Ambao NAO Wanatutesa Watangajika Ambao Wanatuumiza.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Kwa kweli watanganyika tumepigwa.
@KhaimuMkumbaru-zs7zr
@KhaimuMkumbaru-zs7zr 3 ай бұрын
Kwani rais anafanyakazi zote ya taifa ilí
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
@@KhaimuMkumbaru-zs7zr Ana uwezo na mamlaka ya kupigana na ufisadi. Jeshi liko chini yake, polisi na kila kitu kiko chini yake. Watu wanaiba bila ya woga. Bunge limekuwa ni la kuidhinisha wizi, hakuna upinani wala sauti ya kuwatetea wasiokuwa na sauti. Walaji na wapigaji wanamusifia Rais kumuziba macho na masikio huku wengi wanaumia. Samaki huanza kuoza kichwani.
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 2 ай бұрын
Sasa munalalamika nyinyi. Zamu yenu sasa. Mika mingi tulikua tunasema. Mpka mashekhe wetu wakawekwa ndani. Tulionekana wajinga watanganyika mulikua kimya. Saiv ndio mumejua
@enockfumbuka6843
@enockfumbuka6843 3 ай бұрын
HIMA HIMA TUWATIMUE WAZANZIBARI TUWATOE WOTE HAWA MAKUPE.ROSTAM ALITAJWA NA MZEE MENGI KWAMBA NI FISADI NAMBARI ONE .
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Abihudi Acha Wenye Nia Dhabiti Wazunguhmze.Unausema Ukweli Wote.
@gangmore9091
@gangmore9091 3 ай бұрын
Hahaha baazi y Watanganyika kujitambua itachukua muda 😂😂
@KhaimuMkumbaru-zs7zr
@KhaimuMkumbaru-zs7zr 3 ай бұрын
Taifa lote wananchi wote wanahita kutatuliwa matatizo yao kama anavyofanya kiongozi makonda msipoteze muda kujadili mungano sio kweli.
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
Watanganyika hamjielewi mnaroho mbaya na wezi wakubwa mtakoma si mlijifanya wajanja nyinyi
@dillonfoya
@dillonfoya 3 ай бұрын
Kwenye hotuba yake ya kwanza tuliamini kwa vile alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la KATIBA basi imefika muda wa kwamba ana mamlaka kamili basi tuliona tutapata KATIBA hatukuweka unzanzibari
@salummohamed2689
@salummohamed2689 3 ай бұрын
Rais anajisikiaje na huu mwangwi Kila Kona ya nchi. Anasubiri watanganyika wawe wengi kuidai Tanganyika Yao Kwa NGUVU za ziada? Ikitokea hiyo atarudisha nyoyo za pande hizi mbili kuungana Tena? "KAZI IPO".
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 3 ай бұрын
TATIZO SISI WATANGANYIKA NDIO WAJINGA KUANZIA JESHI WANASHELIA WETU POLISI WETU MAANA WAO WANAULEA UJINGA HUU WANACHOANGALIA WANAPATA MASILAI YAO LAKINI HII NCHI AIPO SALAMA
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 ай бұрын
Wazanziba mkikosa kipindi hiki kujitawala muwe huru kwa sababu mnapendelewa.musije mkajisahau.kuwa mtakuwa na madaraka hadi kesho
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Ukumbuke Samia Alisema Wazi Wakati Anaingia Kwenye Siasa;Alikua Mpambania Haki Ya Zanzibar( Mwanaharakati).Ndio Maana Ya Kumtoa Mpamgo Kwenye Uwaziri Wa Fedha.Na Kusema Wazi Mpango Anakalia Fedha Za Zanzibar.
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Kama kweli huu Muungano ni wa haki,Ulilidhiwa na watanganyika %Ngapi?Na gharama ya Muungano Zanzibar inatoa sh ngapi?
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 3 ай бұрын
Samia anahaki yakutosha yakuigawa tanganyika kwasababu ni rais watanzania na tanganyika inasimamiwa na tanzania
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 3 ай бұрын
Hata Mimi sioni kwa Nini wamasai waondokewe kwao,wapelekwe Tanga?Ni pesa nyingi Sanaa..kwa Nini WASTAAFU halipwi pesa zao zote? Yaani wastafu hawana unuhimu,Bali wamasai ndio wanamuhimu?wazanzibar Ni wanafiki..wanaupenda muungano kwa sababu wanafaidika Sana. Ni danganya Toto tuu. Kusema hawautaki
@user-uv3wi7yq8p
@user-uv3wi7yq8p 3 ай бұрын
Ammakweliy Usilolijuwa, Hivyokweli kodizetuzootee mapatoyoote yanakusanywa yanapelekwa huko Tanzania Bara, Sasa ww unasema Eti sisi wazanzibar ndotunao faidika na huu muungano, ww hujuichochote, kwahapatulipo fikia, ni Serekali (3) Tuu, wa Zanzibar Tunataka Nchiyetu na mamlakayetu kamiliy,,,
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 3 ай бұрын
Kweli kabisa jaman
@enockfumbuka6843
@enockfumbuka6843 3 ай бұрын
KWA NAMNA HII HAKUNA MUUNGANO KABISA.HATUMTAKI MAMA YAO KWETU KANDA YA ZIWA !
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 3 ай бұрын
HAKUNA KITU KINANIUMA KAMA WAZANZIBAR KUMILIKI ALIDHI TANGANYIKA NA SIKU MUNGANO UKIVUNJIKA TUTAWAPOLA ALIDHI YETU WOTE WAPEMBA MM BINAFSI SIUTAKI MUNGANO KWAKUA SIJAPEWA HELIMU YA FAIDA YA MUNGANO NA MWAKA HUU WAKIMPIGA LISASI LISSU NA SISI TUTAFANTA TUNACHOKIJUA KWA VUONGOZI WA ÇCM
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 3 ай бұрын
Kimeumana sasa watanganyika hebu tuweni serious na Utanganyika wetu tusiendelee kucheka na hao Maccm wakiongozwa na mzanzibar.
@kamandaraster7899
@kamandaraster7899 3 ай бұрын
Muungano..hatutakii..sisi.wazanzibar
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Sisi ndiyo hatutaki kabisa
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 3 ай бұрын
Nani mtanganyika anaeweza kusema faida tatu tu za mwungano
@albertkamala6843
@albertkamala6843 3 ай бұрын
Muungano ni bomu la kisiasa linalosubiri kupasuka! Hakuna namna ubatili wa muundo wa muungano utaendelea kudumu! Suluhisho ni kuweka muundo wa muungano ulio sahihi ndani ya Katiba mpya!
@AbubakarAli-io7ke
@AbubakarAli-io7ke 3 ай бұрын
TANZANIA BARA OMBENI KURA YA MAONI JUU YA MUUNGANO.KWASABABU ULIKUWA NI WA VIONGOZI WAWILI TU.
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Time katiba mpya ni sasa na tubaki na Tanganyika yetu tuamke jamani
@TOMSAMSON-tj3sc
@TOMSAMSON-tj3sc 2 ай бұрын
Muungano ni jambo jema sana la Msingi muundo wake ndiyo uboreshwe tuwe na serikali tatu.Tukifanya hivyo tutakuwa tumeitendea haki Tanganyika na zanzibar
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Muungano hauna faida kwetu sisi uoga ndio maana uowoga wetu ndio maana tunanyanganywa kila siku ujinga wetu wenyewe samia anafanya hivyo kutumia nafasi hiyo hiyo hata ally Hasan mwinyi akiuza lolindo kwa waarabu km hatuwezi kuamka basi tujue ujinga wetu wenyewe watanganyika
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Mtuu yoyote akishindwa hoja hukaa kimiyia ccm kukaa kimiyia ni kushindwa hoja ktk kubishana kwa hoja nn maana yake chocolate mnachokitaka ni kutafuta kwa nguvu ya ziada wao wamefika mwisho wa kubishana kwa hoja kinafuata ni akili kichwani kwa watanzania wenyewe
@StevenMasunga-fd7xf
@StevenMasunga-fd7xf 2 ай бұрын
Muungano huu tumeuchoka, mwizi wa bandar za tanganyika
@enockfumbuka6843
@enockfumbuka6843 3 ай бұрын
ZANZIBAR NI MASKINI WA KUTOSHA HAWANA ZAO LOLOTE LA BIASHARA ZAIDI YA MWANI NA KARAFUU.
@sekrommbaga6234
@sekrommbaga6234 3 ай бұрын
Kwani swala la masai amelianzisha samia au lilianza kabla ya samia? Kwani samia ndiye wa kwanza kubinafsisha bandari? Ndiye wa kwanza kuchelewesha katiba au kwa sababu ameruhusu mseme. Samia ndiye kaunda muungano au aliukuta. Mwacheni amalize muda wake aingie Mtanganyika halafu mudai ardhi ya wamasai
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 3 ай бұрын
Huo ujinga kawaeleze wa nyumbani kwenu.
@sanaf8367
@sanaf8367 3 ай бұрын
Yapo ya msingi yamezungumzwa ktk hii podcast lkn mengine upuuzj tu huko zanzibar wabongo wamejaa ktk kila sehem za juu za utendaji.
@YoelLufunga
@YoelLufunga 9 күн бұрын
HATA KAMA NINGEKUWA MIMI NINGEFANYA HIVYO HIVYO. UNAACHAJE KUCHUMA WAKATI IMEAMINIWA NA CCM?
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 3 ай бұрын
Tena muungano uvunjwe kabla ya uchaguzi mkuu. Muungano kwa Sasa haufai tena
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 3 ай бұрын
Muungano haufai hivi sasa.baada ya kuwa rais kutoka zanzibar.acheni ujinga mutake musitake Sasa zamu yetu wasenge nyinyi
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 ай бұрын
😅wazomewe wote wajinga pesa zinazo letwa ni kodi zetu ujinga unawo fanywa na uongozi na ccm hizo ni kodi zetu siyo za samia samia ni msimamizi
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 ай бұрын
Hivi hatuna askari wazalendo watanganyika? Wako kimya au wanafikiria kitu?
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 ай бұрын
Askari Wazalendo utawapata Bukina, Mali na Niger .....Bongoland Askari walioko kwenye ranks za juu nao wanashirikiana na masela kuhujumu Watanganyika. Heshima ya Taifa na historia ya mashujaa, machifu walipoteza damu zao kutetea ardhi ya Tanganyika inapotea sababu hawa Masela
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 3 ай бұрын
Mhhhhhhhhhh!
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Hao nao niwakuwaombea
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
TANGANYIKA NI YETU WATANGANYIKA MUNGU HAKUWAHI KUMKABIDHI NYERERE TANGANYIKA.
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 3 ай бұрын
Wanatzania mama samia sio anaeibana tanganyika ilanikatiba em imagine mama samia niraisi watanzania nasio wa tanganyika wala Zanzibar so mlidhani tanganyika asimamie nan ? Ukizingatia tanganyika haipo, haipo na mdawote mumulala. Mm ninachokiona watanganyika nyote munaubinafs chuki na ubaya juu ya Zanzibar kwan hata nyerere kusudio lake nikuizamisha Zanzibar na viongozi waote watanganyika waliopita wameikandamiza Zanzibar wala nyinyi hamkuwahi kusema chochote ila miaka 4 tu rais kutoka Zanzibar mnalalamika nakupandukiza chuki NYOTE WATANGANYIKA NIWABAGUZI cc wazanzibar hatumzungumzi rais kw7bu mume mbagua na hamuzungumzii ccm au katiba bali mnamzungumizia sia as mzanzibar
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
Rais Samia fanya haraka uwachomowe wazanzibar wote haraka waondoke bara. Watanganyika washughulikieni haw Wazenji mmoja baada ya mwingine.
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 3 ай бұрын
Hata bado watanganyika mutulie zamu ya wazanzibar.miaka 60.mnatuibia tu.leo juzi tu kutawala mzanzibar bado miaka 60.na sisi wajinga nyinyi
@karimmveyange280
@karimmveyange280 3 ай бұрын
KAYAFANYA HAYO KWA SABABU KAWAONA WATANGANYIKA NO BWEGE BWEGE,NA HUPENDA SANA RUSHWA. WAMEPEWA KITU KIDOGO WAMEKUBALI MALI AS TAIFA ZIMEUZWA,BIASHARA IMEKWISHA
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
AIRPORT PORT YA TANGANYIKA NI SAWA NA GHALA LA. MAHINDI LILILOITWA NATIONAL MILLING 😢😢😢😢WATA NGANYIKA WATANGANYIKA WATANGANYIKAAAAAAAAAAAAAAAA
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 3 ай бұрын
Alilopewa Baba yenu wa Azam na Mwinyi, nyie endelezeni kiburi tu chungu kimeanza kuchemka hivyo.
@user-ol5rm6uj8t
@user-ol5rm6uj8t 3 ай бұрын
Mimi ni mzanzibari pia ❤️
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 3 ай бұрын
Piga fimbo aende kwao zanzibar
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 3 ай бұрын
Maswali yako ni very constructive na ya muhimu sana kwa Watanganyika hebu tuamkeni kudai nchi yetu.
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Magu R. I. P
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn 3 ай бұрын
Muungano Mimi nautaka sana. Lakini siyo kwa mfumo huu kwanza kama tuna nia ya pamoja nilitarajia Sasa ungekuwa wakati sahihi kudai selikari Moja. Kwa sababu selikari mbili imeshindwa kutatua kero za muungano. Pia Zanzibar wamefuata baadhi ya Mambo kuyadai yarudi Zanzibar na hii inamaanisha wanaona walikabidhi kimakosa. Zaidi ya hapo ni ubaguzi na uchu wa madaraka.
@YoelMagese
@YoelMagese 3 ай бұрын
Mtaongea sana lakini sisi wenye nchi tupo. Watanganyika bwana, au wote mmeathiriwa na msemo wa wasukuma 'NDUHU TAABU'
@MkashaShaame
@MkashaShaame 3 ай бұрын
Ni muda mrefu sana raisi wa Tz amekuwa akitokea Tanzania bara na kufanya maamuzi katika mambo yote ya muungano na yasiyo ya muungano kwa tanzania bara hakuna mtanzania bara aliesimama kidete kumnyooshea kidole kwa utanzania bara wake ila leo mungu kajaalia rais ametokea znz na kufanya maamuzi km yaliyofanywa na wengine waliopita imekuwa ni shida kisa tu yeye ni mzanzibar. Ubaguzi wa wazi kabisa
@MzeeKibajaji
@MzeeKibajaji 3 ай бұрын
Wewe mtoto tu
@AliMkwende-hn6my
@AliMkwende-hn6my 3 ай бұрын
Kama namna ndo hiyo walaumiwe waliounda muundo wa Muungano hata Dodoma Kuna umasikini basi na iundwe serekali ya Tanganyika inayojitegemea watu Zanzibar Nako wanalia na serekali mbili
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 3 ай бұрын
Ni vema Wanasheria wa Tanganyika waandike Katiba ya Tanganyika, kisha ifafanuliwe kupitia mitandao ili Watanganyika waielewe. Itafutwe namna ya kuifikisha Bungeni (hapo ipo kazi). Itakuwa rahisi kuifikisha Bungeni kama Bunge litakuwa na Wabunge waelewa na weledi, (wana CCM wakiwa wachache au hawapo kabisa). Katiba ya Muungano inaweza kuundwa pale kama kuna Muungano wa Serikali 3 tu.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 3 ай бұрын
Zungumzeni kisomi sio ya kijinga kama pumba hizi za vijiweni, mnatupotezea MB zetu tu, hivi hayo yote kweli kama wasomi hamumjuwi alieyaleta haya yote ni nani Hv mnadhani haya yaliyopo yameshuka tu kama mvua sio ya tokea CCM ilipoanzishwa Mbaya wa nchi hii ni CCM na baadhi ya wasomi na viongozi wa dini nchini, ndio mnaojipendekeza kwa CCM Mbona hamuisemi CCM mnamsema aliye ekwa na CCM HUU NI UPUUZI MTUPU!!!
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
Limekugandeni hilo si mlikuwa hamuutaki utanganyika leo imekuwaje msimlaumu samia yeye kayakuta tu mlaumuni nyerere na ccm yake wazanzibari mltuwona wakorofi tulipokataa kuiangamiza zanzibar lakini nyinyi watanganyika sijuwi mliwaza nini Tanganyika mkaificha ndani ya tumbo la eti mungano tena nyinyi mnalalammika nini tulieni
@AliMkwende-hn6my
@AliMkwende-hn6my 3 ай бұрын
Kama biashara inawapa hasara achana nayo .Pendekeza nn kifanyike amekaa Marehem Mzee Mwinyi ulikaa kimnya au ulikufa kipindi hicho
@user-uq2gm5jj1f
@user-uq2gm5jj1f 3 ай бұрын
Watangangika tunapigika kweli kweli ..mama ameamua kutushugulikia kweli tuamuke sasa watanganyikA
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 3 ай бұрын
The next Israel na Palestine
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 3 ай бұрын
Muda una sauti kubwa..enzi za uzwazwa zilishapita...I repeat time speaks louder....sijasoma sana ila umoja haupaswi kuwa na vitendo ka hivi..
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
KWANI WAZANZIBARI TUNASHIDA GANI NYIE CCM ZANZIBAR HEMU JIAMININI TUACHANE NA HUU MUNGANO IRUDISHENI AFRO SHIRAZI ILI ZANZIBAR IWE SOVRENIT STATE ILI HAYA MAMBO YAISHE KELELE ZA NINI KWANI HILI HAMKULIONA
@allyally4228
@allyally4228 3 ай бұрын
Nimejifunza mainland ni hatari kweli, Lakini si vizuri kuongea na kumaliza maneno,
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Suluhisho tuuvunje Muungano kwa sababu umebadilishwa sana Karume wa Rais alikuwa Makamo mwenye mamlaka kamili na kusaini miswaada kuwa sheria. Ama kuhusu fedha mikopo na misaada Zanzibar tumedai akaunti ya pamoja ya Muungano kwa mujibu wa Katiba ibara 133 - 140. Pesa ya uhamiaji inatokana na Wageni ambao wakija wamekuja Tanzania. Misaada yote ya Kimataifa inaingia Tanzania. Michezo sio Muungano lakini FIFA ipo Tanganyika ni wanufaika wakubwa. Kwa ukubwa wa Tanganyika mara 500 dhidi ya Zanzibar ni HARAM kuendelea na Muungano huu kwa muundo wowote ule. Rais wa Tanzania kuchaguliwa bila ya
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
Wafanyakazi ktk vyombo vya fedha angalieni miamara ya uhamisho wa fedha toka mabenki yetu kwenda Zanzibar. Atakamatwa na kurudisha zote.
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 3 ай бұрын
Kaka samia siowakwanza mwinyi arikuwa mzanzibari
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 ай бұрын
Kwa hiyo hoja ni waarabu
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 3 ай бұрын
Tutafika huko kiramtanganyika anatakiwa amshungurikie rabudandowatashituka
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 3 ай бұрын
Hivikaka katikahariyakawaidatu watu mirioni mbiri mnagawasawa nawatu mirioni sitininanne hafuuseme tuvujemngano hatamimi ninheku mzanzibari ningekemea kwanguvu kuvunja mgano chakufanya kira mtanganyika aazimie kufakupona mpaka tukomboe tanganyika
@SuleimanChief
@SuleimanChief 3 ай бұрын
Hatuna wizara kila mtu na lake
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 3 ай бұрын
Kumbe Dr. Mvungi kauawa kwa sababu ya kudai Tanganyika?
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 ай бұрын
Wenye ujinga ni watanganyika
@reginas1832
@reginas1832 3 ай бұрын
TUNATAKA TANGANYIKA YETU
@user-qv4jb7mt5q
@user-qv4jb7mt5q 3 ай бұрын
It is very true brother about our country Tanganyika, can not be rulled by a Zanzibar person.
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn 3 ай бұрын
CCM imeungana inakuwaje chama kimoja kinaendesha selikari mbili?
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 3 ай бұрын
asanteni sana wenzangu tunatka kwa ufupi tupewe uhakika wa Tanzania kuanzia mwaka wa 1992makampuni yalioingia Tanganyika kama vi Le waaaraabu wanaejiita wawekezaji. Wanunua ardhi yetu sisi tunaambiwa tumeombewa eka 200 kwanini tuombewe ardhi yetu Bado familia nyingi zinaumia tunataka wajulikane wazi juzi walikaa kikao wakina kinana. Na kina mbowe na mabalozi je mabalozi wanchi za nje wausikaje na mambo ya Tanganyika tunataka uhuru kamili tuwe na wagombea uhuru ambao awatagombea kwa ubunge kwa tiketi ya CCM. ama Chadema kama awatakubali kuwa na mgombea huru basi atutakuwa huru Samia awache kiti Cha Tanganyika waarabu waende kwao walioko Tanzania wafungashe virago atubembelezani kamwe CCM Chadema wote wanatutafuna walisema wameridhiana je kama sio kweli ushahidi tunayo lema alisema alipokuwa kanada alimpigia kikwete simu akamwambia aongee na Samia Ili arudi Tanzania jee niambie kama Chadema na CCM sio kitukimoja anaeongoza ni kikwete na kinana na Samia mkitazama ngorongoro na bandarini na madini yetu yamirerani imekua yao tuwakomeshe mafisadi ata bungeni Kuna waarabu tunawaona wakiwakemea wabunge wetu kwa haraka sisi watanganyika wote tuamke kwa mashoka na mawe na marungu tuta mpaka matope na matope wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 ай бұрын
Wa Swahili , watu wa pea I ndio waliohusika kuwa peleka wa Tanganyika utumwani. Kwa hiyo, Samia na Kikwete wote wa as manzum Za Kisra’nı. Wa Wachuuzi. Bado wanatuchuuza. Wana maslahi yao harabını. Wao ni mchango yıkı wa Tanganyika watumwa na waarabu. Waliooana au kwa kulazimishwa. Hawajielewi. Badala ya kusikitika, wanafurahia hicho. Hawataki Kama walibakwa kwa nguvu wengine. Wauzauza.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
HIVI KILE KIWANDA CHA KUTENGENEZA BISKUTI ZA BANGI KILICHOPATIKANA HUKO TEGETA KESI ILIISHIA WAPI. MAANA WATUMIAJI NI WATOTO WETU ZAIDI. WATAKUWA MAZEZETAA 😢😢
@user-ry3zq8vp5c
@user-ry3zq8vp5c 3 ай бұрын
Hirosiyorambowe nirakwetu tuwapige mmojabaadaymmoja sasautaona wanakimboawenyewe
@karimmveyange280
@karimmveyange280 3 ай бұрын
BADO MLIMA KILIMANJARO , UTAUZWA KWA MWARABU
@user-um5xx5ct7q
@user-um5xx5ct7q 3 ай бұрын
HAHAHA MUDA UTAFIKA NI SUALA LA MUDA TU TUTAONA AU KUSIKIA MENGI
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
Kwa maelezo haya, nchi yetu inafilisika, wanajeshi mnafanya nini? Mali zetu zinahamishwa kuijenga Zanzibar. Kikwete tukuite mjinga kwa kumkumbatia huyu nyoka?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Zanzibar HAIJENGWI na Tanganyika. Hili litakwishwa mtabaguana kimikoa. Baadae mtasema wa Dodoma hahusiki na bandari ya Dar.
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 ай бұрын
😂😂😅JAMAAA WANAUMIA KWAKWELI
@MkashaShaame
@MkashaShaame 3 ай бұрын
Kakeee
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 ай бұрын
hatuhitaji serikali tatu tunahitaji muungano uvunjike kabisa halafu tuangalie kama tutaona kuna haja ya kuungana tutaungana kwa mambo fulani kimkataba tu halafu muelewe hakuna mzanzibari wa kawaida anaefaidika na muungano labda viongozi .
@MkashaShaame
@MkashaShaame 3 ай бұрын
Sio kweli
@user-wg9jl7bp6x
@user-wg9jl7bp6x 3 ай бұрын
Tumepigwa xana yatosha sasa
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Tena ni wavivu kupindukia.
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 ай бұрын
TUFUTENI TANGANYIKA YENU ACHENI KUPOTEZA KUDA
@user-im9os7pv8b
@user-im9os7pv8b 3 ай бұрын
Tunaweza kuwa na serikali mbili zilizo boleshwa ,yaaninZanzibar na Tanzania,hiyo tanzania siyo iliyo unganishwa tanganyika na zanzibar haaah siyo hiyo,Tanzania ninayo isema ni tanzania ,niliyo iunganisha kutokana na majiji yetu yalipo Tanzania bara,yaani Tanga,dar,arusha,mbeya,mwanza,dodoma,na ningelipandisha mji wa kilimanjalo kuwa jiji then ningeunganisha na kupata TANZANIA nasiyo hiyo ya kuunganisha tanganyika na zanzibar,na hao wenzetu wa zanzibar tuendelee kushilikiana kama zilivyo nchi zingine km kenya ,uganda nk
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 ай бұрын
Acha mvua inyesha, tuonae panapovuja !
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
SAMIA TOA TAMKO LA KUJIHUZURU URAIS HARAKA. HATUKUTAKI, HAMTAKI KUUNDA TUME TUCHUNGUZE KIFO CHA MAGUFURI, HII INAASHIRIA ALIUAWA KIMPANGO ILI MFANYE MNAYOFANYA SASA.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Nakuelewa kwa mbaliiiiiiiiiiiiiii
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
Huelewi nini, Magu alikataa wageni kumilikishwa maliasili zetu na Bandari. Ona leo, bandari, misitu, Kia, Lolilondo, Udart, vyoteee wanapewa waarabu. Watanzania utumwa kwa Waarabu umerudi. Mikataba ya ovyo ktk haya Nchi tutateseka.
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 3 ай бұрын
Waarabu hawatajenga bandari bali watavuna tuu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Kuna samaki na maembe
@rashidissa5887
@rashidissa5887 3 ай бұрын
Kwa sababu ni Mzanzibari.
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 11 МЛН
Trump Rally in PA: FULL SPEECH
1:31:21
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 562 М.
Musk See TV | Elon, Inc.
25:22
Bloomberg Podcasts
Рет қаралды 837
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН